I love this woman of God, she's so humble, her songs are a blessing.. Mama you've been a blessing for those 5days you've been mi ministering to our church KINGDOM SEEKERS KAYOLE NAIROBI
Huu sasa ndio wimbo wa INJILI yan wanavyosema waimbaji nyimbo za Injili wewe ndo muimbaji wa nyimbo za Injili sasa, umeuoiga mwingi mama umeamsha Roho yangu kuamka kwenda KUHUBIRI INJILI YA YESU KRISTO
Amen mama wimbo mzuri Sana sema watu wanaogop kwenda kuhubir mitaan màan mambo Yao yanajulikn hat Kwa watu wavmitaan Mungu atusaidie tuwe na Moyo WA kujitoa kuhubir popote pale
watu wangu wakenya Upendo amefanya ile kitu angusha like tukisonga💪
😊😊
Wimbo umenipa maono makubwa mbeleni🙏🙏🙏neema imbebe mtumishi wa MUNGU @upendo nkone na ivunje Sheria 🙏🙏🙏 hii ni huduma kamilifu🙏🙏💯SHALOM🙏
Wow,mwenyezi mungu abariki mama yetu🙏🙏neema imbebe na ivunje sheria
Hakika ni kweli
Amen🙏 twendeni tukahubiri neno,neno la Mungu linaokoa.Mungu akubariki sana.
I love this woman of God, she's so humble, her songs are a blessing.. Mama you've been a blessing for those 5days you've been mi ministering to our church KINGDOM SEEKERS KAYOLE NAIROBI
Blessings of God upon her ❤
Amen watumishi tusilale kazi bado hatuja maliza injili ni uweza wa mungu uletao wokovu
Jitu la mbinguni hilo
Hubiri injili mama hilo ndilo uliloitiwa
Mungu akutangulie kwa njia zako zote ubarikiwe mno
Woow..hallelujah Yesu Kila mahali🙌 wimbo mzuri mama🙏
Mama you never disappoint, kila unapoachilia wimbo mpya unafanyika baraka sana. Mungu azidi kukuneemesha.
Thank you God
Twendeni tuihubili injili ya Bwana wetu Yesu Kristo
Amen nimebarikiwa Sana Dada Upendo Nkone Wimbo Ni mzuri sana
Heeiiwaa....yalaaa...rets gooo🎉🎉🎉🎉🎉
Your songs are always a blessing to many🙏🙏... eagerly waiting for this
Be blessed mummy.❤️♥️🙏
Mungu azidi kukuinuwa nyimbo zako zina ujembe mzuri
Waooh KAZI NZURI ALIFANYA MWALIMU WANGU SETI
😊😊Waooo Mama we love you .❤️ much love from Tanzania,unyakuo Kila kona 💃💃💃💃💃💃💃❤️❤️
Naombeni like nyingi wapendwa katika Bwana
amazingly sana from 254 all love mum
Amen,nyimbo zako zinabariki mamaa
Sio wenzio kutwa wanaimba mipasho
Nimebarikiwa sana,my God bless you mamaaa 🙏🙏
Aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kubwaaaa sanaaa mama angu kipenzi Cha moyo wàngu
Barikiwaa
We love you mama. From Germany. My all family today subscribe to you7 people
Love you ❤❤
Amen,mama yetu Mungu akuinue sana
Nasubiri Kwa hamu sana
Kitu kizuri jameni heeeeeeeee mama Ubarikiwe na Sana kabisa waaaaaaaa
Aminaaaaaaaaaa ,,,,,Injili kila mahali
Twendeniii
Ubarikiwe sana kipenzi changu
I love your ministry mom
Wimbo wa kutukumbusha Jamani 😢😢😢
Yani kati ya waimbaji ninaowape nipamoja na upendo nkone ila hao wachezaji wako umeharibu
Huu sasa ndio wimbo wa INJILI yan wanavyosema waimbaji nyimbo za Injili wewe ndo muimbaji wa nyimbo za Injili sasa, umeuoiga mwingi mama umeamsha Roho yangu kuamka kwenda KUHUBIRI INJILI YA YESU KRISTO
Another one after Eleweka
Barikiwa Sana mtumishi
Wow,,nice song 🎉❤
Km mimi sijui kuimba nataka binti yangu aje aimbe vizuri km wewe HAKIKA ALBAM ZAKO SIJAWAI KULUSHA NYIMBO
Amen mama wimbo mzuri Sana sema watu wanaogop kwenda kuhubir mitaan màan mambo Yao yanajulikn hat Kwa watu wavmitaan Mungu atusaidie tuwe na Moyo WA kujitoa kuhubir popote pale
Hongera Yako mama!!!
Wimbo umenibariki sana❤
Thz is Very powerful, GOD bless you so much upendo
Love u mamy
Amen...ubarikiwe sana mama.
Hii balaa ....hii moto ..... Mama Upendo Nkone kwa moyo wa dhati nakupenda bure
Be blessed mum Amen and Amen 🙏🙏🙏
Amina barikiwa Sana 🙏🙏
Amen Twendeni tukahubiri🙏🙏♥️
Aksante sana 🙏
Amen
Nakupenda mama
AMEN twendeni tukahubiri neno la MUNGU.
Powerful...twendeni tukahubiri...watu waokolewe wamjue yesu
UGANDA 🇺🇬🇺🇬 twendeni🎉🎉🎉🎉🎉
Asante Sana mathe❤
My mum naomba siku moja nfanye huduma na wwe
Wimbo mzuri sana,Mungu azidi kukuinua viwango vya juu,nakukubali sana mama upendo❤
Ubarikiwe dada yangu. Mungu akuongezeye nguvu na vipawa
Amen amen.
Amen Amen
❤❤❤🇰🇪🇰🇪
AMEN AND AMEN
🎉🎉🎉🎉
Wimbo mzuri mama unabariki sana. Ubarikiwe sana.
Be blessed maaa
Powerful
Twendeni tukahubiri
Amen 🙏
Hallelujah nice song be blessed pendo nkone
Amen, twendeni tukahuburi❤❤❤
Mbona anakas mama zuchu
Ameeen ❤❤❤
Wow nice song be blessed
Ameen
🇹🇿💚💛
1:31 ... 2:13 ... 5:07 ... 5:31
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Hallelujah ❤
❤
You songs are always blessed my family. mummy from Kenya 🇰🇪 we love you so much 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Amen
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen