Dada wa aliyedaiwa kuuawa na MumeweDodoma, aeleza ilivyokuwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 543

  • @zainabubalama8869
    @zainabubalama8869 2 ปีที่แล้ว +13

    Ww Rehema unaroho mbaya unaitwa mara 3 hata kuxhtuka Looooh! Unaroho mbaya sana Ww

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      Ndiyo wale wakuwachukua mashemeji zao.

  • @judithkiramweni7135
    @judithkiramweni7135 2 ปีที่แล้ว +20

    Hii familia ni ya kipumbavuuu kuanzia mama na huyu mdogo wa marehemu wazito , wazembe, hawajali na hawajali kbs mnspigiwa simu kabla mtu hajauwawa hamuendi, mnapigiwa simu muende hospitali hamuendi .😭😭😭😭 yaaniiii ikibidi wachukuliwe hatua kwa uzembe wa kutookoa maisha ya mtu .

    • @MumuNgeti
      @MumuNgeti 2 หลายเดือนก่อน +1

      Usiseme hvy unajua mazingira yao shetan alikua kzn hvy miyoyo yao ilikua mizito maana cy mara ya kwnz mtt wake kupingwa hvy walichukulia atarudi nyumban kumbe nae izirael alikuwa morogoro bc atuna budi kumshukuru mungu r i p dada aisha

    • @israelmkaka2807
      @israelmkaka2807 14 วันที่ผ่านมา

      Hiyo Familia inaonekana ina Umaskini wa Akili.,,Sasa Ndugu yao amekufa wanalalamika nini..Maana Huyo Mume inaonekana Amewatawala kwa kila Kitu. mtu amempiga Ndugu Yenu na Bado mmemwacha kwa Muuaji..Pumnavu kabsaa Nyinyi

  • @suzanamayuma5844
    @suzanamayuma5844 2 ปีที่แล้ว +5

    Una roho mbaya ww dada cm zote unaitwa umezipuuza

  • @doriskanyenda3978
    @doriskanyenda3978 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaan nilikuwa nawaangalia Kwa hasira msibani mpk bhasi, mmesababisha Mama Vanessa ameacha watoto Kwa uzembe wenu, yaaan inauma sana

  • @elmanichombe7198
    @elmanichombe7198 2 ปีที่แล้ว +3

    Nyie wote ni wapuuzi tu unatumiwa sms hueleweki mjinga na wewe unashindwa kufuatilia umchukue umpeleke hospitali mnamwangalia tu.

  • @dianamwalongo9732
    @dianamwalongo9732 2 ปีที่แล้ว +8

    Dada acha kujieleza upuuzi wewe una Roho mbaya Sana Tena huna upendo kabisa sijuiii Kama hata hai watoto Kama utawalea vizuri,inaumaaa Sana😭😭😭

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว +34

    Wewe dada hovyo ,Bora usingeongea!!!

  • @verociousagnerus9793
    @verociousagnerus9793 2 ปีที่แล้ว +23

    Huyu dada anaroho mbaya sanaaaaaa

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      Kichefuchefu Sana,au anamtaka huyo mume.

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 2 ปีที่แล้ว +1

      Huyu dada ni mpumbavu sanah tena Hana akili kabisa

    • @VictoriaLaurenccekapela-mu1rs
      @VictoriaLaurenccekapela-mu1rs 2 หลายเดือนก่อน

      Yaani dada ake kamuita mala kibao huendi,,roho mbaya sana

  • @joyce55727
    @joyce55727 2 ปีที่แล้ว +11

    Haaa hicho chakula ulikipika sku nzima bola ata usingeongea ila unaroho ngum

  • @preciouspeter6126
    @preciouspeter6126 2 ปีที่แล้ว +33

    Huyu dada bora hata asingeongea.

    • @fridaminja7191
      @fridaminja7191 2 ปีที่แล้ว +1

      Yan kama anakunywa peps

    • @soaringhigh9604
      @soaringhigh9604 2 ปีที่แล้ว +1

      Jameni, anasema nini huyu nyamaza kabisa, aitwa na mwanawe na anasema hapati nafasi, bure kabisa 😋

    • @elizailomo3596
      @elizailomo3596 3 หลายเดือนก่อน +1

      Akaee kimya tu waandishi hata msingerusha hii hafai kuigwa

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@fridaminja7191tana akishushia na nyama choma

    • @evertheobald1811
      @evertheobald1811 หลายเดือนก่อน

      Huyu dada huenda alitamani dada yake afe tuu maana huenda alikuwa ni kipenz cha mama huyo mwenda zake

  • @magesaneema1903
    @magesaneema1903 2 ปีที่แล้ว +40

    Dada unaroho mbaya tena unawivu kama dada yangu na wewe yatakupata lione

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +3

      Yaani hatalinavyongea likavu halina hata sura ya chozi naona kafura tu

    • @magesaneema1903
      @magesaneema1903 2 ปีที่แล้ว +2

      @@ameenaameena1224 kwenye ukoo kuna mamtu huwa yanawivu na maisha ya ndugu zao pengine marehemu mume wake alikuwa ana uwezo wa kifedha roho ikawa inamuuma naona alikuwa anamuombea hata afe lijinga sana jata kwetu yapo hayo

    • @mwanaherhussani7425
      @mwanaherhussani7425 2 ปีที่แล้ว

      @@ameenaameena1224 alafu Lina roho mbaya looh likavu kama daga kavu

    • @neemanyudike2320
      @neemanyudike2320 ปีที่แล้ว +1

      Yaani mwe jamani! Badala ya kumpeleka hospital wanamrudisha Kwa gaidi!!!!

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 6 หลายเดือนก่อน

      @@neemanyudike2320kinachoshangaza mtu anapigwa bado anarudishwa kwa mume mume gani uyo dini gani iyo ya ndoa yenye matatizo bado unaeudi

  • @ashuramuhinde3849
    @ashuramuhinde3849 2 ปีที่แล้ว +7

    Hamkuwa na mapenzi na ndugu yenu mnaroho mbaya

  • @rosekaiza2716
    @rosekaiza2716 2 ปีที่แล้ว +55

    Yaani hii familia ni yakipuuzi sana yaani huyu dada katumiwa sms na mtoto wa marehemu lkn hakujibu kapigiwa aende hakwenda asubh yake pia wamemigia watu wa hospital bado hakwenda kaagiza bajaji iwabebe watoto waende kwake wakale , nimeumia sana mama nae karhusu mtoto wake arudi tena kwa huyo muuwaji eti anadai nilimkuta peke yake chumban , yaani nyie wanafamilia mjifunze kushtuka mnapoona! vitu Kama hivi haya sasa mmemkosa ndugu yenu kwa uzembe wenu kwanza alivyokuja kuchukua watoto tu mlitakiwa mumkamate achezee kichapo kidogo ndipo mumpeleke police yaani imeniuma sana

    • @pendondulilo7871
      @pendondulilo7871 2 ปีที่แล้ว +1

      Afu anaongea bila aibu roho

    • @ablashaffy2860
      @ablashaffy2860 2 ปีที่แล้ว +1

      Hii familia cjaielewa

    • @ameenaameena1224
      @ameenaameena1224 2 ปีที่แล้ว +3

      Yaani Mimi Hadi ananitia hasira sijui wanaishi vipi hivyo hawana ushirikiano

    • @magesaneema1903
      @magesaneema1903 2 ปีที่แล้ว +2

      Yani kwenye msiba limekaa utafikili limetoka mkoa mwingine sisi ambao hatumfahamu marehemu tumeumia lakini lenyewe hata uchungu halina linaroho ya paka

    • @latifahassan123
      @latifahassan123 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa, matatizo yote hayo mmekaa kimyaa!!! Kweli familia ya ajabu sana

  • @abasmwika3432
    @abasmwika3432 2 ปีที่แล้ว +3

    Yani hawa bora wangejikalia kimya tu wanazidi kutia hasira bira hata yule Mama huyu ndio anatia hasira zaidi

  • @zazazawadi7270
    @zazazawadi7270 2 ปีที่แล้ว +3

    Duuhh iyi familiya noma sana kwa kweli poleni sana na msiba

  • @shahashaha6269
    @shahashaha6269 2 ปีที่แล้ว +23

    Dada mkavu huyu nyie khaa haki inauma Sana yaan unapataje kusema yote hayo au ndo mwisho wa ubaya aibu ungejifichia aibu yako eti nimetumiwa SMS na mtoto wa matehemu sijajibu nimepigiwa simu sijaenda yaan mtihani huu acha niseme Tu innallilah wainnalilah rajiun 😥

    • @fridaminja7191
      @fridaminja7191 2 ปีที่แล้ว

      Umeonaeeh

    • @ipyanaangellah2452
      @ipyanaangellah2452 2 ปีที่แล้ว

      Hadi wanaboa yaani. Kafa kwa uzembe, wao wanakaaje na mtu aliyezidiwa ndani badala ya kumrudisha fasta hospitali

    • @annajohn3377
      @annajohn3377 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kuna mmmama alisema dunia ya Sasa ndugu yako mwanao uliyemzaaa looo huyu atakua anachembe yauchawi hanhata uruma

    • @witnessraymond8683
      @witnessraymond8683 หลายเดือนก่อน

      Shenzi kabisa nimeshikwa na hasira ngoja nipumzike kweli ndugu yako ni mwanao😢

  • @ruthsawida8507
    @ruthsawida8507 2 ปีที่แล้ว +14

    Wewe dada mtu mwehu kweli yani umetaarifiwa mapema sana na dogo kumbe wewe nae ungewahi kuokoa maisha ya mwenzako wee ni mpumbafu sana yani jifunze unapoina hata tafazali nipigie tuu unatakiwa ujitaid kufanya mawasiliano kwa huo muda

  • @irhamseif
    @irhamseif 2 ปีที่แล้ว +14

    Hiki sijui hata kinaongea nn na roho mbaya yake dah yan mtu awez kutembea ety tukamuacha kwenye kochi tukaondoka kesho tunarud na kurud hukurud

  • @hadijahadija4699
    @hadijahadija4699 2 ปีที่แล้ว +2

    yani.inasikitisha.sijui.walikuwa.hawampendi.jamani.

  • @kassimchuo5290
    @kassimchuo5290 2 ปีที่แล้ว +19

    Mpumbavu sanaaaaa wee dada unaroho mbaya kwani hakuna dada yko wa damu au mbona umekuwa na roho ya kinyama dada yng??????!!!!

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 ปีที่แล้ว +11

    Nawe una roho ngumu chakula cha mgonjwa unapika kutwa nzima?? Sijakupenda huna upendo kwa ndg zako natamani nikulambe viboko

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 ปีที่แล้ว +3

      Hunizidi..kanichefua sana

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 ปีที่แล้ว +4

      @@masalakulwa7601 nahisi anatembea na shemeji yake au dada yake alimzidi maisha ana kisirani

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว +17

    Mdogo wa marehemu una roho mbaya sana una ata aibu unavyoadithia🙋‍♀️Mungu ampumzishe kwa amani

  • @happymchomvu6766
    @happymchomvu6766 2 ปีที่แล้ว +5

    Unavyoeleza hta hakuna machungu ama mlikua na ugomvi duh😎

  • @fatumakilimile
    @fatumakilimile 2 วันที่ผ่านมา

    Mama nae mkwe mkwe mkwe mpuuzi ivyo wa kazi gani ndo kesha kuulia mwanao na ataoa mwengine atese nawajukuu zako.du,mungu awatunze watoto inaniuma sana kwa kweli

  • @AhmedSaleh-xz1nr
    @AhmedSaleh-xz1nr 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ningekuwa hapo ningekutandika makofi mpuuzi umetumiwa msg ukapuuza

  • @josphenembunde5805
    @josphenembunde5805 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii hospital huyu mume wamarehemu alihonga pesa madaktari waziseme ukweli na huyu dada aliitwa mbona hakuenda ??

  • @AlisiaAziz
    @AlisiaAziz 3 หลายเดือนก่อน +1

    We Rehema bora ungekufa ww maana umeshindwa kumsaidia dadaako huna hata aibu unapigiawa simu 3 unapuuza loh

  • @rukiamziwanda7458
    @rukiamziwanda7458 6 หลายเดือนก่อน +1

    Utafikili anaadisia stoly ya jilani una roho mbaya sana

  • @ndennkya9554
    @ndennkya9554 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimechoka imeuma imeniumiza Mungu amweke pema peponi Amina😭

    • @ashuraissa7044
      @ashuraissa7044 2 ปีที่แล้ว

      Huoni hata aibu kuelezea mmmh apumzike kwa aman

  • @Hawa-rt3jl
    @Hawa-rt3jl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada anakiongelea nini hamna ishu ujinga tu mumesaidia kumpotezea maisha dadaenu na huyu mume alishajua kua hii familia dhaifu ndio maana anampiga sana huyu mume

  • @FatimaFatima-wk1jk
    @FatimaFatima-wk1jk 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwa maelezo Yao yaani wameonyesha uzembe wa Hali ya juu marehem amefariki Kwa uzembe wa familia

  • @mosesmajogoro863
    @mosesmajogoro863 2 ปีที่แล้ว +7

    Picha ilivyo hapo hiyo ndoa ilikua kama ukrain na urusi kwa ujumla ni heka heka tuu hadi watu walisha wazoea ...kumbe kipigo hicho hakikua cha kawaida.
    RIP Dada etu.

  • @lisameshack395
    @lisameshack395 2 ปีที่แล้ว +41

    Kuna watu wana roho ngumu,ndugu yenu anapigwa mnamrudisha huko huko kwa mwanamume na wana muangalia tu!! Hadi hasira☹
    familia ilimchoka huyo dada.Huyu dada anaeleza as if anamuelezea mtu baki,,,kumbe dada wa damu kabisaaa.ingekua familia nyingine pangechimbika na wasingekubali vipigo kwa ndg yao na kifo kisingetokea.Imeniumiza sana

    • @sabrinasabrina8395
      @sabrinasabrina8395 2 ปีที่แล้ว +3

      Huyu ni mjinga sanaaa aiseee

    • @missmoona4497
      @missmoona4497 2 ปีที่แล้ว +2

      Kiukweli huyu dd sijamuelewa kabisaaaaaa,,vb
      mmmmmmh kwanza kule kupigiwa cm akawachukue watt akawa anaurusharusha hii kuna sintafahamu,,,,,,,,, ??????????.

    • @lisameshack395
      @lisameshack395 2 ปีที่แล้ว +3

      @@missmoona4497 yaani changamoto sana,dada yake kabisaaa lakini moyo haumshtuki kabisaaa.Anaelezea utafikili anamuelezea mtu baki,kumbe dada wa damu.ingekuwa familia nyingine wangechukua hatua kali na kisingetokea kifo

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 2 ปีที่แล้ว +1

      Ata marehemu mwenywe ni tatizo kwani si kaanza kupigwa mda

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว +1

      @@sabrinasabrina8395 Nashangaa pia mm jaman😭😭😭

  • @BenjaminHenry
    @BenjaminHenry 2 ปีที่แล้ว +14

    Kwahio umeitwa mara 3 zote na bado hujaenda. Hivi kwenye msiba umelia kweli wewe?.

    • @lilianmartin5075
      @lilianmartin5075 2 ปีที่แล้ว

      Ata mama yao pia ana roho ngumu. Mgonjwa amekataa kurudi kwa mume mnamradhimisha tu . Aiseee

  • @maimunaazizi7916
    @maimunaazizi7916 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu dada hata roho ya majonzi hana sijui alikuwa na omba dada yake afe😢😢😢

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 2 ปีที่แล้ว +7

    Watt watakuchukia milele

  • @fatumasukwaju226
    @fatumasukwaju226 2 ปีที่แล้ว +13

    Mmh wewe dada .lzm ubadilike.maongezi yako yamekela watu wengi sana.

  • @joyce55727
    @joyce55727 2 ปีที่แล้ว +18

    Kuna familia zingine wapole ivi mtu amepigwa bado mnamludisha kwa muuaji😭😭😭

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 ปีที่แล้ว

      Nashangaa balaa mm ningechom gari yake

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwakweli huo sio upole ni ujingaa unipigie mwanangu hivyoo looh Mungu nisaidie mimi

    • @piusjulius1779
      @piusjulius1779 2 ปีที่แล้ว +1

      Mkwe bora unyamazetu sioni unaongea nini

    • @piusjulius1779
      @piusjulius1779 2 ปีที่แล้ว

      Pore shakira maana nimsiba mzito

    • @stellageorge1813
      @stellageorge1813 2 ปีที่แล้ว

      @@magrethmbangama1199 kwa kweli sy upole ni upumbavu Tena wa Hali ya juu kabs mpk nimechukia

  • @hadijajohn7434
    @hadijajohn7434 2 ปีที่แล้ว +2

    Wataka uoneka midia rokho mbayaa dada.ako anaumwa wewe wenda lala. Asre. Unarokho mbaya.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume wa local wa Kitanzania ya mavi kunuka wakatili ni kupiga tu poleni sana wanawake wa Kitanzania

  • @vittesaadani10
    @vittesaadani10 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii familia wazembe sana

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 2 ปีที่แล้ว +1

    Wanavo onyesha hii family walikuw hawapendan kam sis hatupendan kwa sababu yakuwapita kimaisha anaeleza ujinga kabsa huyo dada fanya mfurahi sasa

    • @sophiamirambo9656
      @sophiamirambo9656 2 ปีที่แล้ว

      Yaani kazi kubwa watoto waliobaki watawapenda kweli au ndio manyanyaso yameanzia hapo

  • @rayanamrsshariff5777
    @rayanamrsshariff5777 2 ปีที่แล้ว +9

    Hii family Ina roho ngumu Sana hata watoto wasipewe

    • @fridaminja7191
      @fridaminja7191 2 ปีที่แล้ว +2

      Kabisa, Yan khaa ni aibu

    • @shakirakalumuna6108
      @shakirakalumuna6108 2 ปีที่แล้ว

      Yaan familia nzima wote oovyoo kabisa au hakuwa na uhusiano ni mtu baki tu hakuwa ndugu yao si mama si ndugu bora mhandishi asiwahoji .wapuuzi tu wote hawana upend roho mbaya

  • @khadijaali9042
    @khadijaali9042 2 ปีที่แล้ว +5

    Yani umenisinya ww mwanamke unae ongea hata sikuweza kumalizia kuskiza

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 2 ปีที่แล้ว +7

    Familia kimeo mtu anaumwa mnasema arudi kwa mumewe shida nn mbona hampo serious. Yani dah

    • @shameemrashid5219
      @shameemrashid5219 2 ปีที่แล้ว

      Walah nimeshangaa sana huyu mdg mtu roho ngum

  • @simoncharles683
    @simoncharles683 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu dada n mjinga Sana hafai hata kidgo callings zote hzo hujarespond hamna kitu hapo aache tuu kuongea bwana

  • @nkulikandusi5282
    @nkulikandusi5282 2 ปีที่แล้ว +5

    Duuu kweli una roho kavuuuu we dada

    • @faryiashabani9109
      @faryiashabani9109 2 ปีที่แล้ว

      kesho na kesho kutwa mtakuja kusikia huyo ni kalithi vya dada yake shemeji akawa mume

  • @sarapilla4274
    @sarapilla4274 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha hata kujieleza huna hata huluma

  • @sophiamirambo9656
    @sophiamirambo9656 2 ปีที่แล้ว +1

    Linatabasamu Kama limekuja kuchumbiwa na mwandishi looh,,

  • @simplyfay5308
    @simplyfay5308 2 ปีที่แล้ว +7

    Bora nife single kuliko kuwa punching bag ya mtoto wa ma mkwe🙌

  • @violethmeshack9416
    @violethmeshack9416 2 ปีที่แล้ว +1

    Ila we dada kweli hata ukushtuka cmu zote hizooo jaman...

  • @fatumakilimile
    @fatumakilimile 2 วันที่ผ่านมา

    Nastukia nasonya tu yaani hawa watu wana maajabu yani mnajua mtu anapigwa kila siku mnapuuza kama mlivyo puuza siku ya mwisho basi sawa tunamuomba mungu awakuze watoto katika maisha yenye faraja wampate mlezi mwema maana wanafamilia siwaelewi elewi mioyo yenu namna ilivyo.

  • @lightnesmbwambo5814
    @lightnesmbwambo5814 2 ปีที่แล้ว +3

    Kitu ambacho sitaweza kuvumilia kwa mwanaume ni kipigo my dear usikubali kuteseka kusimangwa n.k unachotakiwa kukumbuka ni kwamba Kati ya, maisha, ndoa, watoto , ni kipi kilianza ? Ukishatambua hilo sidhani kama utaendelea kukubali kufa kwaajili ya kutetea ndoa na watoto ....... Maisha lazima yaendelee

  • @agnestemba7372
    @agnestemba7372 2 ปีที่แล้ว +10

    Au walikuwa wameshamchoka anapigwa anarudi, mana wengine unamwambia usirudi anarudi na kupigwa anapigwa yeye unamuacha apigwe.

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 2 ปีที่แล้ว +2

    hii family hapana Kwakweli hawana utu kabisa mnatia hasira SANA marehem kafa kifo kigumu SANA,mmeshindwa kumsaidia ndugu yenu

    • @marthakenes2702
      @marthakenes2702 2 ปีที่แล้ว

      Huyu dada nyoko wewe unaongea Kama chizi unaitwa mara3 we unapika manini

  • @kholaalmahrizi8525
    @kholaalmahrizi8525 2 ปีที่แล้ว +10

    Haaa! unaroho mbaya sanna wewe mtt wa dada yako anakutafuta mara 3 wana huna his kumfata. Labda wewe uko ushauri moja na mumewe huyo dada yako

  • @MelauMkivuyo
    @MelauMkivuyo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Poleni sana wapendwa

  • @anifaally4816
    @anifaally4816 2 ปีที่แล้ว +2

    Inatakiwa wote wapelekwe ndani hata siku tatu tuu SI kwa uzembe huu .....maana pengine wangemsaidia ndugu Yao

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh5705 2 ปีที่แล้ว +1

    Kitu amabacho mmekosea nyie familia ni kupuuza wakati tyr ndg yenu kaumia anaingia kwa Dr na mtu aliyempiga mnategemea majibu sahihi kweli? Ila ww ni kiboko nikisikia tuu ndg yng anaumwa hata usingizi sipati ww unapigiwa simu zaidi ya mara 3 hata kujitingisha kweli?

  • @hamisaabdulhamid529
    @hamisaabdulhamid529 2 ปีที่แล้ว +4

    Huyu dada anajisikia kweli anachokiongea. anaongea mkaavu yaani unaitwa Mara kibao uwafate watoto nawee unawaagiza wakukute ulipo mtu kapigwa hoi mnamrudisha kwa mume tena looh poleni

    • @joycesanga4378
      @joycesanga4378 2 ปีที่แล้ว

      Wakakupime akili wewe yaani mkavu kama umefuwa na mbwa lo

  • @frolidaamani9090
    @frolidaamani9090 2 ปีที่แล้ว +1

    Dam sio nzito

  • @lizperchiwamba9010
    @lizperchiwamba9010 2 ปีที่แล้ว +3

    Familia inatia hasira hii!!!
    Mtoto alijitahid kutoa taarifa kuokoa maisha ya mama yake lakini alikosa msaada japo alijitahid sana kutoa taarifa tena Kwa watu sahihi...Too sad😭😭😭

    • @vittesaadani10
      @vittesaadani10 2 ปีที่แล้ว

      Saana hajielewi

    • @vickyshayo7880
      @vickyshayo7880 ปีที่แล้ว

      Atakuwa huyo mdogo wake alikuwa anatembea na mume wake Dr anamuuliza alikuwa anasumbuliwa na nini badala angesema ni kipigo ahudumiwe tena anasema ame.uacha kwenye kochi daaa

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 2 ปีที่แล้ว +4

    Una roho ya ukatili

  • @tanzaniaoman6423
    @tanzaniaoman6423 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni sana wafiwa

  • @faustinahugo9621
    @faustinahugo9621 2 ปีที่แล้ว +3

    Yaaan mtu unaitwaaa sahv kafa ety dada yangu....kaaaa

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      Ndiyo wale wakutoka na shemeji zao.

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 2 ปีที่แล้ว +3

    Huyu watoto wa dada ake atawaelea kweli huyu mbona hana upendo

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 2 ปีที่แล้ว

      Tumwachie Mungu jamani... Tutaongea mpaka tumkufuru Mungu .. kila mwanadamu ana roho yake ndugu yangu 😭

  • @rahabukirigiti8514
    @rahabukirigiti8514 24 วันที่ผ่านมา

    Du kweli hii familia ni shida,mnaroho mbaya sana mlikua mmemchoka ndugu yetu

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 2 ปีที่แล้ว +5

    Na hawa wazazi mnazoho ngumu ndugu yenu kapigwe sana na bado mwamrudisha kwake

  • @halimasul6018
    @halimasul6018 2 ปีที่แล้ว +14

    Yaan wwh dada sijui nikuhadisie VP unapigiwa cm kuwa ndg Yako anapigwa wewe unalala kwel MTT anakutumia na kukupigia njoo mtufate uanaka Kimnyaa yaan roho inaniuma Sana ilaa unaroho mbya Sana Sana

    • @christinakimaro4009
      @christinakimaro4009 2 ปีที่แล้ว

      Natakani nilichomoe humo nilipige

    • @jacquilinenoah949
      @jacquilinenoah949 2 ปีที่แล้ว

      @@christinakimaro4009 yan kama sio mzima

    • @neemaruhembe6360
      @neemaruhembe6360 2 ปีที่แล้ว

      Anaroho mbaya sana mimi nikipigiwa CM tu naenda nakaa nae mpaka mwisho jamani mpaka anapigiwa CM akachukuwe mpaka watoto hataki anasema wapande bajaji aisee

    • @semeninyumayo2336
      @semeninyumayo2336 2 หลายเดือนก่อน

      Duu hizi familia tunafanana pua tu roho ngumu wazembe kufuatilia mambo muhimu mgonjwa anaachwa kwa gaidi kisa nini gari au utajiri heri maskini huru

  • @jeskahaule2867
    @jeskahaule2867 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaan hii familia hamna kitu kabisa taarifa mnapata ila umnapuuzia mnadharau sana mnaboa amekufa Kwa makosa yenu

  • @sabrinasabrina8395
    @sabrinasabrina8395 2 ปีที่แล้ว +5

    Yani familia ya ajabu kuanzia mama na watt wake khaaa

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 ปีที่แล้ว +1

    Duh!! dada huna uchungu na ndugu yako hukutenda haki kabisa imenisikitisha sana ukiwa na ndugu hukuwa na uchungu kbs

  • @rehemamshauri1523
    @rehemamshauri1523 20 วันที่ผ่านมา

    Poleni Sana jamani

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 2 ปีที่แล้ว +2

    Ili li dada chizi eeeeh eti nikawa sijaenda

  • @annasiliti3920
    @annasiliti3920 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani hapa ufuatiliaj kwa mgonjwa ulikuwa hafifu maana aliyempiga ndio aliyekuwa anatoa gharama ya matibabu,halafu vipimo vyote NORMAL.MWISHOwe mgonjwa anaanza kubleed hiyo utra sound haikupima??au huyo mpigaji aliongea na huyo mtaalam??

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu Ana dharau uskie dadako amepigwa upuuze mungu tusaidie n.a. awa ndugu jamani

  • @masanjaabasi8970
    @masanjaabasi8970 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu dada anyongwee 😏

  • @TelezaRaphael
    @TelezaRaphael 2 หลายเดือนก่อน

    Pole I sana

  • @peterkadelya5490
    @peterkadelya5490 3 หลายเดือนก่อน

    Mh kazi roho mbay hizo simu ya kwanza tu umesikia lazima ushituke

  • @husnamadai7052
    @husnamadai7052 2 ปีที่แล้ว +4

    Mkavu hata chozi halikutoki

  • @BensonNgailo-xm3rv
    @BensonNgailo-xm3rv ปีที่แล้ว

    Inauma sana

  • @sheckycobb5240
    @sheckycobb5240 2 ปีที่แล้ว +1

    Nilichogundua Peter alikua na kauwezo,walimuogopa,halafu ndugu wa marehemu hawakumpenda ndugu yao mbona wasimjali na kumhudumia? Yani Peter aumize na haogopi yupo tu,kwa Dr huingii ujue ndugu yako yupoje,Yani mume ndio umuachie akat ye ndo muhalifu

  • @sharifajosia879
    @sharifajosia879 13 วันที่ผ่านมา

    Wanaongea kama wanasimlia hadithi vile 😢Jamani Kweli mchawi ndugu kikulacho kinguoni mwako huenda huyo marehem alikataa mikoba ya huyu mamake ndomaana wamemfanyia hivi inaonekana huyu mdogo Alikubali mikoba ya huyu mmama wote lao moja haiwezekani mwanao apigwe kila mara na wewe mzazi wake uone kawaida tu haa!!! Mungu anakuona we mmama. Hao wajukuu Mungu awasimamie kwakweli maana mh!Kazini kuna kazi😢Atakayekubali mikoba atapendwa atakaye kataa yatamkuta yalomkuta mama yake.Aisee !!Huenda hata Mume wa huyu mmama wali walimuua kwa sayansi ya Angani😢

  • @fatmalyego7918
    @fatmalyego7918 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaaani uyu dada laana kweli. Kukaa kimya kashindwa

  • @denniskisangi2994
    @denniskisangi2994 2 ปีที่แล้ว +1

    wewe dada hovyo kabisaa, yaan mpuuz ungejua ucngekubal kuongea mjinga kbs

  • @ssaa7495
    @ssaa7495 2 ปีที่แล้ว +15

    Dada unakiburi wewe unaitwa mala tatu unaambiwa kuna tatizo ni ndugu yako wa damu.😬😬🙄🙄😷😷😷 au ulikuwa unatembea na mume wa dada ako?

    • @masalakulwa7601
      @masalakulwa7601 2 ปีที่แล้ว

      Mm mwenyewe nimestaajabu sana

    • @hertafabian7261
      @hertafabian7261 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 2 ปีที่แล้ว

      ATAKUWA alishaingilia chaneli huyo.☹️☹️☹️ Mmmh

    • @afrigrowers
      @afrigrowers 2 ปีที่แล้ว

      Huyu alikua ameshazoea ugomvi wao kuna watu wanapigwaaaa weee nanhawasikii kuambiwa waondoke

    • @janethhaule1121
      @janethhaule1121 2 ปีที่แล้ว

      Jamani msilaumu sana hamjuitu nyie nyumba ilikuwangumuile ndugu wamke kujapale nimtihani

  • @magrethjohn4929
    @magrethjohn4929 2 ปีที่แล้ว +3

    Mpuuuzi kwel huyu yan ishara zote hzo ulishindwa kusimama na dada ako ndo hawa hawa wanaodhan watubaki ni muhimu kuliko ndugu zao na inaonesha hata watoto watapata tabu sana mana ma mdogo wao chenga tu 🙄🙄🙄

  • @zaykipini4761
    @zaykipini4761 หลายเดือนก่อน

    Ata asimwite dada kabisaa yaaan mm nisikie mtu muhim anatatizo aiseee 😢😢😢

  • @mwasitimisoti
    @mwasitimisoti 8 วันที่ผ่านมา

    Naona uchungu kweli jamani mtu anakufa kwa kipigo kweli wanawake tukatae ukatili sisi wenyewe ondoka kwa usalama wako sasa hao watoto anawalelea wapi ameshapoteza maisha na watoto kawaacha inauma sana na nyinyi ndugu wazito kweli kwenye maamuzi kama mama kuna kitu kinaniumiza sana juu ya hii familia mama yetu ujane siyo unyonge uache familia yako inateketea mbona dawati lipo kwa ajili yetu wanawake

  • @tullycharles5669
    @tullycharles5669 2 หลายเดือนก่อน

    Kwanza kabisa mtoto ananipigia simu dada anapigwa nalala hadi asubuhi jamani usingizi nautoa wapi mimi 😢😢😢😢😢 ndio maana marehem kajifia amekufa na mengi

    • @fatumakilimile
      @fatumakilimile 2 วันที่ผ่านมา

      Awakumpenda walitaka akomoke

  • @FarajaJohnmakasi
    @FarajaJohnmakasi 2 หลายเดือนก่อน

    Yan ndugu yangu anipigie cm nisifike yan unaroho mbaya wew dada jamani

  • @afrigrowers
    @afrigrowers 2 ปีที่แล้ว +1

    Inavyoonyesha huyu dada hana roho mbaya ila ni watu ambao wameshazoea huku kupigwa kwake kuna watu wanapigwa mnooo ktk ndoa zao ukiwashauri kutoka hawataki wanasingizia watoto watabakije ona sasa unakufa unawaacha watoto mazima bora utoke ubaki na wanao.mama yao kasema huyo mume haingiagi kwake sasa ni mume gani asieingia ukweni hapo dada yao kajisababishia kifo chake mwenyewe

  • @saummohamedm435
    @saummohamedm435 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona maamdogo hana upendo unaitwa vyote hivyo unapuuzia

  • @eliudijustinyindi5939
    @eliudijustinyindi5939 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu dada anarohombaya alikuwa anamwonea wivu dada ake ndomaana alikuwa haonyeshi ushirikiano wowote Kwa dada ake ndugu tunajua mambo ya familia yanavokuwa

  • @KindubaShabani
    @KindubaShabani 10 วันที่ผ่านมา

    Uyu dada ana roho mbaya sana.familia mbovu sana

  • @nancyrukayagana-iu2tv
    @nancyrukayagana-iu2tv 2 หลายเดือนก่อน

    Duh! Naweza kuongea vibaya ila n tarehe lkn familia mbovu sana hii😭😭😭

  • @janejonathan9846
    @janejonathan9846 2 ปีที่แล้ว

    Unapataje ujasiri wa kulala wkt watoto wamekupigia cm kuwa mamayao anapigwa?loooo hililidada linaboa sana,bora ungenyamaza

  • @happymarwa4517
    @happymarwa4517 2 ปีที่แล้ว

    Hapo wanatakiwa kwanzia hao madoctor wachunguzwe, hizo xray na ultrasound zichekiwe ni kweli normal?

  • @HinduMakongolo
    @HinduMakongolo 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe dada unaroho mbaya sanaaaa unajali kumpikia mtu chakula huna hata haya

  • @thomasdominick8604
    @thomasdominick8604 ปีที่แล้ว

    Iddy amini yuko wapi wasombwe wote hii family watupwe MTO kagera,Hamna kity