HAYA NDIO MAHABA YA PWANI/ MSWALA(UTANGA) NDIO KILAKITU KWENYE NDOA/ TUPUNGUZENI UZUNGU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 88

  • @alhabsialhabsi1098
    @alhabsialhabsi1098 2 ปีที่แล้ว +4

    NAWAPENDA sana na.mna maneno ya Ukweli nitayafanyia kazi mungu akipenda Inshallah

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah awaongoze kina Dada. Maneno mnayoyatumia ndio hayo ya kujenga ndoa. Maarifa kweli ya ujenzi wa mahaba mnayo. Allah awongoze muweze kutekeleza yale muhimu ya kumjua yeye kwamba hakuna mwengine mwingi wa Rahma. Mswala ni wa kumtukuza Allah kila siku mara 5. Ahsanteni kwa kutufurahisha.

  • @aishaseif7852
    @aishaseif7852 3 ปีที่แล้ว +7

    Asalam Alaykum Dada unaongea vizuri lkn jinsi yakutoa ujumbe wako ndio tofauti kwa mtanzamo wangu inakuwa sio somo tena inaonekana kama ugomvi jaribu kubadili sauti ili uwe mwalimu mzuri Asante.

  • @Husna-s5k
    @Husna-s5k 8 หลายเดือนก่อน

    Nimefundika kwkweli maneno yenu ni somo kubwa tosho mashaalla

  • @fatmasaid7093
    @fatmasaid7093 3 ปีที่แล้ว +6

    MashaAllah nisha fundika😍😍🤸‍♀️🇧🇭

  • @sophiakasim5153
    @sophiakasim5153 3 ปีที่แล้ว +6

    Wallah nimefundika sanaaaa mume wangu mtarajiwa atafaidi wallah

    • @edwardmanyama4954
      @edwardmanyama4954 3 หลายเดือนก่อน

      Mpooooo mswalaaaaahuo nimekuelewa Sana mtanga wanguu 😅

  • @ukhtyruqyah7860
    @ukhtyruqyah7860 3 ปีที่แล้ว +2

    Sawa somo wangu nakupenda nitalifanyia kaz ilo

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 ปีที่แล้ว +5

    Safi Sana twafundika.

  • @sakinamursal3572
    @sakinamursal3572 3 ปีที่แล้ว +1

    Tks tume mambo sie hatukupawa makungwi.

  • @zakiamadenge3020
    @zakiamadenge3020 5 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana, Habbiy atafaidi Inshaallah

  • @zuwenaathumani5190
    @zuwenaathumani5190 3 ปีที่แล้ว +1

    Asalamu alaykum Warahmatullahi wabarakatuh nawapenda sana mwambie wasikile

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni nimewaelewa sana

  • @zawadijuma7894
    @zawadijuma7894 3 ปีที่แล้ว +1

    Allahmdulillah Allaah awajazeni kheri naomba namba ya inbobo nipate mazuri zaidi

  • @zamally1389
    @zamally1389 3 ปีที่แล้ว +2

    Yn tumejifunza alhamdllah blandina lukindu na malkia wa hubba naamini nikifka kwa babaa ntajkaza kikeee

  • @zubedamyungile7438
    @zubedamyungile7438 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteeeeeeeee kubwa

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 4 ปีที่แล้ว +6

    Tanga Raha 🇧🇭❤️❤️❤️😍🥰

  • @FyVvh-bf8cj
    @FyVvh-bf8cj 10 หลายเดือนก่อน

    Ukwelli sana ❤❤❤❤❤👂👂👂

  • @suhanaali1270
    @suhanaali1270 3 ปีที่แล้ว +3

    masha'Allah ❣️

  • @halimahalima1984
    @halimahalima1984 3 ปีที่แล้ว

    Asante mama kabisaa 😀😀😀🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @zamally1389
    @zamally1389 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapnda mama zangu jmn 💕💕💕💕

  • @zuhuramwawimo997
    @zuhuramwawimo997 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah kina mama na wapenda bureee

  • @shemsakiza8263
    @shemsakiza8263 ปีที่แล้ว

    Asww asante somo wetu kama awuna muswala ukiwa napuzati nawo utakuwa aje

  • @yosray822
    @yosray822 2 ปีที่แล้ว +2

    Kweli dada unayo hawajali waume zao wavivu mapenzi

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi sikubali ushauri wowote wa wanawake ambao wako single waliachika na wakaachika tena... Sasa mbona walishindwa kudumu katika ndoa zao. Hio tanga wenyu mandugu zenyu wamekuja kututwaa kutoka Kenya. Mgeolewa nyie hapo karibu.

  • @bimishimwijuma
    @bimishimwijuma ปีที่แล้ว

    Nimejifunza

  • @rizikingare5148
    @rizikingare5148 4 ปีที่แล้ว +2

    Asanteni kwa kutuelimisha

    • @ThinkersTVOnline
      @ThinkersTVOnline  4 ปีที่แล้ว

      Karibu tena na tena! Kila jumatano ya wiki unapata elimu hii

  • @mrsmudathir4608
    @mrsmudathir4608 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawapenda saana nataman kuonana na nyie😣😔♥️

  • @Hasmuk-wg7vx
    @Hasmuk-wg7vx 5 วันที่ผ่านมา

    Waabie dada huo dio ukeli wana wake wa leo wanajifanya kama bendera unapo enda upepo dipo wanapo enda
    Mimi Mweyewe asliyangu ni tanga

  • @hildafrank3405
    @hildafrank3405 2 ปีที่แล้ว

    Jaman nakupenda jaman malkia we mzuri

  • @muhimuziahadi7779
    @muhimuziahadi7779 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda saana

  • @RayyanHamza-pd6gx
    @RayyanHamza-pd6gx 10 วันที่ผ่านมา

    Dda naomb no zenu jmon

  • @ameeranassor1619
    @ameeranassor1619 3 ปีที่แล้ว +2

    Mswala ni wa kusalia sio kulia chakula, mkeka ndio unawekewa chakula.

  • @halimanasihu1200
    @halimanasihu1200 4 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa mnenayo ukweli mtupu

  • @maimunaabdalla7146
    @maimunaabdalla7146 3 ปีที่แล้ว +1

    Hapo Kwa upishi Mombasa ndo kwao,hatupiki twa Thoma bibieee...twakarangiza hatukaangi...Mombasa Raha bwana🇰🇪001

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 4 ปีที่แล้ว +2

    Tanga safiiiiiiiiii

  • @rahmaramadhan9773
    @rahmaramadhan9773 3 ปีที่แล้ว +3

    Mambo pambe eeeeee. Chezea tanga weeeee

  • @mesaid1said592
    @mesaid1said592 4 ปีที่แล้ว +1

    Asalam alykm mum naomba no zenu jmn

  • @naimaislam552
    @naimaislam552 3 ปีที่แล้ว +2

    Napenda unavyoongea

  • @makhilfaki2584
    @makhilfaki2584 3 ปีที่แล้ว +1

    Wanbie awooi

  • @aishajumaa6089
    @aishajumaa6089 ปีที่แล้ว

    Nataka namba zenu jamani nina mwari nataka niwape

  • @swabraty1760
    @swabraty1760 4 ปีที่แล้ว

    Ahsantumaa

  • @prosperlilian1371
    @prosperlilian1371 4 ปีที่แล้ว +3

    Mswala.... Mimi mubara lakini kwa umbali nimekaa na mpwani swahibu wangu na kila wakati yeye huutia hapo sebuleni tukipiga gumzo

  • @cutelady7410
    @cutelady7410 3 ปีที่แล้ว +2

    Watanga oyeeee 😘😘😘

  • @kwizerazenab814
    @kwizerazenab814 3 ปีที่แล้ว +2

    Siyo kwamisuto iyo jamani 😀😀

  • @sofiajuliani5617
    @sofiajuliani5617 3 ปีที่แล้ว +1

    Mambo ndo haya nimewapenda bure

  • @dianaalonazi9103
    @dianaalonazi9103 4 ปีที่แล้ว

    Tupoooo💃💃💃

  • @wardamushi2312
    @wardamushi2312 4 ปีที่แล้ว +2

    Naomba namba yenu ya cm

    • @ThinkersTVOnline
      @ThinkersTVOnline  4 ปีที่แล้ว

      Karibu Warda! Tembelea acc za instagram @utamu_wa_pwan kupata acc binafsi za Blandina na Malkia wa huba

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 ปีที่แล้ว

      @@ThinkersTVOnline weka namba za wassap

  • @halimampilimba5076
    @halimampilimba5076 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako

  • @somoeshali1681
    @somoeshali1681 4 ปีที่แล้ว +4

    Aa swa dada ila punguza Jazba nimafunzo na sio msuto

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 ปีที่แล้ว +1

    Wekeni namba tuwakodi

  • @benjiedaye7861
    @benjiedaye7861 3 ปีที่แล้ว +1

    mbona no haiko whasp

  • @fettyally333
    @fettyally333 4 ปีที่แล้ว +4

    No ya inbobo iko wapi? Jamani nimekupenda bule

  • @fettyally333
    @fettyally333 4 ปีที่แล้ว +1

    Tuunge wasap utupe ya ndani Zaid mamii.

    • @mobyyusuph7175
      @mobyyusuph7175 3 ปีที่แล้ว

      Jamn acha tuu na mim natak ilo group

  • @afyanakinga1146
    @afyanakinga1146 2 ปีที่แล้ว

    Watuache na uswahil wetu asojua maana haambiwi maana watuache sie watanga tanga rahaa

  • @rizikingare5148
    @rizikingare5148 4 ปีที่แล้ว +3

    Mipia nataka kawa

    • @ThinkersTVOnline
      @ThinkersTVOnline  4 ปีที่แล้ว

      Liandikweje? “Mpaka uombwe! Macho ya njaa huyaoni?” Au...👌👌

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 ปีที่แล้ว

      @@ThinkersTVOnline weken namba zenu umu

  • @rukiabaybe8594
    @rukiabaybe8594 4 ปีที่แล้ว +1

    Nitakufuata inbobo😂😂

  • @aishaaboud4406
    @aishaaboud4406 2 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kumpiga konde tena
    Asante I

  • @aishaomer6934
    @aishaomer6934 2 ปีที่แล้ว

    Nitumie namba yako somo ninashida na wewe

  • @issaabdallah2417
    @issaabdallah2417 3 ปีที่แล้ว +1

    Niule mswala waku salia au mkeka

  • @moonioman207
    @moonioman207 4 ปีที่แล้ว

    Mimi naomba namba yenu jamani

  • @bichichiahmda1153
    @bichichiahmda1153 4 ปีที่แล้ว +2

    Menginee tufichie Dada hahahah tanga raha bwana mwana kwetu

    • @ThinkersTVOnline
      @ThinkersTVOnline  4 ปีที่แล้ว

      Asanteee

    • @ummuhaula1848
      @ummuhaula1848 3 ปีที่แล้ว

      @@ThinkersTVOnline naomba namba za whatsapp

    • @mahmoodalghefeili5370
      @mahmoodalghefeili5370 2 ปีที่แล้ว

      @@ThinkersTVOnline tuwekeen namba ili tuwafuate inbox mtufundishe ya. Ndan kwa pesa

  • @zainabujamali4748
    @zainabujamali4748 4 ปีที่แล้ว

    Naomba namb ya inbobo

  • @annaremen294
    @annaremen294 4 ปีที่แล้ว

    😆😆 mnanipa raha

  • @shemsakiza8263
    @shemsakiza8263 ปีที่แล้ว

    Asww asante somo wetu kama awuna muswala ukiwa napuzati nawo utakuwa aje