This songs of our mother mary, they always courage whenever am down, lonely, stressed, zinanirudisha uhai, barikiwa sana brother Lawrence, ray, f.m.shimanyi, not forgetting our big brother benard mukasa and his family, and all singers in tz, proud being a catholic, much love from Kenya currently in Saudi Arabia
Hongereni Sana. St Martin De porres choir I know hatua hiyo kubwa kwa Ukubwa wenu. Mnakuja poa sanaa. Mmefanya kikubwa. Hongera Sana Mwl Erick kessy hapo ulipofika kwa hiyo composition . Nafahamu tulikotoka Sina budi kukunyooshea mikono juu na kumshukuru mungu msalimie Shem pia. 🙌🙌🙌
When Hardwork, Talent, Passion, Creativity And Godly Blessings Are Given Form, Kaka Good work As Always 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 🔥🔥🔥🔥Geraaaaaadeeeeee Na Huyo Iris Wake 😁😁😁😁 #Brother 👊🏾
Am so proud of you bro Lawrence Kameja kazi unayo ifanya waifanya Kwa huaminifu na umakinifu Mungu na abariki kazi yako nzuri na akupe nguvu kufanya zaidi 🙏🙏Kwa iris empire hii kazi yapendeza kweli👌basi mzidi kufanya hii kazi nzuri na mtaona matokeo mema.
TUMWIMBIE BWANA.Hongereni sana kwa kazi nzuri ni wimbo mzuri sana ambao unatuinjilisha sote Tunaitwa sote tununue bila thamani kristo yupo kwake vyote vyapatikana bure basi njooni nyote. Tunaitwa pia kumtumikia Mungu kwa Ibada na unyenyekevu kwake .MTAFUTENI BWANA MAADAM ANAPATIKANA .Mbalikiwe mno kwa kutuinjilisha ASANTENI 💒
Wow mmeimba vizur sana mungu awalinde
Super wandu mumependeza sana mungu awa bariki❤❤
kazi nzuri mmbarikiwe sana
Hongereni wote by j mungu awabariki❤❤
❤❤❤ nawapends
Kuna wanangu siwaoni hapa😂❤
Asanteni sana kwa uinjlishaji na mafanikio mliyoyafikia,big up sana kameja
Asante sana...🙏🏼 Tunaamini kwa sala na maombi yenu tutafanya makubwa zaidi ya haya
Congratulation laurence kameja
Congratulation kameja
hongera. umebuniwa vizur. makirikiri imetulia..!
🙏🙏🙏
Hongereni sana kwa uinjilishaji. Mungu awabariki. Kazi nzuri sana
Asante sana barikiwa 🙏
The song is soul touching
Nyimbo nzuri sana
Thanks much 🙏
Nafsi zetu zimeshibishwa kwa unono 🔥🔥🔥
💥💥💥
🔥🔥👌👌
Hongereni sana Familia yangu St Martin Depores BMC. Karama na elimu..........Tutafika tu....🔥
Asante sana kaka Asante kwa kutembea nasi Barikiwa🙏
Aminaa Dr Kelvin
@@dianaraymond5170 namiwapenda bure
HOngerasan
Kazi nzuri sana. Hongereni sana. Mzidi kubarikiwa
What a talent!, whenever I meet song ya kameja lazima nidownloard👏👏👏💕💕💕
Thank you so much for your timely support 🙏🏼
Aiseee yaani nyimboo haichoshi kiukweli Mbarikiwe sana nyote
Amina barikiwa pia
Mtu mbayaaa😂😂😂
Pongezi zangu ziwaendee nyote mlioshirikiana kufanikisha wimbi huu kiukweli mmetisha sana" Mungu awabariki sana.
Amina sana. Barikiwa pia 🙏
Hongereni sana kazi nzur mbarikiwe
Amen imenibariki
Nyimbo nzuri
Wimbo bora kabisa wa kufungulia mwaka 2023 , natamani vijana wengine tupote ujumbe uliomo humu
😁
Woooow🔥🔥 wimbo mzur Sana tumebarikiwa Sana,wanakwaya adi mbinguni tutaimba . Hongereni sana st. Martin de porres choir
Asante sana barikiwa 🙏
Kazi nzuri
Hongereni sana kwa kazi nzuri mbarikiwe sana kwa majitoleo hayo ya kufikisha ujumbe wa Mungu kwa njia ya kuimba.
Hongera saana Wana De Porres mmemtendea vyema Mungu azidi kuwabariki mzidi kufanikiwa ktk utume wenu
Wimbo mzuri kweli jaman sichoki kuusikiliza ikipendezwa wanakwaya naomba nakara tuzid kumtukuza Mungu maana niwa communio naomba saana nipate nakara
Mara baada ya uzinduzi wa album tutauweka swahilimusicnotes Karibu🙏
Asante mnazindua lini jaman
Mapema mwezi wa nne
@Francis Kameja banaee,,sauti unayo tena tulivu mno. Heko kwa kazi nzuri. Mzidi kubarikiwa.
Amina barikiwa pia 🙏
Asante sana kaka ubarikiwe
@@lawrencekameja9730 shukran sufufu
Hongereni sanaaa kazi Ni nzuri Mungu awabariki🙏
Amina barikiwa zaidi 🙏
This songs of our mother mary, they always courage whenever am down, lonely, stressed, zinanirudisha uhai, barikiwa sana brother Lawrence, ray, f.m.shimanyi, not forgetting our big brother benard mukasa and his family, and all singers in tz, proud being a catholic, much love from Kenya currently in Saudi Arabia
Much love from Tanzania ❤️❤️❤️
Kazi nzuri vijana
Asante sana🙏
Tutakuja aisee maana mm nna kiu Sanaa 😅😅Hongereni Sanaa Madaktqri wetu
Karibu sana😁
Wimbo unainua moyo kwa MUNGU. Safi sana na MUNGU awabariki kwa utume huu Mtakatifu. Nimefurahi Sista wetu Dominika Mbuligwe OSB naye kashiriki.
Amina karibu sana😅
Hongerani sana
Asante
So nice 🥰 🔥tumebarikiwa sana ♥️hongereni sanaa
Asante endelea kubarikiwa
Song 🎵 ❤❤🔥🔥🔥🔥
Wow🥰🥰🥰Kwaya yangu mmejua kunifurahisha. Hongera sana kwa kazi nzuri
Mm ni graduate wa bpharm 2020 at CUHAS niko very proud na hii kwaya
😁😁thanks much
Saf sana deporres
Thanks
Nyie mwenzenu nimeangalia mara 20 bila kuchoka such a blessing 🥰🥰
Utunzi umekutana na uimbaji bora na ubunifu wa hali juu Hongereni sana 🙏🙏
😅😅😅Asante sana endelea kubarikiwa
@@SMDPcuhasbugando Amina nasubiri hizo nyingine 🤗
Jamani Lawrence kanikosha kuliko maelezo jamani hongereni sana. Jamani namkubali sana Lawrence Kameja pamoja na Ray Ufunguo
Hongereni Sana.
St Martin De porres choir I know hatua hiyo kubwa kwa Ukubwa wenu. Mnakuja poa sanaa.
Mmefanya kikubwa.
Hongera Sana Mwl Erick kessy hapo ulipofika kwa hiyo composition .
Nafahamu tulikotoka Sina budi kukunyooshea mikono juu na kumshukuru mungu msalimie Shem pia. 🙌🙌🙌
Asante sana kaka endelea kubarikiwa 🙏
Raha sana kuwa mkatoliki🙏🙏🙏🙏🙏
Wow... A marvelous work... Pongezi nyingi...
Mungu mwema namuomba awabariki...
Asante sana kaka barikiwa pia🙏
hongera sana Team Bugando
Asante sana 🙏
Safi sana mmependeza na mmeimba vizuri sana ❤❤❤❤⛪⛪⛪⛪
Asante sana barikiwa
ameyzing...👏👏 mbarikiweee @ Anthony 👏👏
Asante sana barikiwa pia🙏
Wimbo mzuri sana Hongereni wanaMartin De Pores Bugando Mungu awabariki na kuwainua
Amina🙏
Kazi nzuri sana sooo wowwww🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Wimbo mzuri saaana
Congratulations for the good work 🙏🙏may the Lord bless you in your evangelization
Kameja understands and takes his assignment seriously 🔥
💥💥💥
Nimewakubali
Wow ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Njooni on another level
Endelea kubarikiwa😀🙏🏼
Hongereni familia ya Martine wa pores.
Mungu awe nanyi daima
Amina🙏
Awesome 🔥🔥... Kameja we see you there👏🏿
😅tell a friend to tell a friend
Yeah nipo
Hongereni sana, wimbo mzuri sana, creativity juu
Asante sana barikiwa 🙏
Hongereni sana mnaimba kweli karibuni nyasaka.
Asante sana sana😅🙏🏼
Safi sana kitu kizuri ndugu
Asante sana
congratulations to use en I am happy so much big up more my lovely young Anthony makandi 😘I love u all
Wimbo waleta amani sana moyoni
Endelea kubarikiwa 🙏
Naupenda mnoooo.....,.. my favorite song ❤
🔥endelea kubarikiwa
Wow super hot 🔥🔥🔥🔥 blessed 💗 beautiful voices ❤️
Thank you
When Hardwork, Talent, Passion, Creativity And Godly Blessings Are Given Form, Kaka Good work As Always 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 🔥🔥🔥🔥Geraaaaaadeeeeee Na Huyo Iris Wake 😁😁😁😁 #Brother 👊🏾
Thank you so much 😀
My brother 🙏🏾🙏🏾😁🔥🔥🔥
Great job! Bugando.
MUNGU apewe SIFA NA UTUKUFU.
Yote kwa sifa na utukufu wake. Endelea kubarikiwa na maneno haya kutoka Isaya 55
Waooo hongera kwa kazi nzuri
Asante sana 🙏
Hongereni sana ndugu zangu mnaupiga mwingi 👌👌 nimewamic 😘
Asante sana 🙏🏼 Atukuzwe Mungu milele
Amina sana Mwenyezi Mungu awajaalie mafanikio katika shughuli zenu
Wow amazing 😍😍👏
Thank you! Cheers!
Wow wonderful song❤❤❤
Thanks a lot 🙏🏼
Kazi ni nzuri sana impire mpo juu kama obama
Nice song mbarikiwee watu wa Mungu
Amina barikiwa zaidi
Hongereni sn Wimbo mzuri
Asante sana barikiwa 🙏🏼
Thats my fav catholic artist@lawrence kameja
😁
Asante sana ndugu yangu let's support this
Moto 😍😍 nice one my brother ..#iris empire tz
❤Ann you are the best
Someni
ISAYA 55:1-9
Swafiiiii sana
Asante sana barikiwa🙏
Kaka Kameja never disappoints😍😍😍😍paschal kabonge hongera pia na wale wengine wote ... congratulations to you all...uimbaji mwema
Asante sana🙏
Asante sana dada ubarikiwe sana ni Mungu tu
Amen
Am so proud of you bro Lawrence Kameja kazi unayo ifanya waifanya Kwa huaminifu na umakinifu Mungu na abariki kazi yako nzuri na akupe nguvu kufanya zaidi 🙏🙏Kwa iris empire hii kazi yapendeza kweli👌basi mzidi kufanya hii kazi nzuri na mtaona matokeo mema.
Amina sana🙏
Amen bro be blessed too🙏🙏
Kwakweli huu wimbo ninmnzuri mno. Hautamani kuisha kwakweli
😊endelea kufurahia
Naangalia bila kudownload na siwazi coz kazi ni nzr ahsanteni sn kwa utume huu
Asante sana. Angalia Mara nyingi zaidi😁
I see! Hii masterpiece sio ya nchi hiii
🙏
Wonderful..Barikiwa Sana kwa kazi nzuri unayoifanya Lawrence....hakika umehuimarisha sana uimbaji wa Kenya kwa ubunifu wenu wa kipekee🌟💚🌟💚🌟
Asante sana barikiwa
Amen dada yangu ubarikiwe 🙏
@@lawrencekameja9730 Amina
Hongerini
Hongereni sana wapendwa
Asante sana kaka barikiwa 🙏
Good presentation, congratulations... 👏👏👏, keep the spirit flowing...
Thank you so much
Congratulations. Mbarikiwe sana
Amina🙏
Tumebarikiwa na wimbo😊
Asante sana barikiwa🙏
Amina wimbo mzur
Amina sana barikiwa
From Geita 🔥🔥🔥🔥
Sauti Tamu, Big Up Martine de Pores💯
Asante sana usisahau kusubscribe na kuendelea kuangalia kazi zetu🔥 barikiwa sana🙏🏼
This song is very nice nice voices lewrence kameja💖💖💖💖💖mwaah like the song
Thanks very much
Mtu mbayaaa @claud Kuzenza🤣
TUMWIMBIE BWANA.Hongereni sana kwa kazi nzuri ni wimbo mzuri sana ambao unatuinjilisha sote Tunaitwa sote tununue bila thamani kristo yupo kwake vyote vyapatikana bure basi njooni nyote. Tunaitwa pia kumtumikia Mungu kwa Ibada na unyenyekevu kwake .MTAFUTENI BWANA MAADAM ANAPATIKANA .Mbalikiwe mno kwa kutuinjilisha ASANTENI 💒
Asante zaidi endelea kubarikiwa
Mbarikiwe sana wanakwaya
Amina barikiwa zaidi🙏🏼
Wooow woow Nawapenda SMDP fam❤️ you have done a great job...Mbarikiwe sana
Amina 🙏
Hongera zenu,mie ni mmoja wa wanakwaya walio imba katika kwaya hiyo 2013-16
Oh hongera sana 🙏🏼 tunaendeleza mliyoanzisha
Kessy katisha sana, Magonya ulipo ona hilo gap tumepigwa hahahahahaha, hongera Erik Kessy
WoMWoM🙏🙏🙏🙏
Wooow good job Ray mahali uko akuwezi haribika neno nice voice, nice song 🎶🎶👏👏🙏🙏
This is from iRis Empire
Congratulations Brothers &Sisters in christ 😊,@Nobbis niiteni 😂😂💪💪💪
Thanks much brother🙏
Kaka kaka😂😂😂 ungefanya uje ushibe unono🙌
Hongereni sana . Nam wins Rafiki yangu hapo Anthony Makandi 👏👏👏👏👏
Asante sana Barikiwa 🙏
Hongereni.....
Asante sana 🙏