Ubarikiwe sana mtumishi jipe moyo mkuu jamani kwa yote unayopitia watu wanaona kama kawaida lkn mmeo anakosea sana kuandika matukio ili kukuchafua jamani pole sana Rebecca Mungu akupe mme uzae watoto jamani sasa wanasema wewe malaya msagaji unajiuza naomi anaandika na kusema mmeo ndiye anayemuelezea habari zako swali je wewe na mmeo mlikuwa mnasagana mbona kaoa mwanamke mwenye watoto watatu nasikia wewe ulikuwa mke wa pili wa kwanza yuko kigoma alimuacha akaokoka akakuoa wewe muwe makini jamani ona umepoteza miaka pole sana kaoa mke wa tatu itabidi yeye ajiongeze
Ubarikiwe sana Rebecca pole kwa yote dear yaani umeniliza kweli jipe moyo kwa mashambulizi yote lengo ni kuuwa huduma tu maana kama ni maisha unaweza fanya kazi yoyote Mungu akutetee
@@StellaLyimo-nf7toanapita tuu na atavuka wangapi tumeona wanamiliki vitu vizuri wakaanguka na baadae wakainuka tena.hatushangai maana yeye sio wa kwanza tumewahi kuwa choka mbaya Mungu akatuinua tukawa ahueni .pia ujue Kila aliyeinuliwa Kwa sasa alianzia choka mbaya kama unasomaga Bible utanielewa vizuri
@@StellaLyimo-nf7toutafutaji kawaida maadamu hiyo kazi siyo dhambi kutembeza mitumba haimaanisho ana dhiki anachojali ni maslahi maadamu ni kazi halali
Nyimbo kubwa sana hii my sister ubarikiwe sana utaolewa utazaa usiogope yupo mtu Mungu atakupa asiyeabgalia hauzai na hapo ndipo Bwana atajitukuza kama Mungu❤
Usiogope mtumishi wewe ni mtumishi wa Mungu kataa kutamkiwa maneno magumu utazaa tu na Mungu hajakuacha kabisa mmeo kaoa cha ajabu kabisa watumishi Hawaoni bali wanamsapot hatari ya kanisa angesubiri ufe wanawake wakiachwa na kuolewa wanaonekana watenda Dhabi lkn mmeo kaoa nje Biblia anapewa madhabahu aibu sana sijui tunatengeneza kanisa gani pole sana dear
Dadaetu Mungu akutie nguvu lkn yatapita tu nimeshangaa kumbe kampeni ya mmeo ni kukuchafua ili yeye aonekane bora na kwamba anataka kukuza huduma ya mkeo kupitia jina lako Pole sana Dada jipe moyo mkuu utavuka tu
Wimbo mzuri
Mungu akupe kila jema lenye utukufu wa Kristo ndani yake
Pole pole sana naona unapitia kwenye wakati Mgumu jipe moyo mkuu Mungu anaweza yote pole sana
Asante sana Rebby...
Kazi nzuri sana
Hongera sana mtumishi wa MUNGU akuponye zaidi
Jipe moyo mkuu
Ameen 🙏 mtumishi wa Mungu
Safii
Ubarikiwe mwanangu
Nyimbo ninzuri sana.... Mungu akubariki saana
Muombeeni maisha yake choka mbaya
Mungu akutie nguvu Rebecca kiukweli mmeo anafanya vibaya sana kukupakaza mabaya Ili kukuza huduma ya mkewe wa tatu huyo was arusha si wapambane tu
Ubarikiwe sana mtumishi jipe moyo mkuu jamani kwa yote unayopitia watu wanaona kama kawaida lkn mmeo anakosea sana kuandika matukio ili kukuchafua jamani pole sana Rebecca Mungu akupe mme uzae watoto jamani sasa wanasema wewe malaya msagaji unajiuza naomi anaandika na kusema mmeo ndiye anayemuelezea habari zako swali je wewe na mmeo mlikuwa mnasagana mbona kaoa mwanamke mwenye watoto watatu nasikia wewe ulikuwa mke wa pili wa kwanza yuko kigoma alimuacha akaokoka akakuoa wewe muwe makini jamani ona umepoteza miaka pole sana kaoa mke wa tatu itabidi yeye ajiongeze
Pole mpenzi kwa yote
Nyimbo nzuri sana dada yangu, Mungu azidi kukubariki.
Ameni
Hongera sana mtumishi kazi zako zote zipo kwa ubora wa hali ya juu
Ahsante sana naomba uwa shirikishe na rafiki zako
Kazi nzuri saana mtumishi
Barikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi
Jamani naomba kujua taarifa kuhusu huyu dada ni kweli yuko aicu
Ubarikiwe sana Rebecca pole kwa yote dear yaani umeniliza kweli jipe moyo kwa mashambulizi yote lengo ni kuuwa huduma tu maana kama ni maisha unaweza fanya kazi yoyote Mungu akutetee
1
Barikiwa sana mama yangu.
Amen amen 🙏🙏
Ila usikate tamaa watu wakisoma sms Kwa Naomi wnaulizana huyu Dada hajajiua TU😄
Huyu ni mtumishi wa mungu na anafundisha mafundisho mazuri mno fb Hana muda na hao kabisa wanajaribu kuuwa huduma lkn hawawezi
Nyimbo nzuri Dada, Barikiwa sana kwa kazi nzuri.✍️🕊
Muombeeni maisha yake choka mbaya
@@StellaLyimo-nf7to
Acha kutumika stella, unajiharibia mwenyewe.✍️
@@StellaLyimo-nf7toanapita tuu na atavuka wangapi tumeona wanamiliki vitu vizuri wakaanguka na baadae wakainuka tena.hatushangai maana yeye sio wa kwanza tumewahi kuwa choka mbaya Mungu akatuinua tukawa ahueni .pia ujue Kila aliyeinuliwa Kwa sasa alianzia choka mbaya kama unasomaga Bible utanielewa vizuri
Very Nice song..
Very cool
So Good 👏👏🌹💫
Thank you lucasshirima
Muombeeni huyu Dada nimeona anauza mitumba ya kutembeza
@@StellaLyimo-nf7toutafutaji kawaida maadamu hiyo kazi siyo dhambi kutembeza mitumba haimaanisho ana dhiki anachojali ni maslahi maadamu ni kazi halali
wimbo wako unanibariki mtumishi Mungu akupeleke mpaka pale unahitaji ufike kwa jina la yesu
Ameni
Utaolewa na mtu sahihi
Hongera sana mtumishi Mungu hawezi kukuacha
Nyimbo kubwa sana hii my sister ubarikiwe sana utaolewa utazaa usiogope yupo mtu Mungu atakupa asiyeabgalia hauzai na hapo ndipo Bwana atajitukuza kama Mungu❤
Songa mbele mtumishi
Wimbo mzuri sana❤❤
Usiogope mtumishi
Leo nina muda wa kukutazama tu karibu sana kasuru
Mrembo sana wewe mdada
Ubarikiwe sana
Usivunjike moyo dada songa
Usiogope mtumishi wewe ni mtumishi wa Mungu kataa kutamkiwa maneno magumu utazaa tu na Mungu hajakuacha kabisa mmeo kaoa cha ajabu kabisa watumishi Hawaoni bali wanamsapot hatari ya kanisa angesubiri ufe wanawake wakiachwa na kuolewa wanaonekana watenda Dhabi lkn mmeo kaoa nje Biblia anapewa madhabahu aibu sana sijui tunatengeneza kanisa gani pole sana dear
Mungu anakupenda sana haikuwa rahisi aisee
UBARIKIWE
Pole sana dada
Ubalikiwe
Dadaetu Mungu akutie nguvu lkn yatapita tu nimeshangaa kumbe kampeni ya mmeo ni kukuchafua ili yeye aonekane bora na kwamba anataka kukuza huduma ya mkeo kupitia jina lako Pole sana Dada jipe moyo mkuu utavuka tu
😢pole dada mungu awe faraja
Mimi siwezi kukubari nipoteze mke kama wewe Mmh no no ningejifanya mjinga
Usilie rebecca jipe moyo mkuu tu utaolew na mme mwenye akili na mwenye kujali muache akuchafue
Mungu wangu awabariki Sana 🙏