Ahsante sana ndugu. Ofisi zetu(kampuni) ziko mkoa wa iringa, wilaya ya Iriñga mjini, kata ya gangilonga, mtaa wa Lugalo/Wilolesi karibu na ofisi za chama cha Walimu, barabara ya Mwaibula na Lulandala. Aidha, shughuli zetu za kilimo tunafanyia wilaya ya Kilolo. Kilimo Ni Ajira. Kwa taarifa zaidi. Wasialisiana nasi kwa 0766470503
Ahsante sana ndugu kwa kuwasiliana nasi. Gharama kwa matunzo ya miaka mitatu inakadiriwa kuwa na jumla ya Tshs 8,600,000/= kwa ekari moja. Karibu kwa ufafanuzi zaidi.
Naomba mnisaidie basi jamani nimetamda parachichi lakini sijapata wakunielekeza jambo la kufanya naombeni namba zenu
Iko Iringa sehemu gani
Ahsante sana ndugu.
Ofisi zetu(kampuni) ziko mkoa wa iringa, wilaya ya Iriñga mjini, kata ya gangilonga, mtaa wa Lugalo/Wilolesi karibu na ofisi za chama cha Walimu, barabara ya Mwaibula na Lulandala.
Aidha, shughuli zetu za kilimo tunafanyia wilaya ya Kilolo.
Kilimo Ni Ajira.
Kwa taarifa zaidi.
Wasialisiana nasi kwa 0766470503
Gharama za kuhudumia mradi kwa heka moja hadi kuvuna inakadiriwa kuwa shingapi?
Ahsante sana ndugu kwa kuwasiliana nasi.
Gharama kwa matunzo ya miaka mitatu inakadiriwa kuwa na jumla ya Tshs 8,600,000/= kwa ekari moja.
Karibu kwa ufafanuzi zaidi.