john we mwehu hufai kabisa km unaona issue kuimbwa na wewe uombe uimbwe..na wewe muba uliza maswali ya akili na mimi nafurahi sana steve nyerere anavyowashushua..steve big up unafurahisha
mi sijajua jinsi nitateka hii sanaa ila nahakikisha nitapata mashabiki na sitaki kuishi ulaya steve big up----salama lazima nijibu maswali yako ila ngoja usikie nasema nini kwanza......Choggie wa KRC kumbuka hii
Namkubar sana stivu pamoja na kazi zake pamoja sana kk
john we mwehu hufai kabisa km unaona issue kuimbwa na wewe uombe uimbwe..na wewe muba uliza maswali ya akili na mimi nafurahi sana steve nyerere anavyowashushua..steve big up unafurahisha
Salama big up...wewe mkali! nataka nifate nyayo zako.. salam kutoka UK
mi sijajua jinsi nitateka hii sanaa ila nahakikisha nitapata mashabiki na sitaki kuishi ulaya steve big up----salama lazima nijibu maswali yako ila ngoja usikie nasema nini kwanza......Choggie wa KRC kumbuka hii
Kweli..JK ni bahati tangu Mwalimu Nyerere!TZ we are LUCKY!!
salama ananifurahisha hongera sana
LooooooL!... dats wat we xpect from a comedian!...keep it up bro!!..
best episode so far....
huyu m'baba nampenda nimdaku mdaku....hahaha
uyu jama balaa.
Anachekesha ka stive
Huyu Steve ni very funnyyyyyy....
Hahahahaha Steve umenifurahisha kitonga
Yes, you are gud!!!!!
hiyo ipo swa sana
goood sanaaa
Ahahahahahha! Steve ananivunja mbavu, go further man.
Big Up
Steve una tumaliza mbavu.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yani nyerere is comedy
anachekaga kama MAJUTO...lol
YUPO JUU ZAIDI
hahahhaaaa stive bana et coleo
Adnan Ramadhan junuzage majanga hayo
Haa haaa :D
steve u funny i salute u. try to do comedy in english dude
Mchizi ni mkali lakini he lacks enough knowledge and experience.