Unakijua kisa cha hayoub vizuri au unafahamu huyo unayemwita shetani alikiwa nani mbele za mungu na ndiye aliyeomba ruhusa kwa mungu kumjalibu ayoub soma vizuri biblia sio kwenda kanisani tu kuimba kwaya
@@heartnsanya1182 nasemaje hao wote ni mashetani na nyie ndio mnaviumba hivi vitu sio mungu mnamsemea sana mungu juu ya mambo yenu nyie tena mambo yenu binafsi yakudanganya binadamu wenzenu ili mpige pesa wewe babako mzaz tu hawezi kumruhusu simba akujaribu km unafaa kua kitoweo itakua MUNGU amruhusu shetani amjaribu kiumbe aliemuumba kwa mapenzi yake chkua hilo andiko soma tena hilo ni fumbo ambalo wewe binafsi kwa akili yako umefeli kulifumbua ndio maana umezaliwa huu utumbo uliopost🤣🤣🤣
@@swalehkiuga167 MUNGU ANAWEZA HATA KWAKO AKAJITUKUZA IKIWA UTABAKI KUMWAMINI NA SHETANI ATAKUFANYIA VINGI VYA KUKUTOA KTK IMANI ILA KANUNI NI WEWE KUWA ADUI WA SHETANI. KTK BIBLIA KUNA WENGI WALIOPITIA MAGUMU KAMA AYUBU, AKINA DANIEL IBRAHIMU PIA ALITAFUTWA , STEFANO, PAULO NA SILA NK HAO WOTE WALIPITIA MAPAMBANO MAKALI NA WALISHINDA. NA HAPO HUJARIDHIKA?
blessednesss..... 🙏🙏
Sema jamaa anasauty kali sana ila kuna vijana hao 🤣🤣🤣🤣story anasema stoli ham ya kusikiliza inaisha
Amen
msimuhusishe mungu na biashara zenu mungu hawezi kushirikiana na shetani uongo hao wote wawili ni mashetani hawajaufikia Uungu uumbaji.🤣🤣
Unakijua kisa cha hayoub vizuri au unafahamu huyo unayemwita shetani alikiwa nani mbele za mungu na ndiye aliyeomba ruhusa kwa mungu kumjalibu ayoub soma vizuri biblia sio kwenda kanisani tu kuimba kwaya
@@heartnsanya1182 nasemaje hao wote ni mashetani na nyie ndio mnaviumba hivi vitu sio mungu mnamsemea sana mungu juu ya mambo yenu nyie tena mambo yenu binafsi yakudanganya binadamu wenzenu ili mpige pesa wewe babako mzaz tu hawezi kumruhusu simba akujaribu km unafaa kua kitoweo itakua MUNGU amruhusu shetani amjaribu kiumbe aliemuumba kwa mapenzi yake chkua hilo andiko soma tena hilo ni fumbo ambalo wewe binafsi kwa akili yako umefeli kulifumbua ndio maana umezaliwa huu utumbo uliopost🤣🤣🤣
Peleka uwongo huko haya mandiko sijui mnapata wapi kweli hii dini nitatizo
@@swalehkiuga167 nani??
@@swalehkiuga167 MUNGU ANAWEZA HATA KWAKO AKAJITUKUZA IKIWA UTABAKI KUMWAMINI NA SHETANI ATAKUFANYIA VINGI VYA KUKUTOA KTK IMANI ILA KANUNI NI WEWE KUWA ADUI WA SHETANI. KTK BIBLIA KUNA WENGI WALIOPITIA MAGUMU KAMA AYUBU, AKINA DANIEL IBRAHIMU PIA ALITAFUTWA , STEFANO, PAULO NA SILA NK HAO WOTE WALIPITIA MAPAMBANO MAKALI NA WALISHINDA. NA HAPO HUJARIDHIKA?
Kama nabalikiwa Sana nikiskia unavyo simulia ubalikiwe sanaa
Ubarikiwe sana !!
Wow
Wazungu ni wanaharamu,shetwani uchorwa na sura ya mtu mweusi but malaika uchorwa kwa rangi ya wazungu😡😡😡
😅😅😅😅
Mmmh hujaangalia vizuri kwa leo
Abdoulshakur Bin makka wana tuona watu we uso ni mashetani
Wale Mbwa wana Laana
AMEN 🙏🏼
DANGEROUS
Najihisiii nakuwa wa kwanza kupiga comment hapa leo
Umeirudia mbona
Prince Ismail unazingua
fundisho
Bro sio "mkamilifu"❌ ni "mshikamanifu"✔
Biblia imeandikwa MKAMILIFU na mshikamanifu sijui ni kiswahili cha wapi hicho.
@@BONGOFASTA MKAMILIFU NI ASIYE NA HATIA, NA NDO NENO LILILOPO KTK BIBLIA