Ma sha Allah,I could not holding my tears listening to this qaswida, 😢 it bring many good lost memories for my parents,May Allah take them to highest Jannah ,and for for all those parents who left us. Love your parents
Alitabir kipenz nabii wa umma yatapodhihir haya kuhalalisha wanawake vigori kuimba na kucheza ALLAH atawadidimiza ardhini....leo tunalia vita njaa magonjwa nk
mashallah umeona pepo zetu ziko chini ya wazazi wetu Sharuti tuzinyenyeke Kwa hali na mali.ongera Kwa utunzi wenye madili mema na hata Kwa vizazi Vijavyo watalifahamu hilo.asante sana
Qaswida haimalizi kuniliza kila niiskiapo mwajua kwaniniii Coz kikumbuka Love ya wazazi wangu na Leo hii mmoja c nae.Nae ni Babangu Mzazi Allah amrehemu amueke pema penye wema
jamani hawa watoto nawapenda sana wanaujumbe mzito mungu awajalie Maisha malefu hapa duniani hongeleni sana God bless all muliyo shiliki katika ujumbe huyu karibuni America
Ukitaka furaha ya maisha, njoo kweny Uislam 😍😍😍😍😍
The
Walllah
Kweli kabisa
Mashaallah 💓❤️
Nyimbo nzuriii...but furah ya Maisha IPO kwenye dini yoyote yenye hofu ya Mungu
Kaswida best katika CD yangu ya harusi... Today l celebrate 8yrs ya ndoa yangu nikaona niitafute hii kaswida ❤❤❤
Allah nijarie mume mweema na me pia jaman mashaallah
Mungu Mimi nitafuraisha lini wazazi wangu yarabi mola wangu nijalie na Mimi mume mwema namwenye kutambua Dini
Ukiomba mume bola naww uwe bola kwanza kabla yaAllah ajakupa mme mwema
Ukweli allh atawapa wale waliokuwa wanataka wake wa wahhery.kubwa ni subra allhu mma ammin.
Inshaalah amin
Nikiisikia kaswida hii Nakumbuka mahafali ya dini Ya Kiislam Pindi nahitimu Ilisomwa na mdogo wetu mmoja Anaitwa faudhiat ktk Viunga Vya Ulongoni sec
Napenda sana kaswida mana zinanifundisha na kujifurahisha
Ukitaka dini njoo kwenye uislamu mashaallah ❤❤❤❤
Am a Christian but I love this song ❤️😍
Mola nijalie mume mwema namimi mwenye kheri Nami nifuraishe wazazi wangu 😭😭😭
Amin
Ameen utampata Inshallah
Aujaolewa?
❤ amiiiin
😂😂😂😂@@issamashurinyo9609
Jamn Mimi ni mkristo Ila hii qaswida nkikaaa mke wangu..tunaenjoy mno aisee...ndoa Raha jamn ukimpata aliye sahihi .nawasihi vijana wenzangu tuoe jamani.tuache udangaji
Ingawa sio Muislam lkn hii Kaswida nzuri sana ..... Mungu azidi kuwabariki muimbe nymbo zenye hekma na mafunzo zaidi kwa jamii
Amin inshallah
❤️❤️❤️
Amiin
🎉🎉🎉🎉🎉
Ukhy diyda salout dada yangu uko juu na utaendelea kuwa juu
Allaah akuepushe na wenye roho za korosho nakupenda sana
Ma sha Allah,I could not holding my tears listening to this qaswida, 😢 it bring many good lost memories for my parents,May Allah take them to highest Jannah ,and for for all those parents who left us. Love your parents
انا لله وانا اليه راجعون
May Allah grant them Jannat Firdaws, amiin.
Amiin yarabillh 🤲 amiin
Unasikiliza qaswida hii mwaka 2024 gonga like hapo
Mashaalah
Kama unaisikiliza Hi I qaswida mwaka 2021 gonga like zako ata kumi
Mashallah furaha iliyoje, wapi nduru ya Islamic weweeeeee
🎉🎉
Jamani siyo sili hii kaswada nizur mna nimetokea kuipenda mungu awatie nguvu 🙏🙏🙏
❤❤❤namuona ukty Dida au macho yangu
Ni yy
ndiyo niyeye
Wala huongop kipind hicho bado young San. Kawthar
Alitabir kipenz nabii wa umma yatapodhihir haya kuhalalisha wanawake vigori kuimba na kucheza ALLAH atawadidimiza ardhini....leo tunalia vita njaa magonjwa nk
Niombee dua nami nipate kuheshimkia na niwaheshimiahe wazazi wangu
Allah nijalie mume mwema na mm😢😢
Maasha allh 🎉❤.ukweli mjaduniyani huteswa na chake.mtu.unaempenda hapendiki jamaani allh atusaidie
Allah nijalie na mm nipate mume mwema nami niwafulahishe wazaza
Mashaallah mashaallah Allah nijarie Mumemwema KAMA najiona ntakavolia sijuh nitalilia niniLakini sikuYa harusii yang ntaliaaa aswaaaa Mumewangu njoooo unioepopote ulipoAllah akuteremshee nahtaj ndoaaa jamaani
Subra muhimu Dada wakati wako utafika inshallah
Nakuombea dua mama angu siku zote duniani na kesho akher
Mwenyezi mungu nipe me mzuriiiiii na me nifurahishe wazi wangu
Maashaallah ukty Dida mungu akijaze kheri inshaallah kwa kipaji chako
Hakika uislamu ni dini NJEMA maishaalah 🌠🌠
uisilamu lahaa jamani mashaallaah vipenzi vyangu
Mashalllah Allah nijalie mume mwenye hofu na allah
Hii nyimbo naipenda ata bado niko huku 2024
Mashallah dida Sauti yake haichoshi kusikiliza hata Mara mia unakipaji mama Allah akuweke
Inshallah.
Mashallaag dida
,🥰
Nice voice
kwakwer naipenda sana ii kaswida ongereni sana mana ina kila sifa
Inshaallah mungu anipe mume mwema Maana kuolewa raha Sana kaswida nzurii sana
Kabisa an broo hata me nakusapot kwa hilo furaha inapatikana hapa
Masha Allah qaswida nzuri hii naipenda sana hongera kwa watunzi na wahimbaji
Inshaallah Yarabi nijalie mume mwema mwenye kujua dini na kujali mke wake
Mungu ajaliye mufanye vizuri zadi
Mi sio Muslim but hii quswida naipenda mnooo
Mashaalla mwenyezimungu awapandishe darja
Mashallah hii kaswida naiskiza sana siishi kuipenda
mwimbaj ana saut nzur San mung akubarik kwa kipaj alichokup
Amin mashallah qaswida nzuri sna ndomana huwa naipenda
Mashaallah Allah awazidishie kila la kheir na awaepushie kila la shari amiin.
Walaah si vema na si katika manhaaj swahihi kwa kurembuka mbele ya wanaume alaah awajuze... Amina
Qaswida mzr sana haswa sauti mashaallah mungu awahifadhi
MashaAllah 2023 Leo ndo najua huyu dada ni ukhty Dida
Maa shaa Allah ,,naipenda hii madrassa na qaswida zao. Allah awajaalie kheri hawa mabinti.
Maashallah mauhty nimeipenda kaswida imevutia sauti Mungu awazaidishie kipaji.
Mungu awape maisha malefu Hawa mabinti walio imba hii kaswaida
Allah nijaalie nami nipate mume mwema jaman kuolewa Raha.
Inshallha utampatatu
@@missrukia9661 Aamin yarab
Amiin
Mashaaaaaallah naipenda saana ,,, one day na mm itafka inshaallah
Wazaz wana2lea vyema bac hata ktk ndoa kila alykuwa ajhesham na awe na subira ili adumu ktk ndoa yake,,,
Mashallah tabaraqa llah,,, qaswida borasana Yaarabi nakuomba unijalie mume alomwema kwangu
Allahuma ameen
Ameen
Mashallah Allah awazididhie kila lenye kher na nyie
dah nimekumbuka kwetu bukoba al madarasat taqwa izimbya mpaka machozi yanatoka mungu naomba unipe mke bora jamani
Nassoro Saleh muombe Allah inshaallah atakupa
Nassoro Saleh pole
Inshaa Allah mungu atakufanyia wepesi
Allah akufanyie wepes usininye nami npo kibeta bukoba
amina ponela Nawe uwe mwema
mashallah umeona pepo zetu ziko chini ya wazazi wetu Sharuti tuzinyenyeke Kwa hali na mali.ongera Kwa utunzi wenye madili mema na hata Kwa vizazi Vijavyo watalifahamu hilo.asante sana
Maashallah yaan hiz kaswida hazichuji kila nikisikiliza kama za juz yaan ♥️♥️♥️
❤
Naipenda hii kaswida had leo 2024 bd naisikiliza🎉🎉🎉🎉
Nawapenda wazazi wangu
Manshaah, jamaan mwapendeza sana vipenzi
Kama unaskiliza hii qaswida 2024 like hapa
🖐🖐🖐🖐
kwani ni kuulize wewe waomba likes ama ni nini ?
Mung awajliyn❤
Good❤song
Nani huyo ambaye wamuuliza kma yuwaomba likes@@fatmaali3940
Mashallah qasid n nzuri xna
Masha'allah i love kassuda Tanzanie ❤❤❤❤🎉😊
Mashaallah sauti zenu nzr🇰🇪🇰🇪🇰🇪🧕🧕🧕💯💯💯
Kumbe kaswida inachezwa daah Allh atuswamehe tulipo fikia waislma wa zama hiz
,assalam aleykum ndonimoja yasunna alie tuachia mtume wetu namm namuomba mungu anijalie nipate mkemwema
Hadi Raha mashaallah❤️🤝🙏
mungu azid kuwabariki wote mliofanikisha ktk kutueletea qaswida hiiii
Masha Allah qaswida nzri adi yanitoa machoz ya Allah nijalie mume mwema Insha Allah
Mashaallah
Utapata insha Allah
Leilah Hassan Amiin yarab
Napenda sana kaswida kwasababu inanifundisha mengi
M/Mungu akuzidishieni kipaji kizuri katika daini ya kiislam lkk naomba mutuingizie qasida mpya za qadiria
maryam 9876 ongela dada
Allah awape maisha mema duniani na akhera
Mashaallah huyu msichana kashaolewa nimempenda sauti yake sura yake na tabasamu lake natamani japo nimuone ntamuona wapi
Bismillah mashaallah nipo kuickiza 2022 love this qaswida😘
Hi qaswida mashaallah jamani nzur naipenda
mashallah wadada zetu mola hazidishe kipaji chenu,furaha kwetu kuona wazazi wetu tuna wapa shifa Kweli Kwa kazi njema yao waloifanya
Zula Chama poa
watoto someni sana dini yenu
Allah awape Khery wote walioshiriki ktk qaswida hi mashaallah ni nzur san
naipend San kaswida hii mung awaongoze katik vipaji vyen ameen
kiukweli qaswida ninzur sana sichoki kusikiliza kiukwel ongereni sana namuandae nyingine mungu akijaali Inshaallah iwenzuri kama hizi za sshv
Yaaa,mashaa alh
Qaswida haimalizi kuniliza kila niiskiapo mwajua kwaniniii Coz kikumbuka Love ya wazazi wangu na Leo hii mmoja c nae.Nae ni Babangu Mzazi Allah amrehemu amueke pema penye wema
Aaamin nasi Allah atupe mwisho mwema
Masha Allah .....yaa Allah nakkuomba nipe mume mwema 🙏🙏🙏
In shaa allah
@@halimabakari2137 Amiin Yarab 🙏
C'est vraiment chouette que il y a des gens qui zafran a étudié l'islam
mashaaAllah one of my best qaswida's i can't stay a day without listening to it @home
MashaAllah
Halima Mshami Masha Allah
assalam alleykum nzuri sana
daaah nimekubali kadiria mpo vizuri ...mnatuwakilisha vizuri in shaalaah MwanyeazMungu awadhidishie
Ndo najua kama dida alikuepo kwenye hii qaswida leo 22/3/2021
kwl?
Mashaallah nimependEZWA sana qwasida hino SAUTI NZURI SANA YA MAHABBA NA HUZUNI SANA subhaanallah....i wish ningekuwa hapo saa hizo.
Sufi Mohamed aaa
Khadija Issa Issa f
Kazi mzuli
Mashallah kweli qadiria ni chuo cha vipaji ukhty dida hapo akiwa akiwa mdogo
mashaallah kaswida n tamu sana kuiskiliza schok hongeren sana
asalam alkum
mashaallah mwenyezi mungu awape maisha marefu Amiin
qaswida nzuri sana inanifanya niwaze wedding day
2021..Maa shaa Allah🥰Ramadhan Kareem to all my Muslim brothers and sisters 💖
Maa shaa Allah🙏 Ramadan kareem
Mashaalah qasida ni zaid ya nzuri.allah awajaalie kila la kheri
mashaallah
mashallaah nimeupenda danaa
mashalala
+Swam Abubakar danilodi
+Issa Ramadhani danilodi
jamani hawa watoto nawapenda sana wanaujumbe mzito mungu awajalie Maisha malefu hapa duniani hongeleni sana God bless all muliyo shiliki katika ujumbe huyu karibuni America
Astaliko Mulishi mwenyezi mungu nijaliee namiee nipate mume bora ishaall
Maxha alah nice
its sooo nice big respect ....for mad.rasat.....Mashaallah
Mashallah vipenzi😘👌
Allah uaepushe. Wazazi wangu na adhabu
Asalam aleikum warahamtulahi wabarakatu mashallah mashallah
Uislamu una mambo mengi ya msingi. me sifikilii kwamba mtu aweza jifunza Dini Kwa kupenda qaswida, Dini Ni Qur'an Na Hadithi Za Mtume Muhammad saw.
Abdoulanziz Ahmed vraiment cette quasuda mais brisée dans mon cœur machallah
Maashallah kaswida nimeipenda imevutia sauti ya mauhty Mungu awazaidishie kipaji Amin
MashaAllah qaswida nzuri sana
😍😍😍😍😍dida🤲👍
Inshaallah mungu atupe ndoa njema kuolewa lah jaman