BARAKA MAGUFULI 'AMVUNJA' MBAVU DKT TULIA MAONESHO NANENANE, "UNAACHA UKUU WA MKOA UNAGOMBEA UBUNGE"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024
- BARAKA MAGUFULI 'AMVUNJA' MBAVU DKT TULIA MAONESHO NANENANE, "UNAACHA UKUU WA MKOA UNAGOMBEA UBUNGE"
Ni msanii wa Vichekesho nchini Baraka Magufuli ambaye anaigiza Sauti ya Rais Magufuli ambapo amehudhuria maadhimisho ya maonesho ya Nanenane Mkoani Mbeya ambapo ametumia nafasi hiyo kuwasisitiza wananchi yale ambayo Rais Magufuli amekuwa akiwaasa wananchi...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...
Nani kaiona hii baada ya msiba wa raisi wetu magufuli
Tuko weng
Tuko jamani basi tumuombe aendeleye
Mbali ya uigizaji huyu jamaa ni kichwa mno! Full point
Saruti kwake
Yaani nimecheka hdi basi, huyu jamaaa anampatia Sanaa Rais wetu daaaaaa hdi rahaaa
😂😂😂🤣kama kumesikia WAJUMBE KWIO nipe LIKE yangu tafadhali
Akiamungu nlkuwa bored nyumbani apa ila nmejikuta nmecheka adi hamu ya serengeti imenijia🤣🤣
Asee Mungu akubarik kwa kipaji ulicho nacho
Jamaa ninoma
@@yohanamollel6252 yani ni noma sana
Jamaaaaa anahutubia vizuri Sana kam kiongozi Mkubwa hongera San barakaa
Jamaa anaweza sn
Jamaa ana kipaji cha kuongea kiuongozi sana
Baraka utakuwa umeumia sana pole sana
Umetisha aisee
Kijana yuko vizuri.anaweza kuomba kura za ubunge huko mbeleni na akashinda.
Nikweli ulichowaza nami nimewaza hicho
Daaah hatari sana leo kweli Baraka umeua,safi sn
Baraka hauna u Tube yko tukusaport namiss MAGUFULI kwkweli❤️❤️🇰🇪🇰🇪
Hongera baraka
Hahaha uwiii huyu jamaa ni shidaaah😂😂🤣🤣🤣🤣
hongera saan kaka
Anajuwa kupangilia speech a see🤣🤣
Baraka nakufutilia Sana hongera sana kaka ila Mic ilikuwa haiko sawa
Aendelezee kipaj
Unajaribu baba
We nomaa
Safi Sanaa,,Ni ye yeee
Huyu jamaa ukiachiliambali komedi ila anakipaji cha pekee ww angalia anavyo toasalam za viongozi anajua kutumia itifaki anafaa kua kiongozi
Sio kipaji Fulani ana akili
Kujua itifaki inatosha kuwa kiongozi? Itifaki ni kukalili tu. Wala hakuna cha uongoz wala nn.
So talented 😃👏
The hand/finger gesture is precise. Lol
Pongezi kwako
Nakwamini leo
Kaka baraka! Barikiwa sana
Wewe Baraka itabidi umsaidie magufuli kuomba kura vijijini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SEMA nchi zetu hiz hakuna support Kama angekuwa ulaya hyu angekuwa mkbwa Sana
Sasa asapotiwaje kikubwa akazane kusoma maana ni mtoto sana
Hongera Sana kijana was magufuri
Daaaa hongera aana
Sikukuu njema
I like this comedian no offence
Pamoja sana kiongozi
Una kipaji jamaa barikiwa Sana Rwanda
Hatarii saan
Ccm chama langu mi mbeya boy
🤣🤣🤣 ihiiiiiiiiii 🤣🤣🤣
Mdogo angu nakuaminia unapiga kampeni ya uhakika
😅😅
Jamaa ni kichwa sana
Hahahaaa wajumbe kwiyoo
Hahaahaaaa
Nakubali
Tungemteuwa tu huyu awe rais wetu
Mkuu wa Mkoa wa Njombe anafanana na Mkuu wa majeshi Mabeyo
Tumepata mrithi wa kuchekesha 😀😀😀😀
Saf san
Oyeeee!!!!.
Ulitaka kujua kwamba duniani Kuna watu wa ajabu unaweza kuona hapa mtu anapinga tu hata comedian Kama Baraka unampinga wakati wengi tunamfurahia naona hata maisha yake yanabadilika siku hadi siku tofauti kabisa na alivyokuwa awali.
Daaaaa hembu gombea ubunge baadae uje kuwa kma raisi uwe mrithi Wake
Wakati wa kampeni na rais magufuri wagawane mikowa atauwakilisha vizuri
Kweli hata mm naunga hoja
😀😀😀
Jamaa yuko vizuri sana.
Anafaa kugombea ubunge kulliko hao wanaopewa uongozi wanaachs eti wanataka ubunge itakula kwao
😂😂😂😂
Anajuwat!🤣🤣🤣
Coool
😆😆
Pompompo tuuu
Kweli inchi inaongozwa,na vichaa
Kwa nini??
Kidevu kama ufagio wa chooni ingali ila kakayangu hapo Sultani mngali kwisha kumuweka ndani wajinga wakubwa.
Roho mbaya zimewakaa na maisha magumu yanachangia pumbavu sana
We ndo mjinga mkubwa
Kakukosea nini ?
Acha ufala sasha
Katka watu ambao wananikera ni huyu jamaa kila siku kuiga sauti ya mtu.
Hapo ana kukera nn sasa, kama anayeigwa saut yke anafurahi kwanin ww utesekee?😂😂😂
Hiii ni TZ bwana Acha ubinafsi kwani hiyo sauti ni yakwakoooo????
Kaliwe huko usitufokee
Jinga sana wewe😏
Nilazima ukereke Maana ww huwezi kuigiza
Hongera baraka
Coool
Pompompo tuuu
wewe unayebeza umefanya nini cha maana