Salama umechemka sana.. South Africans hawakai kwa muziki wa Nigeria.. wana genre nyingi ambazo zina South African cultural tone .. since when Salama umeenda kwenye parties za South Africans ukaona muziki wa Nigeria umedominate? You are wrong there Salama..
i love, love that lady interviewer. Her confidence is giving me life!!!
Bab Tale is soooo down to earth....safi sana
Tale, tofautisha kati ya uganga na dua. Na usirudie kuchanganya dua na mziki!
#Tale nimekukubali...
kweli unaishi Africa kwa mganga kawaida.
Dah hii nomaa sasa video chafu bora msinge apload tu
Bab Tale anajieleza vizuri kweli....safi
mwanangu noma kusema kuwa mlimtajirisha z.anton.mungu ndio anagawa riziki
I LIKE THIS MAN JOHN
Bab Tale Sharp Sana!! Salama Fashion yako inatisha!
Diamond namba kitambo kumbe?