ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Hongera sAna hata dereva ni mtu Muhimu, sana sana,, kwani Wanabeba dhamana ya Uhai wa VIONGOZI''''
Mfano mzuri sana kutumbua na kuheshim nafasi yakila mtu
Yani kutambulishwa dereva roho ime wauma wakati hao wote hapo wamefika kwa kuletwa na madereva
Hii nchi huwa ina ujinga mwingi sana😂😂😂
Kumbe mnajua walimu wanavyo pata shida ila kuongeza mishara ndio shida
🙆♀️
Dereva naye anatambulishwa bunge hili kama la mauzauza
mi naona sawa nae ana nafas yake
Kwani dereva sio mtu mjinga nini wewe hapo walienda wenyewe.Dereza pia ni binadam na pia ni mfanyajazi.
HUO NI UPUMBAVU. SASA HUYO DEREVA WANINI?. NYERERE MPAKA AMEKUFA HATUKUMJUWA DEREVA WAKE. YAANI MNAJUWA KUWACHEZEA WATANZANIA.
Ni mtu muhimu sana dereva tuache dharau
Aisee we ni mjinga kweli kweli,kweni Dereva siyo mtu?analinda uhai wa Spika barabarani halafu we unasema nini
Kosa liko wapi jaman kazi kutafuta mabaya ya mtu tu?
Tumia akili kuchangia dereva ni mtu muhimu sana sema umuhimu wake hauonekani kwasababu ya watu wenye akili kama zako
Tafuta hela uache makasiriko
Hongera sAna hata dereva ni mtu Muhimu, sana sana,, kwani Wanabeba dhamana ya Uhai wa VIONGOZI''''
Mfano mzuri sana kutumbua na kuheshim nafasi yakila mtu
Yani kutambulishwa dereva roho ime wauma wakati hao wote hapo wamefika kwa kuletwa na madereva
Hii nchi huwa ina ujinga mwingi sana😂😂😂
Kumbe mnajua walimu wanavyo pata shida ila kuongeza mishara ndio shida
🙆♀️
Dereva naye anatambulishwa bunge hili kama la mauzauza
mi naona sawa nae ana nafas yake
Kwani dereva sio mtu mjinga nini wewe hapo walienda wenyewe.
Dereza pia ni binadam na pia ni mfanyajazi.