Kampuni ya Mtanzania, Benjamin Fernandes, NALA yakusanya TZS Bilioni 106 za uwekezaji/mtaji

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 74

  • @faridhamad3678
    @faridhamad3678 14 วันที่ผ่านมา +17

    Maa shaa Allah Kijana kapambana sana Allah azidi kumfungulia Rizki yake ili azidi kua Asbaab ya wengine kupata Rizki inshaa Allah.

  • @marrypius576
    @marrypius576 14 วันที่ผ่านมา +9

    Ongera zake kijana anapambana sana Mungu akuongoze

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 14 วันที่ผ่านมา +2

    Hongera sana kwake jamaa anatuwakilisha vyema sana nje ya nchi

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 14 วันที่ผ่านมา +2

    Huyu jamaa alitakiwa awe pale TRA awatengenezee mfumo mzuri wa kukusanya kodi na hatimaye kodi ipungue ili kila mtu aweze kulipa kirahisi na kampuni yake hiyohiyo ya NALA lakini utasikia tuna watalaamu wetu

  • @zakayodismas251
    @zakayodismas251 14 วันที่ผ่านมา +8

    Hiyuu jamaa baada ya miaka kadhaa ni bilionea ajayee

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 13 วันที่ผ่านมา

      Tunge kuwa tumwekea mazingira hapa ndani, huo utajiri ulikuwa wetu wote. Si ajabu kasajiliwa nje.

  • @kalfohuncho7356
    @kalfohuncho7356 14 วันที่ผ่านมา +6

    Idol🙌🇹🇿

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki8978 14 วันที่ผ่านมา

    Pongezi nyingii kwako mjasiliamari Mtz mwenzangu kwa mapito ya kampuni yako. Waliouchukulia duni mwanzo wako taarifa hii ni adhabu tosha na fundisho kwa wengineo, bila kusahau hii ni motisha kwetu tunaojitafuta tukingali na mwanzo hafifu Sana.

  • @BARAKA-ns3jv
    @BARAKA-ns3jv 14 วันที่ผ่านมา +4

    Tunaomba ufanye naye interview

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 14 วันที่ผ่านมา

    Amani ya nchi ndio msingi wa maendeleo ya Kila Mmoja bila amani hakuna maendeleo respect🔥🔥🔥🙌🙌🙌

  • @jengainavyotakiwa
    @jengainavyotakiwa 14 วันที่ผ่านมา

    Hongereeni sana kwa hatua mliofikia, haikuwa rahisis

  • @shaban6644
    @shaban6644 14 วันที่ผ่านมา

    At the same Time anatangaza Nchi Yetu Kwa ukubwa Sana.
    Proud of You as Tanzanian.

  • @aminaali792
    @aminaali792 14 วันที่ผ่านมา

    Maa sha Allah Nala has good rates 👌🏼😍😍

  • @patrickmulonda9710
    @patrickmulonda9710 14 วันที่ผ่านมา

    Ni company nzuri sana kabisa, hata sisi tuliopo hapa ulaya tunaitumia

  • @beingothman
    @beingothman 14 วันที่ผ่านมา +3

    Hadi Raha

  • @user-br4gt8nz7o
    @user-br4gt8nz7o 14 วันที่ผ่านมา

    One day❤

  • @mathiasswai7006
    @mathiasswai7006 14 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana🎉🎉🎉🎉

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 14 วันที่ผ่านมา

    Niliwaona mbali sana NALA, kutokana na technologia yao isio ya mitandao ya sim. Lakini nikawa na shaka juu ya Fernandes kufadhili mambo ya ukiukwaji wa misingi ya kuishi kiuumbwaji, hilo bado naliangalia kwa jicho pana sana. Lakini hiyo kampuni ni safi na nia ya muanzilishi ni njema, katika maelezo yake.
    Ni moja kati ya watu naowafatlia sana, na ninaona wana kitu cha kuinufaisha nchi yetu.

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 14 วันที่ผ่านมา

    Tanzania imejaa watu wenyeh taaluma na techilogia ya juu 😊

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 14 วันที่ผ่านมา +3

    Isogezeni nchi zote za SADC

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 วันที่ผ่านมา +1

      Tukumbuke hapa alikutana na mizengwe, akakimbia.

  • @johnmessi6831
    @johnmessi6831 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona nala haipo Israel 🇮🇱? Tuna pasta shida kutuma pesa

  • @Sonier_Bright
    @Sonier_Bright 14 วันที่ผ่านมา +1

    Wow❤

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 14 วันที่ผ่านมา +1

    Bilionea mtarajiwa Afrika

  • @BongoPlatformTv
    @BongoPlatformTv 14 วันที่ผ่านมา

    Jiulize kwa nn wengi wakianza kifanikiwa wanahamia nje,.?

  • @mrshazychannel3359
    @mrshazychannel3359 14 วันที่ผ่านมา +2

    Fernandes the super hillo of tanzania

    • @twalibulomy-cd4zd
      @twalibulomy-cd4zd 14 วันที่ผ่านมา

      Ongea kiswahili pumbu ww. acha ulimbukeni.

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 วันที่ผ่านมา

      Super Hiro huku tulimkimbiza nyumbani

  • @israelkisaila8401
    @israelkisaila8401 14 วันที่ผ่านมา

    Siyo MTANZANIA huyo😢

  • @R1Lifestyle-f6n
    @R1Lifestyle-f6n 14 วันที่ผ่านมา +3

    mm nilisema miaka 4 iliyopita kwamba huyo jamaa ni up commin billionare, mana najua 75%+ ya matajiri wa dunia wapo kwenye tech.. hivyo hiyo sekta ni tajiri kuliko zote kwa hiyo ukiwa humo utapata pesa nyingi mana mzunguko wake ni mkhbwa.. hongera sana kwa Benji, I wish siku moja nimuone akiwa billionare itapendeza..

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 14 วันที่ผ่านมา

      Ila tambua kampuni yake imesajiliwa Kenya, maana bongo walimletea longo longo.

    • @R1Lifestyle-f6n
      @R1Lifestyle-f6n 14 วันที่ผ่านมา

      @@GeorgeAkasha-zx2rj hapa sera nyingi nafikiri zinakuwa sio rafiki sana kwa wawekezaji wa nje.. huenda

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 14 วันที่ผ่านมา

      @@R1Lifestyle-f6n Walimkatalia kwa hapa bongo ndo ikabidi aende Kenya(bado sera zetu za kijamaa zaidi na hofu) ila Kenya alipata kibali na matokeo yake ndo haya sasa.

    • @R1Lifestyle-f6n
      @R1Lifestyle-f6n 14 วันที่ผ่านมา

      @@GeorgeAkasha-zx2rj yapi tena mkuu?

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 14 วันที่ผ่านมา

      @@R1Lifestyle-f6n Mkuu Kenya wanafaidika na Kodi zaidi na pia Kenya wanaibrand hio App Kama ni ya Mkenya.So hapo watakuza utalii na uwekezaji kiteknolojia kwa baadae.Jamaa ni Mtz kabisaa ila ndo hivo Kenya ndo wanafaidika kwa sasa? Refer Starlink issue.

  • @Fgldesigns
    @Fgldesigns 14 วันที่ผ่านมา

    Ila mtambue kampuni si ya Tanzania kwasababu ya kutokuwa na maono, bali tunajua rushwa tuu

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 14 วันที่ผ่านมา

    Ni washenzi sana

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 14 วันที่ผ่านมา

    🚀🚀🚀🚀🚀🚀

  • @jamesrichard54
    @jamesrichard54 14 วันที่ผ่านมา

    Top 10 nami nimo kwakutumia Nala kutuma pesa home 🎉 kama na ww upo Top 10 like hapa 😮🇹🇿🇹🇿

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 11 วันที่ผ่านมา

    Mtoto wa Mchungaji Ferdinandez huyo wa ATN aisee, kumbe NALA ni ya kwake!? natumia NALA sana kutuma pesa Tz kwa familia kutoka huku Scotland

  • @dareplatform8784
    @dareplatform8784 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu anae andika title ni nan😂😂😂😂 uwezekaji ?????!!!!!

  • @damsonwilson5202
    @damsonwilson5202 14 วันที่ผ่านมา

    Huyu kijana Nakuona Niaka ijayo Atakuja kuwa Tajiri no 1 Tanzania Benjamin ni hatari

  • @user-mt6nu5hs8q
    @user-mt6nu5hs8q 14 วันที่ผ่านมา

    Kwahio tz amebaniwa si ndio

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 14 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona una ipromote nala wakati hata tanzania haipo na haifanyi kazi

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 14 วันที่ผ่านมา

    Mimi nipo Germany 🇩🇪 natumia nala kutuma pesa nyumbani ipo fasta mno nikajua mmiliki wake ni m nigeria 🇳🇬 kumbe mtanzania? Na ndomana hua wananitumia text wananiekea na maneno ya kiswahili

    • @PuzzleMc-zp2lg
      @PuzzleMc-zp2lg 14 วันที่ผ่านมา

      Ila mbona wa tz wenyewe sio mtu mweusi 😢

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@PuzzleMc-zp2lgkwani mtu mweusi tu k mm wewe ndio mm mtanzania peke yake, ondosha fikra na mawazo mgando ktk akili yako, hebu isome history ya Tanzania utajuwa ina watu wa aina gani na gani

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 14 วันที่ผ่านมา

    Hongera sana lkn kitu chochote marekani akiwa mshirika wako ujue ataleta matatizo tu hivyo kuwa muangalifu

    • @rebbywealth9869
      @rebbywealth9869 14 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅😅 khaaa. . Small minds mna shida sana

    • @DafiMohamed-dz8xk
      @DafiMohamed-dz8xk 14 วันที่ผ่านมา

      @@rebbywealth9869 mimi small minds lkn nakubali lkn ndio huo ukweli huo wewe c ndio Manager wake

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 13 วันที่ผ่านมา

      Ndugu msichama akiwa mrembo, vijana wa kiume wa karibu wasione uzuri. Kuna shida kijana kumposa?. Hayo mataifa wanasaka fursa. Wakikuta mmezubaa wanachukua. Utasema naandika nini. AI na fursa zake hapa ndani ni kama hatuji ndiyo maana hakuna uwezeshaji wa kitaifa. Hivi vitu vina gharama. Na Kwa sababu hatujali watu kama hao wanakimbiza utajiri kwenye mataifa mengine. Tutasubiri kushangilia tu. Mfano mwingine kuna kampuni ya RADELIFAME unaitwa Skyline and logistics wasafirishaji wa mzigo tz wameanza kutumia, na umesajiliwa nchi 193. Mataifa makubwa na jumuiya za kiuchumi zinaangaika kuwachukuwa. Hapa tz Sina hakika kama tunajuhudi za kuweka mazingira ili nao wasikimbie kama NALA. Hayo mambo ya mifumo makampuni ya ndani kama hayo yanaweza kutengeneza mifumo. Ya kila aina bila kutoka nje

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 14 วันที่ผ่านมา

    Fanandez ni msomali mwenzangu cio

    • @samiraabdimahamed4449
      @samiraabdimahamed4449 14 วันที่ผ่านมา

      Peleka Ushamba mbele , usomali nini umeleta hapa, akili za matakoni 😂 sasa siungeenda Somali, kwa nini uko TZ ??? Kijana amesema yeye ni Mtanzania alafu wewe unakuja kumtafutia kabila😒

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 14 วันที่ผ่านมา +3

    😂😂😂 kijana wa kitanzania harafu tanzania hamna nala😂😂

    • @R1Lifestyle-f6n
      @R1Lifestyle-f6n 14 วันที่ผ่านมา

      sasa hata kama the main digital payment method PAYPAL haiwezi kufanya kazi kwenye hii nchi unataka yeye afanyeje, wakati unasikia aliambiwa na makampuni ya simu makubwa kwamba aachane na hiyo biashara akakaza.. sera za hapa ni ngumu sana, hata Iron Musk kashindwa kuwekeza kwenye StarLink, hatimae kawekeza kenya na huko nchi za kusini, sisi tunaofanya kazi na makampuni ya nje tunaelewa.. hata ukipata pesa nzuri kidogo maswali ni mengi.. acha tu😂😂

    • @iganizarichard8197
      @iganizarichard8197 14 วันที่ผ่านมา +1

      Inafikilisha sana aisee

    • @ShukranMwakyambo
      @ShukranMwakyambo 14 วันที่ผ่านมา

      Nimecheka

    • @ce-08
      @ce-08 14 วันที่ผ่านมา

      Masikio yenu wote hayasikii msikilizeni tena alichosema Fred Bundara alishajaribu Tz
      alaf huyo ni mfanya biashara sio tu unaweka Tz kisa kwenu je itakulipa au utaendesha kwa hasara mbona Kuna baadhi ya watu wanamahotel makubwa dar na wengine had nje ya nchi unahis walishindwa kufanya kwenye mikoa waliyotokea au kuzaliwa wameangalia kwanza faida wap watakuwa na soko maana unaweza ukafungua kwenu na biashara ikafa kwa kukosoa wateja au wateja kuwa wachache alafu gharama za uendeshaji zikawa kubwa ikawa ni sawa na kujaza maji kwenye tenga😅

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@iganizarichard8197Ni mtanzania kweli ila kampuni kaisajili Kenya maana aliona bongo longolongo nyingi aliona(kiufupi sheria zetu sio rafiki sana)

  • @Mr-GMB
    @Mr-GMB 14 วันที่ผ่านมา

    Ofisi ziko wapi hapa Tanzania?

    • @salvadorfx
      @salvadorfx 14 วันที่ผ่านมา +1

      Ofisi za Nala zipo Nairobi 🤣Tz walileta ungese

    • @Mr-GMB
      @Mr-GMB 13 วันที่ผ่านมา

      @@salvadorfx aisee

    • @salvadorfx
      @salvadorfx 13 วันที่ผ่านมา

      ndio nchi yetu hio 😂 Kuna interest binafsi sana

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 13 วันที่ผ่านมา

      Wakati mwingine sio interest, ni uelewa uko chini. Kuna chimbo unaweza liona ukajiuliza kwa nini tunazubaa, baadae tunatukanana tu. App ya tz nyingine inayotikisa duniani ni Skyline and logistics. Hivi vitu Mungu anatupa vitusadie. Hajabu tuna tabia ya kuchelewa.

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kijana anapambana kukuza biashara huku vijana wanakunjwa pombe kali na kubashiri michezo wakitoka hapo wanaenda kuvhukua mafuta ya upako na reso.godbesss

    • @wazarendotv7966
      @wazarendotv7966 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @wazarendotv7966
      @wazarendotv7966 14 วันที่ผ่านมา

      Umenichekesha snaa 😂😂

    • @user-dg7wf6fg2j
      @user-dg7wf6fg2j 14 วันที่ผ่านมา

      @@wazarendotv7966 ndio ukweli vijana wamechoka wanamka wanakula kande harafu wanashusha viroba matajiri watatuacha mbali sisi tukajaze fomu kwa manabii wa michongo

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 14 วันที่ผ่านมา

      Hata china, vijana wanakunywa. Shida ni wabunifu wetu kutowapa uwezeshaji. Na kutoona bunifu zao ni uchumi wetu sote. Huyo kijana ukumbuke alishasema, kwamba hapa nyumbani alikutana figisu. Hivyo kampuni yake si ajabu hati miliki ya huo mfumo. Kafanyia taifa jingine. Tuliona kampuni nyingine ya Tz kule Al Jazeera, ikipewa sifa ya ugunduzi wa mfumo wa robot kujifunza au adaptive learning. Pia wametengeneza mfumo wa skyline and logistics. Unarasisha usafirishaji wa mzigo, nchi kavu, makini na nchi kavu. Na wanaunganisha huo mfumo kutumika nchi 193 duniani. Huduma yao inapatikana kiganjani. Pengine kwa nini wanajulikana kwenye vyombo vya kimataifa sisi hapa hatujui? Kama ni kampuni iliyossjiliwa tz, itavuna pesa ya kigeni kuleta tz kiasi gani? Sisi kama taifa tunafanya nini kuhakikisha, lengo la kuleta utajiri nyumbani tz linafikiwa?

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 13 วันที่ผ่านมา

      Adoption category ya jamii inaonyesha wabunifu ni chini ya Asilimia mbili. Vijana hawawezi kuwa na ubunifu kama NALA. Ila ubunifu huo wa NALA inatakiwa utumiwe kuzalisha ajira mamilioni. Changamoto si vijana kuelewa. Kuelewa ni kiashiria cha tatizo. Mfano NALA mfano alifanya tz ndiyo makao makuu ya kampuni yake, pesa itakusanywa kote huko duniani na kuja ndani. Ikifika ndani itawekezwa kwenye vitega uchumi vingine ajira za hao vijana zitapatikana. Tutajikuta tunabadilisha jina kutoka walevi kwenda wanywaji. Analysis nzuri NALA itatoa ajira ngapi, kodi kiasi gani?. Changamoto zipi zinazo kabili sekta hii, ili huu utajiri wtz wenzentu wakimbizie nje. AI duniani inaenda kwa kasi sana. Hapa Ziko changamoto zipi za ki sera?. Tunaweza kupunguza vijana walevi kwa kuwawezesha kujishughulisha na fursa zilizopo. Sio mtindo huu. Ambao mtu uchukua mti mrefu au fimbo ndefu kugeuzia au kusukumia mzogo. Tatizo la vijana si lao wenyewe kwa kiasi kikubwa. Sisi tunajikataa mfano hai ni huo. Kitabu. The ecomoc of Trust. Kuna neno wivu ukiwa utamaduni wa taifa mmmm