Kama Taarifa hii ya Ruto kulea yatima ni ya kweli,Mungu amemfungulia njia ya kuwatendea mema walio wengi wasiojiweza.Hakika Ruto ni chaguo la Mungu. Tunamwomba Mungu amlinde na maadui wa Mwili na Roho Ameen.
Nukweli ako na Roho safi Anapenda kila mtu.hongera hongera Rais wetu mwenyezi mungu Akuongoze katika hatari zote za roho na za mwili malaika mlinzi Akuzingire Amen 🙏💪💪💪💪💪💪💪💪💪🤝🙏
Wanaitawaliwa na Giza wataendelea Kwa Giza Bali wenye kutangaka mwangaza wataono Nuru..namungu atawaongoza.....we thank God for Ruto..his humility is noticeable,
Kila mtu ana udhaifu wake na Dr Ruto ni kiongozi mzuri sana mwenye anawajali wengine na utu. Uongozi wa Dr Ruto ulitabiriwa miaka 17 iliyopita.Raila alizaliwa kuwa shujaa Bali si kiongozi
Mumenisahau mama yangu huniambia walikutana na Ruto eldoret nawakawa wakikutana kwa munda wa miaka kathaa na ndio nikapatikana, nanjua mutaona ni utani but Ruto na nini yake wananjua yote saai Niko maseno naenderea na masomo ,nachukuru baba angu Ruto coz sinjawai pungukiwa na chochote.I love my Dad nanimekuwa nokimuombea awe Rais na amekuwa nanjua atanipereka ng'ambo kea masomo ya juu.Asanteni.
Uchanbuzi mwafaka ila hapo kwa ufisadi huku Kenya bado hamna suluhisho la kudumu sababu viongozi wote wamehusika ufisadi na wanajua kila mtu aliiba nini. Ukimbana mfisadi naye atakubana. It's a DO ME I DO YOU GAME. Hata Kibaki mchapa kazi alishindwa kung'oa wafisadi
Hapo pa ukabila nimekataa nitajua ukabila umeisha wakati wakalenjin watachagua mkabila mwingine ilihali wanakaataana na Kiongozi ambaye ndio Kiongozi wa wakalenjin kama vile wakikuyu walivyo fanya Uhuru. Wakikuyu tu peke Yao ndio tu Wanakataana na ukabila
Jamani...muongereni wasafi...leo mmeongea kama watu wenye Akili...waga mnanikera sana na ma vicheko yenu na ma utani, na makerere ya awa sijui wanaojiita watangazaji! Dah!
Huyu anaongea vzr, ila usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa vile humjui Ruto utamsifia. Tafuta hbr upate ukweli kuhusu Ruto. Na issue ya Mungu mwaachieni Mungu hamna mwenye hatimiliki na Mungu na wote ni wa Mungu hata diamond anasali kwa imani yake hivyo kuenda kwa Raila hakumaanishi wao sio wa Mungu. Na mjue sio wote wanaita Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu. Msijadili mambo tu kwa euphoria.
Wenyewe wanakwambia hujui mambo ya Kenya. Halafu hujasema kwamba Mheshimiwa Ruto alinyanyuliwa alikuzwa na alikua swahiba mkubwa wa Moi na yaelekea hujui marais wote wa Kenya wametoka makabila gani. Na huna habari kwamba Mhesh Ruto nae ana pesa.
Ruto is very human ata kama anaweza kuwa na weakness strengths zake ndio mingi I voted for him because he supports church n also he is a man of prayers he even sheds tear when he is desperate for God's help❤️Ruto
Watanzania wanajua kuelezea mambo vizuri sana.....Hongereni sana ndugu zetu....Wakenya tunawapenda mno!!!! Kiswahili chenu ni kitamu ajabu
Tuwasikiza tu🥰
Kiswahili sanifu but sijui ikikuja english vipi
@@rileyfreeman7094 wee unajua sn ama
From Tanzania I love Ruto naamini ni kiongozi Bora sababu kampeni zake zote alisema tuache mungu achague raisi
Pumbafu wewe ndiyo maaana mmepewa mzanzibari awatale, you are fools!
@@adam-saffi211 yeh am fool but not. More than your parents
@@adam-saffi211 wewe mpumbafu sana,,Kwani kuna mzanzibari na mtanzania?Ni karne gani unafikilia wewe?Ya ishirini na moja??
Am Kenyan and I didn’t even know about that Machakos kid. Ingekua wengine hio ndio ingekua manifesto anthem. Proud of you my 5th💚💛. Beautiful Said.
Kweli kabisa. may God protect our president elect 🙏🙏
Same here I didn't know ,,, wooooow may God bless our president
Kama Taarifa hii ya Ruto kulea yatima ni ya kweli,Mungu amemfungulia njia ya kuwatendea mema walio wengi wasiojiweza.Hakika Ruto ni chaguo la Mungu. Tunamwomba Mungu amlinde na maadui wa Mwili na Roho Ameen.
Truth be told. Thanks for the positive commentary. Dr. Ruto is a great man.
Ruto the fifth 💛💛💛💛 tunampenda Sana Rais wetu mteule !!
Congrates for President Ruto .. it's so greatest action.
Twaomba Sana raisi Ruto awe mchapa kazi kama Marehemu Magufuli. Alitambua Sana wanyonge hadharani
Nukweli ako na Roho safi Anapenda kila mtu.hongera hongera Rais wetu mwenyezi mungu Akuongoze katika hatari zote za roho na za mwili malaika mlinzi Akuzingire Amen 🙏💪💪💪💪💪💪💪💪💪🤝🙏
Mungu awabariki Sana ndugu zetu. Ukweli na usemwe!
Wakati watu watatambua mungu ni nani watu watapona
Atleast the positive side of Ruto has been told
Ruto will bring a great positive change in kenya.
The man with a big heart blessed is the ✋ that giveth said the lord
Mungu anapenda East Africa tumemkosa magufuli ametuletea ruto.
Ameen
Hongera saaana wanangu tuzidi kupambana na kuhakiki ati nchi jirani imeuvyoga ufisadi na ukabila mwingiii🙏🙏🙏🙏
Hongera sana Dr. Ruto na nfugu zetu wakenya kwa kupata raisi🇹🇿🇹🇿
Ruto the fifth 💛 💚 hongera Tanzania 🇹🇿
Ruto nimucha mungu ako na utu ndani yake upendo furaha pia.we.love ruto walai
Tunawapenda sana wenzetu wa Tanzania
Ruto sio mtu wa kulipisha kisasi....... He hia a God fearing man
Thanks for this Ruto he's GOD's chosen GOD always with him and he will protect him from eval eye
Amen🙏🙏🙏
Ukweli ni kwamba owino alitaka serikali isaidie raira, but mbingu ikiongea akuna wakupinga
Muombeeni basi rais wetu awe Kama Magufuli wenu jamani na Mungu amuwezeshe
InshaAllah Mwenyeezi Mungu atamuongoza
Ameen 🙏 maombi yameshajibiwa!
Thank you so much 🥰 Tanzania ,nimefilli raisi wetu ,nampenda sana
man of the people.hustler nation
Ruto kaletwa na mwenyezi mungu kama zawadi ya wakenya. Kama ilivyokuwa. Sisi Tanzania.
Ruto the fifth 💛💛💛
Mcha mungu sana
Hongera wasafi hiyo historia SI kujua
Ruto mungu akulinde
Wanaitawaliwa na Giza wataendelea Kwa Giza Bali wenye kutangaka mwangaza wataono Nuru..namungu atawaongoza.....we thank God for Ruto..his humility is noticeable,
when pple will wake up from deep sleeping thats. the time they wili know that tells God indeed our preso he is person who humbled her self before God
Waooooo Mungu akubaliki Wiliam ruto
Much love from kenya, napenda Dida na najua ntaolewa na juma lokole🤣
Hapo kwa Juma Lokole umeniuwa🤣🤣🤣🤣
utaezana na na lokole wewe?
👌🤣🤣i follow them na mwinjaku
Asanteni wasafi fm/tv
Mungu alinde yeye.
Nakubaliana nanyi 🤞
Tunampenda ruto sana
I like your explanation
Rutooooooooooooooooooo my prezo.namkufia uyu aisee
Wakenya wengne mko na makasiriko huku🤣🤣kwani mmeitwa acheni ujinga ruto babalao💪
😂😂wambie tena Asante
Hawo ni wa side hio ingine
Kila mtu ana udhaifu wake na Dr Ruto ni kiongozi mzuri sana mwenye anawajali wengine na utu.
Uongozi wa Dr Ruto ulitabiriwa miaka 17 iliyopita.Raila alizaliwa kuwa shujaa Bali si kiongozi
God bless Ruto
Really WCB Kenya Ruto 👏👏👏💯
You have a good heart. That’s all I can say Sir.
Si kweli kabisa mtangazaji ukabila Kenya hauwezi kufa!
U don't love your country if thats what u wish but for some like me and others who loves kenya change is coming for freedom is here
Exactly ukabila hauwezi isha ndiyo maana odinga hawa kubali a win kwa ajili ni mjaluo period
Kupitia I haguz
Kupitia uchaguzi huu Tanzania tumejicunza nin
We have a living God ,Ruto was Prayed to Victory.
Mumenisahau mama yangu huniambia walikutana na Ruto eldoret nawakawa wakikutana kwa munda wa miaka kathaa na ndio nikapatikana, nanjua mutaona ni utani but Ruto na nini yake wananjua yote saai Niko maseno naenderea na masomo ,nachukuru baba angu Ruto coz sinjawai pungukiwa na chochote.I love my Dad nanimekuwa nokimuombea awe Rais na amekuwa nanjua atanipereka ng'ambo kea masomo ya juu.Asanteni.
😆😆😆😆
🤣😂😂😂😂😂😂
Ruto sio tajiri kama raila, roho yake ndio nzuri anajua njaa ni nini
Uchanbuzi mwafaka ila hapo kwa ufisadi huku Kenya bado hamna suluhisho la kudumu sababu viongozi wote wamehusika ufisadi na wanajua kila mtu aliiba nini.
Ukimbana mfisadi naye atakubana.
It's a DO ME I DO YOU GAME.
Hata Kibaki mchapa kazi alishindwa kung'oa wafisadi
Wa tz nawapendaje
Hongera Sana Rutoooooooo
Inshallah 👏 that's our president
Hapo pa ukabila nimekataa nitajua ukabila umeisha wakati wakalenjin watachagua mkabila mwingine ilihali wanakaataana na Kiongozi ambaye ndio Kiongozi wa wakalenjin kama vile wakikuyu walivyo fanya Uhuru.
Wakikuyu tu peke Yao ndio tu Wanakataana na ukabila
Baba the 5th Tosha iyo ingine nisiskie 😂💙💙💙💙💙blue is the color we want na Kwani mimi tu ndio Azimio hapa pekeyangu ama tuko wengi
,🤣🤣🤣 Azimio ilikufa
Dalili ruto anapendwa dunia nzima
Hustler Nation. Ruto the 5th
HONGERA SANA DR RUTO, HAKIKA NI MUNGU BABA, AMEHUSIKA WEWE KUWA RAISI, NAMSHUKURU SANA MUNGU, HONGERENI WAKENYA,
Hustler national congrat my prezo ,💪
Kweli kabisa
Magu wa Kenya amepatikana mafisadi wajipange Mungu amtangulie .
Sasa nyie ni wa kenya mpaka mnatoa maneno yasio wausu wapumbavu sana fanteni maisha yenu uku tanzanian
Tunawachambua
Mbona matusi sasan
Watanzania bana,,, munapenda kufatilia maisha ya watu ,,,Saa hii munatuingilia adi Kenya umbeya tuu,
Jamani...muongereni wasafi...leo mmeongea kama watu wenye Akili...waga mnanikera sana na ma vicheko yenu na ma utani, na makerere ya awa sijui wanaojiita watangazaji! Dah!
Tanzania 🇹🇿 jameni.. 😅😅😅 mnajua hadi BOMAS
Yaani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nimcha Mungu sana
ww kuma sanaa
Baba ameadapt wangapi please
This presenter is awesome
Acha ujuaji
Wabongo mshaanza umbea😃😃😃
🤣🤣🤣
Kenya
Huyu anaongea vzr, ila usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Kwa vile humjui Ruto utamsifia. Tafuta hbr upate ukweli kuhusu Ruto. Na issue ya Mungu mwaachieni Mungu hamna mwenye hatimiliki na Mungu na wote ni wa Mungu hata diamond anasali kwa imani yake hivyo kuenda kwa Raila hakumaanishi wao sio wa Mungu. Na mjue sio wote wanaita Bwana Bwana watauona ufalme wa Mungu. Msijadili mambo tu kwa euphoria.
Ukweli
No one is perfect in this world that's why Jesus died for our sins.....kila mtu ana mbaya na mazuri yake hapa dunia pia
Mtu husifiwa na wanaomjua vyema ...Kama humjui mtu utaongea chochote kumhusu ✌️
Kwani raila ndio mwema ,kwanza aende akwatwe 🤣😂😂😂
Sasa wewe unayejua mbona umeishia huku kwenye comments nenda azam TV ukaombe kipindi
Hatarrrrr
Ruto is the best
God bless ruto
Visura vya hao watoto duuh..M.Mungu nsamehe mie tu🤣
Fateni yenu ya tanzania 🇹🇿 kenya tunajua hiyo wacheni kelel
acha hadithi za uongo
MUNGU ampe nguvu Ruto
Makubwa ayo
Ruto mlezi wa Watoto
WASAFI MNAAZA KULETAWATU KWEYE STUDIO KULETA UWONGO NAKUDAGAYA WATU HABARI ZA RUTO KWA NINI WATANZANIA TUNAPENDA UWONGO
Congratulations President Dr. Ruto.
❤️❤️❤️
Sikua nampenda ruto ila kwa hilo la huyo mtoto itoshe kusema 🙏🙌😁
Sure
Ruto The 5th
Achana n Kenya kbsa coz hujui hyo mtu unamzungumzia hpo achana n sisi hujui tumevurungwa 🤐🤐😏😏😏
ongereni kwa kupata rais..
Apo kwenye ukabila kuisha usitudanganye sio kwa Kenya
unasema nini Kenya hatutaki ukabila!!!
Ruto is good man
Wacha upuzi bana Uongozi kenya since independence ni Kikuyu Kalenjin .
Fresh tu
Si kweli Hakuna kabila yeyeto itakayo ongoza Kenya nje ya kabila kubwa. Ruto kashinda kwa kabila lake na sio kwa ubora wake.
U r lost.please find yourself first
Very true Ruto is gonna be like late Magufuli RIP God save uganda m7 is bringing the son now
Wenyewe wanakwambia hujui mambo ya Kenya. Halafu hujasema kwamba Mheshimiwa Ruto alinyanyuliwa alikuzwa na alikua swahiba mkubwa wa Moi na yaelekea hujui marais wote wa Kenya wametoka makabila gani. Na huna habari kwamba Mhesh Ruto nae ana pesa.
No cherono sio jerono
Haujui kenya ww wala humjui ruto
Kwa iyo waliomchagua pia hawamjuwi
Ni Cherono not Jerono
Rutoo😄😄😄😄😄😄😄😄😄
Ruto is very human ata kama anaweza kuwa na weakness strengths zake ndio mingi I voted for him because he supports church n also he is a man of prayers he even sheds tear when he is desperate for God's help❤️Ruto
Diamond wa Nyoko
Wa mavi
@@JKQGAME Wa Kenya Wako na akili zao Timamu ingekuwa cc Tanzania tungempigia kura kwa ajil ya Diamond
Cherono not Jerono
Ukweli wanasiasa wana mkono mrefu unazungunza mazuri tu. Hana baya lolote unalojua kubalance story
Mmmmmmmmh sikweli kenya ukabila bado sana upo sana mm niko kenya mwaka 11 hiv sasa ukabila kenya hawezi kuisha
Mwenyewe amehusishwa na ufisandi atanza wapi.wote hawa ni fmafisi.hamna aliye msafi hata mteule mwenyewe