Amen the price was paid on the cross because of my salvations and my sins to be forgiven wow what a touching song frm woman of God Upendo Nkone we love your songs so much here in Kenya we welcome you Servant🙏❤🙏
Huyu Yesu amenilipia garama 😭😭😭😭kwa maisha yangu 💪wewe ni alpha na omega akuna mwingine kama wewe hallelujah mungu akuinue zaidi ❤kwa kazi nzuri sana nimebarikiwa 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This is the best song amongst your songs ...,yesu amelipa gharama pale msalabani hatudaiwi deni la dhambi tena ....sisi ni watakatifu kama mungu kupitia damu ya yesu kristu 🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏 amen ❤and amen 🙏🙏🙏 nashukuru mungu kwa kutuletea mwanae yesu kristo ametukomboa.amen.asante yesu kristo.nimepata wokovu.alishinda mauti ako hai siku zote.mungu akubariki sana kwa wimbo wenye imani naupenda sana hu wimbo.
❤❤❤❤ barikiwa sana ,,, ujumbe wa song vazi nawachezaji wenyewe safi xana huku ndo kumtumikia Mungu wakwela usionjezee ma dance mama kaa hivyo hivyo hapo ulipo
Wimbo mzuri ujumbe wenye nguvu,ushauri wangu waimbaji jitambueni tunzeni imani yenu msimezwe na tamaa ya pesa, hao vijana madence wanaharibu maudhui ya wimbo,maana hawana tofauti na akina Diamond.
Hakika huyu yesu amenilipia garama Kwa maisha yangu🙌🏾🙌🏾🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nyimbo zenye mguso kweli.the price was paid for real.
Amelipa Gharama🎉
Oooh asante yesu umenilipia gharama pale msalabani
Me nmelipiwa garama alafu saii nisiende kanisani,!! Sio acha nijitoe kwa Yesu coz ashanilipia garama.
Amen
Amen the price was paid on the cross because of my salvations and my sins to be forgiven wow what a touching song frm woman of God Upendo Nkone we love your songs so much here in Kenya we welcome you Servant🙏❤🙏
i love mumy Ninapenda jinsi unavyoimba kumwabudu Mungu ninakufuata kutoka Kongo Kinshasa
Nakupendaga sanaaa mama angu nakuombea maisha marefu
Huyu Yesu amenilipia garama 😭😭😭😭kwa maisha yangu 💪wewe ni alpha na omega akuna mwingine kama wewe hallelujah mungu akuinue zaidi ❤kwa kazi nzuri sana nimebarikiwa 🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen Amen Kwa upendo
Neema imbebe Mama yetu na ivunje Sheria 🙏🙏🙏🙏 wapendwa kwa moyo wa upendo njooni tumimine like za mama yetu 🙏🙏🙏 huu wimbo Ni mo🔥🔥🔥🔥🔥
Try r
@@asendewasemba SHALOM 🙏🙏
Kweli
Neema imbebe mama yetu@upendo nkone na ivunje sheria kwa jina la YESU🙏
❤ more grace mama
Aksante Maman yangu kuimba tena ,uwepo uko kabisa , maisha marefu kwako , endelesha Yesu Alilipa Garama❤
Hongera sana,Mama na Tanganyika production kwa ujumla
A wonderful song...may all those who listen to this song b blessed abundantly.
This is the best song amongst your songs ...,yesu amelipa gharama pale msalabani hatudaiwi deni la dhambi tena ....sisi ni watakatifu kama mungu kupitia damu ya yesu kristu 🙏🙏🙏
Kaliiiii Sanaaaaa.
Asante mama hua wanifariji moyo wangu ninapo lemewa nakupenda sana mungu akupe nguvu uendelee nakazi yake❤🎉
Yaani sana tuu, kama wimbo wa nimebaki na Yesu, na uniongoze duu ukisikiliza lzm machozi yatoke
Amen . Amenilipia gharama 🙏🙏
Kweli hapo tumepona kwa yesu kristo tu
nimekombolewa kwa Damu ya Yesu kristo asante kwa neema hii.
Nyimbo kubwa sana...hii.
💪💪💪
ubarikiwe mama kwa kazi nzuri sana.yesu ametuletea wokovu.ndioooo
Hakika Bw. YESU ametuletea wokovu. Kwa kupigwa kwake msalabani sisi tumepona amina
Napenda hii song hadi nili download barikiw mama🙏🙏🙏🙏
Asante Yesu Kwa wokovu. ❤🙌🙏
Barikiwa sana kazi zuri sana
Hakika amelipa gharama na sasa niko huru kweli kweli barikiwa mtumishi.
Amen Amen🙏🙏
Happy Easter 😍😍🔥🔥❤️❤️
Amen Glory 🎉🎉🎉🎉🎉
Hakika yesu alilipa garma pale msalabani kwa ajili ya maishia wangu
Good song mumy , be blessed huyu yesu na WA garama kwangu wpi like sa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen 🙏🙏🙏 amen ❤and amen 🙏🙏🙏 nashukuru mungu kwa kutuletea mwanae yesu kristo ametukomboa.amen.asante yesu kristo.nimepata wokovu.alishinda mauti ako hai siku zote.mungu akubariki sana kwa wimbo wenye imani naupenda sana hu wimbo.
Woow ameripa gharama kwel
Ooh I like that wonderful , timeupata wokovu
Amazing ,hii video nimeisubiri sana ,utukufu Kwa Mungu
Amina mama yetu kongo tupo ndani🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Alelua
Kwa kweli ametuletea wokovu,ainuliwe yesu
From UGANDA 🇺🇬 To Tanzania 🇹🇿 Ubarikiwe Mamangu🔥🔥
Amen amelipa gharama
❤❤❤❤ barikiwa sana ,,, ujumbe wa song vazi nawachezaji wenyewe safi xana huku ndo kumtumikia Mungu wakwela usionjezee ma dance mama kaa hivyo hivyo hapo ulipo
bwana yesu lipa garama kwenye maisha yangu
Uishi miaka ya kumutumikia Mungu
Hallelujah 💓 more love from Kenya,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ukiimba huu wimbo usijiite mwenye dhambi tena kwa sababu umelipiwa gharama ya dhambi kupitia mauti ya yesu...rom 6:23
Yes Jesus paid it all on the cross
Mwenye amebarikiwa kama tumpe mama wetu high ten🙌🙌🙌🙌
🙏🙏🙏💕💕💕
Kwl kabx musalaban yot amekwish
All the way from TikTok to TH-cam direct❤❤❤❤❤God bless you mamaaa❤🥰🥰🥰🙌
God bless you Upendo. One of the few gospel artists who show the back up singers in her videos.
Kumbe Mama umeedereya kumuimbia Mungu🇧🇮😀😀🇧🇮💯be blessed more
niseme nini aki,Huyu Yesu
Barikiwe waimbaji Mungu nguvu za kushinda tamaa za duniani
Kwa kweli amelipa garama 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amen 🙏🙏🙏🙏
Be blessed mama
Much love from Kenya
AMETULETEA WOKOVU!!!!!❤🤸🤸🤸🤸
Aki my heart melts tears of joy really blessing me
Kweli Yesu ametuletea wokovu.nice song
Wimbo mzuri ujumbe wenye nguvu,ushauri wangu waimbaji jitambueni tunzeni imani yenu msimezwe na tamaa ya pesa, hao vijana madence wanaharibu maudhui ya wimbo,maana hawana tofauti na akina Diamond.
Ashukuliwe.Bwana.yesu
Waliitikia afunguliwe baraba
More grace mama🙌🙌🙌
Glory to God....Yes He has given us salvation
Nguvu ya Msalaba!! Wimbo mzuri sanaa. Umejaa theolojia nzuri.
Mama unaimba vzr ila acha kujipamba kma wa dunia pia wewe ni mama mchungaji
Mwanamke no pambo lazima apendeze Jud dada
Yes we are free now because of his precious blood stay blessed mama upendo
Kweli amelipa garama Huyubwana Yesu pale msalabani ametuleteya okovu♥️🔥🙌♥️♥️♥️🇨🇩
Asante sana Mtumishinwa Mungu,nyimbo zako zabariki mno,
Hakika yesu amenilipia deni kubwa sana pale msalabani barikiwa mama,
the return of champions.
wenye injili Yao wameamua sasa
Wapi, nduru ya Tanganyika production,very nice captions and clear videos,Heko kwenu jamani
Barikiwa Sana pia Asante kwa zawadi hii ya wimbo Bora wa pasaka
Amen Amen wokovu tumepata asante Yesu hakuna kama wewe
Glory be to Almighty God Amen 🙏🙏🙏
Umekua wa baraka sana kwangu mama.Neema idumu kwako.
Amen 🙏🙏🙏 hallelujah yesu asifiwe mungu wetu
A famous song.
The name of Jesus Christ is all
Mungu asifiwe naku tafuta saana mamayangu walinielezeyaka kama usha fariki
Mh wewee🤔
Amen .Yes kristo yu hai.Tumepona!! Thanks mama for this songs.
Yesu naomba unilipe hiyo gharama na nitashukiru
Wooooow content and blessings... You are a child of God🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😇😇😇😇😇
Unajua kuimba na ujumbe mzur
Amelipa gharama ili tuokolelewe sijui tuseme nini kwakweli ni mwema
Hakika MUNGU hutuvuta mtumishi Mungu akubariki azidi
Wimbo wa Mwaka
Baraka tele
Asante kwa Mungu wetu.
Aisee wimbo umenikosha sana Asante sana Dada Upendo
Barikiwa sana Mama Kwa wimbo mzuri sana ❤.
Ubarikiwa mno mama kwa wimbo huu huyu YESU JINA LEKE LIHIMIDIWE MILE NA MILELE❤❤❤😭😭🙏🙏🙏🙏🙌🙌
Amen🔥👏🙌namfurahia yesu unayemtumikia mom🙌👏🔥🙏
Ametulipia deni huyu Yesu nani kama yeye
Amen, kila kitu ametulipia
Yesu Ametuletea Wokovu
Amina
God is good and i have listened to the song am blessed
Love the song💞
Amen, hakika yesu alituletea wokovu,barikiwa mum
Ubarikiwe Maman
My favourite ❤