Shekhe kazi ya mahubir inahitaji msaada wa mungu na ubongo mwepesi sana lasivyo mtu anakuzunguka anakwendazake....lkn ulimshika mana hata akisema wengi ni mmoja...haya mmojamwenyewe ni nani wakati muhammad alishakuepo! Very interesting
mwamini kua mungu ni mmoja na muhammad amani ya mungu juu yake ni mtume wake.tena ni " khatamul-anbiya'"(muhuri wa manabii)na ni bora kuliko wote..wala hapana nabii baada yake,ila yule aliovalishwa shuka la muhammad anani ya mungu juu yake kwa njia ya mfano.kwan mtumishi c mbali na bwana wake wala tawai si mbali na shina lake.kwaiyo mwenye kujitoa kwelikweli kumfuata bwana wake anapata kwa mungu jina la nabii.na yeye havunji U-KHATAMUN NUBUWWAT.kama vile unapojitazama kwenye kioo,hamwez kua wa2 bali ni prke yako.na ikionekana kwako wa2 hapana tofauti baina yao ila tofaut ya kivuli na asili.HIVI NDIVYO ALLAH ALIVYOTAKA KWA MASIHI ALIYEAHIDIWA..allah umfunulia amtakae kwakati autakae.tuitafakari qur'an tupate mwisho mwema inshaallah.
HATA DALILI MOJA WAPO YA QIYYAMA NI KUKOMA KWA UTUME AU KUFIKA KWA MTUME((SWALA LLAHU ALEYHI WASALAM))sasa wew ahmadiyya vipi UNAKUA KM KAHAMZA IYSA KABUKOBA
mi nasema ukitaka kumjua kadian kuwa kafir au muisla. SOMENI KITABU kinaitwa MAKUBALIAN KATI YA NYERERE NA KADIANI .....kadian ni upotovu mkubwa.....no comment
Kwahio na Issa ndio hatarudi hadi kiama? Au kuna mtume anaevuliwa utume mara baada yakupewa utume? Au kama utumewake niule wa zamani tu, kwanini waislam mnamsubir wakati alikua ni mtume wa waisraeli tu sawa na Qur an 61:7 na biblia Matayo 15:24.... Kwahio ukiona muislam unachakaza ndevu kumsubir Issa wakati alikua ni wa wana wa israeli tambua atarudi kabla ya kiyama na kuna utume mpya atakujanao ingekua sivyo wewe usingekua na haja ya kumtazamia.
mh watu hawana uelewa hat kdogo ubongo wao baridiiiiii mnasubir yesu mtakesha miaka birion elfu kumi kamweee hafiki amekufa muhammad mbora wa mitume araf abaki yesu hana ujanja huo mwiko wake
Una khabari kwamba hata Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w. naye pia aliitwa hana akili na Allah Akateremsha Aya kuwajibuni pale aliponadi: Nawe (Muhammad), kwa neema za Allah, si mwehu.
HALAFU SURA YAKE NA UTAMKAJI WAKE UKIAMBATANISHA NA MACHO YAKE ANAVYOTIZAMA UTAPATA KWAMBA HANA USIRIAS NA INAONEKANA SIO MUISLAAM KABISA NI MUAJIRIWA TU
Hivyo ni muajiriwa gani awezaye kuwashinda masheikh vigogo kama hao. Hauoni kuwa Qurani imewatupa na wanashindwa hadharani kupata sapoti ya hoja za Quran na masheikh wenzao wote duniani wamenywea kabisa kwa kushindwa kuwasaidia masheikh wenzao kwa hoja na dalili na badala yake wanawaachia mashabiki kama ninyi muwasaidie masheikh hao wanaotia huruma jinsi wanavyozama hadharani na kumeza mafunda ya maji yazamishayo ya hoja madhubuti za kimbingu. Kila mfuatiliaji mwenye busara anaona dhahiri shahiri kuwa masheikh hao wanajuta kwa kujiingiza kichwa kichwa kukabiliana na wafuasi hodari na shupavu wa Masihi Aliyeahidiwa, Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad a.s aliyeahidiwa mapema tu na Allah kwamba kila jeuri atakayefakamia kutaka kumdhalilisha, basi mwenyewe ndiye atakayedhalilika. Nawe unayejiweka kimbelembele uchukue tahadhari usije nawe kukumbwa na fedheha.
Nabii Issa ndio atakua wa mwisho kwa mafano ata mm nikija kwako halaf nikaondoka akaja mtu mwengine halaf akaondoka halaf nikarudi mm tena nikaondoka tena na hakuja mtu mwengine nan atakua wa mwisho @adason nondo
mnAtakiwa mjue kwmba nabii isaa atarud Kwa sababu gani na pia nabii issa mkumbuke kwamba yy alikua tayar anaumati wake tayaree alikuja kisha akaondoka na kurud kwake haimaaniash kwamba yeye ndo atakuwa Wa mwisho ila atakuja kukanusha kuusu wakristo kumuita yeye mungu au mwna Wa mungu na kupambana na masih dajar hivyo tu lakin Muhammad saw ndo Wa mwisho
ماشاءاللہ
Mwenyezi Mungu akuridhie na akupe afya njema #upendokwawote
Maashaa Allah,umejibu kwaufasahamno shekh sahib, Allah akusaidie
Ikiwa uko ulipo hujatubia laana ya mwenyezi mungu iwe juu yako
Nomeipenda sana Hoja zako Sheikh Bakri sahib
#upendokwawote
MashaAllah , Sheikh Bakri katika ujana wake
#upendokwawote
Shekhe kazi ya mahubir inahitaji msaada wa mungu na ubongo mwepesi sana lasivyo mtu anakuzunguka anakwendazake....lkn ulimshika mana hata akisema wengi ni mmoja...haya mmojamwenyewe ni nani wakati muhammad alishakuepo!
Very interesting
Wanataka na wao wahindi wawe na mtume wao
Uyo mtume baada ya Bwana Mtume MUHAMMAD SAW ametajwa ktk aya gani kwenye Quran au hadithi ipi
khelef Omar mbona hujibu swali
hilo yesu yu hai or amekufa???
Mashaallah
mwamini kua mungu ni mmoja na muhammad amani ya mungu juu yake ni mtume wake.tena ni " khatamul-anbiya'"(muhuri wa manabii)na ni bora kuliko wote..wala hapana nabii baada yake,ila yule aliovalishwa shuka la muhammad anani ya mungu juu yake kwa njia ya mfano.kwan mtumishi c mbali na bwana wake wala tawai si mbali na shina lake.kwaiyo mwenye kujitoa kwelikweli kumfuata bwana wake anapata kwa mungu jina la nabii.na yeye havunji U-KHATAMUN NUBUWWAT.kama vile unapojitazama kwenye kioo,hamwez kua wa2 bali ni prke yako.na ikionekana kwako wa2 hapana tofauti baina yao ila tofaut ya kivuli na asili.HIVI NDIVYO ALLAH ALIVYOTAKA KWA MASIHI ALIYEAHIDIWA..allah umfunulia amtakae kwakati autakae.tuitafakari qur'an tupate mwisho mwema inshaallah.
Mhhhh
Allah akuangamize we kadiani
na kama utume bado unaendelea mbona nyie hamjiiti mitume? je huo utume ni wa makadiani tu?
acha ufisad
Inalilah wainaillah rajighuun wallah huu nimcba inatakiwa tusome quruan sana natafsir yake navitab vingine wallah ushia ni bidaat
Jamani hawa makadiani sio mashia tena waametoka kutoka usunni ndio wakaleta dini yao
hapo wote hawana Elimu wanachoshindana kwa Kusema na ufasaha wa kuzungumza.Muwe mnataja reference.
Samahan ndug yng we ni mvuta bangi au??
Hv ww una ilimi gn wa kuxem Shekh Shekh abdul qadir hana ilim??unayo ww hyo ilim au??
@@hutisaleh2320 Sijui mana unauliza swali la kipuuz.
@@hutisaleh2320 Mim nina Elimu ya Quraan na Sunna(hadithi) kwa ufaham wa salafu swaalehe
@@أبوفيصل_الحنبلي wahabi 😂😂😂😂😂😂😂
Allah akufahamishe na kama utaedelewa wewe hamadiya kupoteza watu allah akuzalilishee
Si Kila khalifa ni mtu ila Kila Mtume ni Khalifa.
HATA DALILI MOJA WAPO YA QIYYAMA NI KUKOMA KWA UTUME AU KUFIKA KWA MTUME((SWALA LLAHU ALEYHI WASALAM))sasa wew ahmadiyya vipi UNAKUA KM KAHAMZA IYSA KABUKOBA
mi nasema ukitaka kumjua kadian kuwa kafir au muisla.
SOMENI KITABU kinaitwa MAKUBALIAN KATI YA NYERERE NA KADIANI
.....kadian ni upotovu mkubwa.....no comment
Walahi fitna mtume swa dio wa muisho
hakuna mtume baada ya mtume s.a.w
mtasubiri sana mpaka kiama
Kwahio na Issa ndio hatarudi hadi kiama?
Au kuna mtume anaevuliwa utume mara baada yakupewa utume?
Au kama utumewake niule wa zamani tu, kwanini waislam mnamsubir wakati alikua ni mtume wa waisraeli tu sawa na Qur an 61:7 na biblia Matayo 15:24....
Kwahio ukiona muislam unachakaza ndevu kumsubir Issa wakati alikua ni wa wana wa israeli tambua atarudi kabla ya kiyama na kuna utume mpya atakujanao ingekua sivyo wewe usingekua na haja ya kumtazamia.
Kweli kabisa
Kila ayah ina sababu ya kushuka, tukijua sababu ya kushuka iyo ayah ndio tutajua tafsir ya sawa.
mh watu hawana uelewa hat kdogo ubongo wao baridiiiiii mnasubir yesu mtakesha miaka birion elfu kumi kamweee hafiki amekufa muhammad mbora wa mitume araf abaki yesu hana ujanja huo mwiko wake
UKILIANGALIA TU HILO KADIANI SURA YAKE TU INAJULISHA KUWA LINA KASORO KIAKILI
Una khabari kwamba hata Mtume Mtukufu Muhammad s.a.w. naye pia aliitwa hana akili na Allah Akateremsha Aya kuwajibuni pale aliponadi: Nawe (Muhammad), kwa neema za Allah, si mwehu.
HALAFU SURA YAKE NA UTAMKAJI WAKE UKIAMBATANISHA NA MACHO YAKE ANAVYOTIZAMA UTAPATA KWAMBA HANA USIRIAS NA INAONEKANA SIO MUISLAAM KABISA NI MUAJIRIWA TU
Hivyo ni muajiriwa gani awezaye kuwashinda masheikh vigogo kama hao. Hauoni kuwa Qurani imewatupa na wanashindwa hadharani kupata sapoti ya hoja za Quran na masheikh wenzao wote duniani wamenywea kabisa kwa kushindwa kuwasaidia masheikh wenzao kwa hoja na dalili na badala yake wanawaachia mashabiki kama ninyi muwasaidie masheikh hao wanaotia huruma jinsi wanavyozama hadharani na kumeza mafunda ya maji yazamishayo ya hoja madhubuti za kimbingu. Kila mfuatiliaji mwenye busara anaona dhahiri shahiri kuwa masheikh hao wanajuta kwa kujiingiza kichwa kichwa kukabiliana na wafuasi hodari na shupavu wa Masihi Aliyeahidiwa, Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad a.s aliyeahidiwa mapema tu na Allah kwamba kila jeuri atakayefakamia kutaka kumdhalilisha, basi mwenyewe ndiye atakayedhalilika. Nawe unayejiweka kimbelembele uchukue tahadhari usije nawe kukumbwa na fedheha.
Makadiani ni makafiri bila shaka.
So which is which
Ndugu zrtu Ahmadiya wana shida ya lugha na history ya Quran.
Naona kipindi hicho ni baisekeli ndo usafiri mkubwa
ss baada ya kupigania makafiri waingie katika uislam nyinyi mwapigania wenyewe kwa wenyewe hata mwafurahisha
wewe sio shkhe acha ufisadi
H
Huyu jamaa anakichwa kigumu cjawahi ona
Nyie mnataikiwa muu wawe kwa sherea ya qur aan, mungu alivyo tuambia sababu we Ni kafiri hakuna mtume mwingine muhamad ndo wamwisho
Tena wajuwa Quran kweli?
Msishindane na watu kama hawa, washaangamia
Kadiani alikufa ndani ya choo Vipi mtume atakufa ndani ya uchafu.
kwani kuna aya inayosema MTU akifia chooni anakwenda Motoni? au baba yako alikuwa anafanya kazi kwenye choo cha saydina ahmad
Ww cjui unavuta bangi asee
Uyu.ahmdiya.mwenziwe.ni.hamza.kadhaabuu
Ww una maneno ya kikafiri chunga ww
Mbona unakata
Mh...niaa ni shida
Shida ni lugha. Huu ni ushahidi kuwa mambo ya kiarabu na mtume wao watanzania hamuwezi. Ona sasa mnabishania lugha
Rapa Fata we unadhani hata uyo yesu alikua akiongea kiswahili? Hiyo bibili ni kitabu kilicho tafsiliwa.
Rapa Fata we umesoma wapi ulikoambiwa muhammadi s.w.a ni wamwisho.
Mbona waislami wamsubiri issa ili aporomoke kutoka mawinguni ilhali mtume saw ni Wa mwisho
Astaghfirullah wewe hujui kiarab, na tafsiri, unatafsiri unavyotaka wewe mwenyewe
ahmadiyya ndiyo njia pekee ya kuingia Peponi.amadiyya idumu milele
Duh
Kwa ushahidi gani?
Dada @Asha Mahamudu
Asha Mahamudu tupe dalili katika quraan na Sunna sahihi tafadhal ili kuthibitisha hoja yako
Ameen
Ahmadiyya Zindabaad
You all had nothing to say.People are strugling to devide you muslims then you help them by showing your differences.Chungeni sana na hio mijadala .
ahmadiya ni makafiri
shekh uchwra huyu
Mtume s.a.w ni Mtume wa mwisho. hakuna ajae tena. nenda kasome tena. au umetumwa na Manasara uje utie shaka. mpumbavu we.
Khelef Omar Kwahiyo Nabii Issa as hatokuja tena??
Huyo anafaham vizur sana anakasoma vizur kiarab anajuwa lkn ajipumbaza tu kwajili ameshanunuliwa na kadian
Nabii issa hatukuja tena mbn mnakimbia ilo swali
@@AbouBurhan kwan nabii ISSA alikuwa hayupo kuja kwake haimaanishi sio mtume wa mwisho
Nabii Issa ndio atakua wa mwisho
kwa mafano ata mm nikija kwako halaf nikaondoka akaja mtu mwengine halaf akaondoka halaf nikarudi mm tena nikaondoka tena na hakuja mtu mwengine nan atakua wa mwisho @adason nondo
huyu sheikh wa sunni amechemka hana hata aya ya Qur'an
zukhair Saide sio kila kitu kina dalilu qatwey
AHMADIYA NI MAKAFIRI KULIKO MAKAFIRI
Kadiani kafiri haeliwi lugha wala nnasi
rudi kwa Allah acha upotovu tamaa ya pesa ili kupoteza haki ya kweli utajuta mbele ya Allah
Mtume s.a.w ni Mtume wa mwisho. hakuna ajae tena. nenda kasome tena. au umetumwa na Manasara uje utie shaka. mpumbavu we.
Khelef Omar Nabii Issa as ameshakufa hajitena au??
Khelef Omar thibitisha unacho ongea, kusema sio kazi ,kazi ni kuthibitisha.
we embu acheni ubish nyie kukataa kama mtume muhaamad ni mtume Wa mwisho ni ukafirr
mnAtakiwa mjue kwmba nabii isaa atarud Kwa sababu gani na pia nabii issa mkumbuke kwamba yy alikua tayar anaumati wake tayaree alikuja kisha akaondoka na kurud kwake haimaaniash kwamba yeye ndo atakuwa Wa mwisho ila atakuja kukanusha kuusu wakristo kumuita yeye mungu au mwna Wa mungu na kupambana na masih dajar hivyo tu lakin Muhammad saw ndo Wa mwisho
مضارع المتثني كيف ذالك