REBECCA MAGABA - NITAFIKA TU (official gospel video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 เม.ย. 2020
  • #MsalabaMEDIA #DirectorAbson #RebeccaMagaba #Ebenezer #RoseMhando #DirectorAbson #AnnointAmani #motivation #gospel #music #god #whatsappstatus #wasafi
    For Booking
    +255 713 147 183/ +255 797 957 191
    Forbooking
    msalabamedia@gmail.com
    ©2023 Administered By Msalaba MEDIA
  • เพลง

ความคิดเห็น • 114

  • @abelmkayala1573
    @abelmkayala1573 4 ปีที่แล้ว +6

    Hongera kutoa hii video

  • @unashangazatv5167
    @unashangazatv5167 4 ปีที่แล้ว +4

    MUNGU AKUINUE ZAIDI NA ZAIDI NAKUOMBEA KARIBU SAFINA

  • @jordanmweluka5490
    @jordanmweluka5490 4 ปีที่แล้ว +5

    Nitafika tu

  • @joycetz6966
    @joycetz6966 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna kurudi nyuma Songa mbele dada , taji yako ipo Mungu amekuwekea tayari! Barikiwa sana

  • @frank_churchboy4005
    @frank_churchboy4005 3 ปีที่แล้ว +7

    Nitafika tu Kwa Neema za Mungu Ilimradi nimeanza Safari kurudi nyuma mwiko Ujumbe Mzuri Sana

  • @elientinizekimaro4258
    @elientinizekimaro4258 4 ปีที่แล้ว +6

    Hakuna kukata tamaaa

  • @mariammlimbila2748
    @mariammlimbila2748 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina sitarudi nyuma safar yangu ubarikiwe sana

  • @mwajumamussa8848
    @mwajumamussa8848 3 ปีที่แล้ว +2

    Nitafika tuu katika yeye anitiae nguvu Yesu Kristo, Ameen

    • @mwajumamussa8848
      @mwajumamussa8848 3 ปีที่แล้ว +1

      Sauti nzur, ujumbe mzur.. barikiwa Mtumishi wa MUNGU

  • @christinelema1087
    @christinelema1087 4 ปีที่แล้ว +8

    NITAFIKA TU HATA IWE MBALI KIASI GANI NITAFIKA TU
    HATA NIPITIE MANGAPI YA UCHUNGU NA KUTISHA NITAFIKA TU

  • @mathayohenry7892
    @mathayohenry7892 3 ปีที่แล้ว +5

    Ubarikiwe Sana. Mwanangu

  • @theodosiamallya9707
    @theodosiamallya9707 4 ปีที่แล้ว +10

    Wimbo mzur wa kuinua barikiwa myumishi wa Mungu

  • @elijahdasare.jbeostudio6644
    @elijahdasare.jbeostudio6644 4 ปีที่แล้ว +6

    Gud song barikiwa

  • @esthermagashi7581
    @esthermagashi7581 4 หลายเดือนก่อน +1

    Wimbo huu sichoki kuusikiliza, kwani hunitia moyo sana wa kuendelea kusonga mbele. Barikiwa sana Rebecca kwa wimbo wa faraja. Mungu azidi kukubariki😊

  • @christinelema1087
    @christinelema1087 4 ปีที่แล้ว +17

    Wangapi hapa mnaamini mtafika Mbinguni! Mtashinda masomo kesi
    Mtaolewa
    Mtabarikiwa
    Mtajenga nyumba zenu wenyewe
    Mtamiliki biashara Kubwa
    Mtapandishwa cheo
    Hamtaaibika
    Mtazaa watoto!
    AMINI pamoja Nami
    Utafika TU Gonga like hapo na ku subscribe YESU AKUSAIDIE

  • @janethkamoga377
    @janethkamoga377 4 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akubariki sana dada kazi yako ni nzuri sanaa

  • @hamisihemedi9587
    @hamisihemedi9587 4 ปีที่แล้ว +6

    Great!

  • @dorothclaud2038
    @dorothclaud2038 4 ปีที่แล้ว +7

    Barikiwa mamy

  • @modestyally5797
    @modestyally5797 3 ปีที่แล้ว +2

    Balikiwa sana kwa nyimbo nzuli

  • @scolasticamaghembe1189
    @scolasticamaghembe1189 4 ปีที่แล้ว +5

    Safiiiiiii

  • @catherinedaniel4755
    @catherinedaniel4755 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitafika tu kwenye hahadi yangu Amina Dada Mungu akubariki

  • @joyceurassa2517
    @joyceurassa2517 3 ปีที่แล้ว +1

    History yako nimeifatilia inatisha Sana wewe dada ni shujaa kweli umechoka acha liwalo na liwe ulijitwisha junia la misumali peke yako ndugu zako wakakutupa kwaajili ya huyo mmeo ndugu za mme wakakuachia msala pole kumbe mkewe alikimbia huyu mmeo akaona Bora akimbilie kwenye wokovu lkn anamatatizo mabinti ombeni kabla hamjaingia kwenye ndoa

  • @evagelistmagdalinemilytanu5555
    @evagelistmagdalinemilytanu5555 3 ปีที่แล้ว +1

    NIME BARKIWA KWA JINA LA YESU

  • @alainmubake6204
    @alainmubake6204 3 ปีที่แล้ว +3

    ubarikiwe sana kwa wimbo huu dada,ila wachezaji walibaniwa Kwenye ma location tofauti

  • @stanfordmbenganethefarmer1119
    @stanfordmbenganethefarmer1119 2 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa Sana dada yangu, Kazi yako ni njema sana

  • @philbertmasolwa9056
    @philbertmasolwa9056 4 ปีที่แล้ว +3

    Usiogope Mungu atakupa uzao simama tu

  • @jordanmweluka5490
    @jordanmweluka5490 4 ปีที่แล้ว +3

    Kwa neema yako

  • @lovefiretv
    @lovefiretv 3 ปีที่แล้ว +1

    MWANANGU INULIWA ZAIDI NA ZAIDI

  • @SalahSalah-lj8vr
    @SalahSalah-lj8vr 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akupe nguvu uzid mtumikia yeye

  • @boniphacengoloke4993
    @boniphacengoloke4993 4 ปีที่แล้ว +7

    I can see my lovely friend in there Mr Taji, ujumbe mzuri, video safiii Sifa na utukufu kwa kristo yesu

    • @richardtaji5363
      @richardtaji5363 4 ปีที่แล้ว

      Amen my only & true frnd, sifa na utukufu ni Kwa yeye aliye juu

  • @NuruDunianiFM-TV
    @NuruDunianiFM-TV 4 ปีที่แล้ว +6

    AmenAmen

  • @SimonMusa-nr2gr
    @SimonMusa-nr2gr 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe watoto wakufariji mtumishi

  • @captainnnko2633
    @captainnnko2633 4 ปีที่แล้ว +7

    Richard taj jr vs agness Mayagila mc wao 😂😂❤️❤️🙏
    Bonge la nyimbo ujumbe wa kutuia moyo Mungu mwema unaimba sana

    • @richardtaji5363
      @richardtaji5363 4 ปีที่แล้ว

      Amee Mungu akubariki Sana captain Nnko

  • @agnessmangu5929
    @agnessmangu5929 4 ปีที่แล้ว +8

    Barikiwa dada😍

    • @ebenezerrebecca9391
      @ebenezerrebecca9391 3 ปีที่แล้ว

      God bless you beloved.
      I don't know you in person but God knows you well God reveal a revelation to me when I was going through your profile
      to observe things about your spiritual life. while I was meditating
      I saw a divine breakthrough in your life and I saw evil attacks of
      the enemies manipulating on seizing your favour and to come against your hand work for you to be confused and lost hope. in life As i was praying the Lord reveal to me and instruct you to sow a seed into the life of a baby suffering from leukemia in Godsfavorhand orphanage home located in kebbi state in Nigeria before the end of tomorrow and let me know so I can join you in prayers deeply because he want to manifest his promises in your life and that of your family Nobody should know about the seed is between you and God, you will testify to the Glory of God after you have done it if only you believe in him and do what he says
      Proverb (3:27;21:26;22:9 ,,Deu.28:1-5)
      Contact the MD of the orphanage foundation on WhatsApp on +2348148265325 and send your donation to them ask for there acc details and soul a seed to the glory house of this orphanage home babies
      God bless you

  • @irenekessy5191
    @irenekessy5191 9 หลายเดือนก่อน

    Usiogope rebecca Mungu anakupenda sana ila omba sana mmeo kakufunga vibaya usipohangaika Hauta zaa hautafanikiwa kitu na watu wa mhimu watakukataa kwa yale nimesikia sio rahis kwenda ukiacha anayo tengeneza mmeo juu yako ili kukuza hudumu yao jiombee sana

  • @ponibeatrice1381
    @ponibeatrice1381 ปีที่แล้ว +3

    Your a blessing to me,God bless you abundantly

  • @calvinfloriankatunzi5001
    @calvinfloriankatunzi5001 4 ปีที่แล้ว +7

    Dada Rebbeca Magaba ubarikiwe .... Nice Song 🙏

  • @gladyssitati699
    @gladyssitati699 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen Amen be blessed

  • @upendomanento9858
    @upendomanento9858 3 ปีที่แล้ว

    UTAZAA DADA MUNGU MWEMA UTAOLEWA TU VUMILIA HAHAAA ULIFUKUZWA VIBAYA MMEO MSHENZI SN

  • @oscarmumia8116
    @oscarmumia8116 3 ปีที่แล้ว +3

    beautiful message

  • @ananoel9530
    @ananoel9530 3 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo nzur sana

  • @celinaach1354
    @celinaach1354 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana kupitia huu mwimbo ubarikiwe sana mama 🙏🙏🙏🙏

  • @ubuzimabwaclaudine9798
    @ubuzimabwaclaudine9798 3 ปีที่แล้ว +1

    nakupenda sana Maman Rebecca mungu azidikukuinua

  • @eunicekissiri5906
    @eunicekissiri5906 ปีที่แล้ว

    Dada kuolewa ni mpango wa mungu inuka Tena
    Umekata Tamaa sana inuka dadaangu una huduma kubwa

  • @joshuakimario1528
    @joshuakimario1528 4 ปีที่แล้ว +6

    nice

  • @gababoy8785
    @gababoy8785 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali sana sister angu

  • @user-gu4yo6qx9h
    @user-gu4yo6qx9h ปีที่แล้ว

    Nimerudia kusikiliza mara nyingi hakika nitafika tu

  • @leahmwakalambile1648
    @leahmwakalambile1648 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akukumbuke mtumishi wa Mungu

  • @nusaybathashim5909
    @nusaybathashim5909 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akuinue dada

  • @pstelphasumwela7946
    @pstelphasumwela7946 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mtamu Kwa hakika kwa umbali huu ni Ebenezer.Nabarikiwa nikiwa Nairobi Kenya

  • @susannyoni5487
    @susannyoni5487 ปีที่แล้ว

    Leo nimekuona dada nimefurahi sana uzuri huo usijifie Bure uolewe uzae watoto Rebecca una moyo unakaa na mwanaume miaka 19 unamvumilia harafu mnakuja kuachana unakuwa umepoteza muda na Kazaa juu harafu anakuja kuoa mwanamke mwingine utaumia sana ungeshakuwa umezaa watoto wako

  • @jacobshivachi8565
    @jacobshivachi8565 2 ปีที่แล้ว

    napenda hii wimbo na nyimbo zako zingine

  • @hillarymulanda8702
    @hillarymulanda8702 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen Amen Amen

  • @Estherbongo
    @Estherbongo 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada Mungu akufute machozi tu

  • @rebecakitomari3572
    @rebecakitomari3572 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina wajina

  • @hellenmartin2817
    @hellenmartin2817 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana Rebecca nyimbo zako zinanibariki sana

  • @clairemakotswi9666
    @clairemakotswi9666 ปีที่แล้ว

    Hallelujah hallelujah Amina barikiwa Sana 😭😭🙏🙏

  • @rebeccaebenezermagaba
    @rebeccaebenezermagaba  2 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe 🙏

  • @maryannaatieno9414
    @maryannaatieno9414 2 ปีที่แล้ว +1

    May God bless you

  • @charmantekazingufu831
    @charmantekazingufu831 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @madirishasimon9692
    @madirishasimon9692 3 ปีที่แล้ว

    Nyimbo nzur Sana barikiwa

  • @rachelandrew7145
    @rachelandrew7145 10 หลายเดือนก่อน

    Kweli ila Mungu anaijua sababu usiogope dear mama

  • @lightnessmruma3219
    @lightnessmruma3219 2 ปีที่แล้ว

    Ameeni Mungu akupe haja ya moyo wako dear

  • @madammartha
    @madammartha 7 หลายเดือนก่อน

    Amen nitafika tu

  • @ElizabethShija-do9vr
    @ElizabethShija-do9vr ปีที่แล้ว

    Rebecca simama na Mungu TU plz

  • @user-od6fm6kc5k
    @user-od6fm6kc5k 6 หลายเดือนก่อน

    Amen amen

  • @evagelistmagdalinemilytanu5555
    @evagelistmagdalinemilytanu5555 3 ปีที่แล้ว

    ASANTE DADA REBECCA

  • @Eunice-yf2dh
    @Eunice-yf2dh 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Rebecca

  • @agustobagre5608
    @agustobagre5608 ปีที่แล้ว +2

    Linda música, alguém pode por favor me traduzir?

  • @agnesernest1419
    @agnesernest1419 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana mdogo wangu

  • @leticiamadinda3977
    @leticiamadinda3977 11 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mpenzi

  • @elizabethameyo6848
    @elizabethameyo6848 2 ปีที่แล้ว

    Nice song

  • @Marylimo
    @Marylimo 2 ปีที่แล้ว +1

    Utafika dear

  • @sarahmartin4912
    @sarahmartin4912 ปีที่แล้ว

    Ameeni pastor NITAFIKA TU

  • @user-od6fm6kc5k
    @user-od6fm6kc5k 6 หลายเดือนก่อน

    This song encourages me too.....

  • @consolatanaaly6679
    @consolatanaaly6679 2 ปีที่แล้ว

    NITAFIKA GOOD 🎵

  • @annuherman1878
    @annuherman1878 ปีที่แล้ว

    Nakupenda 🎉sana napenda Hekima yako ulipochafuliwa upo Yama a kimyaa mpaka leo najua lengo lilikuwa kuuwa hatima ya ndoto zako Mungu akupe mme atakae kufariji mkeo mmeo anakuchafua sana anaturushia link zake na uzushi juu pole dear

  • @laurianimremaa
    @laurianimremaa ปีที่แล้ว

    Waoo

  • @barikimiliki2857
    @barikimiliki2857 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Mtumishi

  • @obediniyokwizigira2242
    @obediniyokwizigira2242 2 ปีที่แล้ว

    Mamyifique

  • @elizabethsamwel3732
    @elizabethsamwel3732 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa mnoooo Mungu akubariki

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariRebeka

  • @ezrafoundation7646
    @ezrafoundation7646 3 ปีที่แล้ว

    Shalom Rebecca hongera sana

  • @emmymongina5420
    @emmymongina5420 3 ปีที่แล้ว

    Wooow

  • @user-yq9go8ze2n
    @user-yq9go8ze2n 2 ปีที่แล้ว

    So blessed from saudia

  • @neemakidala1631
    @neemakidala1631 2 ปีที่แล้ว

    Happy New sister Rebecca

  • @user-np1lj8ve1b
    @user-np1lj8ve1b 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @danielnyambeo5856
    @danielnyambeo5856 3 ปีที่แล้ว

    Sawa

  • @evagelistmagdalinemilytanu5555
    @evagelistmagdalinemilytanu5555 3 ปีที่แล้ว

    SITA KATA TAAA

  • @edithanchimbi2754
    @edithanchimbi2754 2 ปีที่แล้ว

    Nakupenda Sana naomba Naomba Naomba namba yako

  • @blandinaamina1157
    @blandinaamina1157 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏🙏

  • @millaaaa8910
    @millaaaa8910 3 ปีที่แล้ว

    💃💃🧚‍♀️🧚‍♀️

  • @vincentomutanyi6039
    @vincentomutanyi6039 2 ปีที่แล้ว +3

    Encouraging song!

    • @elizabethsamwel3732
      @elizabethsamwel3732 ปีที่แล้ว +1

      Wimbo mzuri San dada nimegangwa moyo Mungu akubariki mnoooo

  • @agnessmichael7232
    @agnessmichael7232 ปีที่แล้ว

    Ameen

  • @martinrungu4071
    @martinrungu4071 ปีที่แล้ว

    Ameeni

  • @janemdesa8959
    @janemdesa8959 3 ปีที่แล้ว

    WEWE UNAYEWEKA USIYEPONGEZA NA KUONYESHA HAUUNGI MKONO KAZI NA HUJACHANGIA HATA MIA WEWE NI PEPO

  • @upendokimaro7265
    @upendokimaro7265 3 ปีที่แล้ว

    Aameen

  • @esthermachengo9347
    @esthermachengo9347 3 ปีที่แล้ว

    Aaaaaamen

  • @celestinemusundi4064
    @celestinemusundi4064 3 ปีที่แล้ว +5

    This song is a blessing 🙏

  • @farishankunzi382
    @farishankunzi382 3 ปีที่แล้ว

    Asante kwa kunitia nguvu nitafika tu ubarikiwe 🙏🏾

  • @gracezagini3703
    @gracezagini3703 3 ปีที่แล้ว

    Nice song