Lady Jaydee: Wachambaji wanasikilizwa zaidi, wenye vya maana hawapewi nafasi, vya kijinga vinapendwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @fifirashidrashid4777
    @fifirashidrashid4777 3 ปีที่แล้ว +10

    Uyo ndo dada mkubwa mweny kipaji chake respect

    • @zou7470
      @zou7470 3 ปีที่แล้ว +1

      True✌✌

  • @misigarojeandedieu1865
    @misigarojeandedieu1865 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana kutuletea ma idol singer lady jaydee..nimejipanga iyo jina kwa jili ya mapenzi ninayo❤️❤️❤️❤️..I love yr voice🌹🌹❤️❤️, dada nakupenda Sana..

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 3 ปีที่แล้ว

    Lady jd bana, wewe ni schooli kamili, maneno yako yote ni hikima, watu wajifunze maisha ya uhalisia namna hii! Heshima kubwa kwako 🌹

  • @ethanethan4437
    @ethanethan4437 3 ปีที่แล้ว +7

    Nampenda sana uyu Dada hazeeki daaa jide nakua namsikia hadi Leo duuu

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +2

      Kue upo km mm huyu ni zaidi ya mom yetyu aisee

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaAllah una kisauti kizuri😍👌hta lafdhi pia nimelike

  • @misigarojeandedieu1865
    @misigarojeandedieu1865 3 ปีที่แล้ว

    Lady jaydee..u are such a blessed woman and I really love you from bottom of my heart ❤️❤️❤️❤️... You complete me for real..sauti yako, utulivu wako, ulembo wako, cheko lako..yote yanayo kuhusu napenda yote yako...

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 ปีที่แล้ว +7

    Msanii mwenye adabu zake, big up

    • @elijaheli8632
      @elijaheli8632 3 ปีที่แล้ว

      A trick : watch series at Flixzone. Been using them for watching all kinds of movies these days.

    • @nathanaelmarcel5455
      @nathanaelmarcel5455 3 ปีที่แล้ว

      @Elijah Eli Yea, I have been watching on flixzone for since november myself :)

  • @zou7470
    @zou7470 3 ปีที่แล้ว +2

    Dada mwenye muziki wake 🤗🤗💕💕

  • @misigarojeandedieu1865
    @misigarojeandedieu1865 3 ปีที่แล้ว

    Simulizi iyi chanel nayipenda Sana..zaidi naskia furaha kila mara ukileta wa legends..kwa mfano...( Hussein ) ..leo ni jaydee..thx a lots ...SS..

  • @baysuraoman7910
    @baysuraoman7910 2 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana uyu dada mungu hamjalie

  • @ksgrmdsdl2383
    @ksgrmdsdl2383 3 ปีที่แล้ว

    I love her old music when she was just getting started. She has a great voice

  • @claramariki7982
    @claramariki7982 3 ปีที่แล้ว

    Yes I love you JD uko sahihi kabisa kila kitu your Good my lv

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 3 ปีที่แล้ว +2

    JIDE, nakukubali Sana 💪

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 3 ปีที่แล้ว +4

    Na ndio maana comments mpaka sasa ni chache hapo mngekuwa mnaongela skendo comments zingekuwa 1M

  • @aminaathuman2917
    @aminaathuman2917 3 ปีที่แล้ว

    You’re the Best Jay Dee ❤️❤️❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @grolyqueen5833
    @grolyqueen5833 3 ปีที่แล้ว

    Ninavyompenda uyu dada anaye jua ni Mungu

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo kwa mtoto nimeelewa jmn kuna katoto kako na 4years kanaimba MDANGAJI MALAYA KWAN INAWAHUSU NIN 😭😭😭😭

  • @annmwita2962
    @annmwita2962 3 ปีที่แล้ว

    My all time favorite person

  • @lesliethewriter9170
    @lesliethewriter9170 3 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana huyu binti....tangu siku za siku hazigandi na single boy

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 3 ปีที่แล้ว

    Jide mimi ni mama kwangu c dada nampenda maana tangu mimi nimduchu la kwanza nyimbo ya machoz naickia 😂😍😍

  • @samirnaty8774
    @samirnaty8774 3 ปีที่แล้ว

    Good vibes ndani ya Sns

  • @خسنموس
    @خسنموس 3 ปีที่แล้ว +3

    Jidee km jidee

  • @lucymtuka6393
    @lucymtuka6393 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa Sana Dada nimejifunza kitu leo

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 3 ปีที่แล้ว +1

    I can't even die 4myself🤪🤪""how can I die for somebody else???"🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @carlitoothman2185
    @carlitoothman2185 3 ปีที่แล้ว

    Naomba kumjuza dadangu COMMAND kuwa mimi,mamangu na dadangu tunakupenda kweli coz pembeni ya mziki upo vizuri sana upstairs

  • @binamutawa9637
    @binamutawa9637 3 ปีที่แล้ว

    Heshima kubwa kwako bint machoz

  • @winniekodero4422
    @winniekodero4422 3 ปีที่แล้ว

    I like her,she is smart intelligent proffesional and understands her worth.Her interview is worth watching !!

  • @saladaniel9274
    @saladaniel9274 3 ปีที่แล้ว

    Sister ake😘😘

  • @a.856
    @a.856 3 ปีที่แล้ว +2

    Jide💪

  • @sumadashsumadash7342
    @sumadashsumadash7342 3 ปีที่แล้ว

    Mm nikiambiwa na Ulimwengu mzima nichague zawadi yakukupa ww Lady Jaydee basi ntavhagua zawadi ya KUKUPENDA KWA SABABU UNA ADABU STARA HESHMA NA UTULIVU KTK MAISHA YAKO HASA UANAMUZIKI WAKO BORA WENYE MAFUNZO NA BURUDANI.

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 ปีที่แล้ว +1

    iyo nikweli jumalokole wanamushagiliya kwa matusi mukosa hadabu tena wanamupa sheriya dada kaogeya kweli.

  • @frankchamba8894
    @frankchamba8894 3 ปีที่แล้ว

    watu wa bunda like mko wapi

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 ปีที่แล้ว +2

    Jideeee

  • @rayanndizeyes3161
    @rayanndizeyes3161 3 ปีที่แล้ว

    uyu dada mupole sana mwenye heshima yake

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 ปีที่แล้ว

    I bear with professor jay

  • @TheAlesry
    @TheAlesry 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wa matusi WCB

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 ปีที่แล้ว

      Yaani mitusi kama yote!

  • @lindamutasa5752
    @lindamutasa5752 3 ปีที่แล้ว

    Binti machozi lov u mingimingi

  • @farahanafarer7588
    @farahanafarer7588 3 ปีที่แล้ว

    Unaongea vyema kabisaa Jide

  • @ismailissa4935
    @ismailissa4935 3 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 3 ปีที่แล้ว

    Na laajabu hizo nyimbo za matusi ndio mnaozipa upeo

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว

    😘😘😘

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 3 ปีที่แล้ว

    namuelewq uyo

  • @msetikebwasi1469
    @msetikebwasi1469 3 ปีที่แล้ว

    Komando huyo wewe .

  • @nurukhalifa9413
    @nurukhalifa9413 3 ปีที่แล้ว

    .

  • @bimumaulid1171
    @bimumaulid1171 3 ปีที่แล้ว

    WAKATI WAKO PIA ULISIKILIZWA

  • @sinarinziclaude7599
    @sinarinziclaude7599 3 ปีที่แล้ว

    Dogo Janja

  • @lindamutasa5752
    @lindamutasa5752 3 ปีที่แล้ว

    Binti machozi lov u mingimingi