REBECCA E MAGABA - SIRI YANGU. SMS: Skiza 6980963 to 811(Official Video?
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 เม.ย. 2020
- #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #RebeccaMagaba #Ebenezer #RoseMhando #DirectorAbson #AnnointAmani #motivation #gospel #music #god #whatsappstatus #wasafi
For Booking
+255 713 147 183/ +255 797 957 191
Forbooking
msalabamedia@gmail.com
©2023 Administered By Msalaba MEDIA
Unaniimba Mimi dada,,Mungu akubariki Sana,,uendelee kudumu katika Bwana Yesu
Uko mzuri mrefu mzuri fighter macho unaniuwa tu mwenzio nimekupigia sm umenizingua poa tu kama ni wangu ntakuoa tu mungu yuko nami🥰😘😍
Ubarikiwe sana mama mtumishi wimbo mtamu sana
Mungu azidi kukuongezea mafuta mtumishi,kwani huu wimbo huwa unanibariki sana.karibu tena MIRERAN.
Nakuombea Mungu akupe mme mwema kabisa usilie tena mwanangu
Hii kali sio mchezo dada na Mungu akupe haja ya moyo wako talanta hii hapa itumie amina barikiwa tu sana kenya tunakutazama
Kweli kabsa mungu ndo kila kitu ndo sili ya kila mwanadamu anaemwamin nakumtumikia
Wimbo mtamu sanaaaa barikiwa dada na wende mbali kabisaaa ,Mungu azidi kutukuka
Hakika Siri yangu ni Yesu maana yenye ndiye anajua mambo yangu kunielewa sana kama mwanawe, Thanks for this song mama more Grace
Amen huu wimbo unabariki moyo wangu sanaa dada ..more grace
💥💥💥💥💥💥💥💥
Hallelujah YESU Siri yangu I am really blessed by this song
Dada Rebecca Mungu wa Eliya azidi kukuinua zaidi .......Zaburi 121
Naona umeimba iyi nyimbo na ime nitiya moyo tu saaaaana kabisa basi Mungu akubari sana
Pole na yote karibu Kenya dada mrembo wangu
HONGERA DADA HUU WIMBO MI MAISHA YANGU
Barikiwa mtumishi wamngu dadangu mzuri sana wimbo huu mzuri sana 🙏
Siri Yangu mi napendaga Sana ujumbe ndo Kila kitu kwangu
Haipashwi kua siri tena,utangaze ukuu wake ili watu wamjue huyu Yesu nao awabadilishe
Kweli nimefarijika nimebata ngufu kwa huu wimbo amen sili nilibata kwa yesu hai amen hajawai sindwa amen