MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | UTUKUFU NI WAKO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • KIJIWE CHETU ni Kipindi ambacho kiliongeza Ladha na rangi kwenye vipindi vya nyimbo wakati wa Jioni. Kipindi Kilikuwa kina Jumuisha Kwaya na vikundi vyote vilivyokuwa vikihudumu kwenye Mikutano ya Makambi. Kirumba SDA Choir - Mwanza, Kagoro SDA Choir - Kenya, Light Bearers UDSM, Uaminifu Gospel Singers - Ukonga DSM, Magomeni Church Choir - DSM, Magomeni Youth Choir - DSM, Gospel Flames - Magomeni DSM, Wabeba Nuru - DSM, Together in Christ - DSM. Muongozaji wa Kipindi ni Ezekiel Mukundi

ความคิดเห็น •