MASAIBU SERIES EPISODE 1 - Ft. MUHOGO MCHUNGU & BI REHEMA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 พ.ย. 2017
- NI FILAMU INAYO ONGELEA MAISHA HALISI YA MASIKINI ANAYOPITIA NA CHANGAMOTO ZA KIMAISHA.NDANI YAKE KUNA MAFUNZU NA MAKATAZO DHIDI MTU ANATAKA KUPOTOKA.
STORY YENYEWE NI KAMA HII PALIKUWA NA DADA MMOJA ANAEITWA SAADA.SAADA ALIKUWA NA MUMEWE KWA JINA ZAKARIYA NA MTOTO WAO NI YUSUF WALIOISHI MAISHA YA TABU NA MASHAKA.SIKU MOJA BWANA ZAKARIA ALIENDA ZAKE KIBARUANI KAMA ADA YAKE WALAKIN WAKATI ALIPOKUWA AKIENDELEA NA SHUGHLI ZAKE MARA GHAFLA BIN VUU ALIHISI KUZUNGU ZUNGU NA KUDONDOKA CHINI.MKEWE ZAKARIA ALIJARIBU KADIRI WA UWEZO WAKE KUMTAFUTIA MUMEWE TIBA SABABU TATIZO HILO HUMJIA MARA KWA MARA HATIMAE SAADA AKAAMUA KUENDA KWA MAMA YAKE MZAZI.ALIPOFIKA KUMUELEZA TATIZO LINALO MSIBU MUMEWE SAADA ALINYIMWA MSAADA NA KUFUKUZWA NA SABABU YA KUNYIMIWA MSAADA NA MAMA YAKE NI MAMA ALITAKAOLEWE NA BWANA MWENYE PESA WAKATI SAADA ALIKUWA HATAKI NDIO CHANZO CHA CHUKI ZOTE
Miss home so much,,, kiswahili ile tamu ya kicoast,,,all love from +966
Yaani naskia raha nkiangalia acting zenu yaani natamani na mm mungenijua mukaniunga kwa acting ,Allah awazidishie
Wala hujachelewa Dada mwanaidi
Khadija kazi nzr sis mabruk allah azidi kukupa kipaji ameen lap u sis dida
Alhamdhulillah mwatuokoa sasa Kenya, niliona kilakitu kuhusu Sanah in tz,Allah awajaze heri mweendele hviyo2 Allah awa takabal.
Ammeen shukran na ww
Mashaallah hakika mombasa mko Juu👌👌👌
Shukran 2najaribu dua zako
asanteni kwa support yenu. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Tamthilia za pwani official kuelimisha dini na family
maashaa Allah shukreen kwa movie nzuri
mashaa Allah...kheri ziwe juu yenu...endeleeni kutuuelimisha wanafamilia ya kiislam...
Tamthilia za pwani official
mashaAllah naombeni na mm kuniunganisha kwenye movie natamani sana kuigiza
Tamthilia za pwani official
Mashaallaah ina mafunzo mazuri ❤❤❤❤
Naombeni msibadili mfumo wa ugizaji kwani hu mnaoutumia nimzuri sana tena sana
Sawa Dadangu dua zako tupate wadhamini tuweze kufanya kazi nzuri zaidi ya hizi
Kazi nzuri❤❤❤
Zubeda a.k.a Rahma safari hii nimekupenda bure😚😚😚
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
@@tamthiliazapwaniofficial4361 imempendeza tena Sana ila sio Yule zubeda
@@shabaniibadi4578 mmmh sio yule zubeda n nan huyu wa sahi
Mashaallah kazi nzuri sana. Allah awazidishie kila la kheri-Ameen. Hongera
Mashaallah kumbe kuna movie kutoka kenya Mashaallah
maashallah movie nzuri asanteni
Zubeda naomba nikuoe nakupenda had naumwa
MashaAllah😍😍😍
Zubeda ongera zako ndug yangu
Ma shaa Allah
MashaAllah filamu ya kiislamu kenya nafurahia sana ina mafunzo ya dhati sana
Abbas medozah Shukran
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Shukran kaka
Masha Allah
Mashallah allah bless you all👄👄👄👄❤❤❤❤
Nzuri wakenya wenzangu lakini wa tz watuzidi sana kwa sanaa za mziki na maigizo sasa na sisi tujitahidi
Huu ndio mwanzo lazima tuwape hongera wenzetu ilii wazidi kupats ubunifu na nguvu...keep it up brothers and sisters
MashaAllah ustadh Musa Allah amekuambia kipaji.
A Awadh shukran
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Grand Naizaa...
Mashaa Allah muko vizur watu wakenya 😍😘
Shukran
Mashallah
Hadija mchoraji wangu
Zubeda i love you
Inshallah
Mashaa Allah. Mmejitahidi
Movie nzuri sana mungu awabariki
Tamthiliya nzuri za kuelimisha
Mashaalah mwajitahd hongereni
❤❤❤❤ love it
Nyc mashallah
Ma shaa Allah
Nmeipenda na naifuatilia mpaka mwisho in shaa Allah....kina zakka ni wengi
Kibibi Mwanamvua Mohammad Mohammad In shaa Allaaah
Masha Allah... Allah azidi kuwaongoza.
mama Hussein na zubeida wakua madada yapendeza kweli
Uyo zubeda kafanana n dadangu sanaa,,,
MashaAllah I see the changes kwenye tasnia ya pwani..tunawaombea hasa kaka yangu Musa...ilaa jaribu tamthilia kuweka subtitles za Kiingereza..ALLAH awabariki kazi zenu
In shaa Allaah
Mjomba ismail umetisha
أم فوزان السلفيه & فوزان hahahah y yani mjomba safari hii kanikosha 😂😂😂
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Mashallah ingine basi mbna tamu
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Kazi nzuri sana
Ahsanteeee sannaah
mashaa allah
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Mashaallah mashaallah
Ma sha Allah mambo bomba
Mama bs kua na moyo wa kusamehe jamani 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭mams naomba radhi zako kwn radhi zipo chini ya nyayo za mama😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mashaallah kenyw yetu imeendelra
Nzuri kwelii inapendeza
Nice movie
alli hamadi Shukran
Huyu mama jamani kanitoa machozi duuh anaroho ya chuma
👌👌👌
Masha Allah, Mombasa juu insha Allah.
Shukran njoo na wewe tuwe pamoja kwenye acting
@@tamthiliazapwaniofficial4361 insha Allah , Allah kijaalia tutawa pamoja
2019 nice
Ma Shaa Allah Shukran sana kwa movie nzuri zenye mafunzo. Ma Shaa Allah mko vizuri hongereni sana.mfupi ka kikombe cha kahawa 😅😅😅😅😅😅 mbavu zangu mie.
Hahahahaaaah😂😂😂
@@salmarashid3492 🤣🤣🤣🤣 imagine Kikombe Cha Kawa Kinavyo Kaa.
@@mwanahalimamwachili9679 haha eeh
@@salmarashid3492 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatariiiiii.
😍😍😍
Masha Allah muko sawa
Mariam Juma Shukran
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Nice Waiting for epi ll...
Bi Ommy In shaa Allaah
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
asante sn 👏
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Good
Épisode 2
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
MASHALLAH
Hashim Said Shukran
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Wapi mwendelezo
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Fresh
Xafi na xalama
assalam alykumu
Shukurani.
thanks for watching. Kindly subscribe to our you tube channel and we promise to give you the best. Episode 2 ipo tayari. Bonyeza hii link hapa th-cam.com/video/qDgaBxgoJRg/w-d-xo.html
Shukran kwamovies nzuri manshaa Allah
Mzuri sana inanikumbusha mbali.
Salma Ali u are ok
Hahaha ali makka ww eti mtu mkubwa uko na pesa
Namba namba yenu inshaallah
Mamatuma Nassoro 254735576202
Sasa mama ww uliolewa na mume unaemtaka kwann wamchegulia mtt wko mume.kisha natamaa mbele maisha nimaelewano sio pesa
Hizo movie za kenya kiswahili chakuoza
Riziki Jaha Shukran Dadangu Ingeli kuwa vyema In shaa Allaah ukatufunza wewe kiswahili huende ukawa ni mahiri katika sekta hiyo ya kiswahili sanifu
Riziki Jaha kiswahili kizuri hicho wakenya wajua kutofautisha 'l' na 'r'
+Madina Salim,walizoea kile chao mola wanasema mora,rudia wanasema ludia, kujishauwa tu
+Riziki Jaha ,wivu utakuuwa,ata uko Tanzania Kiswahili kibovu,mola mnasema mora,pia usisikie kua kenya hawajui Kiswahili ni uongo,na uko Tanzania mnako jisifu mnajua Kiswahili wapo wasiojua Kiswahili
Riziki Jaha
kiswahili cha kuoza chenu cha shombo fyuuuu usickize kiswahili sikiza maneno yana mafunzo gani kwako 👈
Nawaombea Allah awape wepesina awaongoze vyema ishaallah
تهامي عرابي امين
Masha Allah
Mashallah
Afuan