ALBUM: NI KWA NEEMA | WIMBO: NILIPOKUWA NIKIOMBA | MAGOMENI YOUTH CHOIR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Nilipokuwa nikiomba nilijifunza watakao vaa taji zenye nyota. Bwana niongoze, ok Kaka twendeni, twendeni tukaombe, oh Dada twendeni, twendeni tukaombe RohoMtakatifu.
    Oh Bwana sikiliza ombi letu, Oh Bwana tuma roho wako, oh Bwana sikia watoto wako tujaze upendo wa kweli Jambo linakuja dunia itashanga wakati roho atakapomwaga natutashuhudia mambo aliyotutendea watu Mungu watakapo omba Watoto twendeni, twendeni tukaombe, watoto twendeni, twendeni tukaombe (twende tukaombe) Roho Mtakatifu (Roho wa Mungu) twendeni tukaombe.
    Bwana Sikia watoto wako Oh Bwana tuma roho wako, Oh Bwana sikia watoto wako tujaze upendo wa kweli, tujaze upendo wa kweli. Tujaze (Bwana) upendo wa kweli.
    Nilipokuwa nikomba (Nilipokuwa nikiomba) Nilipokuwa nikomba nilimwona Bwana

ความคิดเห็น • 4