INGEKUWA HERI LEO | Instrument

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Ndungu yangu katika Kristo, karibu tuendelee kumshukuru Mungu kwa vipaji na karama za watunzi mbalimbali kwa kusikiliza tungo zao kwa njia ya ala. Leo tunaburudika kipekee na wimbo wa mtunzi na mwalimu nguli wa muziki mtakatifu Mwl. John Mgandu.
    Wimbo: Ingekua Heri leo
    Mtunzi: John Mgandu
    Organist: Eng.Fridolinus Boniphace Mushobozi
    Sound Engineer: Fabian Mutayoba
    Studio: Holy trinity studios.
    Tubarikiwe sote, Karibu Subscribe, like, share na comment.

ความคิดเห็น • 77

  • @froliantheophil4322
    @froliantheophil4322 7 วันที่ผ่านมา

    Maana ya mushobozi ni mtu anayefahamu mambo

  • @raphaelmagayane4733
    @raphaelmagayane4733 12 วันที่ผ่านมา

    ubarikiwe sana Mwalimu

  • @cyrusnduati4595
    @cyrusnduati4595 13 วันที่ผ่านมา

    ❤ inapendeza Sana Mwalimu

  • @brightonpeter1034
    @brightonpeter1034 4 วันที่ผ่านมา

    Eng maua yako🎉🎉

  • @mathiassuswa9173
    @mathiassuswa9173 16 วันที่ผ่านมา

    🙏🙏🙏🙏 nice brother

  • @TripleJStites
    @TripleJStites 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Apewe 2 maiwa yake🎉

  • @ELPIDIUSLUGEMALILA
    @ELPIDIUSLUGEMALILA 9 วันที่ผ่านมา

    Waitu mahyo nootinisaa nke entare

  • @adeltuszakumuha9618
    @adeltuszakumuha9618 10 วันที่ผ่านมา

    Huyu jamaa sijui alitoka tumboni na ka kinanda mkononi🤔

  • @noldzInc
    @noldzInc 25 วันที่ผ่านมา +1

    Maestro, moja ya zaburi zinazowapa changamoto sana organist wengi🙌

  • @EmelyneNininahazwe-j4p
    @EmelyneNininahazwe-j4p 29 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana kwa majukumu yako mzee wetu tunakupenda sana 🎹🎶

  • @ivanswift8079
    @ivanswift8079 8 วันที่ผ่านมา

    ❤🇰🇪

  • @musamabogo182
    @musamabogo182 หลายเดือนก่อน +1

    Eng Frido katika ubora wake 🔥 🔥 🔥 kazi nzuri Sana kaka

  • @Duwekassian
    @Duwekassian 26 วันที่ผ่านมา

    kweli nimwalim me naomba jamn fundishe tu kucheza kinanda namkubali san

  • @revocatuspaul42
    @revocatuspaul42 หลายเดือนก่อน

    Heko heko kaka Mushobozi, hongera sana umeucheza vizuri sana wimbo wa J.Mgandu, kati ya nyombo za marehemu J.Mgandu huu ni chaguo langu. Hongera umeutedea haki.

  • @MartinBlasius
    @MartinBlasius หลายเดือนก่อน +1

    My role model 🫡🫡🫡🎹🙏🙏🙏🙏🙏🙏 vitu vingine ukishasikiliza ni sala tosha Hakika Mungu ni mwema Hongera sana maestro 🫡

  • @faustinelucas7478
    @faustinelucas7478 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwi mtumishi WA Mungu

  • @TalentedMusiciansTMO
    @TalentedMusiciansTMO หลายเดือนก่อน +1

    Greatest of all the Time 🎉🎉🎉

  • @eugenekeragori
    @eugenekeragori หลายเดือนก่อน +1

    Kazi safi sana mr Fridolinus.. Kenya twakupenda sana mwalimu na nyumbo na utaalamu wako kwa upigaji kinanda

    • @fridolinusboniface3574
      @fridolinusboniface3574 หลายเดือนก่อน +1

      Asante Sana Ndugu yangu

    • @eugenekeragori
      @eugenekeragori หลายเดือนก่อน

      @@fridolinusboniface3574 karibu sana Kenya mwalimu 🙏🙏👏

  • @AchileusMulokozi
    @AchileusMulokozi หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥 You are always my role model as far as the world catholic music is concerned🔥🔥🔥

  • @ernestpilla9179
    @ernestpilla9179 หลายเดือนก่อน

    Greatest of all time ,, Mshobozi ❤

  • @geofreykanyambo2230
    @geofreykanyambo2230 หลายเดือนก่อน

    Mkongwe kazini, hujawahi kuwa mnyonge, hakika una kipaji

  • @kafulyawilson8567
    @kafulyawilson8567 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂dah! Engineer ever....

  • @brunoagustino1520
    @brunoagustino1520 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi Nzuri sana

  • @simonlusiani3890
    @simonlusiani3890 หลายเดือนก่อน

    Hunaga kazi ndogo mungu abariki kazi ya mikono yako❤❤❤❤❤❤

  • @renatumashaka2261
    @renatumashaka2261 หลายเดือนก่อน +3

    Mimi sitaki kuamini kuwa wewe ni fundi wa mziki,ila na naomba niamini kuwa wewe ni hadhina na zawadi pekee tuliyozawadiwa Tanzania kwa mziki wa kikatiriki

    • @fridolinusboniface3574
      @fridolinusboniface3574 หลายเดือนก่อน +2

      Tumshukuru Mungu ndugu yangu.

    • @frevastram25
      @frevastram25 หลายเดือนก่อน

      @@fridolinusboniface3574 AMINAAAA

    • @EmmanuelThomas-bd6rn
      @EmmanuelThomas-bd6rn หลายเดือนก่อน

      Good job

    • @Charleslwangankoroi
      @Charleslwangankoroi 26 วันที่ผ่านมา

      @@fridolinusboniface3574this is El 90 how did you set it please direct

  • @innocentmakoi462
    @innocentmakoi462 หลายเดือนก่อน

    Maestro 🙌🙌

  • @antonymuinde
    @antonymuinde หลายเดือนก่อน

    Hongera sana kaka mushombozi 🎉🎉🎉

  • @frankkomba9397
    @frankkomba9397 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe eng, safi sana na umetulia sanaa

  • @mutongoreprostudios
    @mutongoreprostudios หลายเดือนก่อน

    Bravo brother. Uzidi kubarikiwa.

  • @Arati3
    @Arati3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mkuu🔥👌

  • @DionizMtekanga
    @DionizMtekanga หลายเดือนก่อน

    Mwamba mwenyewe.

  • @MGANI831
    @MGANI831 หลายเดือนก่อน

    Tupigie na nyota ya mashariki ile ya mukasa

  • @ChristianMaganga-b9h
    @ChristianMaganga-b9h หลายเดือนก่อน +1

    Apewe mauwa yake kaka Mushobozi

  • @ColonialEconomy
    @ColonialEconomy หลายเดือนก่อน

    🔥🔥🔥🔥

  • @emma_mtapila755
    @emma_mtapila755 หลายเดือนก่อน

    Baba Fransiscus.... 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @francessichangwa8035
    @francessichangwa8035 หลายเดือนก่อน

    Hiiiii aisee penyewe

  • @norberttwamba8467
    @norberttwamba8467 หลายเดือนก่อน

    🎉 maua yako mengi

  • @philimonymdeusy
    @philimonymdeusy หลายเดือนก่อน

    Nakubari sanaaa mkuu🙏🙏🙏

  • @egibartrespicius6748
    @egibartrespicius6748 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉❤

  • @enriqueonsakia
    @enriqueonsakia หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @ChristianKasoni
    @ChristianKasoni หลายเดือนก่อน

    big up kaka mkubwa

  • @johaneshaule4378
    @johaneshaule4378 หลายเดือนก่อน

    Wachungulia pedal movements mmetunyima fulsa

  • @revomwemezi7008
    @revomwemezi7008 หลายเดือนก่อน

    Heko Kaka!

  • @ellym1374
    @ellym1374 หลายเดือนก่อน

    Ni nzuri

  • @alanmvano7143
    @alanmvano7143 หลายเดือนก่อน

    Very nice

  • @gabrielinkway1808
    @gabrielinkway1808 หลายเดือนก่อน

    Sasa niseme nini mimi ,nashauri pale pharmacy wawe wanaweka nyimbo kama hizi

  • @LaurentNdalechi
    @LaurentNdalechi หลายเดือนก่อน +1

    Haturuhusiwi Kuona Pedal Mmeku?

    • @johnmihambo4926
      @johnmihambo4926 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂kwani huzisikiii mkuuu kama ni DO MI TI MI LA LA RE TI DO DO........

    • @fridolinusboniface3574
      @fridolinusboniface3574 หลายเดือนก่อน +1

      Mnama Mbonyi

  • @kafulyawilson8567
    @kafulyawilson8567 11 วันที่ผ่านมา

    wewe ndo ulifanya ninunue kinanda nianze shule ya hii muziki kwa ujumla! utabaki wewe.

  • @anthonymaganga356
    @anthonymaganga356 หลายเดือนก่อน

    Mkuu umerudi?