ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hongera sana mkuu
Asante sana ndugu
Mwalimu nashukuru kwa vidéo hii. Ila sijaimaliza kisa mtandao nimbaya. Lakini nina swali, mtu akichukuwa mchele na mahindi awe nampa kuku wake ,nivizuri? Niko Congo
Sawa ndugu . Ila jitahidi uimalizie video hii kupata maelekezo mazuri. Kuhusu swali lako ni sawa unaweza wapa ni nzuri tu
Naomba kujua hapo kwenye maziwa nilazima nichemshe ?
Ni vizuri kuchemsha
kwa nini hayo mayai mengine mmeweka alama ya x?
Ni mabovu
Naomba msaad kuku wngu wanabanw nakifuw wanaufa
Dawa za mafua vp umetumia
Haya mafundisho ni yahimu sana ,nataka niyafwate alafu niweke kwa matendo
Karibu sana ndugu ktk ufugaji
Nina kuku 100 wa kienyej mchanganyiko wakubwa na wadogo ni2mie maji lita ngap
Ata lita 1 tu inatosha maana unachota kdogo sana ktk maji mfano kijiko 1 Cha chakula kwenye Lita 10
Mm nina kuku 40 niwape vipi@@AGALUSTV
Naomba usaidizi wa feed formulation
Kwa kuku aina gani na kwa ajiri ya nini? Yaani kutaga au mayai, na WA umri gani
Maziwa yaliyo chemshwa au
Ndio ndugu
Nawapa kwa muda gani hayo maji
Siku 3 Hadi 5 kisha utarudia tena Kila baada ya wiki 4
Ni mushimu sana kuchemsha, kuua wadudu ila yakisha poa ndio tutatumia
Ni muhimu sana kuchemsha
Naomba msaada wa kitabu Cha mafundisho
@VeronicaMwaseba sawa ndugu tutazidi wasiliaana kikiwa tayari