Asalaam alaykum Shekhe mm nna suali moja umesema majani tuyaponde bdae ukasema tuyatie katika maji moja moja na kila moja tulisomee mara kisoma mara saba saba ss je tuna liponda wakati gani baada ya kulitia katik maji badae tuna ya toa yote kwa kuya ponda au tuna liponda moja moja likimaliza moja tuna litia ktk maji na kisomo chake em naomba unieke uzur hapa shekhe wangu
Bac mm nko na Hasad sheikh kwa sbbu nataka kuisoma dini lkn naona uzito sanaa mpka navunja ahadi na ustadh yn kila nkitaka kuisoma dini najiona nmeshkika na mambo mengi Naomba unisaidie kwa hili lengo lngu
HUYU MTOTO WALLAHI MUNGU AMJAZI KHERI AKO NA CHALENGE WALLAHI WAZEE WAKE LAZIMA WAWE NA MOYO KUMRIDHIA KWA YALE ANAYEYATAKA MUNGU AKULINDE NA HASAD PENGINE PIA NDIO MOJA LILOMFANZA UHURU KUIMGIWA NA IMANI KUMUOMBA MSAMAHA RAILA JAMENI
nikwel Shekhe ninajiran yangu akija kwangu akiondoka mwanangu anaumwa na huyu mtoto akimuona tu hatak atakumsalimia toka anamwez mmoja mpaka saiz mwaka mmoja na nusu sjui nifanye nn
Nassor cha kufanya mualike huyo jirani aje ale kwako chochote take maji atakayoosha mkono yaweke akiondoka yale maji muooshee mtoto mwili mzima.InshaAllah atapona
naogopa kugombana najiran nakumwambia sjui atalichukuliaje au atanichukia VIP sabbu MTU ukwel unamuuma ata km alifanyalo lauma zaid mana mtoto anabanwa nakifua pumzi hazitok vizur adinimsomee maji ndio anatulia mwanzo akipigwa masindano bure wallah
A.aleikum download dua yaitwa Manzil kutoka playstore soma kila asuhuhi ama jioni alafu kuna na adhkar ya asubuhi na jioni soma usione uzito,soma na Quran na utoe na sadaka. Allah atufanyie wepesi.
Mashaallah darsa nzur.mungu akupe umri mref tuzid kupata ilm
ustadh wewe una mambo.mashallah..
MAshaAllah mwenyezimungu amkinge na hasad
Masha'Allaaaah😍😍😍😍😍
Mashallah. Allah atuhifadhi. N.a. hasad. Za walimwengu
Aamin
Allaah Atuepusheee nahassad ya wanaAdam....
Mashallah mwenyezi mungu akuweke
Mashaallh ALLAH AMUHIFADHI na Amzidishie OMAR na amuepushe na jicho la HASSAD
Maa shaa allah tabarakallah allah akuhifadhi na kila Shari amiin
Mashaallah Allah akupe kher dunian na akhera ameen
Amiin
Amiin amiin
Mashaallh mashaallh ntaifanyia hii...ALLAH ATULINDE NA HASSAD YAARAB 👐
Mashaa Allah mwenyezi akukimge na hasad
Baaraka LLAHU fiiqu Ya a Sheykh
MashaAllah Allah atujalie mema dunian na kesho akhera auepushie na hasad yaraby
Jazakallah sheikh kwa kutuelemisha na pia namwomba Allah amhifadhi huyo kijana mdogo kipenzi chetu
Ameen bro
Mashallah mawaida mazuri Allah akupeumri sheikh Wetu uzidi kutuelimisha
Mashaallah Tabarakallah shukran
MashaAllah. BarakaLlahu
Masha Allah 😊
MashaAllah taabaraka Allah Allahumma Aamiin yaa rabbi
Ameeeeen Ya'Rabb
Hasad zimejaa kila kona mola tuhifadhi yarab wenye hasad wasitudhuru.
Aamiin Yarabb
Amiin yarrab
Amin yarabil alamiin
Amiin ya rabb
Ooh iyo niliona Saudia
Masha Allah kweli ustad
Maashaallah akujaalie kher shekhe uendelee kutujuza
Min shari hasidin hasad... mashallah very nice. .. mungu atu linde kwa kila mahasidin
Mashallah jaman ich kitt Allah akilinde na hasad
Mashaallah Tabarakallah shukran shekh
Aslm alkm ww.... Masha Allah. Allah amhifadhi. Ameen 🙏 shukran sana sheikh Izudin Allah akulinde 🙏
Mashaallah mawaidha mazuri sana. Allah akuhifadhi na akupe kila la kheir. Allah atuhifadhi na hizi hasad.
Sheikh je kama humjui aliekufanyia hasad utajitibu vipi?
Subhanallah
Ma Sha Allah Allah atulinde na hasad na husdah YAA RABB
AMEEN YARABIII SHKRN KW DUA ZAKO
Shukran ya sheikh allah akulipeee
MAA SHAA ALLAH ALLAH ATUKINGE NA HASADI
Mashaallah tabarakallah shukran jazakallah kheri
Allahuma Amiin yarrab dua zako ziwe maqbul na wewe Allah akufungulie kher na barka zaid na zaid
Manshallah Mungu akulipe cheikh wetu
Mashaa Allah mashaa Allah mashaa Allah
Kweli hayo
Mashallah
Mashaallh mashaallh ALLAH atuepushie na kila hassad
Ameen inshaallh
Mashaallah
Masha Allah
Allah atulinde na macho za watu...husda Ni mbaya
Aaaamin yaarab
Mashaa Allah baraka llah fikah
MaashaAllaha
Maashaallah
Mashaallah Tabarakallah shukran shkh
Manshaallah sheh wetu
Subhanah Allah
Mola niondoshe hasadi na wangu na familia
Omar nakupenda kwa ajili ya Allah.natamani vijana wangu wampende Allah kama wewe.Allah akuzidishie
MASHAALLAH
Hasbunallah waneemal wakeen
Jazaakumu llahu khayraaaaaaa
Allah akulipe pepo
MaashaAllah
Allahumma baarik
Alhamdullilah raby
inshaallah allah awe nasi
Jadhakallahu kheira shekhe
Mashaallah shukran
M/mngu akubarik .
Allahuma amin
Ya Allah tulinde..na hasad..hasbunAllaha wanimal wakil
Husbiyahu waneimall wakiil
Allah akbar
May Allah protects us min kuli ayni lamma
minna waminkum...ameen In'Shaa'Allah 🙏Jazakahlaulkhairàan
Asalaam alaykum
Shekhe mm nna suali moja umesema majani tuyaponde bdae ukasema tuyatie katika maji moja moja na kila moja tulisomee mara kisoma mara saba saba ss je tuna liponda wakati gani baada ya kulitia katik maji badae tuna ya toa yote kwa kuya ponda au tuna liponda moja moja likimaliza moja tuna litia ktk maji na kisomo chake em naomba unieke uzur hapa shekhe wangu
Asalam aleikum sheikh nime kubaliaa na yote unayo sema dua zenu inshallah.
Ameen yarab
Allah akupe umri Na afya ustadh
Shahrazad Nassir k
As
Nimesahau sh.
Kilekitabucha dua njinalake cha imam nawawiyyu . Kinaitwajje.
Maashaa allaa ..nilisikiaktk mawaibhayako.
Naam, daaa yaani shukran sana
Bac mm nko na Hasad sheikh kwa sbbu nataka kuisoma dini lkn naona uzito sanaa mpka navunja ahadi na ustadh yn kila nkitaka kuisoma dini najiona nmeshkika na mambo mengi Naomba unisaidie kwa hili lengo lngu
MashaAllah
Kweli kabisa maneno yako ustadh. Shule imewekwa mbele kuliko dini. Ukisoma shule unaonekana unasoma mwisho wake hupati kazi. Kweli kabisa.
Ustadh ni vp kma humjui aliekuhusudu
Mashallah ustadh,but hasad zimejaa mabarabara.
Allahumma ameen.
HUYU MTOTO WALLAHI MUNGU AMJAZI KHERI AKO NA CHALENGE WALLAHI WAZEE WAKE LAZIMA WAWE NA MOYO KUMRIDHIA KWA YALE ANAYEYATAKA MUNGU AKULINDE NA HASAD PENGINE PIA NDIO MOJA LILOMFANZA UHURU KUIMGIWA NA IMANI KUMUOMBA MSAMAHA RAILA JAMENI
Maa shaa Allah
Mashaallah
mashaaAllah tabarak rahman
maalimu mie toka jana mwili mzima unawasha ikisha unaumuka
Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin na Omar Allah amlinde na hasad amin
mashallah
Na kupiga weusi ni uso tu ustadh au sehemu zengne za mwili pia
Shekh nauliza majani ya mkunazai siukiponda utajuaje jani mojamoja maana yatakuwa yamevurujika
naomba namba yako Ustadh kwaushaur zaid nafkir pia unaijuwa thaman yajiran kwa akil Ya Allah
Allah haadh
Nimedownload but sijui kama ndio au la
Afifa Aidarus !As salam aleikum
nikwel Shekhe ninajiran yangu akija kwangu akiondoka mwanangu anaumwa na huyu mtoto akimuona tu hatak atakumsalimia toka anamwez mmoja mpaka saiz mwaka mmoja na nusu sjui nifanye nn
Naona shekh anachelewa kujibu..
Nassor cha kufanya mualike huyo jirani aje ale kwako chochote take maji atakayoosha mkono yaweke akiondoka yale maji muooshee mtoto mwili mzima.InshaAllah atapona
Ma shaa Allah
Shukraan sana sheikh
Masha Allah
Maaaa SHAAA ALLAH
Sheikh haya utayaponda kabla ya kuyasomea. Na utayaponda jumla ama moja baada ya moja?
Mashallah Omar Allah akulinde
Kweli kabisa
Naomba namba jamani ya huyu shk
Mashaallh..
naogopa kugombana najiran nakumwambia sjui atalichukuliaje au atanichukia VIP sabbu MTU ukwel unamuuma ata km alifanyalo lauma zaid mana mtoto anabanwa nakifua pumzi hazitok vizur adinimsomee maji ndio anatulia mwanzo akipigwa masindano bure wallah
Mkinge na dua..
Ustadh mimi naomba kuzunguliwa nikupate wapi?kuna mengi yakuongea siwezi kuyasema hapa naomba tuwasiliane tafadhali
Samsung Android nipigie.sim 0722611120
Izudin Alwy Din Shukran ustadh
@@IzudinAlwyDin ilo jina lakitabu ni gani sheikh
sheikh izuudin alwy mbna sikupatii kwa video downloader??? is there any problem..
Download vidmate then ukiwa kwenye TH-cam share hii video kwenye vidmate then download
Sheikh izi dalili zote nipo nazo yani napata tabu sana
A.aleikum download dua yaitwa Manzil kutoka playstore
soma kila asuhuhi ama jioni
alafu kuna na adhkar ya asubuhi na jioni soma usione uzito,soma na Quran na utoe na sadaka. Allah atufanyie wepesi.