Handsome wngu wakati nakuona bado mdogo lakini nilikuwa nakuona ni bonge la Handsome had leo nimmama ila you still look the same... nakukubali sana dojo. R.I.P
Huyu jamaa alikua mpole San alikua mtu wawatu Yan ana ojiwa kwenye cm lakin ata hajali kiukwel Ina umiza sana kua mwizi Yan alienda kuiba Nini sasa kinanda au
Hivi waliomuua walihakikisha ni mwizi kweli au nisungusungu alikutana nazo,au ndio saiz mtu akupendi anakiutia mwizi ukwishe habari yako😢😢😢sijapentaaaa,wote Sheria ifate mkondo wake
Handsome wngu wakati nakuona bado mdogo lakini nilikuwa nakuona ni bonge la Handsome had leo nimmama ila you still look the same... nakukubali sana dojo. R.I.P
Yaani roho inaniuma,sina lakusema zaidi ya kusema, innalillah waaynna ilah rajiun😢
Pumzika kwa amani kamanda. Mungu akusamehe makosa yote bro. Nakumbua nilivyokuwa mdogo bro nyimbo zako zote zilitamba bro. Rest easy bro
Dah aisee R.I.P MWAMBA msanii mkali wa wakati wote
He was a great man real talented! R.i.P Man dojo!
One of the best thing hawa jamaa katika Interview zao hawajawahi kusemana kwa ubaya, madhaifu Yao yote waliyaficha kabisa....daaa rip dojo.
Daaaah inauma sana pumzika kamanda man dojo😢😢😢
sifa ya mlinz n lazma upige toch harafu uulize we nan, hili limlinz lilikuwa limelewa lenyewe rip Mandojo😢😢
Wew mlinzi mungu atakulani sana nawote mlioshitiki kumzima mshua mlaaniwe maishayenu yote😭😭😭🥳
noma sana mungu akupumzishe kwa aman
Daah inauma wallah inachoma mpaka Basi😭 Nenda mwanetu nyuma yako kamanda🙏
Talent zinazidi kupotea Allah akupokee kwa aman Legend of bongo fleva Ndojo😢
Saitakuwaje bila wewe dojo sauti yako hainaga baya yaani km chege chigunda amazing 😢sa itakuwaje nani atashika nafasi yako...😢
Pumzika kaka❤
Dah! Huruma jamani. Mungu ampumzishe jaman
Aisee kama yupo jaman mungu akupe pumziko la milele 😭😭🙏🙏
Jamani dojo sijalala leo hata sielewi naskia kudata dojo msalimie kapa Chino😭😭😭
Yaan hajii kukasirika picha. Zake nyingi anacheka R.l.P
Pumzika bro
Rest in peace ee baba my brother I will miss you , mwanga wa milele ukuangazie
Jmn anaimba vizur hyu bro😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Ndo kashaenda maskini
Hata mm nilitaka kusema hivyo..sauti ya nyimbo zao haipotei
Safar ya wote hii😢😢😢😢yaan kumbe hiz nyimbo nzur zote uliimba ww?kwel kufa mazur yko yaonekane😭
Upumzike kwa amani Legend
Innalilahiwainailayhirajiuna mungu akulaze mahalipema
Alafu ngoma kaliiii hatar
watu wa Dodoma mmezingua sana
Waafrika tunauana kipumbavu sana😢😢
Daa dunia mapito kaka sote tutapita
Inauma saana💔😭
R.I.P Brother will meet in the rever Condolence to Domokaya
Mm nadhani waliofanya hivyo walisha kusudia kumuua toka mwanzo kiukweli inatia uchungu sana. Broo pumzika kwa amani bro
Ril bro
Wasalimie huko uendako akina magu mkapa nyerere mwinyi usimsahau sama kweli
Iangaliwe vyema hao waliompiga na kumdhania mwizi.Yeye mwenyewe alikuwa katika mazingira yapi.
Mungu akupushie naazabu yakabulini amina
Rest in peace 🕊️ our legendary. man..D..doo noma sana
He was very innocent
So sad
Eeeee baba
Huyu jamaa alikua mpole San alikua mtu wawatu Yan ana ojiwa kwenye cm lakin ata hajali kiukwel Ina umiza sana kua mwizi Yan alienda kuiba Nini sasa kinanda au
Ao wasenge nao wauliwe kwakipigo kama walivo muuwa mwenzao akuna mtu asiyemjua domo
Alie muua nan tukod kosta twende tukamsalimie
Dah😢😢😢😢
duh inaumaa sana
R I P
Pumzika kwa Amani Mwamba 😭😭😭😭
Dah! Tutakukumbuka mwamba
TOENI NA RAMBIRAMBI JAMENI SIYO MANENO MATUPU!😎
ULIYEELEWA GONGA LIKE HAPA!
Alikuja na sautil
Pumzika kwa amani Kaka.
RIP home Boy mkurya mla wet
Pumnzika kwa aman Dam yang😢😢
Upumzike kwa amani mela wetu tunakusubili tukusindize msela wetu nimasela wako wa manyoni hapa
mbn mwanzo hamkupost leo mnapost kutuumiza walio muuwa nawao wafe rip mandojo du siamin
R I P MAN DOJO MBELE YETU NYUMA YAKO DA NIMEUMIA SANA .
Mungu akulaze mahali pema😢
Mwenetu kabisa huyuuuu😢😢😢😢😢😢
"UHAI KAMA KIOO,KIKIKUPONYOKA TUU LAZIMA KIVUNJIKE!!"
Pumzika kwa amani
Kama kawaida ya watanzania pengo lako halitazibika
Pumzika vema dojo
Kwani walivyo kuwa wanampiga si alijieleza yeye nani mbona wakamuua sasa bora wauliwe nao pia😢😢😢😢😢
hapo ndo najiuliza harafu nasikia ni watu wa kanisa kabisa saa 11 alfajir😢😢😢
Mmungu amlaze mahali panapo stahili
Maskn jmn😢😢😢😢😢
Rest in peace mandojo 😢😢😢
Kwani mwizi anasura gani mpaka mseme hvyo subrn uchunguzi ufanyike lakn hawez tena kurd duniani
Mwizi mwenye maduka na majumba akaibe kanisani???
Atakua alikua pombe alafu alijiegesha kwenye maduka labda ndio wamfanyie hivyo jamani lkn nafikili walipo mpeleka police walisaini Kwaiyo wanajulikana
Rest easy brother
Inauma Sana mbele yake nyuma yetu😂😂😂😂😂
Sa unacheka nn we msenge yn mtu kafariki unacheka
@@ambroceharouna1612mpuuzi huyo hajui maana ya hizo emojis
Jamani Dojo roho imeniuma,hivi watu waliomuua ni kweli hawakumjua 😢😢,Pumzika kwa amani bro
Si kila mtu anamjua.
Rip Dojo, 😢
Jamaa alikuwa chaming sana ,
ARDHI HII TUIACHE TU😭😭 REST EASY BIG though siamini macho yangu
Wanamuziki wasomi
Kwanin lakn 😢😢😢 ila binadamu
Rest in peace legend 🙏
R I p
wasanii wetu ndoo hao wanao tuwakilisha inchi yetu duuh pumzika kwaaman
R.I.P ndugu
hao wakamatwe
Walinzi kama walinzi
Wasanii mlioniumiza sana ni wewe na Sam wa ukweli 😪😪😪 yaani Kila niliangalia video yako naumia roho yangu sana
Pumzika kwa aman
RIP legend
😂😂😂😂😂😂🎉 nenda Salama
So poa kuchukua sheria mkonon
Duu kanisan ni sehemu ya kuabuduu mbona wanampiga na kusababishaa Mautti Nyumba ya ibada saa yeyote mtuu Ataaabuduu
Ni kweli na kwa muda huo tayari palishakucha, inawezekana aliona kanisani ni sehemu salama kwake, lkn imekuwa tofauti!
Duh😢
Hao waliomua wanatakiwa nao wafe
😭😭😭😭😭😭😭😷😷😷🙏🙏🙏🙏MUNGU HUKUMU WEWE
Hivi waliomuua walihakikisha ni mwizi kweli au nisungusungu alikutana nazo,au ndio saiz mtu akupendi anakiutia mwizi ukwishe habari yako😢😢😢sijapentaaaa,wote Sheria ifate mkondo wake
Nchi hii sheria zipo vitabuni tu,lakini kimaisha tuna puyanga kila mtu kivyake
@@mamachris6811 bila hela maisha hayaendi kwenye sheria
🎉Pbxwmgpr
Wakati
LABDA ALIKUA NA MAADUI
Kanisa limemuua
Hao walinzi kumanina zao tutadili nao kumanina hao.
RIP bro
Masikini pumzika kwa amani daaa
Nilikuwa naisikiliza kwenye eafm kwenye kipindi Cha mida wetu
Pumzika kwa amani 😭😭
😭😭😭😭😭
😢😢😢
RIP
😂😂😂😂😂❤