Hizi Ndio Ndala Za Kuogea Zinazouzwa Bei Ya Kiwanja, Bei Ya Vitu Hivi Vya Kawaida Itakushangaza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 13

  • @dopplereffect7154
    @dopplereffect7154 หลายเดือนก่อน

    Kaka Mazingira yanakupa thamani ... we apo ukitangaza kutokea ofsi zako za dubai utapata vieeees wengi sanaaa

  • @johnsonguddu2668
    @johnsonguddu2668 หลายเดือนก่อน

    Ukionekana kweny video stori inapungua uzito na mvuto

  • @Jackjuneart_tz
    @Jackjuneart_tz หลายเดือนก่อน

    Me nipo tajali kununua bando kwa gharama yoyote ili tu niingie youtube niangalie bongo fasta wamepost nini

  • @Jishushe.na.ujikute5789
    @Jishushe.na.ujikute5789 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ndala Mahali nilipo nnazinunua pesa miatano tu😅😂

  • @MartinLaban
    @MartinLaban หลายเดือนก่อน

    Hii haishangazi kabisa hata hapa kwetu tz yapo haya mambo hususani kwenye hotel za kisasa na maduka ya kisasa mambo ni tofauti

  • @SaraphinaKidoti-qe7gi
    @SaraphinaKidoti-qe7gi หลายเดือนก่อน +1

    Bro icho kitando sio mshaara wa mtu ni mm hyo million 3 sjawai shika ata milion

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything หลายเดือนก่อน

    👊✌️👍.

  • @jacobluckiztv2648
    @jacobluckiztv2648 หลายเดือนก่อน

    Elfu tano!!!, Kadi za karata zinauzwa kenya ksh.30 bob only, hii hata iezi nunua maandazi packet moja

  • @PrinceGoogle-w9k
    @PrinceGoogle-w9k หลายเดือนก่อน

    Tuletee story ya king Baldwin iv

  • @abdallahkwekwete1148
    @abdallahkwekwete1148 หลายเดือนก่อน

    Inategemea na brand husika bro huwez kufananixh iphone na iphinix lkn zote ni simu

    • @jojosky337
      @jojosky337 หลายเดือนก่อน

      Weee bana hakuna simu inaitwa iphinix😂😂😂😂

    • @Shebbytvs
      @Shebbytvs หลายเดือนก่อน

      Infinix ni kafaa cha mawasiliano na co cm!!

    • @malkiawagiza1327
      @malkiawagiza1327 หลายเดือนก่อน

      Umegonga ndipo. Hebu tuangalie viatu na mavazi kutoka kwa mitindo ya kifahari Balenciaga 😂. Ikiwa kuna watu wanaotaka kununua vitu kama hivi biashara itaendelea. Mavazi zilizochanika-chanika, viatu vimechakaa, vimetiwa alama na vimechafuka.