UNIPONYE ROHO YANGU - J.D. MKOMAGU (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Karibu Kutizama wimbo huu unaotukumbusha kufanya toba hasa katika kipindi hiki cha kwaresma ili tupate uponyaji wa roho zetu.
Wimbo: Uniponye Roho Yangu. By J.D.Mkomagu
Waimbaji:Trizah Matu Ft Jackline Kazimoto & Martin Mulokozi
Production:Stan Productions
Organist:S.Mlay
Video Directors:S.Mlay & P.Mndeme
#uniponyerohoyangu #kwaresma #stanproductions #rajoproductions #kwayakatoliki #gospelmusic #gospel #kenyagospel
Wow. The voices 🔥The instrumentals 🎧🔥 and the location 🔥 the last verse duet🔥🏞️Well done
Yaaani. Thank you so much🙏🙏🙏🙏
I appreciate the way you have paid attention to every bit of the song. Ubarikiwe 🙏 🙏
Hapo mwisho kweli mambo ni moto 🎉,,, Roho inapona kabisa😊
@@trizahmatumost welcome
@@muleialexander7181Amina
Good job trizza the verse for ❤❤❤ lit🎉
Uniponye eeeh bwana Kwa maana sisi tumetenda dhambi
😢 Unippnye Roho yangu ee Bwana kwa maana nimekutenda dhambi 🙏 Congrats dear kwa kazi nzuri👏👏
Congratulations to you too. Hatungeweza kufanikiwa bila mkono wako🥰🥰🥰🥰🥰🥰
@@trizahmatu❤❤❤❤
Uniponye roho yangu maana nimekutenda dhambi🙏.....You bless me gal; thank you for this💜
Oh my. Thank you ❤️ 😊 🙏
Ubarikiwe sana, Bee💜💜
Weuweee... Everything about this is just amazing. Waoooo...
Keep it up Trizah. The Voice is Angelic
Thank you so much, The Pebris. Mungu awabariki saba na kuwainua 🥰🥰🥰
What a song!keep inspiring us
Shukran sana. I'm glad you have been blessed 🙌
Congratulations trizah
Thank you, dear 😘 💕
👏👏👏👏 nice work
Thank you so much ❤️ 🙏🙏
Safi sana dear. Well done.
Thank you, dear 😘 💕
Congratulations 🎉. Nimebarikiwa mno. Shairi la mwisho nimelipenda zaid. Be blessed.
Aisee. Shukran saaaana. Nafurahi kwamba umependezwa na hilo shairi.
Ubarikiwe 🙏🙏🙏
Kazi tamu sana Trizah na team yote. Beautiful composition by J D Mkomagu, perfect mood for lent season🎉🎉🎉🎉
💜💜💜💜💜💜 hii imenigusa. Thank you Sauti Tamu Melodies
You know how to pick em..... What a wonderful song....so solemn I'm 😭😭😭
💜💜💜💜 thaaaanks love.
I'm glad you love it so. With you as my singing partner, what other taste could I have??
Adui wanasema atakufa lini😢aisee ujumbe mzuri sana hongera Sana rafiki yangu trizah Jack na mdogo wangu from another mother.. hongera stan kwa production nzuri hongera Sana
Haya kaka angu mpendwa ❤❤❤
Aiseee, Asante sana Lau. Mungu akubariki 🙏 ♥️
..Adui zangu wananisema kwa maneno mabaya ,wanasema atakufa lini jina lake likapotea😢 💜💜kazi safi Trizah this is perfectly done ❤
Shukran sana aisee 🙏🙏🙏🙏
Triza and team...this is job well done. You've set the mood of the season.
Thank you so much, Martin🥰🥰🥰
Uniponye Roho Yangu eeh Bwana💜💜🙏🙏,Good job Tri and your Team
Ghuuurl. Thank you so much🥰🥰🥰
You are a sweetheart ❤️ ♥️
Utunzi mzuri, umeimbwa vizuri sana na watu mahili kuendana na lengo la utunzi. Zaidi, upande wa vyombo amefanya vizuri sana bila kutia kelele nyingi, ame-improvise congruently! Hongera sana team
Aiseee, tunashukuru kwa umakini wako na tumejifunza pia. Ubarikiwe 🙏🙏🙏🙏
Gooood job sauti tamu sana wimbo uko perfect mmenikumbusha mbali sana bmm yombo vituka tukiwa na Steve limilah
Aiseeee. Steve Limilah🥲🥲🥲🥲. Mungu amlaze pema. BMM Vituksa nawapenda sana na nyimbo zenu, kuanzia Moyo Wangu, Macho Yangu, Kesheni, Baba Mikononi Mwako, Msamaha na zingine
👏🏼👏🏼👏🏼
Shukran sana
Asante sana 🙏
Good song ...hongera❤
Shukran sana. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏 🙏
The finishing part amazes me most perfectly done
Wow. Thank you so much 😊 💓
This is so so beautiful🔥🔥🔥🥹🥹❤️
My gal🥰🥰🥰🥰🥰🥰
God bless you. Your support is immense💜💜
Wimbo mzur sana ❤❤❤
Shukran sana rafikiangu 💜💜💜
Nimeurudia mara kumi
Hongera sana Trizah kazi nzuri sana katika utulivu wa ndani kabisa tunapata tafakari adhimu inayotusogeza nafsi zetu kwake Muumbaji wetu 😘😍
Amiiiiina. Asante sana dadangu.💜💜💜 Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
The voice is great as always. The setting and outfit are great. Hao maadui watangoja sana😂😂
Thank you...watasubiri sana maana Mungu atatuhifadhi hai🥰🥰🥰
Good job 😊
Thank you so much ❤️
Kazi safi Trizah. ❤ Your selection of songs is on another level
Thank you ❤️ 😊
Tunamshukuru Mungu kwa yote. Be blessed ♥️ 🙌
Hongereni sana.........mmenikumbisha kitambo sana, Aloyce Gonzaga -Kigamboni....sauti nzuri, antie Jacky KAZI.
Asante sana Uncle 😊❤❤
Shukran sana. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏 🙏
Congratulations 🎉🎉🎉 ❤️ 👏 darling
Thank you so much dear 💜💜💜💜💜
"Adui zangu wananisema kwa maneno mabaya ....wanasema atakufa lini jina lake likapotea" ....a million thoughts on this ....this is soooo wonderful dear friends ❤️ ♥️ napenda sana tafakari ya huu wimbo.
Aiseee. Ni furaha yangu kwamba wimbo umekutafakarisha na kukubariki. Shukran 🙏 🙏 🙏 🙏
moto kama pasi Triza
Shukran sana 🙏
Uniponye roho yangu Ee Bwana kwa maana mimi nimekutenda dhambi
❤❤❤ Harmony iko another level congratulations sweetie and your team 🙏
Amiiina. Shukran kwa kutazama na kucomment 🥰
Thank you for sharing this very beautiful piece with us Trizah 🙏
Thank you 😊😊
Naona naija movie ikianza, nice artistry ❤❤
😁😁😁😁
Shukran, John 🙏 🙏 🙏
💜🥺love the flutework in the beginning
Beautiful message✨
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 thank you.
You're so musical. I love the kind of things you love😁❤️
Honestly this song is well done ✅... Sauti zimetulia tuli👌 hii soprano ni ya kumtoa nyoka pangoni, big up Trizah... Video, venue ziko perfect sana.. above all message ituguse na Mungu aziponye nafsi zetu sote. Amina
Thank you so much. Ni furaha yangu kwamba wimbo umekubariki 🙏🙏🙏
Mlokozi eeh Heshima Ni Kubwa Umewapa Kampani Tamu Sana. Nimependa Hiyo Kolbo ..Hongereni thanaa
Aisee. Shukran sana. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Wow! All the way from TikTok
... you got a great voice ❤
Thank you so much ❤️ 💛 💖
Be blessed 🙌
I love this!! You never disappoint Trizah. You just know how to deliver. Ni tamu sana. The duet is on another point. You twinned so well with Jackie❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤
Oh my. Thank you so much ❤️ 💓 💗 💛
I'm so glad umeupenda🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Now this is Catholic Music at its best. Beautiful piece, beautifully executed, amazing location and it’s another masterpiece from your locker❤…. Keep going ❤🎉❤
Wooiw, I'm honoured. 🙏🙏🙏
T hank you!🥰🥰
Safi sana💜💜🔥🔥🙏🙏🙏
💜💜💜💜💜💜 your support.
You're simply too nice. May God bless you
@@trizahmatu thanks 😊❤
Trizah this is so encouraging
Thank you, Max 🙏 💛
Hongeren sana Kwa kazi nzuri Wadogo zangu Mungu awainue zaidi Mkue zaidi katk kumwimbia. Uniponye Roho yangu Ee Bwana.
Amina, asante Dada ❤
Amina Despina. Umekuwa mfano na kielelezo bora 🥰🥰
You always have right choices of nice songs and legendary composers... and your voice completes their works. Hongera Trizah..nice job.👍👍👏👏👏
Ameeeen. We thank God.
I'm so glad that you love the song🥰🥰🥰
Hongera dadangu kazi safi sana ❤❤❤❤❤
💜💜💜💜💜💜 Abel.
Ubarikiwe 🥰🥰
❤. Awesome work team.
Love how your voice soars Trizah.
Awesome piece.
Thank you so much. Be blessed ♥️ 🙌
Wimbo mtamu sanaa we make Old music alive❤❤
Amiiina. Shukran sana🙏🙏🙏🙏
Wimbo mzuri sana kwa toba.Hongera sana
Shukran sana rafikiangu 🙏🙏
Amazing works Triza and team. Congratulations
Thank you, Riqs. I appreciate this 🙏 ❤️
Kazi safi dada Triza 🎉
Thank you Elsie. I appreciate this 🙏 ❤️
Huyo soprano Mungu amembariki sauti. Kazi nzuri sana
Amina. Shukran sana. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏 🙏
Wueeh the last part of the song
❤️❤️❤️🎉
Everything is dope congratulations triza🎈
Shukran sana. Nafurahi umebarikiwa. It's my favourite too, hiyo last part 🥰🥰🥰🥰
❤❤❤
Thank you so much ❤️
Very very nice💜💜uniponye roho yangu Ee Bwana🙏
Kazi nzuri dada Triza👏👏👏
Thank you so much Chellah. Barikiwa 🥰🥰🥰🥰🥰
wow! Keep going at it Trizah! Dont give up. I am here waiting for the next one. 👏
Ameeeen. Thank you ❤️ 😊 🙏
Trizah congratulations
Thank you so much ❤️
You've gotten another alto to the sop❤ beautiful beautiful music to my ears! Beautiful!
Thank you, Gaya. 🙏
I appreciate this greatly❤️
Congratulations Triza🎉🎉be blessed as you bless us musically 🙏🙏
Ameeeen. Ubarikiwe sana mtumishi 🙏🙏
Nice piece 👏👏👏👏👏🎉🎉🎉
Thank you James🙏🙏🙏
@@trizahmatu pongezi keep up the spirit
Good work watu wangu
Thank you so much, James ❤️
Kuanzia kwenye Mariam Bikra, ile ya Mwarabu, basi hata leo nafuatilia kazi zako, na ninamuona hapa Jackline...Just amazing
Aisee. Ubarikiwe sana. I appreciate your support 🙏 ❤️
Niponye roho yangu we Bwana.... congratulations dear.🎉🎉🎉🎉...Mungu tu
Amiiiina. Shukran sana🥰🥰🥰
Good job sisy❤❤❤🎉
You are the best🥰🥰🥰🥰
Hongera sana
Shukran sana 🙏
Congratulations for a sweet song that has certainly touched my soul, may God continue to lift you up.🥰😍🥰
I'm glad umeupenda. Shukran sana🥰🥰🥰
Such a beautiful song Triza and your team, I love it.
Thank you so much ❤️💗
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ keep praise on the lord blessings.....
Heri amkumbukaye mnyonge inatachoma moyon sana hilo neno.......❤❤❤
Shukran sana. Nitazidi 😊😊😊
Beautiful ❤
Thank you ❤️ 😊
Hongeren sana wimbo mzuri mnooo🎉🎉
Shukran sana 🙏
Moto kama pasii❤
Shukran 🥰🥰🥰
Blessings, 🎉🎉
Ameeen. Be blessed ♥️ 🙌
Kazi nzuri sana
Thank you so much ❤️
Good wana wa Mungu!
Amina. Shukran sana Valence🥰🥰🥰
Beautiful, uniponye moyo wangu wonderful dear congrats.
Thank you so much ❤️ 💓
Hongereni kwa Kazi nzr🎉
Shukran sana 🥰🥰🥰
This is amazing
Thank you, Counsel 🙏 💓
Great work great minds ❤❤❤.. Keep it up darling.. You sing well
Thank you, Frank 🙏
Uniponye roho yangu ee Bwana ❤❤❤hongera sana triza and you're team
Shukran sana 🥰🥰🥰🥰
Lovely ❤❤❤
Thank you so much ❤️
Kazi kuntu mno. ❤❤🎉❤❤❤🎉❤❤
Always growing
Thank you so much, Dan ❤️❤️❤️ 💖
You've always had the best choice of songs,,, amazing work Trizah, and to the whole team,, congratulations dear ❤️
Thank you so much!! 🥰🥰🥰🥰
WOW. So powerful message. congratulations trizah
Thank you so much, Catherine ❤️
Kazi safi Matu🔥🔥
Thank you, Winnie☺️☺️
Well done ...safi
Shukran sana🥰🥰
🎉🎉🎉🎉super performance❤
Asante sana Bensteve🙏🙏🙏🙏
Hongera sana umeutendea haki wimbo 🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana,mungu awabariki sana tukttane Githurai ukunywe soda ❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana 🥰🥰🥰🥰
We're you there?😀😀 I hope ulibarikiwa
Two of my favorite ladies🔥💜💜💜💜I love everything about this song. The vocals, the view, the attires, the audio, the video✨ And the guy's voice is amazing too✅Go go girl🙌❤
Oh, Tabitha. Thank you so much for your overwhelming support. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏 🙏
Hongera sanaa❤
🙏🙏🙏🙏🙏 shukran sana
All beutiful.. sauti zimenyoooka kabisaa. Nimependezwa na Kila kitu.
❤🎉
Thank you so much gal 🥰🥰🥰🥰
This is Soo beautiful Triza. Keep on the good work.
Thank you so much! 🥰🥰🥰
So nicely ✅ done
Thank you so much🥰🥰🥰
Great one Triza , *athimwai*
Shukran. Amina. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Smart always❤️❤️sauti nyororo🎉
Amiina. Be blessed ♥️ 🙌
Congratulations
Asante sana 🙏
Hongera sana Dada Triza unaimba kama Mimi Sauti 🔥🔥
Asante sana kaka. Ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Oh nooo Moreen it's you again hongera kwenu,huyu msichana met her in town very humble lady jinsi ninavyo muombeaga mungu...marsabit people loves you
🥰🥰🥰🥰🥰 asante sana. Ubarikiwe 🙏 🙏
Nadhani umekosea jina kidogo. Hapa kuna Jackie na Trizah.
🙏🏾
🥰🥰🥰 shukran
Daaaah. Hongera sana 🎉🎉🎉
Shukran sana 🙏 🙏
Congratulations babe triza Mungu aponye roho zetu 🎉🎉🎉🎉🎉🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amina. Asante sana kwa support 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰