Allah akuhifadhi na maneno ya watu machafu. Kwa hakika kila mwenye kulingania kwa hakii lazima asemwe vibaya.. . Usikate tamaaa kwa kusema hakii.... Allah akuhifadhi sh. Mohammad bachuu
@@jumaakhamis4953 Kwan Adi Akueleze Yeye Kwani Ukiacha Kibrii Na Ukaamua kumsikiliza Sheikh Mohammad Bachu Utajua Na kubaini Uwongo na Shirki Katika Barazanji
Jazakallahu kher zidi kutu elimisha na Allah Yuko pamoja na ww in shaa Allah namuomba Allah azidi kutuonyesha haki na awaongoze na wengine waiyone haki inshallah Alfa shukrn yaa sheikh AllahMaak
Jua sheikh bachu nakupa za ndani Leo kila nikiingia TH-cam na mitandoa ya kijamii kichwa Cha habari ni sheikh Fulani kamfundisha bachu kuhusu barzanj .......nilichogundua hili jambo la kuwarad masufi lilikuwa limefifia ndio maana walikuwa wanaota mabawa sasa hoja hawawezi kujibu sasa ni kumdhoofisha Kipenzi chetu sheikh wetu mtoto wa Mwanachuoni mkubwa East Africa sheikh Muhammad bachu Allah amhifadhi..
Wallahi hata naona hayaa kusikikiza maneno hayo, ila lazima baatili ifichulie ALLAH atusamehe sote kwa kusikiliza maneno machafu wanayo msingizia kipenzi cha waumini.... shk Bachu ALLAH akuhifadhi.
Ndungu zangu waislamu, tafadhalini msimuuwe kaka yetu huyu ibn Bachu. Umar bin Al-Khattab r.a, asema ukimsifu ndungu yako muislam sana pindi anapo fanya khair, ni kama umemuuwa. Maana inawezekana shaytan akapata kipenyo na kumhadaa na kumtia tafakhkhurun na majivuno akajiona mboraa, na shaytan akaweza kuiharibu khair yake ile. Wal 3iyaadu bilLlah. La busara ni kumuombea Dua nzuri Allah amzidishie nguvu, ilmu, afya, thabaat, nia njema..nk.. ili aweze kuendelea na kazi yake hii nzuri. اللهم امين
Wasikukatishe tamaa kwa matusi yao hiyo ndiyo njia yako ya pepo. Sikuzote haqi husimama na batwil huanguka. Allah akulipe kwa kila hatua yako katika maisha yako
Kibano mpaka waingie kwenye line.....maneno machafu sana yameandikwa kwenye vitabu vyenu watu wa Maulidi alafu mna ushindani mwingi haya mtu yoyote wa Maulidi afafanue maneno hayo tuskie
.Namuomba Allaah akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu, kwa hakika unaongea haqqi na maadui wa haqqi wanaelewa vizuri sana kua wewe unaongea haqqi, lkn kwa maskitiko makubwa huwezi kumuongoa ashae andikiwa kupotea, lkn wapo watu kwenye upotofu, uzushi, na uchafu wa maulid, lkn kwa UKWELI kama huu hupata muda waka tafakari na kuingiza akilini, na kupima yale wanayo ambiwa na mashekhe zao, khalafu hugundua kua kumbe tunapigwa changa la macho.
Allaah akuhifadh na husda akupambe kwa afya njema aurefushe umri wako na akujulie umri wenye kheriy na manufaa, shekh Mohammad endelea kuelimisha bainisha Haq tup nyuma yko
Huna mawaidha mengine ya kuwapa waislamu ndugu kazi yako kuwasababishia waislamu mipasuko ya kila siku muogope mungu kama unayataka haya fundisha acha kelele TH-cam tafuta wanafunzi fundisha haya unayoyataka ili kesho na siku zijazo yafanye kazi wenzako washawekeza kwenye elimu na siyo TH-cam
Sheikh bachu usijali matukano endelea kuzungumza haki, akiongoka mmoja akaacha uzushi wa maulid ni bora kwako kuliko kumiliki Ngamia mwekundu kama alivosema mtume swalla Allahu alaihi wasallam
أسأل ألله أن يوسع لي ولكم كلّ طريق وينجيني وينجّيكم من كلّ همٍّ وضيق أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبكم بالأنوار ويحفظني ويحفظكم من الأخطار ويسعدني ويسعدكم ما دام الّليل والنّهار ويجعل حياتي وحياتكم حياة الصّالحين الأبرار أسال الله أن يرزقني واياكم السّعادة ويرطّب لساننا بالشّهادة ويحبّب في وفيكم خلقه ويسخّر لي ولكم عباده ويجعل خير عمرنا آخره وخير عملنا خواتمه وخير أيّامنا يوم لقائه وجعلنا الله ممّن يناديهم المنادي يوم القيامة، لكم النّعيم سرمدا تحيون ولا تموتون أبداً تصحون ولا تمرضون أبداً تنعمون ولا تبتئسون أبداً ويحلّ علينا رضوان ربّنا ولا يسخط علينا أبداً هذا دعائي لكم واتمنى من الله عز وجل ان يتقبل مني ومنكم
Ushauri wangu usikate tamaa kuwarudi haya masufi na maulid zao mpaka wakikuona wawe kama wameona bastola wallah nasikia Raha masufi wakisemwa ili waache baatwil zao
SHEKHE WANGU NAKUOMBA KWA AJILI YA ALLAH, IKIWA MTU KAKOSEA MTAFUTE MUREKEBISHANE KANDO MITANDAO, WALLAAHI THUMMA WALLAAHI MUNAUTOA UISLAM THAMANI YAKE KWA KUVUNJIANA HESHIMA.
Kusema hukatazwi illa unacho kisema wakijua au wajisemea to Kulla maneno yanawatue kabra hujayazungumza wafate wenyewe wakuelekeze so kujisemea to nenda mambrui kw sh.said kasome
Sh. Bachu midhali we wapinga uwovu wa maulidi utaonekan mbayatu hata kama wasema kweli. we wajiona wapinga maulidi Lakin wao wakuona wapinga maslahahi we wasemea ulimi wao wasema tumbo lao
Hawawezi elewa haya maneno sababu kuna ulaji ndani yake, mfungo sita pesa za michangonya maulidi na pilau nyama unafikiri wataacha?? ALLAH akulinde Sheikh BACHU tupe elimu, kule hawakutaka kukusikiliza weka huku wataona na nafsi zao zitawasuta
Kama ni ishu ya pesa nahuyu mbn pesa anataka tu walosoma wanatoana kasoro misuri mpaka inawasimama Mimi nawaangaliaga tu nawapa pole elimu waloipata inawatesa tu nawasipokuwa makini watapata madhambi maa hekima ni ndogo hasira ipo juu na chuki bila kujali wanauchafua uislamu Kwa maneno machafu kwani hata kama mtu anataka kusilimu akakutana na mabishano ya hivi anashidwa kujua uisilam wa kweli ni upi?
Waambie hata kama wanakasirika waache wakasirike lkn haki ijulikanae naifatwe nabatili ijulikane naiachwe usijali malawamayao maana sikuhizi wapenda maulidi kila wakizungumza bc mazungumzo ni bachu bachuu utaona wazi wanavokupiga vita lkn wwe unatetea haki usikhofu ALLAH NDIE MLINZI WETU
Yani wewe Uongo ni Dhambi na Shirki ni dhambi kisha unakuja kumuambia Sheikh Muhammad Nassor Bachu asilinganie yani nyinyi Allah anawaona kwa kweli na Hapa ndipo kwenye chaka mlilojifichia na kawagundua huwezi kumfundisha Mtoto kuswali ingali unajua ana najis
Yaa walichafua Mojadala ila sasa NDIO Muda mwafaka kuyaweka wazi yooooote madudu yaliyomo katika Barzanji. Msijebakisha kitu kukibainisha. Mkiacha kuviweka wazi vyote, vingenevo nanyinyi mtafanya khiyana. Kijana wao mpigaji Zumari KAKUBALI Hadithi Munkari zilizotumika kumpa sifa ambazo hajasema mwenyewe bila kuogopa nafsi zao.
Ulete vurugu wew ulalamike wew wew sindoulikimbia kujibu swali Moja tu jibu swali je Hadith ikiwa munkar au dhaifu maneno hayo yanaitwa uongo sio kulalamika upuuzi
@@SamoraTemba wewe akili huno said alitoa Hadith bachu kasema Hadith ni munkar said ndokamuuliza je Hadith ikiwa munkar au dhaifu maneno hayo yanaitwa uongo Kwa ufahamu wa wanachuoni?
@@SamoraTemba unasema kayatoa jalalani hivi elim ya Muhammad bacho na barazanje alikuwa mwanachuoni na mufti wa Madina utafananisha na elim ya Muhammad bacho ambayo hata madrasa za ibtidaia hawezi kufundisha maana kama hata kiarabu kinamshinda atawafundishaje waarabu hebu kuweni na akili msifuate mukumbo
@@tanzaniaonmzamiloon8627 kwani hayo maneno ya Barazanj,wakwanza kuyapinga ni huyo Muhamed Bachu,wanazuoni wakubwa wameyapinga hayo ya kwenye kitabu cha Barazanj
Wapinga maulidi naona wameshanganyikiwa mwisho wa siku watakuwa na vichaa. Kusimuliana habari za mazazi na maisha ya Mtume MUHAMMAD s.a.w ni kitu kisichoepukika. Mazazi ya Mtume Allah amesha yazungumza kabla ya Mtume kuzaliwa sisi tunaendelea kuzungumzia.
We husikilizi. Kinachopingwa si kumsifu mtume.. Bali ni kumsingizia mtume na kumtukana mtume basi. Beti za milango ya maulidi baadhi inasema mtume anamramba ulimi binti yake fatma. Denda hilo unakubali bado maulidi. Karagabaho
@@rashidmohamed1949 Sisikilizi vipi? Pia kumsifu Mtume mnapinga. Halafu uongo hakuna ubeti Unaosema mtume aliramba ulimi Mtoto wake Fatma yaani kumpiga denda Hilo unaesema wewe. Na kama uko huo ubeti niandikie au nielekeze uko kwenye mlango wa ngapi. Barzanji anafahamu vizuri alichokiandika hawezi Hata siku Moja kumzulia na kumkashifu Mtume. Nyinyi mumukaa kama hamkupita shule na mkasoma kazi za fasihi andishi?
mashaalah nyundo 19 hazijajibiwa nyundo nyingine kwa masufi hiyo allah akulinde sheekh mhamed nasser bachu
Allah akuhifadhi na maneno ya watu machafu. Kwa hakika kila mwenye kulingania kwa hakii lazima asemwe vibaya.. . Usikate tamaaa kwa kusema hakii.... Allah akuhifadhi sh. Mohammad bachuu
Allah akuhifadhi shekh wetu Muhammad Bachu
Allaah Akuhifadhi Shaykh Ukweli Tunaujua na Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli Shukran Al-Akhy
Mashaallah Al akhi sheikh bachu mwaka huu wameipata na usirudi nyuma masufi wengi umewazindua Allah akulipe
MASHALLAH MASHALLAH MTOTO WA BACHU,,KIBOKO YA WAZUSHI...TWAKUPENDA KWAAJILI YA ALLAH
Maa shaa allah
Kiboko wa makhurafi na masufi
Masha Allah Vizur Sana Muhammad Bachu Napenda Sana Mawaidha Yko Maana Wazungumza Haki Na Kukataza Batili
Huna jipya na hunaelimu kasome Tena ukasomesana wewe badoukonyuma
Allah amekuleta duniani kwa makusudi maalum,Allah atupe mwisho mwema.
Allah akupe umri mrefu wenye kheir. Na akuzindishie ujasiri wa kusimama kwenye hakii
Ammyin
Kazii iyendelee tupo pammoja bachu Allah akuweke masufi mumetukufurisha tangia tunaasoma alifu tumechoka sasa lazima ueleze na tuelewe ukweli
Sasa wewe ndugu yangu unaefahamu barzanji mashallah tueleze ukweli ulioko
@@jumaakhamis4953 Kwan Adi Akueleze Yeye Kwani Ukiacha Kibrii Na Ukaamua kumsikiliza Sheikh Mohammad Bachu Utajua Na kubaini Uwongo na Shirki Katika Barazanji
HUYU NI JAAHIL WA AAKHIRUZZAMAAAN MUNGU ATULINDE NA VITUKO VYAKE
@@RayRey-b4xhakuna mpunga wewe maulidi swala viraka viraka
masha allah.shukran yaa sheikh m/mungu akujalie kila la kheri na tumeupokea usia wako
Allah akujaalie kher shekhe usichoke kutoa elimu ata wakikutukana na kukukashifu kwani kwenye haki hakukosi changamoto Allah blessed you
ALLAH AKUHIFADHI SHEIKH BACHU WENGI TUNAKUFAHAMU VIZURI ILA NI KWA WENYE AKILI TU
Jazakallahu kher zidi kutu elimisha na Allah Yuko pamoja na ww in shaa Allah namuomba Allah azidi kutuonyesha haki na awaongoze na wengine waiyone haki inshallah Alfa shukrn yaa sheikh AllahMaak
Allah akubakize kwa ajili yetu Muhammad bachu na uendelee kutoa ukweli wala usiogope Allah akuhifadh aamiin
Ma sha Allah ! Allah akuzidishie elimu yenye manufaa akuzidishie nguvu na Afya uendelee kuitetea haki
Mashaalah!! Shekhe WANGU Allah akulipe kheri
Jua sheikh bachu nakupa za ndani Leo kila nikiingia TH-cam na mitandoa ya kijamii kichwa Cha habari ni sheikh Fulani kamfundisha bachu kuhusu barzanj .......nilichogundua hili jambo la kuwarad masufi lilikuwa limefifia ndio maana walikuwa wanaota mabawa sasa hoja hawawezi kujibu sasa ni kumdhoofisha Kipenzi chetu sheikh wetu mtoto wa Mwanachuoni mkubwa East Africa sheikh Muhammad bachu Allah amhifadhi..
Labda WALII🐆,
Wallahi hata naona hayaa kusikikiza maneno hayo, ila lazima baatili ifichulie ALLAH atusamehe sote kwa kusikiliza maneno machafu wanayo msingizia kipenzi cha waumini.... shk Bachu ALLAH akuhifadhi.
Ma Shaa Allah wa kwanza kukuoment nipeni swadaka yangu au Dua zenu niendelee kichukia bida'a
Mayahudi wenzenu anawauwa waislamu MMEKAA kimyaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mashaallah sheikh wetu Allah akupambe kwa siha njema.
Mungu akulinde nashari zawazushi amin
Mashaallah Sheikh wetu apewe pongezi kwa ujumbe mzuri
Shukran shekh wetu kwa kutuelimisha coz mashek wengi wamelifumbia macho hili la maulidi na usichoke mpaka waelewe msa tuko pamoja sana.
Maa shaa Allah bachika gear baba hii sawa sawa na treller imekata breaki natunashuka mlima wa salama.
MashaAllah, Allah akupe afya na umri mrefu wenye manufaa
Ndungu zangu waislamu, tafadhalini msimuuwe kaka yetu huyu ibn Bachu. Umar bin Al-Khattab r.a, asema ukimsifu ndungu yako muislam sana pindi anapo fanya khair, ni kama umemuuwa. Maana inawezekana shaytan akapata kipenyo na kumhadaa na kumtia tafakhkhurun na majivuno akajiona mboraa, na shaytan akaweza kuiharibu khair yake ile. Wal 3iyaadu bilLlah.
La busara ni kumuombea Dua nzuri Allah amzidishie nguvu, ilmu, afya, thabaat, nia njema..nk.. ili aweze kuendelea na kazi yake hii nzuri. اللهم امين
Allah akulinde na akulipe sheikh Muhammad Bachu
Mashallah Allah akuhifadhi in shaa Allah
Kulen chuma icho masuf,yuhu akhy kiboko wa masuf Allah amuhifadhi
اللهم بارك شيخنا
Wasikukatishe tamaa kwa matusi yao hiyo ndiyo njia yako ya pepo. Sikuzote haqi husimama na batwil huanguka. Allah akulipe kwa kila hatua yako katika maisha yako
Upofu mbaya na wewe usiwe kipofu .aysee uwahabi jamani!!!!
Kibano mpaka waingie kwenye line.....maneno machafu sana yameandikwa kwenye vitabu vyenu watu wa Maulidi alafu mna ushindani mwingi haya mtu yoyote wa Maulidi afafanue maneno hayo tuskie
Allah awaongoze watu wa Maulidi
hawaachi si rahisi. watakosa mafurushi ndo wanachokiendea mtume hawamsalii ikifika mfungo 6 mbio maulidini kufata vyakula maulidi yastopishwe haraka bachu fanya mambo mwisho
.Namuomba Allaah akuhifadhi Shekh Muhammad Bachu, kwa hakika unaongea haqqi na maadui wa haqqi wanaelewa vizuri sana kua wewe unaongea haqqi, lkn kwa maskitiko makubwa huwezi kumuongoa ashae andikiwa kupotea, lkn wapo watu kwenye upotofu, uzushi, na uchafu wa maulid, lkn kwa UKWELI kama huu hupata muda waka tafakari na kuingiza akilini, na kupima yale wanayo ambiwa na mashekhe zao, khalafu hugundua kua kumbe tunapigwa changa la macho.
Allaah akuhifadh na husda akupambe kwa afya njema aurefushe umri wako na akujulie umri wenye kheriy na manufaa, shekh Mohammad endelea kuelimisha bainisha Haq tup nyuma yko
Hana lolote huyo
Yuwatafuta sifa na amesha pata kutoka kwako
Nonstop chuma juu ya chumaa!!
Mashaallah mgu wupe oumri refou inshaallah
جزاكم الله عنا كل خير
Huna mawaidha mengine ya kuwapa waislamu ndugu kazi yako kuwasababishia waislamu mipasuko ya kila siku muogope mungu kama unayataka haya fundisha acha kelele TH-cam tafuta wanafunzi fundisha haya unayoyataka ili kesho na siku zijazo yafanye kazi wenzako washawekeza kwenye elimu na siyo TH-cam
musufii mwaka huu mumesoma maulidi ya watu wawili muhammad bach na muhammad swalla llahu alayhi wassallam na bado hamja sema mtasema2!!!!!!
Kweli baadhi ya miji viwanja vya maulid havikujaa
Allah akuhifadhi SHEIKH WANGU.
Sheikh bachu usijali matukano endelea kuzungumza haki, akiongoka mmoja akaacha uzushi wa maulid ni bora kwako kuliko kumiliki Ngamia mwekundu kama alivosema mtume swalla Allahu alaihi wasallam
Barakh Allah fikh wa jazakh Allah Khair
Baaraka llah fiika , watakusifu ukishakufa
أسأل ألله أن يوسع لي ولكم كلّ طريق وينجيني وينجّيكم من كلّ همٍّ وضيق
أسأل ألله أن يملأ قلبي وقلوبكم بالأنوار ويحفظني ويحفظكم من الأخطار ويسعدني ويسعدكم ما دام الّليل والنّهار ويجعل حياتي وحياتكم حياة الصّالحين الأبرار
أسال الله أن يرزقني واياكم السّعادة ويرطّب لساننا بالشّهادة ويحبّب في وفيكم خلقه ويسخّر لي ولكم عباده ويجعل خير عمرنا آخره وخير عملنا خواتمه وخير أيّامنا يوم لقائه وجعلنا الله ممّن يناديهم المنادي يوم القيامة، لكم النّعيم سرمدا تحيون ولا تموتون أبداً تصحون ولا تمرضون أبداً تنعمون ولا تبتئسون أبداً ويحلّ علينا رضوان ربّنا ولا يسخط علينا أبداً
هذا دعائي لكم واتمنى من الله عز وجل ان يتقبل مني ومنكم
Shukran niko buja bujumbura mashoga na masufi watakuwa unaficuwa uovu wao
Ushauri wangu usikate tamaa kuwarudi haya masufi na maulid zao mpaka wakikuona wawe kama wameona bastola wallah nasikia Raha masufi wakisemwa ili waache baatwil zao
😂😂😂 wallah nimecheka sana apo, na mm nakazia MASUFI WARADDIWE, MPAKA WAFE AU WAACHE BIDAA😂😂😂
Wewe na bachu hamuna elimu yoyote ila fitna ndio chapa chenu mawahabi
ههههههههههههههه
@@nayef3903 Elim wanae masufi sio ambao hawawezi kutoka hoja juu ya barzanj?😄😄
Allah akupe nguvu za kupambana na watu wa bidaa kwa manufaa yao binafsi
Allah akuhifazi
ماشاءالله
Sikieni eleweni tuskie tuelewe SUBHANNALLAH VP TUNAMSEMEA HIVI RASULULLAH ALAFU TUNAPOKEA MAONYO TUNAZIBA MASKIO TUNAWATUKANA WALINGANIAJI ALLAH TUSTIRI WAJA WAKO
MashaAllah MashaAllah MashaAllah
Molasses akuweke na akujaalie uwe mwandani wangu Duniani na peponi inshaAllah
AmeenAmeenAmeen
MashaAllah MashaAllah
Allah akulipe kheir Bachu
Allah akubariki sana, upo sahihi, upo kwenye haki, hata wanaokupinga wanajuwa wazi kwamba wanachopinga ni haki
Allah akuhifadhi sheikh muhammad
Amiin
Wao masufi miungu Yao ipo makaburi ya walii wao .
Jiulize ndugu yangu utamjibu Nini Allah akikuuliza uthibitishe Haya Masai yako. Allah atusahilishie sote. Amin
Bachu wajipoteza jiangalie
Njoo mambrui baaba ujibuswali la ustadh said
Allah akuhifadhi uzidi kuinusuru dini yake
Shekhe muhammad njoo pemba uwaeke watu sawa
Subutuuu,
Uyo kapigwa stoper kuongeo ktk msikiti wowote
Hapa
Ofisi ya mufti imempiga marufuku
Wasija wakamroga Mwana wa watu Muhammad Bachu....Bachu nakunasihi usiende huko
Saf sanaaaaaaa mpk waache au wafe
SHEKHE WANGU NAKUOMBA KWA AJILI YA ALLAH, IKIWA MTU KAKOSEA MTAFUTE MUREKEBISHANE KANDO MITANDAO, WALLAAHI THUMMA WALLAAHI MUNAUTOA UISLAM THAMANI YAKE KWA KUVUNJIANA HESHIMA.
Hapa hamzungumzi mtu anafahamisha yaliyo andikwa kwenye icho kitabu
Muhammad bachu lingania pamoja na masalafy upate utulivu, bila ya kuacha uhizbi utahangaika sanaa ndugiangu.
Umekosa cha kucomment mzee acha bangii na ujadidah wako
Toba ya rabbi!
Maashaanllah baraakanllah fiiq
Masha Allah mm maulidi niliachana nayo
Bachu usharitadi umemtukana Mtume saw
Ukufuati tena wafuasi wako km 150 hatuwezi kukusikiliza unanukuu matusi kutoka kwa wajinga
Kitabu hicho cha kishia hunampya
Masheikh wa maulidi ina mana hamujui tafasir hizzo
Subhaanallah hawa makurafi huongozwa na sheitwaan.
Sheikh Muhammad bachu upo njia ya sawa.Waache masufi na Mashia waadhimishe Hadith mukar za uongo .kumsifu mtume
Mashaallh ❤️ point juu ya point
Kusema hukatazwi illa unacho kisema wakijua au wajisemea to Kulla maneno yanawatue kabra hujayazungumza wafate wenyewe wakuelekeze so kujisemea to nenda mambrui kw sh.said kasome
Allah akuhifadhi
Bado kwanza tusome sana mungu atuongoze sote inshallah
Wallah thuma walli masufi na mashia wameshikana sana. wako na undugu mkubwa.
Shekh sema siju
Alhatimiy eee said eeh hizi tafasiri anotoa bin bachu ni urongo tupeni zilizo za kweli
Sh. Bachu midhali we wapinga uwovu wa maulidi utaonekan mbayatu hata kama wasema kweli. we wajiona wapinga maulidi Lakin wao wakuona wapinga maslahahi we wasemea ulimi wao wasema tumbo lao
Hawawezi elewa haya maneno sababu kuna ulaji ndani yake, mfungo sita pesa za michangonya maulidi na pilau nyama unafikiri wataacha?? ALLAH akulinde Sheikh BACHU tupe elimu, kule hawakutaka kukusikiliza weka huku wataona na nafsi zao zitawasuta
Kama ni ishu ya pesa nahuyu mbn pesa anataka tu walosoma wanatoana kasoro misuri mpaka inawasimama Mimi nawaangaliaga tu nawapa pole elimu waloipata inawatesa tu nawasipokuwa makini watapata madhambi maa hekima ni ndogo hasira ipo juu na chuki bila kujali wanauchafua uislamu Kwa maneno machafu kwani hata kama mtu anataka kusilimu akakutana na mabishano ya hivi anashidwa kujua uisilam wa kweli ni upi?
Waambie hata kama wanakasirika waache wakasirike lkn haki ijulikanae naifatwe nabatili ijulikane naiachwe usijali malawamayao maana sikuhizi wapenda maulidi kila wakizungumza bc mazungumzo ni bachu bachuu utaona wazi wanavokupiga vita lkn wwe unatetea haki usikhofu ALLAH NDIE MLINZI WETU
Asimamiae haki kwa haki ,, huwa na maadui wengi ,,, mungu akuhifadhi shekhe bachu
Unakiti chako kaka in shaallah tumekuelewa
Huna ujualo bachu nenda mambrui ukasome iyo kubweka mtandaoni huna upatacho zaid y comment nzuri z kukupa moyo zitokazo kw wakiristo ukweli uliaibika cn mombasa hadi mikojo ilikutoka ukajua km hujui ukakimbia mnakasha w kielim
mashallah
Sema hujui 😅
Kiboko cha wazushi na masufi baarakallahu fiiika
Kirikuu yule uchi au mwingine
NAKUSHAURI NDUGU YANGU SHEIKH.
ENDELEA NA DARSA ZINGINE
MUNAAQASHAH UMEISHA.
Yani wewe Uongo ni Dhambi na Shirki ni dhambi kisha unakuja kumuambia Sheikh Muhammad Nassor Bachu asilinganie yani nyinyi Allah anawaona kwa kweli na Hapa ndipo kwenye chaka mlilojifichia na kawagundua huwezi kumfundisha Mtoto kuswali ingali unajua ana najis
Munaqasha haujaisha ila waliuvuruga maksudi
Bado tunahitaji elimu zaidi. Endelea shekhe wetu tuko pamoja inshaAllah
Wewe bachu muongo halafu hujui kua umuuongo
hhhh😂😂😂😂 debe tume amechanganyikiwa mpaka mwakosa tarehe😂😂😂😂😂
Soma kwanza bachu
Yaa walichafua Mojadala ila sasa NDIO Muda mwafaka kuyaweka wazi yooooote madudu yaliyomo katika Barzanji. Msijebakisha kitu kukibainisha. Mkiacha kuviweka wazi vyote, vingenevo nanyinyi mtafanya khiyana. Kijana wao mpigaji Zumari KAKUBALI Hadithi Munkari zilizotumika kumpa sifa ambazo hajasema mwenyewe bila kuogopa nafsi zao.
Mawahabi hamujielewi unafiki mwingi hamuna elimu yoyote ila fitna ndio chapa chenu.
Ulete vurugu wew ulalamike wew wew sindoulikimbia kujibu swali Moja tu jibu swali je Hadith ikiwa munkar au dhaifu maneno hayo yanaitwa uongo sio kulalamika upuuzi
Jibu wewe na usimfuatilie kama humuelewi
Shekhe mwenye elimu kama bachu hawezi jibu swami la saidi ametoa kwa barzanji si mpokezi hadithi wala riwaya maneno yake kaokota mtaani tena ya uongo.
@@SamoraTemba wewe akili huno said alitoa Hadith bachu kasema Hadith ni munkar said ndokamuuliza je Hadith ikiwa munkar au dhaifu maneno hayo yanaitwa uongo Kwa ufahamu wa wanachuoni?
@@SamoraTemba unasema kayatoa jalalani hivi elim ya Muhammad bacho na barazanje alikuwa mwanachuoni na mufti wa Madina utafananisha na elim ya Muhammad bacho ambayo hata madrasa za ibtidaia hawezi kufundisha maana kama hata kiarabu kinamshinda atawafundishaje waarabu hebu kuweni na akili msifuate mukumbo
@@tanzaniaonmzamiloon8627 kwani hayo maneno ya Barazanj,wakwanza kuyapinga ni huyo Muhamed Bachu,wanazuoni wakubwa wameyapinga hayo ya kwenye kitabu cha Barazanj
Maashaallaha
Wewe bacho unavita Gani na mtume endelea kumpinga2
Shekhe endelea kuyaweka wazi machafu ya hawa watu wachafu, wazushi, warongo, na watu wana elewa, na wana waacha kwa kasi kubwa mno Wallaahi
Wapinga maulidi naona wameshanganyikiwa mwisho wa siku watakuwa na vichaa.
Kusimuliana habari za mazazi na maisha ya Mtume MUHAMMAD s.a.w ni kitu kisichoepukika. Mazazi ya Mtume Allah amesha yazungumza kabla ya Mtume kuzaliwa sisi tunaendelea kuzungumzia.
We husikilizi.
Kinachopingwa si kumsifu mtume..
Bali ni kumsingizia mtume na kumtukana mtume basi.
Beti za milango ya maulidi baadhi inasema mtume anamramba ulimi binti yake fatma.
Denda hilo unakubali bado maulidi.
Karagabaho
@@rashidmohamed1949wewe nawe wasikia huyu chizi bachu hajui kutafsiri kiarabu wala seera. Elimu ni bahar sio ushabiki bila ufahamu
@@rashidmohamed1949
Sisikilizi vipi? Pia kumsifu Mtume mnapinga.
Halafu uongo hakuna ubeti Unaosema mtume aliramba ulimi Mtoto wake Fatma yaani kumpiga denda Hilo unaesema wewe. Na kama uko huo ubeti niandikie au nielekeze uko kwenye mlango wa ngapi.
Barzanji anafahamu vizuri alichokiandika hawezi Hata siku Moja kumzulia na kumkashifu Mtume.
Nyinyi mumukaa kama hamkupita shule na mkasoma kazi za fasihi andishi?