- 116
- 44 383
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 23 ส.ค. 2020
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NI KWA NEEMA TU
Sina Kitu chochote kilicho cha Kwangu, dhambi ilinitenganisha kati yangu na Mwokozi, damu yake Kalvari ilinisafi taka, sasa nimesamehewa ni mtoto wake milele.
Ni kwa Neema tu, kaniponya si matendo ni kwa msalaba, nimetubu nimeoshwa yeye badala yangu, sikustahili nimesamehewa.
Wokovu ni wa Ajabu umefunika makosa, Zawadi yake milele imefunika dhambi. Asante ninakusifu umenipa amani, siku moja nitasimama Neema yake yatosha.
Ni kwa Neema tu, kaniponya si matendo ni kwa msalaba, nimetubu nimeoshwa yeye badala yangu, sikustahili nimesamehewax2
Ni kwa Neema tu, kaniponya si matendo ni kwa msalaba, nimetubu nimeoshwa yeye badala yangu, sikustahili , Sikutastahili, Sikutsahili ila kwa Neema, Neema

มุมมอง: 137
วีดีโอ
MAGOMENI YOUTH CHOIR | ALBUM: NI KWA NEEMA | WIMBO: MTOTO WA NURU
มุมมอง 153วันที่ผ่านมา
MTOTO WA NURU Nataka niwe mtoto wa Nuru nimfuate Yesu Mungu Alitupatia Nuru, Nuru Hiyo Ndiye Yesu Kwake Yesu Hakuna Giza, Usiku, Mchana ni Sawa Mwana Kondoo Yeye Ndiye Nuru, angaza moyo wangu Natamani Nimuone Mungu Nifanane na Yesu Jua la Haki Liniongoze Njia ya Kufika kwa Baba Kwake Yesu Hakuna giza, usiku mchana ni sawa Mwana kondoo yeye ndiye Nuru, angaza moyo wangu Nasubiri Kuja kwa Yesu Ni...
MAGOMENI YOUTH CHOIR | SIJAONA
มุมมอง 232วันที่ผ่านมา
kila mwenye haki amtafutaye Mungu kwa moyo wote, hataona haja na kitu chochote
WAZO HILL CAMP MEETING | ELMER OOLA | MCHUNGA MWEMA | DAY 6 | SEHEMU YA WIMBO
มุมมอง 202วันที่ผ่านมา
Miisho ya Kambi la Wazo Hill, Mungu amekuwa mchunga mwema sana kwa Kwaya ya Vijana Magomeni. Tumehudumu kwa siku zote kwa furaha na amani. Kweli Yesu ni Mchunga Mwema
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU | DAY 4
มุมมอง 29514 วันที่ผ่านมา
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU | DAY 4
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | JUU YA MWAMBA | DAY 3
มุมมอง 21814 วันที่ผ่านมา
WAZO HILL CAMP MEETING | MAGOMENI YOUTH CHOIR | JUU YA MWAMBA | DAY 3
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MUNGU, MUNGU PEKEE
มุมมอง 46814 วันที่ผ่านมา
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MUNGU, MUNGU PEKEE
EVELYN EZEKIEL MUKUNDI | CHAIN BREAKER
มุมมอง 14421 วันที่ผ่านมา
EVELYN EZEKIEL MUKUNDI | CHAIN BREAKER
MAGOMENI YOUTH CHOIR | KUJA KWAKE BWANA
มุมมอง 63821 วันที่ผ่านมา
MAGOMENI YOUTH CHOIR | KUJA KWAKE BWANA
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MKONO'S FAMILY
มุมมอง 14421 วันที่ผ่านมา
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MKONO'S FAMILY
MIKE MJINJA | MWENYEKITI MAGOMENI YOUTH CHOIR | NENO LA UFUNGUZI
มุมมอง 6621 วันที่ผ่านมา
MIKE MJINJA | MWENYEKITI MAGOMENI YOUTH CHOIR | NENO LA UFUNGUZI
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MULENGA'S FAMILY
มุมมอง 10321 วันที่ผ่านมา
MAGOMENI YOUTH CHOIR | MULENGA'S FAMILY
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NINAYAWEZA YOTE
มุมมอง 59721 วันที่ผ่านมา
MAGOMENI YOUTH CHOIR | NINAYAWEZA YOTE
FAREWELL WORDS FROM ELDER JELOUS CHILOVE | 20 JULY 2024
มุมมอง 81หลายเดือนก่อน
FAREWELL WORDS FROM ELDER JELOUS CHILOVE | 20 JULY 2024
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR | BEFORE AND AFTER | 2019 PANGA PANGUA YUAJA | 2021 USIKU WA MANANE (MARY)
มุมมอง 192หลายเดือนก่อน
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR | BEFORE AND AFTER | 2019 PANGA PANGUA YUAJA | 2021 USIKU WA MANANE (MARY)
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI CHURCH CHOIR & MAGOMENI YOUTH CHOIR | ASTAHILI KUPEWA SIFA
มุมมอง 313หลายเดือนก่อน
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI CHURCH CHOIR & MAGOMENI YOUTH CHOIR | ASTAHILI KUPEWA SIFA
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI YOUTH CHOIR | MLIMANI KALVARI
มุมมอง 273หลายเดือนก่อน
CHRIST IS OUR HOPE | MAGOMENI YOUTH CHOIR | MLIMANI KALVARI
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU
มุมมอง 243หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI YOUTH CHOIR | NEEMA YA AJABU
HISTORIA FUPI YA UIMBAJI YA MWALIMU JOSIAH PAULO SAGATTI
มุมมอง 205หลายเดือนก่อน
HISTORIA FUPI YA UIMBAJI YA MWALIMU JOSIAH PAULO SAGATTI
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MC MADEVU | COMEDY | JESUS MWAMBA SIYO MWAMBA - II
มุมมอง 352หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MC MADEVU | COMEDY | JESUS MWAMBA SIYO MWAMBA - II
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI CHURCH CHOIR | MKINIPENDA
มุมมอง 213หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | MAGOMENI CHURCH CHOIR | MKINIPENDA
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | WATAKA MIBARAKA
มุมมอง 687หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | WATAKA MIBARAKA
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | UTUKUFU NI WAKO
มุมมอง 263หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: KIRUMBA ADVENTIST CHOIR | UTUKUFU NI WAKO
HOMECOMING EVANGELISTIC CAMPAIGN 2024 | CHRIST IS OUR HOPE | ABIDE IN CHRIST | PR. PASSMORE MULAMBO
มุมมอง 49หลายเดือนก่อน
HOMECOMING EVANGELISTIC CAMPAIGN 2024 | CHRIST IS OUR HOPE | ABIDE IN CHRIST | PR. PASSMORE MULAMBO
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | KAZALIWA
มุมมอง 470หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | KAZALIWA
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | MICROPHONE TEST | AMEN
มุมมอง 105หลายเดือนก่อน
MAGOMENI CAMP MEETING 2024 | KIJIWE CHETU: MAGOMENI YOUTH CHOIR | MICROPHONE TEST | AMEN
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR | UZINDUZI WA ALBUM | 23/12/2023
มุมมอง 1878 หลายเดือนก่อน
MAGOMENI SDA YOUTH CHOIR | UZINDUZI WA ALBUM | 23/12/2023
TRUE NORTH STUDIOS Sasa ni Channel yako
มุมมอง 3810 หลายเดือนก่อน
TRUE NORTH STUDIOS Sasa ni Channel yako
Zamani wakati tunaanza kujua jua kuimba mwalimu mmja alikua anaitwa Kibasso ni MAREHEMU sasa ....alikua anasema ukivuta pumzi hakikisha haisikiki kwenye maiki , naomba mwalimu wa hawa vijana wafundishe kutosikikika pumzi kwenye maiki, wanaimba vzr na waushambulie wimbo waimbe kwa mkazo, wapo vzr sana ila wanaimba bila kushambulia wimbo sijui nitakua nimeeleweka yani wasiimbe km Pathfinder waimbe km vijana.....haswaa......mwisho wamemalizia vzr sana
Good
MYC❤❤
Amen
MYC MBARIKIWE Xana❤❤
Amen happy day
Tumtegemee MUNGU Kwa Kila jambo yeye Ndiye muumbaji WA vyote mpaji WA vyote Mtawala WA vyote Hata wakati Tunapita kwenye bonde Bado yu Mwema Inatupasa Kumtegemea Yeye
Kila kiumbe hai kimsifu MUNGU Ni MUNGU Pekee
BWANA Azidi kuwanua Katika Vipaji vyenu vya Uimbaji Muzidi Kumtumikia MYC❤❤
Ubarikiwe Sana Elmer Kwa Uimbaji mzuri ❤❤
Amen amen
❤❤❤waoooh elmer
Mwamba iyo
MYC MUNGU Atubariki Sote Tunaopojitoa Kumtumikia
Mlitubariki Sana. Bwana na Mungu wa Mbinguni, aendelee kuwatumia zaidi na zaidi kwa Jina la Yesu kristo, Amen.
Amina tulibarikiwa pia
❤❤❤
Aisee🙌, Mungu ametukuzwa🔥🔥
Mbarikiwe kila anayepita kupata vionjo vya ujumbe wa Mungu wetu
🔥🔥🔥🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Amina
❤❤❤❤❤❤❤❤MUNGU ainuliwe❤
Wow! Amen 🙏🏾
Amen brother
MYC❤❤ MBARIKIWE kwa Huduma yenu Mnaoifanya
Mbarikiwe sana
❤
Amen
I love your music.How can i get your music
Uimbaji mzuri ❤
Amen
🙏🏽
Sauti nzuri sana
Msichoke kufanya kazi ya Mungu, nimebarikiwa
i💗MYC jamani waoooo
Nabarikiwa sana, kweli Mungu ni wa pekee
Ubarikiwe @ridhishasgatti5138
Mbarikiwe sana kwa nyimbo nzuri zenye ujumbe makini
Beautiful
Mbarikiwe ❤❤❤❤😊
Mungu ni wa ajabu sana, na ni mkuu mno kwa sababu hahitaji kundi lile kubwa la watu kumsifu na kumtukuza bali anatumia wachache kati yao kuliwakilisha vyema jina lake
Ubarikiwe kwa kututia moyo
woow
Wow Praise the Lord 🙏
Inapendeza hata katika uchache wenu bado mnamsifu Mungu mbarikiwe sana wapenzi😊
Ameen Ameen
❤❤
Katika maisha ni kweli tuna dhoruba nyingi lakini Mungu pekee ndiye mtuliza dhoruba😊
BWANA Azidi kuwabariki MYC Kwa kujitoa kwenu kuja kutumika kwenye Kambi la Wazo hiliBWANA awabariki Walimu Wetu Kwa kujitoa kwenu
Mbarikiwe kwa wimbo huu. Utukufu una Mungu muumbaji na mpaji wetu, ni yeye pekee anayestahili kuabudiwa na kupewa sifa na utukufu milele amina.
Great voices💯 may God expand your territories 🙏
MUNGU Atubariki sote MYC Tunapojitoa Katika Huduma yetu ya Uimbaji na Abariki Kazi za Mikono Yetu
What a talent... God bless this young lady
Album yenu inapatikana online?
@kelvinndege: Tuna Album 2 za Audio. Album ya kwanza ipo kwenye Audiomac. Kama una App ya Audiomac andika Magomeni Youth Choir utaipa. Asante sana
Mangomeni
❤
Nsiah and Faith❤ Blessed family❤