Miaka Yotte naskiza muhadhara Ila mihadhara yenu Wallhy wabillhy nawaombea na machozi yanitoka Mungu awape nguvu muendelee na tuwe pamoja peponi ,,,,nawapenda sana kwaajili ya Allah
Maasha Allah kwa kazi ya ALLAH.Tunawapenda, tunawaombea kwa daa,wa hizi iwe ndiyo asbabu ya kukutana na Mtukufu wa darja.Mtume MUHAMMAD Swala na Salaam ziwe juu yake .
Waaah mashallah leo kama siku nyingine kuna barkah tele nimefurahi sana mashekhe wetu wawili wamesilimu haki ukristo kwaheri na msikose mashekhe wetu kuendelea na mawaidha kuelimisha mpaka kimewaingia kwelikweli😅😅 Allah awabariki inshallah wote amiin
Maashaallah baarakallah Allahuakbar...wallahi mashekh nawaombea kwa allah awape nguvu na afya njema hakki inatambulika kwa kila anae sikiliza alhamdulillah
Asalaam Aleikum , MashAllah brother Salim and your team you are doing a great work may Allah make it easy for you and your famillies inshAllah . I would advise you to advise those christians to read and understand the bible . If they dont want to become muslims atleast they should understand their book and they will be enlightened , Shukran
Aki uko kama mm kama juzi nilikuwa naangalia tu notification sioni .. na Abbas wa eastligh walikuwa hawajapost😂😂😂 nikiwaona naskia raha especially topic ya sadaka inanimbaba sana
Soma ufunuo 1:5 inasema, tena zitokazo kwa Yesu christo, shahidi aliye mwaminifu, mzaliwa wakwanza wawalio kufa, Na mkuu Wawa falme wa dunia. Yeye atupendaye nakutuosha dhambizetu katika damu yake,
Alingia kanisani wacha kupoteza watu na kuwatoa kwa mungu wao nashanga hao watu wenye unadanganya kama wako na akili kweli coz unaweza ambiwa aje ati yesu alikuwa mwisilamu na unafwata to kama mtu ujiliewi
Inatakiwa waislam wote tu comment na tu like hii chanel ya dawa,,,kama tunampenda Allah na mtume muhmed uisalm usonge mbelle
Kweli kabisa
HujKosea ndugu
Mashaalh. Mungu awalipe
Takbir
Sah mashallah tabbarkallah ❤❤
Yeyote aliye na uelewa, kwamba Mwenyezi Mungu ni mmoja tu. Atasilimu tu Kuwa Mwislamu, Inshaallah. "Hivyo ni vitu vizuri, havihitaji haraka".
Miaka Yotte naskiza muhadhara Ila mihadhara yenu Wallhy wabillhy nawaombea na machozi yanitoka Mungu awape nguvu muendelee na tuwe pamoja peponi ,,,,nawapenda sana kwaajili ya Allah
Mashaallah Mashaallah Tabaraq Rahmani
Mashallah mungu awazidishiye umri na afya kwakazi kubwa mnayo ifanya
Maasha Allah kwa kazi ya ALLAH.Tunawapenda, tunawaombea kwa daa,wa hizi iwe ndiyo asbabu ya kukutana na Mtukufu wa darja.Mtume MUHAMMAD Swala na Salaam ziwe juu yake .
Mashallah mnafanya kazi nzuri sana Allah awakipe leo na kesho akhera
Ma sha Allah tabaraka llah karbu ndugu ktka uislam
mashaalla Allah awafanyie wepes kwakuelimishawat Allah tunamuomb atujalie mwishomwem tukifa tujalie shahad tukif jinalako dutajee
Qassem karibu sana kwa uislamu
Alhamdulilahi!! Nashukuru Allah kwa kunionyesha njia ya haki huu ndio ukristo
Mashaallah
Waaah mashallah leo kama siku nyingine kuna barkah tele nimefurahi sana mashekhe wetu wawili wamesilimu haki ukristo kwaheri na msikose mashekhe wetu kuendelea na mawaidha kuelimisha mpaka kimewaingia kwelikweli😅😅 Allah awabariki inshallah wote amiin
Aameen ameen ameen sote pia wewe Allah akuhifadhi
Mubalikwe mashehe wetu Kwa kazi kubwa munayo Fanya Allah awe nanyi
Maasha Allah.Tunawapenda,tunawaombea ALLAH awakutanishe na kipenz chetu Mtume MUHAMMAD Swala na Salaam ziwe juu yake.
Aameen ameen ameen sote
Ameen
Mashallah..huwa nashangaa how Sheikh wetu anaongea na mtu only a few minutes na anakubali kuwa Muislamu.Mola awajaze kila la kheri.
Mimi pia nilikuwa mkristo nashukuru Allah kwa kunionyesha njia Alhamdulilahi.
Mwenyezi mungu akubariki
Mungu awape nguvu muendele na dawa
Masha Allah shee mungu akupe umuri mrefu I.a
Aameen ameen ameen sote
ALLAH awahifadhi mashekh wetu mnajitihada ALLAH ndo atawalipa
Aameen ameen ameen sote
Ma asha ALLAH, ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR wallillaih , ALLAH amuingoze na afanyie wepesi wa kuijua Dini
Mashaallh may Allah bless you
Maa shaa Allah baraka llahu fiikum,,, Allah awajalie umri mrefu wenye afya
Allah (SWT) Awabariki na atufishe tukiwa Waislamu
Yesu hakutumwa kwako alitumwa kwa waisrail pekeyao wewe hakuhusu yesu hakujuwi wewe wala kabila lako wewe silimu usalimike
Allah awalipe kwa juhudi zenu
Aameen ameen ameen sote
Mashallah Takbir ❤🎉
Allah ukubariki sheikh salim kweli unafanya kazi nzuri
Aameen ameen ameen sote Allah atuhifadhi
Ni TEAM effort.
Barik Allah feekum Team😎😎
Alhamdu LiLah
MASHAALLAH
Alhamdulillah kwa Rehma ya uislamu.
Mashallah
Allahu Akbr
Masha Allah. May Allah bless you guys.
Mabruk.. My favorite Dahwah
Masha Allah
Jazaakallah khayrii ❤
Ukiwa muislam raha sana
Allhamlillh
Assalam aleykum warahmathulah wabaraqathu 💞💞💞💞💞💞
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
MashaAllah
Mungu hawezi kuzaliwa namwanadamu yesu si mwana wa mungu yesu ni mtume wakemungu
Yesu anawakataa wakristo maana yeye simkirusto yeye ni muislamu alikuwa alifundisha kwa masinagogi yao maana misikiti hajafumza makanisani
Yesu alikuwa alisujudu maana alikuwa akisali kwa hekalu alikuwa akipeleka uso chini akimuabudu mungu yeye na wanafunzi wake waliweka nyuso zao chini
Sheikh mwenyewe amejichanganya ..mungu hana wana..!hakuzaa wala hakuzaliwa !soma quran ,Yesu ni nabii wa mungu..ama true messager of God,a word of God
Mashaa Allah....
MashAllah ustadh Allah akuzidishie umri mrefu,wanifurahisha mackenzie anazua yke na wengine pia hiyo issue ya mackenzie itasilimisha wakristo wengi
Inn shaa Allah
Marshallah
mashaallah maalimu
Takbiriii ALLAHU AKBAR
Allahu Akbar
Allah Akbar
Mashallah Allah Bless u all love frm kenya❤❤
MASHAALLAH karibu kaka
Masha Allah sheikh salim kwa dawa nzuri ishallah tutafuatilia mpaka mwisho wa uhaiwetu na tumuombe mungu atupe mwisho mwema
Aameen ameen ameen sote
@@salimdaawah123 amiin
🤲🤲🤲
Sheikh salim wakristo kupewa elimu sana tena sana yaani bado wengi hawamjui Mungu, wanamjua zaidi yesu na wanamuamini zaidi yesu kuliko Mungu
Kweli kabisa unalo sema
Nawapenda kwa kwaajili ya Allah mubarikiwe
Mashaallah ustadh Salim
Mashallah masheikh wetu Allah awahifadhi muzidi kuilimisha kweli kila siku maana kuna mafunzo mapya
Allahu akibar safi sana 💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞
Shekhe Salim mimi ni mkristo but kulingana vile umefundisha nimejipata na wapenda sana nikija Kenya nitasilmu NKO gulf kikazi
Karibu sana kwa uisilamu Mwenyezi Mungu akuongoze utimize nia yako na akuhifadhi
@@salimdaawah123 Amin
Allah aku hifadhi Dada wetu.
Welcome sana.
@@Esther-gn1lt karibu sana kwenye njia ya haki na Mwenyeezi Mungu akufanyie wepesi dada
Karbu sna ndgu ytu ktk dini ya kweli
MashaAllah, mungu akujazie kheyr
Kazi nzuri salim
Maasha Allaah Jizakumulah jana 🎉🎉❤
Mashaallah tabarakaallah Allahuakbar 😘😘
Maashaallah baarakallah Allahuakbar...wallahi mashekh nawaombea kwa allah awape nguvu na afya njema hakki inatambulika kwa kila anae sikiliza alhamdulillah
Aameen ameen ameen sote
nlikua kule straight path lakini huku napenda sana salam aleikum salim dawah 🤘
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh karibu sana
Kijana wacha kudaganya watu mungu hawezi kuza yesu si mwana wa mungu na mungu hazaliwi na mwanadamu
Mashallah umeongea ukweli ni muhimu kufatilia hizi daawa maana kunailimu ya kuwatowa watu katika giza na kuwapeleka kwenye nuru
Allah amzidishie juhudi mnazofanya
Allah awsfanyie wepesi juu ya kazi yenu ya ulinganiaji na kuita watu ktk njia ya haki
Assallam aleikum mashekhe wetu Alhamdullillah kuwaona tena Allah awajaze kheri lakini sauti haipo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh angalia tena iko sawa
Ok hapo sawa nimeshukuru sana sauti ipo❤❤😊😊
MASHAALLAH kila mtu na somo yake
Masha Allah ❤❤❤ love islam
TabarakAllah may Allah bless Daawa group
Maa shaa ALLAH, Mola awapewe afya na nguvu ya kuendeleza dini ya Allah
Mashaa Allah Allah awalipe kheri ma shekhe wetu
The truth hurts. Kijana ameenda library. Mwingine ametoroka kusema give me 5 minutes
Ma sha Allah.
Masha Allah nawawpenda sana kwa ajili ya Allah
Maashallah
Uko sawa
Dah natamani sanaa izi dawa unazotoa waone watu woteee ulimwengu mzima. Mkristo akituliza akili zake akikusikiliza walahi lazima atasilimu
mashaallah ulipata somo eeh
nataka kutoa sadaqa yangu
Tunasubiri muendelezo
Mashaallah Mashaallah
Nawapenda sana MASHEKH zangu
Masha Allah watabaraka Allah
Mashallah Mashallah
Eyi ndugu wakristo elimikeni muache kupotezwa na wachungaji wenu kanisani someni biblia wenyewe muelewe yaliomo
Good
Masha allahy Baraka llahy
Ewaaaa apo sawa
Asalaam Aleikum , MashAllah brother Salim and your team you are doing a great work may Allah make it easy for you and your famillies inshAllah . I would advise you to advise those christians to read and understand the bible . If they dont want to become muslims atleast they should understand their book and they will be enlightened , Shukran
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Masha Allah
Ma shaa Allah Mashekhe wetu Mungu awaeke plz njooni tudor mombsa mfanye daawa makanisa ni mengi watu wapotea shukran
Ustadhi salim njooni Mombasa uelimishe makanisa ni mengi na bado hawajaelimika kidini
Wewe ni Bora urudie uislamu hata sasa unaweza kusilimu nakuisoma dini yako
Masha Allah ❤
Allah awafahamishe waone wafuate haki
allahu akbar
Haki nimenogewa siezi wakosa nikiwakosa naskia vibaya sana na elimu mnazopeana zinanizidishia imani
Karibu sana
Aki uko kama mm kama juzi nilikuwa naangalia tu notification sioni .. na Abbas wa eastligh walikuwa hawajapost😂😂😂 nikiwaona naskia raha especially topic ya sadaka inanimbaba sana
@@sheemaryam shukran tuendelee sote pamoja
Soma ufunuo 1:5 inasema, tena zitokazo kwa Yesu christo, shahidi aliye mwaminifu, mzaliwa wakwanza wawalio kufa, Na mkuu Wawa falme wa dunia. Yeye atupendaye nakutuosha dhambizetu katika damu yake,
Aslmam aleikum sheikh .dawah lazima iendelee ...
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh inn shaa Allah
Mashaallah
Hekalu la mungu lilikuwa hio ni yàko tuu
Hekalu ni nini je Yesu amewahi ingia kanisani
Alingia kanisani wacha kupoteza watu na kuwatoa kwa mungu wao nashanga hao watu wenye unadanganya kama wako na akili kweli coz unaweza ambiwa aje ati yesu alikuwa mwisilamu na unafwata to kama mtu ujiliewi
Kwa swali Hilo kuhusu mama yake Yesu, soma Luka 8:19-21