UWEKEZAJI KATIKA KILIMO CHA PARACHICHI - SEHEMU YA 01
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ธ.ค. 2024
- Karibu katika mfululizo wa makala zetu za kilimo ambapo makala hayaa yanazungumzia uwekezaji katika KILIMO CHA PARACHICHI, Baada ya makala haya tutakua na mwendelezo zaidi usikose kutufuatilia.
Makala haya yanaandaliwa chini ya usimamizi wa kampuni ya Agreen Mind kupitia kitengo cha Teknolojia, habari na mawasiliano.
KAULI MBIU YA MWAKA; JIFUNZE, WEKEZA NA JENGA DHANA YA KUJITEGEMEA.