MR MONEY_EP 01

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ค. 2024
  • #mzeelikoma#mrmoney#kpnazebuu

ความคิดเห็น • 741

  • @AnithaStiven
    @AnithaStiven 21 วันที่ผ่านมา +156

    Jamani sijapenda mashabiki wa kp hamutendi haki kwa likoma kumbukeni likoma kafanya tumujue zaidi lakini video za likoma eti watu mupo 78 kweli sio sawa like zipo 691 sio saw😢

  • @NipherKwamboka
    @NipherKwamboka 21 วันที่ผ่านมา +152

    Kutka Kenya Leo nimekufa number 5 nipeeni like hata kumi jamani

  • @MarcygloriaIbrahim
    @MarcygloriaIbrahim 21 วันที่ผ่านมา +49

    Hata mm mnipee like cjachelewa sana❤

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 21 วันที่ผ่านมา +29

    Kp nilikua naumia kuona move yen ni moja tu nilitamani kuona kil kipindi cha wamangush mzee wagiza na dada ,yaani hongeren sana 🎉🎉🎉🎉kwa kuongeza move

  • @user-sy9cu5ef5q
    @user-sy9cu5ef5q 21 วันที่ผ่านมา +43

    Yani nkiona mzee likoma na Mr dibozi nacheka taar bila hata kujua inahusu nini jamani 😂😂😂 nawapenda sana nikiwa Kenya 🇰🇪

  • @SunguraMmarekan-bs2lr
    @SunguraMmarekan-bs2lr 21 วันที่ผ่านมา +1

    Team likoma gonga like nyingi ❤

  • @OUTLAWDRILLERS
    @OUTLAWDRILLERS 21 วันที่ผ่านมา +32

    Sijachelewa pia mm kutoka kenya,,likes kwangu

  • @SamuelAloo-qv3kg
    @SamuelAloo-qv3kg 21 วันที่ผ่านมา +38

    Mfuasi wa mzee likoma na dibozi manuva kutoka kenya 🇰🇪

  • @jacksonminani9782
    @jacksonminani9782 21 วันที่ผ่านมา +16

    Kazi nzuri sana likoma Suraj yupo wapi kwenye plan b??love kutoka burundi

  • @MoohajezAmagove
    @MoohajezAmagove 21 วันที่ผ่านมา

    Kwani watu mwacomment video au mwaomba like 😂

  • @user-ex6tg6di7r
    @user-ex6tg6di7r 21 วันที่ผ่านมา +21

    Kp na zebuu mnapendeza , hii movie 🔥🔥🔥🔥👏👏🇰🇪

  • @tobiaschirwa9364
    @tobiaschirwa9364 21 วันที่ผ่านมา +6

    Unyama Sana Mzee Likoma & Dibozi nawapenda kutoka malawi tuko pamoja tutasubiri mwendeleo 😂😂 mumependeza Kp na Zebuu ❤❤❤❤❤

  • @simbeyrugata8745
    @simbeyrugata8745 21 วันที่ผ่านมา +4

    The best movie, congratulations to you all actors, especially kp,zebu,diboz and likoma

  • @nasorohusein-uz4hv
    @nasorohusein-uz4hv 21 วันที่ผ่านมา +9

    Mzee likoma KAZI nzuri mungu akuongezee maarifa zaidi utazidi kufanikiwa

  • @modostar
    @modostar 21 วันที่ผ่านมา +20

    Kazi nzuri na mm ni msanii natamani kufanya ksz na nynyi

  • @ShanBaby-dy4db
    @ShanBaby-dy4db 21 วันที่ผ่านมา +8

    Samahani am from Kenya the capital city of Africa nipeni like zangu❤❤❤

  • @madymag6926
    @madymag6926 21 วันที่ผ่านมา +9

    Likoma na dibozi wow Nawependa bure kazi nzuri sana❤❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @ruth1377
    @ruth1377 21 วันที่ผ่านมา +8

    Wow hii nzuri nimeipenda ad raha🔥🔥🔥🔥❤️❤️💯💯💯💯

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 21 วันที่ผ่านมา +8

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa likoma tupia like zangu apo

  • @JohariJohari-rv5js
    @JohariJohari-rv5js 21 วันที่ผ่านมา +18

    Nguo zashule zimewapendeza