ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

KESHO YANGU PART 27 💞 Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 เม.ย. 2024
  • #keshoyangu #episode27

ความคิดเห็น • 718

  • @mariamshamte7403
    @mariamshamte7403 3 หลายเดือนก่อน +288

    Kama mnamkubali nyuki gonga like

    • @user-cb6hz6lh4k
      @user-cb6hz6lh4k 3 หลายเดือนก่อน +2

      NamkubalI Sana

    • @user-zk1sc8fi5p
      @user-zk1sc8fi5p 3 หลายเดือนก่อน

      Ndio mm hapa😂😂😂😂

    • @user-wu1bb4ky9s
      @user-wu1bb4ky9s 3 หลายเดือนก่อน

      Huyu kaka amejua sana kiugza

    • @user-kn9mt8oc7j
      @user-kn9mt8oc7j 3 หลายเดือนก่อน

      Duh nkubali kev mntsha sana🎉❤

    • @JulianOkemwa
      @JulianOkemwa 3 หลายเดือนก่อน

      😊😊😊

  • @user-mu3mr2yq2t
    @user-mu3mr2yq2t 3 หลายเดือนก่อน +9

    Nyuki mshauli mzur sana halafu anaongea kwa hekima sana kwaupande wangu namkubali

  • @sofiakinyia2734
    @sofiakinyia2734 3 หลายเดือนก่อน +65

    Saidia mtu yeyote usiye mjua huenda ndo chànzo chà kubadilisha maisha yako hongera sana nyuki🎉🎉🎉❤❤❤

    • @Rahma-rs5ll
      @Rahma-rs5ll 3 หลายเดือนก่อน +1

      Uko sahihi

    • @SimonAkyoo
      @SimonAkyoo 2 หลายเดือนก่อน

      Kaka mnatisha sana

  • @godlovekyela7807
    @godlovekyela7807 3 หลายเดือนก่อน +16

    Kelvin kazi yenu ni ninzur sanaa issee BROTHER NYUKI DA BIG UP SANA KAKA UKOVIZUR BARAAAA

  • @alinealina7008
    @alinealina7008 3 หลายเดือนก่อน +13

    4:57 kazi yangu mimi kuwapa like kwa wanao like,congo mon pays🎉🇨🇩Donta tv,my préféré ❤❤❤

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 3 หลายเดือนก่อน +22

    Kwl mvumilivu hula mbivu,uvumilivu wa Kevi umemfanya hadi mzee kuwa mpole,big up Kevi,kiukweli ktk filamu zote niloangalia kutoka kwenu kwng hii best,kila part huwa ntmn icfike mwsh👏👏👏👏👏

  • @StephenOuma-py7uh
    @StephenOuma-py7uh 3 หลายเดือนก่อน +63

    Leo wakwanza kutoka Kenya nipe likes japo hata tano

  • @user-ko4in4uy1u
    @user-ko4in4uy1u 3 หลายเดือนก่อน +20

    Ewuana Nimefika Mapema Sana Kbx ❤❤❤❤ Manshalla Kelvin Unarohonzuli Kiukwel ❤❤❤🇸🇦🇧🇮

  • @user-rf9zs7io9x
    @user-rf9zs7io9x 3 หลายเดือนก่อน +42

    Allooo mimi wakwanza jamani.mnipe like🎉🎉 zangu

    • @evelnjuma1834
      @evelnjuma1834 3 หลายเดือนก่อน

      Nice ❤❤❤🇹🇿

  • @mslaysauti
    @mslaysauti 3 หลายเดือนก่อน +23

    Hiii ni Mimi Leo naombeni ata kumi na Mimi pia niongese kitu Kama hii ya comment 😊❤

  • @BLEIZKAPATYA
    @BLEIZKAPATYA 3 หลายเดือนก่อน +16

    Nimependa sana maisha ya nyuki hana roho mbaya Daah komaa kaka 🙏🙏🙏

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129 3 หลายเดือนก่อน +14

    🇹🇿 watching bonge la movie kutokea 🇪🇬
    Kazi kazi Donta Family ❤

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 3 หลายเดือนก่อน +60

    Naomba like ata km n 10 plz team Kelvin n team strong mko wapi 🇰🇪🇸🇦❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @Rabeccaedward-gr7wf
      @Rabeccaedward-gr7wf 3 หลายเดือนก่อน +2

      Nko apa 💥💥❤️‍🔥

    • @JoffiAlenga
      @JoffiAlenga 3 หลายเดือนก่อน +1

      12:56 ​@@Rabeccaedward-gr7wf

  • @AsaniAnsufati-jc3yv
    @AsaniAnsufati-jc3yv 3 หลายเดือนก่อน +18

    Okay Kelvin daktari wamapezi unafuraisha na kuelimisha vizuri sana

  • @user-zf7nd3uc6n
    @user-zf7nd3uc6n 3 หลายเดือนก่อน +41

    Wakwanza Leo wapi kelele Kwa wakenya weweee🎉💃💃💃💃💃

  • @marleymukangwa8955
    @marleymukangwa8955 3 หลายเดือนก่อน +17

    Je suis là présent, la première personne à visionner!!! Kelvin je t'admire mon frère et je loue ton travail acharné.
    Nilikua naisubiri kwa hamu jamani!!! Halafu mi wa kwanza!!! Naomba msiniangushe jamani, nipeni tu ata likes 2 zitanitosha!!! 🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩

    • @user-zy1dw6ko7u
      @user-zy1dw6ko7u 3 หลายเดือนก่อน

      Munatowq vipande vidogo

  • @user-su5oi5wb6c
    @user-su5oi5wb6c 3 หลายเดือนก่อน +45

    Nimechelewa lakin nimefika kelvin naomba like zangu ❤❤❤😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-ti1ol3ti9j
    @user-ti1ol3ti9j 3 หลายเดือนก่อน +13

    Daa brother kervi respecte for you love so mach❤❤❤

  • @Complex_tz
    @Complex_tz 3 หลายเดือนก่อน +14

    Kevi umetumia akili kubwa Sana humu I'm Complex from Mogadishu family

  • @user-vf8hb9rk1f
    @user-vf8hb9rk1f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Aaaan nyuki unayoyafanya yanaendana kabsaaaaaa na huo upara wako hongera sana bro

  • @user-ql2hc7zt6b
    @user-ql2hc7zt6b 3 หลายเดือนก่อน +12

    Kevin na kukubali bro akin ukitak selis iwe nzuli muoe uyo mdogo wake nyuki bint ana mahaba na wew afu wew unaleta ukaka angalia wew wanaume hatukaz ivoutajutia ukitaka tujifunze vizuli muoe uyo bib

    • @user-co5nh1rx1t
      @user-co5nh1rx1t 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hapana kwakwel

    • @user-cd3hx4ox8x
      @user-cd3hx4ox8x 3 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅 ila wewe big up

  • @oystellaoscar5151
    @oystellaoscar5151 3 หลายเดือนก่อน +12

    Nmeskia mzee baba tajir amesema nyuki uoe vip mchumba Mwenyew unae nisijechelewa kinyang'anyiro😂😂😂

  • @SamjeyJuma
    @SamjeyJuma 3 หลายเดือนก่อน +22

    saidia kuniambi ata kama na roho mbaya mungu atalipa Kevin

  • @ZechePass
    @ZechePass 3 หลายเดือนก่อน +52

    Nimechelewa kidogo lakini naomba like ata 100 sijawahi kufika jmn❤

    • @AliphonceMartina
      @AliphonceMartina 3 หลายเดือนก่อน +1

      Unatamaa sana muone 😢😢😢

  • @user-kp8sv4hw3e
    @user-kp8sv4hw3e 3 หลายเดือนก่อน +13

    Jamani nakubari sana movie kuwa munawahi kutireteya muederezo harak

  • @odethierpaschal99
    @odethierpaschal99 3 หลายเดือนก่อน +13

    Jaman huu wimbo ni mzuri sana❤

  • @LovenessMwaipaja
    @LovenessMwaipaja 3 หลายเดือนก่อน +6

    Sitakii like zenu wakuu😂😂😂😂 ila kama umependa chakula anachokula kervini akuje apaa🤗🤗

  • @user-un2gd1hc6i
    @user-un2gd1hc6i 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nyuki naona mnaenjoy na dada

  • @OlphaMoraa-kj7on
    @OlphaMoraa-kj7on 3 หลายเดือนก่อน +14

    Eagerly awaited for this part ❤

  • @user-cr6mn4ks5f
    @user-cr6mn4ks5f 3 หลายเดือนก่อน +8

    Jamani da vick umependeza sana dadaangu ❤❤🎉

    • @aysha9932
      @aysha9932 3 หลายเดือนก่อน

      Sana mashallah 🙏😊

  • @user-zu1hk8dt4c
    @user-zu1hk8dt4c 3 หลายเดือนก่อน +12

    Nyuki kumbe hendsome akiwa smart😊😊🎉🎉

  • @eckysanga8978
    @eckysanga8978 3 หลายเดือนก่อน +19

    Number one

  • @user-hm6hy6rr1h
    @user-hm6hy6rr1h 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hhhhh yan ww kaka nyuki unajua kutoa ubuyu hhh na viki anavo upenda 😂😂😂😂😂😂😂

  • @halimarajabu-lv3pz
    @halimarajabu-lv3pz 3 หลายเดือนก่อน +16

    Wakwanza leo jaman 💓🔥🔥🔥🔥💯

  • @AchimoRachideMajacho
    @AchimoRachideMajacho 3 หลายเดือนก่อน +75

    Leo wakwanza naomba like zangu. Kutoka Mozambique.

  • @user-fm7pl6rs3i
    @user-fm7pl6rs3i 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mmenikela kwenye mafanikio yenuuu simuoniii BHAIRAM😂😂MR AFTATU......

  • @user-pi8ty9nv2x
    @user-pi8ty9nv2x 3 หลายเดือนก่อน +10

    Nipeni like Zangu leo bimekuw wa kwanza

  • @abderochdogostar
    @abderochdogostar 3 หลายเดือนก่อน +5

    Sou em 2 pesso meus like
    Huku msumbiji tunasema hivyo🇲🇿

  • @user-sk7un6ls2t
    @user-sk7un6ls2t 3 หลายเดือนก่อน +12

    Weweee nimewahi like Kama unaipenda kesho yangu ❤❤❤❤

  • @annahnyansiaboka451
    @annahnyansiaboka451 3 หลายเดือนก่อน +6

    Ila nyuki ww uko na roho nxuri sana ila nakuomba umuruhusu Vick aolewe na keivin

    • @user-cj2zy7of5h
      @user-cj2zy7of5h 3 หลายเดือนก่อน

      ama kweli dunia mduwara hakuna aijuae kesho tuishi kwa matumain nyuk hongera. 🎉 upewe maua yako 🎉

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 3 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani nyuki Hongera sana Unajua saaaana ❤❤❤❤Nakupenda sana Nyuki

  • @MercyKahindi-go2nr
    @MercyKahindi-go2nr 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sema Vick kupendezaa❤❤❤ Na nyuki naye Maua ykeee jamani

  • @petrokapufi2666
    @petrokapufi2666 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nakubali sana hii ila changamoto inachelewa kutoka

    • @Rktungafilmz
      @Rktungafilmz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Ndo maana ya k2 kizuri hyo broo😂😂😂

    • @petrokapufi2666
      @petrokapufi2666 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@Rktungafilmz nakubali boss

  • @user-se1qc5mx4o
    @user-se1qc5mx4o 3 หลายเดือนก่อน +2

    Nakukubali sana 🐝 nyukiiiiiiiiii❤❤❤❤❤❤

  • @user-uf5kr3ms3g
    @user-uf5kr3ms3g 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ni 🔥 kesho yetu kama unamkubali vikitoria gonga like ata 10 au nyuki

  • @NaomiEdward-ef2cp
    @NaomiEdward-ef2cp 3 หลายเดือนก่อน +5

    Iv hizo like huwa mnalipwa au mie ht sijaelewa

    • @bennamush4616
      @bennamush4616 3 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi mwenyewe nashangaa

  • @khuswayikidaghanya6321
    @khuswayikidaghanya6321 3 หลายเดือนก่อน +12

    Daaaaaaah nilisubiri

  • @user-qy8xw6cc2q
    @user-qy8xw6cc2q 3 หลายเดือนก่อน +3

    Thanks for this series

  • @dahoudherman2107
    @dahoudherman2107 3 หลายเดือนก่อน +5

    Binafsi napenda sana uyu dada alivyo na adabu na kaka yake

  • @Mali_tz1
    @Mali_tz1 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shida matatizo hutufunza uvumilivu maisha hayana rikizo ndege ruka uende kijijini hadikwa mama kamweleze bado napambana 😢😢😢😢😪😪😪😪

  • @LightnessUrio-fo7mq
    @LightnessUrio-fo7mq 3 หลายเดือนก่อน +2

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉 nipo kando uku nipita pita tuu kuwaangalia 🥺mpoooo jmn nawapenda sana mtz kutok kenya mlio kenya kam mm wa tzd gonga like👍🏻

  • @EvaJohn-cs7mn
    @EvaJohn-cs7mn 3 หลายเดือนก่อน +1

    Yaaaan haka kawimbo na huuu mchezo nimependa👌👌👌 yaan mnajua ❤❤

  • @user-ql2lz2hh8e
    @user-ql2lz2hh8e 3 หลายเดือนก่อน +4

    Hata mimi leo naomba like jamani ni mara nyangu ya kwanza

  • @godnhohenry7779
    @godnhohenry7779 3 หลายเดือนก่อน +17

    Wakwanza leo like jamani mimi ni mnoma

  • @JoseAmirabdala
    @JoseAmirabdala 3 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani Mimi nakubali sana ii kazi nakama wew upo na Mimi gonga like👍🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Meddy993
    @Meddy993 3 หลายเดือนก่อน +12

    Wakwanza leo haya semeni

  • @hipolitomarianosaide5378
    @hipolitomarianosaide5378 3 หลายเดือนก่อน +7

    I'm first Today boy from Moz 🇲🇿

  • @rukaka_jr4514
    @rukaka_jr4514 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hiyo scene ya police ni mbovu hamjaitendea haki polis haja participate kwenye character yake POOR yan ni kma mlikuwa kwenye kigenge cha kahawa

  • @FrankManirakizacom
    @FrankManirakizacom 3 หลายเดือนก่อน +10

    Leo naomba like nami niko Zambia

    • @Farasitz
      @Farasitz 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wangapi wanamkubali mkuu wakituoo😅😅😅😂😂😂

  • @MussaYusuf-fd8je
    @MussaYusuf-fd8je 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kelvin na nyuki waoga kweli hawa jamaaaa😂😂😂

  • @user-sd5rl9kr8k
    @user-sd5rl9kr8k 3 หลายเดือนก่อน +5

    Nyuki eleza Vicky police walisema aje😂😂😂😂😂😂hdi nimecheka yngu yote

    • @Rktungafilmz
      @Rktungafilmz 3 หลายเดือนก่อน

      TH-cam channel ingekua inaruhusum2 mmoja ktoa like aky wew nngekpea 100

  • @Yoh_boy
    @Yoh_boy 3 หลายเดือนก่อน +2

    Dah na enjoy sana yahn kucheki hii movie

  • @joshuakombe-rc3sd
    @joshuakombe-rc3sd 3 หลายเดือนก่อน +5

    Hili movie ni kitu na nusu 🔥🔥🔥 ingekua la kihindi ingekua imefika intermission

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 3 หลายเดือนก่อน +1

      jamani kitu na nusu tena ❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤🎉🎉🎉

  • @NancyWanjohi-kf7pi
    @NancyWanjohi-kf7pi 22 วันที่ผ่านมา +1

    Aise kelvin nakukubali nimejifunza mambo mengi sana kutoka kwako kaka kelvin aise una moyo kaka weeee ❤❤❤❤❤

  • @user-wh8px4pu9n
    @user-wh8px4pu9n 3 หลายเดือนก่อน +3

    Victoria nimependa hiyo nguo mashaallah ❤

  • @Jamesmurikimelvin
    @Jamesmurikimelvin 3 หลายเดือนก่อน +11

    Naombeni like zenu❤❤❤

  • @salomembise4538
    @salomembise4538 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi Zuri sana❤

  • @beautifulafrica6886
    @beautifulafrica6886 3 หลายเดือนก่อน +2

    anaroo ya kina yonaa yoanaaaa😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nsengiyumvawhite6480
    @nsengiyumvawhite6480 3 หลายเดือนก่อน +2

    Baba Kelvin atamutowa kabisa na mkubali huo mzee atalekibisha Kila kitu

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekuwa mwamwishooo mweeeeeeeee🤣🤣❤❤❤

  • @user-jw7pq6ni3s
    @user-jw7pq6ni3s 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wakwanza jamani nipe like

  • @allananyembe7632
    @allananyembe7632 3 หลายเดือนก่อน +6

    Kazi safi sana Donta tv

  • @patrickJoseph-xg3dv
    @patrickJoseph-xg3dv 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wa kwanza leo mimi hapa like zangu jamn

  • @valentineonyoni9065
    @valentineonyoni9065 3 หลายเดือนก่อน +1

    I can't wait for the next episode 🎉. Representing Mombasa Kenya ❤.

  • @user-uq8vq4sc2q
    @user-uq8vq4sc2q 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ahh kilasiku mnalia mnaomba like tuuu leo hapati mtuuuuu like zaidi ya 10😅

  • @OmarAli-vj9kg
    @OmarAli-vj9kg 3 หลายเดือนก่อน +15

    Nakuwa wakwanza amutaki kunipa likes zangu nyinyi asanteni 😢🎉😂❤

  • @peterkachonta4836
    @peterkachonta4836 3 หลายเดือนก่อน +15

    Naomba like zangu mm1

  • @M3tr.n
    @M3tr.n 3 หลายเดือนก่อน +6

    Finally sjachelewaa❤❤❤

  • @user-xv4br7jo6b
    @user-xv4br7jo6b 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sijui nimekuwa wa ngapi lakini naomba like zangu hata kumi🎉🎉🎉

  • @Bigmala4782
    @Bigmala4782 3 หลายเดือนก่อน +2

    Uyu Kelvin jamani kapat wapi izi akili dahh 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JosbyKapimbina
    @JosbyKapimbina 3 หลายเดือนก่อน +5

    Mimi hapa wakwanza nataka like zangu

  • @AndrewKobia-jj6ln
    @AndrewKobia-jj6ln 3 หลายเดือนก่อน +2

    Tafteni wakili,anayeelewa sheria huyu afande anaonekana kufahamu kinachoendelea,ndio maana anawatishia kila anayeenda kumuangalia kunambi

  • @dicksonmvanga4595
    @dicksonmvanga4595 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kevin awamu hii umechipaga kwa character nyuki nimemupenda big up endelea kuleta wegine

  • @phido047
    @phido047 3 หลายเดือนก่อน +2

    One of the best movie bongo..

  • @hadijanzaka9422
    @hadijanzaka9422 3 หลายเดือนก่อน +8

    Wapili leo naombeni likes zenu ata kumi tuu

  • @MarkoLaandare
    @MarkoLaandare 3 หลายเดือนก่อน +6

    Gonga ❤ apa kama unamkubali kevi

  • @hatibumsukulu8611
    @hatibumsukulu8611 3 หลายเดือนก่อน +10

    Leo wakwanza like zangu jamn

  • @ChambalaPatson
    @ChambalaPatson 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mupo fresh guys naomba fast 28 kabra sijasahau 27

  • @SwiftMichaelz
    @SwiftMichaelz 3 หลายเดือนก่อน +7

    Donta nakubali kazi zako

  • @user-yo4dw1hh4q
    @user-yo4dw1hh4q 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kaz nzur penda wote❤❤❤🎉

  • @FaustineChibu
    @FaustineChibu 24 วันที่ผ่านมา

    Nice moment and message to the society so congratulations like it

  • @user-cy2bw3nl1t
    @user-cy2bw3nl1t 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna mtu anasema wa mwisho anaomba like😂😂
    Haya nipeni zangu na mmi Kama unafatilia vizuri Kesho yangu🙏🙏

  • @chrstopher4598
    @chrstopher4598 3 หลายเดือนก่อน +2

    Da ila nyuki da your so much comedian Man 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kina Petro kina yohana

    • @beautifulafrica6886
      @beautifulafrica6886 3 หลายเดือนก่อน

      🤣😊💓🤣😊💓🤣😊💓🤣😊💓🤣😊💓🤣😊💓

  • @mauagakii
    @mauagakii 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hii movie Kali kuliko zote❤❤

  • @JospinJospino-wd8fx
    @JospinJospino-wd8fx 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tuna wa pongeza sana waigizaji wetu,kesho ya mtu hakuna aijuwae,naona kelvin ame kawa na maisha mazuri ku pitiya busara zake. Kelvin my actor namkubali pamoja na lavnes hata kama ameigiza aki kuwa kama mu binti fulani wa mision mbovu kabisa. Ila nime wakubali. ❤❤ nawafwata toka congo ichini🇨🇩🇨🇩

  • @Mrembo19
    @Mrembo19 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mambo muruwaaaaa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-hp5qf7bu4d
    @user-hp5qf7bu4d 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi vema za ushali wa kutosha kimaisha.hongelini sana tena sana❤❤❤

  • @user-sx2jx5ez4f
    @user-sx2jx5ez4f 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wakwanza mm leo nimewahi nipe like zang

  • @mikidadilikuda5719
    @mikidadilikuda5719 3 หลายเดือนก่อน +28

    Oi oi piga like kidogo hapa👍

  • @BannieTheJewell
    @BannieTheJewell 3 หลายเดือนก่อน +8

    Duuh unyama