D KNOB - Hili Ndio Tukio Lililosababisha Aache Muziki Na Kumrudia Mungu - Part 2

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 34

  • @SteveWatagwan
    @SteveWatagwan 8 หลายเดือนก่อน +3

    D knob alikua bonge ya rapa dah ngoma yake ingewezekana ft Ray c na nyingine kitu gan umemaind dah kweli kuokoka kupo Mungu akubalik innocent sahan nilikua nafatilia Sana nyimbo zako nilivo kua shule 2006

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      Alikuwa vizuri sana mwamba

    • @stanslausmteme8455
      @stanslausmteme8455 14 วันที่ผ่านมา

      ​@@bongo_projectstyle yk kaiga Darasa

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 8 หลายเดือนก่อน +4

    Yesu kiboko Sana aise

  • @beatusmajumbi7125
    @beatusmajumbi7125 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli mungu yupo Tena anasema walio wangu naliwajua kabla ya misingi ya ULIMWENGU,God bless u

  • @OscarMwaki
    @OscarMwaki 6 หลายเดือนก่อน +2

    God is the unmovable mover

  • @mugadimon3563
    @mugadimon3563 8 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu jamaaa alikua very talented sana.Short period alitubless sana vitu konki

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน +1

      Yaani juzi ilibidi nisikilize tena ile album yake ya Mitaani.com hakuna ngoma unaskip. Zote kali! Alikuwa mbele ya muda. Ni unsung hero

  • @kastorymalila1109
    @kastorymalila1109 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaaaa alikua hatari sana na bado tunamuhitaji

  • @edwardraymond8643
    @edwardraymond8643 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa una interview nzuri sana keep it

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      Shukrani. Shukrani

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dnob is amazing❤❤

  • @jamesmwakyusa9772
    @jamesmwakyusa9772 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dah Dknob..wayback sana

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน +1

      Yeap yeap...Alikuwa mkali sana jamaa

  • @p.phareskalalu5924
    @p.phareskalalu5924 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ajui kuoji jibonge

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน +2

      Nini maoni yako tujirekebishe?

  • @oneagainstone593
    @oneagainstone593 8 หลายเดือนก่อน +1

    Interview kali sana,

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      Shukrani sana mwamba

  • @swahili24live56
    @swahili24live56 8 หลายเดือนก่อน +2

    weka part 3

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      Hii hapa mzazi: th-cam.com/video/lavMwCgreus/w-d-xo.html Shukrani kwa kutufuatilia

  • @SabanaSipemba
    @SabanaSipemba 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jifunze kuhoji mzeee

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน +3

      Mzazi tunapenda feedback. Ila toa feedback inayoeleweka basi. “Jifunze kuhoji” ina maana gani?

    • @reisezone4574
      @reisezone4574 8 หลายเดือนก่อน

      background music jaribu kupunguza sauti iko juu sana kuzidi maongezi inaboa,

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      @@reisezone4574 Sawa.

    • @reggiemass6413
      @reggiemass6413 8 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@bongo_projecthaters gona hate. Hii si taarifa ya habari, background iko poa hakuna asiyesikika.

    • @bongo_project
      @bongo_project  8 หลายเดือนก่อน

      @@reggiemass6413 Shukrani. Tunapokea maoni yote ya wadau kwa lengo la kuboresha kipindi

  • @robertchugu7932
    @robertchugu7932 8 หลายเดือนก่อน

    Sana mwanetu

  • @BarakaMwasaka
    @BarakaMwasaka 8 หลายเดือนก่อน +1

    sauti ya hii interview sio nzuri, boresheni next time...