HISTORIA YA MAISHA YA BERNARD MUKASA - MAISHA NA MUZIKI S01EP04 - PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
    Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
    Instagram: / jugo_media
    Facebook: / jugomedia2019
    Mawasiliano:
    JUGO MEDIA,
    Sokoine Drive, Posta
    P. O. BOX 34014,
    Dar es Salaam.
    For Bookings and other Enquiries
    Phone Number +255757560764/657790405
    #jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa

ความคิดเห็น • 30

  • @furahaburomo3999
    @furahaburomo3999 3 ปีที่แล้ว +4

    Nakumbuka nilikuwa napambana naye darasani shule ya msingi, nikimpita matokeo analia sana. Nampenda sana kakangu huyu tuliheshimiana na kushirikiana mambo mengi. By then mi nilenda Rugambwa sec ndo tulitengana. Pole na matokeo na hongera kwa hapo ulipofikia biblia inatuambia tushukuru kwa kila jambo

  • @matildersendwa9858
    @matildersendwa9858 3 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa sana baba yangu..😘😘😘😘

    • @anthonynziokikimeu6023
      @anthonynziokikimeu6023 3 ปีที่แล้ว

      Mtunze vyema mwalimu wa mziki nimpendaye zaidi.......the family and art ... Wow, I envy u. God bless u too my sister and the family

  • @charlesbishirangonga4057
    @charlesbishirangonga4057 11 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana,sasa kwaya kazini nzuri anayo hoji na anaye hojiwa. Ushauri wangu siku nyingine unapo muhoji mtu ataje/seme mwaka wa matukio .

  • @nicolausdandagala6201
    @nicolausdandagala6201 3 ปีที่แล้ว +4

    Safi Sana mwalimu mahili wa mziki mtakatifu familia nzima ni mfano wakuigwa jmn bila kupingwa!!!

  • @SirJames065
    @SirJames065 3 ปีที่แล้ว +4

    Asante sana jugo media kwa kumleta mwalimu nimpendaye Bw Mukasa...nyimbo zake huwa zinanibariki sana..

  • @danieldotto3877
    @danieldotto3877 3 ปีที่แล้ว +4

    waaow nzur sana Baba...Keep moving kiongoz mzur na mzalendo 👏🤝💪

  • @dallydominick4356
    @dallydominick4356 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu azidi kumbariki mwl Mukasa

  • @mumyhendry2919
    @mumyhendry2919 3 ปีที่แล้ว +3

    Waoooow!!! I love your Family haki😘😘😘
    Mungu ailinde na aitunze daima mdumu katika Upendo huo huo!!!🙏🙏🙏

  • @emmanueldkulwa1824
    @emmanueldkulwa1824 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azidi kukutunza mkuu, wewe na familia yako kwa ujumla....!! Hakika ni tunu njema kwa Kanisa Katoliki!!

  • @happinessjacob2512
    @happinessjacob2512 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah naipenda sana hii familia,mungu awabariki.

  • @michaelkithembe
    @michaelkithembe 2 ปีที่แล้ว

    I'm watching this video once again today and I'm Imagining what transpired in Mukasa's mind when composing 'TOA'.Mungu azidi kumbariki Mukasa,nafurahia Tunzi zake nyingi sana kwa kuziskiza na kuziimba...alot of love from Kenya

  • @annunciatafrancis9748
    @annunciatafrancis9748 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen Mr Mukasa

  • @yesunimwema4497
    @yesunimwema4497 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow wow mungu azidi kuwalinda na mzidi kutulea kiimani kupitia mziki mtakatifu nawapenda sana,kutoka Burundi 🇧🇮

  • @kapendalubowa534
    @kapendalubowa534 3 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Mwl Ben Mkasa,Binti zangu wadogo wanaupenda Sana kuuimba wimbo wako wa Utambi Mchafu.Ubarikiwe na Familia yako.

  • @kevinmadinda3576
    @kevinmadinda3576 3 ปีที่แล้ว

    Hii chanel waaminifu baada ya mke wake tuliomba wamlete mukasa na kweli wamememleta safi sana mwandishi.

  • @patrickmkambilwa9932
    @patrickmkambilwa9932 3 ปีที่แล้ว

    Asante sana mwalimu wetu bernard mukasa Mungu akubariki siku zote zamaisha yako pia akujalie nguvu za roho mtakatifu ili upate kumtumikia siku zote zamaisha yako amina

  • @kevinmadinda3576
    @kevinmadinda3576 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana nilikuwa napenda nisikie huyu mkasa,nani kama mkasa nyimbo nyng katunga hakna asiejua umhimu wa mkasa so hongera sana mkuu(mimina neema)

  • @anthonynziokikimeu6023
    @anthonynziokikimeu6023 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda mwalimu mukasa Sana ....his music inspires me I'd wish to meet the guy for a few tips in music

  • @toma634
    @toma634 3 ปีที่แล้ว

    jaman nawapenda sana mmmh nataman hata sk niwaone nipige na nyinyi picha ila ndo nipo nje ya nch nikilud nitawatafuta Mungu awabarik sana tena sana

  • @henrymwanje6254
    @henrymwanje6254 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Baba wa mziki

  • @ceciliaathanas751
    @ceciliaathanas751 3 ปีที่แล้ว

    Binafsi naupenda sana wimbo wake wa Ni Mungu Mkuu

  • @muzikimtamumtakatifu897
    @muzikimtamumtakatifu897 ปีที่แล้ว +1

    Suala la walimu hapo umegusa sana

  • @deogratiasmashimbi2281
    @deogratiasmashimbi2281 2 ปีที่แล้ว

    Mwendashaji wa mahojiano: Ni vema mtu anaposimulia historia yake, ataje na miaka ya hayo matukio anayoyasema. Vinginevyo haiwi historia, bali mtiririko tu wa matukio.

  • @imeldasanga1830
    @imeldasanga1830 3 ปีที่แล้ว

    Nazipenda kazi zake

  • @charlesshirorero4935
    @charlesshirorero4935 3 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi MUNGU akujalie ukae miaka mingi

  • @kevinmadinda3576
    @kevinmadinda3576 3 ปีที่แล้ว

    Ila albamu ya mimina neema uliitengeza vzr mno kila siku lazima nisikilize Nusu kwa nusu,wewe ni Mungu kila wakati n.k

  • @gamgangweesechota3589
    @gamgangweesechota3589 3 ปีที่แล้ว

    Ahhhh mwalimu wewe jaman Mungu azidi kukutunza

  • @ZilipendwaTanzania
    @ZilipendwaTanzania 3 ปีที่แล้ว

    Naomba kujua wimbo wake wa wema mkamilifu nitaupataje? Au upo kwenye album ipi nikanunue??