😭😭Kidume chozi limenitoka leo hii 2024 coz niliweka ahadi wakati nina miaka 15 tu Kwamba hii Qassida nikioa niisikie lakini bahati mbaya haikuwa hivo siku ya harusi mimi sikuepo kutokana na fitna na ikabidi siku ya harusi yangu ipite bila mimi wala mke wangu 😣 Na haiwezi jirudia sina picha ya harusi wala radha ya pilau siijui LAKIN Alhamdulillah yote kheri Allah anajuwa apangalo but this ❤
mashaallah wallah dini yetu nitamu saaaana kushinda asali imagine sichoki kuiskiliza kaswda hii kwakicha ndo haijawahi potea mungu awazidishie kila lakheri wote mloshiriki hapa
Baada miaka kumi karibuni inshaAllah nahalalishwa na hii nyimbo nimerud kuiskiza nikijua siku niliyoisubiri kwa hamu hatimaye imewadia💞💞💞💞💞💍💍💍💍
Mie bado jmnii😭😭😭mungu anijaalie mume mwemah🤲
Allahuma Ameen
Wakati yatoka ndio nilikuwa Niko Kwenye harakati za kuoa🎉❤
Mm bado mungu anipe mume mwema❤
Amin@@HafidhaAmiri-td8su
😭😭Kidume chozi limenitoka leo hii 2024 coz niliweka ahadi wakati nina miaka 15 tu Kwamba hii Qassida nikioa niisikie lakini bahati mbaya haikuwa hivo siku ya harusi mimi sikuepo kutokana na fitna na ikabidi siku ya harusi yangu ipite bila mimi wala mke wangu 😣 Na haiwezi jirudia sina picha ya harusi wala radha ya pilau siijui LAKIN Alhamdulillah yote kheri Allah anajuwa apangalo but this ❤
Wallah nataman sana ndoa nkickiliza hii qaswida❤❤ Allah atujalie ndoa ambao bd hatujapata inshallah
Mashallah nataman siku yangu ya harusi imbwe hii inshallah Allah anijalie mume mwema yarab
In shaa Allah.Ameen.
wow mashalla nyc song am from kenya currently in saudia n i must listen to this daily n i like the young man smile imefanya hio video ingare
Pia mm from kenya nimeipanda sana hii kaswisa currently in saudia
mashaallah wallah dini yetu nitamu saaaana kushinda asali imagine sichoki kuiskiliza kaswda hii kwakicha ndo haijawahi potea mungu awazidishie kila lakheri wote mloshiriki hapa
kweli kabisa amiin inshaallah
shukran all for ur comments
thanks my brothers and sisters for your comments May Allah bless u All for the view you can watch more from this group jus type madrasatul nah dhat
amaizing qaswida...am still crazy about it in 2016
jelani ali its 2017 but i fill its like you shut ths video month a go be blessed my dear brothers Allah itakabal mabrook
jelani ali mashaallah
penda sana ndo mambo yang
MashaAllah
Eli mina llah kheriii ya kharusi daaa allah nijalie nije pata mke mwem mwny kujua vyema naadiili ya din inshallah nataman niowane nae
Mashaalllha kawaida nzuri .mnoo allha awabaarik
Mashaa Allah siku ya harusi yangu hii nashid itapamba shughuli yangu in shaa Allah
wallah hii qaswida natamani kusikiliza muda wote
i love this song they all look nice keep up
Mashallah lovely song, with the little young man smiling 0:30 :)) makes you enjoy the song.
Masha Allah nice qaswida
It was a very nice qasida
nikiangalia hii video dah inanifanya nizid kutaman maisha ya ndoa yaa rabii nijaalie mume mwema!!
MashaAllah
ally Kibwana innshalah utampata kwani Allah hana ashindwalo
Mbona jina ni Ally kibwana harafu unatamani mwanaume?
Aaamiiyn. Ulishapata hivi bila shaka
Umesahau. ?
Mashaa Allah nice kaswidah...
natamn cku y harus yang niimbiwe km hv af mke wng awe mwema wallah ad rahaa atupe wake wema wanaume wte
In Shaa Allah.. Allah atakabalie Du'aa yako
Ameen
Allah akufanyie wepesi
Ameen yarrab jmn mnitafute watsup 0657218771 in shaa Allah
aamin
Masha'Allah... this is the song that i qonna be playing my wedding day Insha'Allah:)
Me too😁
Maa shaa Allah Waallah ndoa inaraha yake Yaa Allah Nijalie niipate stara hii naawe Mume mwema in shaa Allah 👏👏👏😢😢
Ameen.
may allah blessed u all how it is interesting even if i dont know what they are saying (from ehtiopia)
cette chanson sa fais penser dans un mariage de vouvouni Bambao
Masha Allah.kheir Insha Allah.Zanipa faraja sana
Mashallah ❤️❤️
mashaallah.... mnanitamanisha na mim niolewe
kheri inshallah
Mashallaaah blessed sounds
madrasa noma jaman naipenda sana yani Mungu awazidishie sana
Mashaalla qaswida nzur Sana tena naipenda sana
Mashaallah kla LA kher
Inshallah ❤️❤️❤️❤️
Maasha Allah
nice song God bless....
Mashaallah 💓💓💓
Mashaallah
Mashaallah nice qaswida
Asalamu alaikum
Mashaallah kaswida ni nzur mpaka nakuwa naimani nitapata mume mwema inshaallah
Umenipata +255724829191
Mashallah nice qaswida
Masha Allah
Masha Allah
Masha Allah qasda ni nzuri sana
Masha allah, ni nzur sana
Kheir insha'Allah 2022🔥🔥🔥👌
Mashaallah ❤️❤️❤️❤️
2023❤ this song🥺❤️ inshaallah
maashaaalah qaswida nzuriiiiii saaaaaanaaaa
Mashallah
MashaAllah❤❤❤
Masha Allah ❤
Masha Allah
Mashallah
fantastic i kly it n the nyc smile from the small boy keep it up
Mashallah mashallah qaswida nzuli
mashaalla
Kher inshaallah....naamin na mm Allah atanifanyia wepes
Ama kweli vya zamani ni dhahabu
mashallah. i love it
Yan naipenda sana hii qaswida
Maashallah.
Mashallah 🥰 huwa nikiskilza naskia aman na furaha nakumbuka sku ya harusi yng😥
beautiful qaswidas, mashaaAllah!
Inanikumbusha mbali
mashaallah!!!!
Ma ash Allah
Mashaallah mpka naitaman ndoa❤️❤️❤️
mashaallah pia mm namuombea kaka said bati hussein na yeye afunge ndoa
Allah Akufanyie wepes!!!!
Kutoka kampala Uganda,na wa shukuru sana.
Mashallah Allah atujalie kizazi chema🤲🤲🤲
wow awesome I like Swahili ..
Mashaall
Allah nisadie nidumu na mumewangu mbaka kifo. Amiiiiin
Qaswida tamu xana mungu ampe afya njema Mume wangu mtarajiwa
skhe khafidh hapa akasome
hawa jamaa wanajua bn
Naipenda vilevile inanivita ni the best
Mashallah hii kaswida inanipa nia njema Ya kidini na maisha sana:( na huyu dogo mashallah kapamba video:)
Ma shaa Allah
Kazi njema
2019 november nyimbo nzuri sana
Umeon ee kaswali mzuli najiliwaza from omn mpk nimepamis nymban tz kupitia kaswda hii ishaalah allah mungu akipeend nitaludi
Mungu nipe mke
super c'est beau il y a rien à dire
this is my best song to listen in my free time 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Can You Translate It?
Beautiful island Zanzibar
MaashaAllah
Mashaallah qaswida nzuri
Mashallah nawaalika kharusi yangu ndugu zangu tarehe 7 December inshAllah 🤲🤲🤲🤲🤲
The song makes me want to get married 😂😂
Daaah nakumbka mbali sana
mashaaAllah
Beautiful qaswida Masha allah ❤
mashaAllah ilov it
mashalla
h i like this qaswiida
Napenda mnavoitikia
Shekh una jua sana Mungu akujalie na akupe maisha marefu ili uzidi kuifikisha mbal dini yetu ya kislamu
masha llah
MashaAllah. .
Inshaa allah natamani siku ya harusi yangu niimbiwe hii qaswida inshaa allah yarabi nijaalie mume kwema
Amiin. Inshaallah
Amin
Mashaallah 2019💟
masha alwaah
Masha allah
Macha Allah djayidi
allah protect all marriages
good song
Good song godblessthem
raha sanaaaa
asaIam aIaykum,its swahiIi Ianguage fr0m east africa-Tanzania@zahrashah
Amar bawaazir وعليكم السلام
This is the best 4 me
mashallah
🥰🥰🥰🥰🥰