Agreen Mind Company  Limited
Agreen Mind Company  Limited
  • 38
  • 4 445
WEKEZA KATIKA KILIMO CHA PARACHICHI KUPITIA AGREEN MIND CO LTD #TANGAZO
Agreen Mind company Limited is an agriculture company established in 2017 with a mandate to practice agriculture in Tanzania. We invest in agriculture by encouraging potential investors to achieve a sustainable society with a thriving economy vision.
Our offices (company) are located in Iringa region, Gangilonga, Lugalo/Wilolesi street near the offices of the Teachers Association, Mwaibula and Lulandala road. In addition, we do our agricultural activities in Kilolo district. Agriculture Is Employment.
For more information Contact Us:-
+255(0)0766470503 | +255(0)756 485 578
Email: Info@agreenmind.co.tz
Website: www.agreenmind.co.tz
มุมมอง: 54

วีดีโอ

UWEKEZAJI KATIKA KILIMO CHA PARACHICHI - SEHEMU YA 01
มุมมอง 311หลายเดือนก่อน
Karibu katika mfululizo wa makala zetu za kilimo ambapo makala hayaa yanazungumzia uwekezaji katika KILIMO CHA PARACHICHI, Baada ya makala haya tutakua na mwendelezo zaidi usikose kutufuatilia. Makala haya yanaandaliwa chini ya usimamizi wa kampuni ya Agreen Mind kupitia kitengo cha Teknolojia, habari na mawasiliano. KAULI MBIU YA MWAKA; JIFUNZE, WEKEZA NA JENGA DHANA YA KUJITEGEMEA.
UNAHITAJI KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA PARACHICHI?, TAZAMA MAKALA HAYA - SEHEMU YA 01
มุมมอง 1.4Kหลายเดือนก่อน
UNAHITAJI KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA PARACHICHI?, TAZAMA MAKALA HAYA - SEHEMU YA 01
KIPINDI CHA YA KWAKO KUTOKA KAMPUNI AGREEN MIND LIMITED
มุมมอง 704 หลายเดือนก่อน
Tarehe 26 Julai Ofisi ya mawasiliano na mahusiano ya umma inakuhabarisha. ikikuhabarisha ni kwa namna gani unaweza kuhusiana na fursa zilizopo.
PANAVUTIA NA PANAFAA KWA UTALII
มุมมอง 784 หลายเดือนก่อน
Mwonekano wa kuvutia na wakusisimua usinyime wasiliana nasi utembelee ujifunze. Tunapenda tunachokifanya. wasiliana nasi kwa; 255 766 470 503 www.agreenmind.co.tz
JIONEE MWENYEWE MWONEKANO WA SHAMBA KWA SASA LA PARCHICHI MOJA YA MRADI TUNAOLIMA.
มุมมอง 2034 หลายเดือนก่อน
KUTOKA KAMPUNI YA AGREEN MIND LIMITED Waweza wasiliana nasi ukajifunza kuhusu uwekezaji katika kilimo cha pearchichi. Wasilina nasi kwa; 255 (0) 766 470 503 KILIMO NI AJIRA.
MTAALAMU WA KILIMO CHA PARACHICHI ATOA ELIMU KUHUSU UGONJWA WA MIZIZI -STEVE TUMAINI
มุมมอง 2776 หลายเดือนก่อน
Mafunzo ya namna ya utuzaji wa paachichi yaliyofanyika Iringa -Wenda sisi kama wadau wa kilimo cha parchichi tunakusogezxea elimu hii itakufaa iliyofanyika na mtaalamu ndugu Steve Tumaini kutoka TAHA. Ameeleza namna ya ugonjwa wa mizizi kwenye miti ya parachichi na akabaini tatizo lilisababishwa na wapandaji kupanda na kimfuko chini.
Meneja Mkuu Kelvin Mwakanjuki Akiwaeleza wanajumuiya ya Mwambisi Forest Kuhusu Agreen Mind
มุมมอง 446 หลายเดือนก่อน
Meneja Mkuu akieleza kuwa ukombozi wa kifikra kama kampuni ni sehemu ya kipaumbele na akitolea mifano hai namna ambavyo ukombozi wa kifikra umekuwa ukibadilisha maisha ya wengi. Hii imefanyika siku ya kukabidhi miche ili kuunza mradi wa parachichi kama sehemu ya ubia kati ya shule na kampuni ya Agreen Mind.
SEMINA KWA WAFANYAKAZI NA WAZAZI WA SHULE YA MWAMBISI FOREST - SEHEMU YA PILI
มุมมอง 176 หลายเดือนก่อน
Muendelezo... Semina iliyofanyika katika shule ya msitu Mwambisi kwa wafanyakazi na wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo. Semina hiyo iliendeshwa na kampuni ya kilimo cha parachichi kutoka Iringa - AGREEN MIND COMPANY LIMITED, ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Denis Paulo Ndamgoba. Katika video hii ya pili, Mkurugenzi Mtendaji alituasa sana kuishi vizuri na watu wanaotuzunguka kwani watu ni muhimu...
SEMINA KWA WATUMISHI NA WAZAZI WA SHULE YA MWAMBISI FOREST - SEHEMU YA KWANZA
มุมมอง 146 หลายเดือนก่อน
Semina iliyofanyika katika shule ya Mwambisi Forest kwa wafanyakazi na wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo pamoja na wadau wengine. Semina hiyo iliendeshwa na kampuni ya kilimo cha parachichi kutoka Iringa - AGREEN MIND COMPANY LIMITED, ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Denis Paulo Ndamgoba. Alisisitiza kuwa na mipango ya muda mrefu (miaka 20 ijayo) kwa ajili yetu na kizazi kijacho. Kupata semina...
MICHE YA PARACHICHI KUGAWIWA SHULE YA SEKONDARI MWAMBISI FOREST-PWANI
มุมมอง 196 หลายเดือนก่อน
Agreen Mind Limited imeweza kuunga jitihada za shule kwa utunzaji wa mazingira pamoja na jitihada ya kuhakikisha kuna kuwa na lishe bora kwa wanajumuiya ya shule ya sekindari Mwambisi Firest kwa kuwafadhili miche ya kuanzisha mradi wa Parachichi katika shule hiyo. Kwa kuwepo mradi huu vijana watajifunza kwa vitendo kwa kuhusika kuutunza huu mradi kitaalamu kwa kushauriana kwa ukaribu na wataala...
MWALIMU WA SHULE AGUSWA NA SEMINA ILIYOFANYWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI AGREEN MIND
มุมมอง 546 หลายเดือนก่อน
Semina iliyofanywa na kampuni ya Agreen Mind ikiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Denis Paulo Ndamgoba katika shule ya Mwambisi forest siku ya kukabidhi miche, Mwalimu ashuhudia namna somo lilivyogusa maisha yake.
AGREEN MIND IKIWASIRI KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI MWAMBISI FOREST -PWANI
มุมมอง 676 หลายเดือนก่อน
Timu ya wafanyakazi ikiwasiri katika shule ya sekondari Mwambisi Forest iliyopo mkoani Pwani. Hii ni baada ya ushirikiano wa karibu baina ya shule na Kampuni. Lengo la kuwasiri ni kukabidhi miche ya parachichi kwa ajili ya mradi utakaowafaa kwa kujifunzia na lishe. Pia timu ilitoa semina kwa wafanyakazi na wanafunzi....fatilia video zinazofuata.
HUU NDIO MWONEKANO WENYEWE,Agreen Mind Co.Ltd waonesha...
มุมมอง 89ปีที่แล้ว
HUU NDIO MWONEKANO WENYEWE,Agreen Mind Co.Ltd waonesha...
#TWENDE SHAMBANI,Wawekezaji Wafika Shambani Kilolo,Wajionea Makubwa.
มุมมอง 369ปีที่แล้ว
#TWENDE SHAMBANI,Wawekezaji Wafika Shambani Kilolo,Wajionea Makubwa.
AGREEN MIND CO.LTD.(Investment)
มุมมอง 55ปีที่แล้ว
AGREEN MIND CO.LTD.(Investment)
TUWE WAGUNDUZI ILI TUFAIDI HASA KWENYE KILIMO KUMBE PARACHICHI INATA MAFUTA,DAWA NK
มุมมอง 25ปีที่แล้ว
TUWE WAGUNDUZI ILI TUFAIDI HASA KWENYE KILIMO KUMBE PARACHICHI INATA MAFUTA,DAWA NK
MAKUNDI MAKUBWA MATATU YA WATU HAPA DUNIANI.
มุมมอง 30ปีที่แล้ว
MAKUNDI MAKUBWA MATATU YA WATU HAPA DUNIANI.
KILIMO SIO KITU CHA KUPUUZWA TUWAUNGE MKONO AGREEN MIND -ANORD LUHWAGO
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
KILIMO SIO KITU CHA KUPUUZWA TUWAUNGE MKONO AGREEN MIND -ANORD LUHWAGO
MGENI RASMI AMESOMESHWA NA KILIMO-ADORD LUHWAGO
มุมมอง 20ปีที่แล้ว
MGENI RASMI AMESOMESHWA NA KILIMO-ADORD LUHWAGO
ANAJIVUNIA KUWEPO KWA KAMPUNI AGREEN MIND LIMITED YA KILIMO-ANORD LUHWAGO
มุมมอง 12ปีที่แล้ว
ANAJIVUNIA KUWEPO KWA KAMPUNI AGREEN MIND LIMITED YA KILIMO-ANORD LUHWAGO
HOTUBA YA MWAZILISHI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA AGREEN MIND UTACHEKA UUMIZE MBAVU ZAKO
มุมมอง 146ปีที่แล้ว
HOTUBA YA MWAZILISHI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA AGREEN MIND UTACHEKA UUMIZE MBAVU ZAKO
UNADHANI DUNIA INAUPENDELEO?
มุมมอง 11ปีที่แล้ว
UNADHANI DUNIA INAUPENDELEO?
MAISHA BORA NDANI YA KAMPUNI YA AGREEN MIND
มุมมอง 50ปีที่แล้ว
MAISHA BORA NDANI YA KAMPUNI YA AGREEN MIND
NANI ASIYEPENDA KWENDA KWENYE NDOTO HIZI ZA KILIMO!!!
มุมมอง 34ปีที่แล้ว
NANI ASIYEPENDA KWENDA KWENYE NDOTO HIZI ZA KILIMO!!!
Shambafm na Agreen Ming Company
มุมมอง 412 ปีที่แล้ว
Shambafm na Agreen Ming Company
Investing your future with green land
มุมมอง 182 ปีที่แล้ว
Investing your future with green land
Pesa ndani ya Parachichi
มุมมอง 1192 ปีที่แล้ว
Pesa ndani ya Parachichi
Fahamu juu ya Kampuni ya Agreen Mind Ltd
มุมมอง 2182 ปีที่แล้ว
Fahamu juu ya Kampuni ya Agreen Mind Ltd
Intro Agreen Mind Company Limited
มุมมอง 1963 ปีที่แล้ว
Intro Agreen Mind Company Limited