SIFA ZAKE NABIYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 78

  • @MuniraMohamedi
    @MuniraMohamedi 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mashaallah na ikawe neema miaka yote ya uhai wenu maana tunamuishi mtume mpaka na haifutiki💚💚

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 3 ปีที่แล้ว +10

    Masha ALLAH Tabarakallah..Rehma na amani zimshukie mtume wetu kipenz. S.A.W 🤲🤲👌

  • @AbdallahAlly-d6u
    @AbdallahAlly-d6u 11 วันที่ผ่านมา +2

    tulioipitia hii Qaswida 2024 tujuane mashallah nzuri mpaka nzuri tena

  • @aishaomar1239
    @aishaomar1239 ปีที่แล้ว +13

    Dah hii qaswida inanikumbusha mbali sana ,unaweza ukalia wallah 😢,swallu ala nnabiyy

  • @misbahadnan1246
    @misbahadnan1246 ปีที่แล้ว +3

    Hit qaswida niliakua natafuta ya kitambo nzuri walitoa album ilivuma sana

  • @samiyaismail7602
    @samiyaismail7602 3 ปีที่แล้ว +7

    Mashaallah allah s-w akuongoze njia iliyo ya kheri kwenye hii dunia jamani mimi napenda qaswida hii kuliko zote aloimba qasida hii namwombea allah s-w amwongoze

  • @masoudmchau5145
    @masoudmchau5145 3 ปีที่แล้ว +10

    Ma Sha Allah, Bado Qaswida hii ni tulizo na Tafakuri njema ktk mioyo yetu Waumini!

  • @aminamussa1400
    @aminamussa1400 2 ปีที่แล้ว +2

    Allhamdullillah kila sifa njema zimuendee mwenyezi mungu🙏🙏

  • @khalidhamadi9917
    @khalidhamadi9917 4 ปีที่แล้ว +9

    Kwangu mimi hii ni Qaswida ya wakati wote
    Mashaallah

  • @allyselemani7731
    @allyselemani7731 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah, qaswida nzuri yenye ujumbe mzuri.

  • @playlistahme6095
    @playlistahme6095 5 ปีที่แล้ว +7

    Mashallah Qaswida nzuri
    Allah awahifadhi

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis หลายเดือนก่อน +1

    Da zamani sana tangia nasoma daresa darasa 7 2008

  • @ZamraIssa
    @ZamraIssa 8 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllh! Best of all times

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 3 ปีที่แล้ว +1

    Swifa zake Nabiiyaaa...kama idadi ya matone ya mvuaa...yatikayo mawinguni yaloo sawaa...

  • @HarounMwalim
    @HarounMwalim ปีที่แล้ว +2

    This is the most wonderful kasida from Tanzania mainland

  • @salamaali1333
    @salamaali1333 6 ปีที่แล้ว +6

    Qaswida hii wallah haijawahi kunichosha

  • @Sabra-y6u
    @Sabra-y6u 23 วันที่ผ่านมา

    Itume na Ile ya yatima ni nzuri pia hongera mtunzi

  • @saumukhamisi1736
    @saumukhamisi1736 4 ปีที่แล้ว +8

    Old is gold, Masha Allah my favorite

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 2 ปีที่แล้ว

    mashaAllah jamani yanikumbusha mbali 😥 kwa kweli watanzania mna vipaji 🙏🏼

  • @mohammedgopaa5508
    @mohammedgopaa5508 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina Inshaallah mola awaongezee vipawa

  • @zahraalfani1845
    @zahraalfani1845 4 หลายเดือนก่อน

    Naipenda mno hii kaswida

  • @hawamjara4875
    @hawamjara4875 3 ปีที่แล้ว +3

    Qaswida hii inakonga moyo wangu wakati wote kila ninapo isikiliza au kuitizama

    • @masoudmchau5145
      @masoudmchau5145 3 ปีที่แล้ว

      Naam Haswaa

    • @samiaismail1805
      @samiaismail1805 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah sister ni kweli ni qaswida ambayo mtu akisikiliza au kutazama inamfanya mtu atulie kaabisa

    • @hassanmati4861
      @hassanmati4861 3 ปีที่แล้ว

      Hawa mjara

  • @jasminjuma6390
    @jasminjuma6390 7 หลายเดือนก่อน

    Mashaa Allah tabarakallah qaswida ya miaka mingi lkn haichoshi

  • @MuntarJunior-ik7nx
    @MuntarJunior-ik7nx ปีที่แล้ว

    Mashallah ustadh Ana saut nzuri❤

  • @khadijamwenda1851
    @khadijamwenda1851 ปีที่แล้ว

    Mashaallah rahaa sana Jamani moyo unatulia na Amani tele

  • @mikidadisalim2643
    @mikidadisalim2643 10 หลายเดือนก่อน +1

    Best of the Bests ❤

  • @sadymnyama
    @sadymnyama 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaaalh😊😊

  • @Rechokidoty
    @Rechokidoty ปีที่แล้ว

    Mashaallah long time ago kizur kinadumu❤❤

  • @SofiaSofia-ow3ku
    @SofiaSofia-ow3ku ปีที่แล้ว

    Mashallaah zuri sana ❤

  • @samayramussa6183
    @samayramussa6183 4 ปีที่แล้ว +4

    Qaswida tamu balaa

  • @EliasaVitoga
    @EliasaVitoga 16 วันที่ผ่านมา

    Maashaallah

  • @rahmaomar2481
    @rahmaomar2481 3 ปีที่แล้ว +1

    Masha'allah tabaraqa 'allah

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah ❤😢🤲🇹🇿🤗

  • @HidayaJuma-i9c
    @HidayaJuma-i9c 2 หลายเดือนก่อน

    Wallaahi qasda ninnzuri

  • @sumayyahally866
    @sumayyahally866 2 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah tabarakanllah

  • @jeshilamtu863
    @jeshilamtu863 3 ปีที่แล้ว +2

    MashaaAllah 💥

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaswida niipendayo sana

  • @hassanomaryselemani418
    @hassanomaryselemani418 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa Shaa ALLAH!

  • @karmabdalah3870
    @karmabdalah3870 5 ปีที่แล้ว +3

    Masha-allah

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 5 หลายเดือนก่อน

    MOYO UMEFURAHI NDANI YA MACHUNGU

  • @zanishaikhonge7296
    @zanishaikhonge7296 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah kazur nzur

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 3 ปีที่แล้ว

    Yani kwa upande wa bara Hawa jamaa wanashika namba moja madrasa hii peke yake ndio ninayo ikubal kwa bara qaswida zake nzur wanajua sana Hawa jamaa

  • @rahmaomali7473
    @rahmaomali7473 3 ปีที่แล้ว +1

    maashaallah

  • @sablinitanzania8721
    @sablinitanzania8721 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah

  • @Sheks-nd2jt
    @Sheks-nd2jt ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @amenaafrica7046
    @amenaafrica7046 4 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllh

  • @mwajumamtulia5688
    @mwajumamtulia5688 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaalah

  • @zubedamustapha7256
    @zubedamustapha7256 3 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah

  • @seifahmed5230
    @seifahmed5230 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuekee albamu mzima

  • @sabahifadhil8131
    @sabahifadhil8131 3 ปีที่แล้ว +2

    Za kali ni dhahabu

  • @aishamubarak6739
    @aishamubarak6739 4 ปีที่แล้ว +2

    مبروك

  • @jamilamvunyi2247
    @jamilamvunyi2247 2 ปีที่แล้ว

    Mashallh

  • @HalimaMharam
    @HalimaMharam 7 หลายเดือนก่อน

  • @fadhilnassor8196
    @fadhilnassor8196 3 ปีที่แล้ว +2

    Iiiii naikumbuka kaisida

  • @majutoyussuf6191
    @majutoyussuf6191 2 ปีที่แล้ว

    Aky nmesikiza zaidi ya mara10

  • @hijrahalifa5923
    @hijrahalifa5923 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @youngbosskijanger2500
    @youngbosskijanger2500 2 ปีที่แล้ว

    My favourite song all the time❤❤❤❤❤❤

  • @shufaaiddy8789
    @shufaaiddy8789 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤

  • @husseinjuma3126
    @husseinjuma3126 4 ปีที่แล้ว +3

    Kabla sija oa

  • @zidiheriyahaya2661
    @zidiheriyahaya2661 3 ปีที่แล้ว

    Good

  • @abdulhamididarouss8422
    @abdulhamididarouss8422 3 ปีที่แล้ว +1

    ❤️

  • @shidogomohammad212
    @shidogomohammad212 2 ปีที่แล้ว

    th-cam.com/video/2YC2ai62Lr8/w-d-xo.html
    Masha Allah pia hii kali sana katika kaswida zenye mafunzo na ujumbe mzuri

  • @allyfadhili56
    @allyfadhili56 ปีที่แล้ว +1

    Mashall

  • @hadijahaji9712
    @hadijahaji9712 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaalah

  • @najmaiddy9131
    @najmaiddy9131 ปีที่แล้ว +1

    Mashaaallh