Mm ni mtanzania ila nimevutiwa na habari ya hawa pacha, mm kama mzazi makosa hutokea wakati mwingine watu kutokuwa mahofu ya mungu kubadilisha watoto wa wenzao, ashukuwiliwe mungu amewakutanisha kwa mapenzi, DNA itatuambia ukweli
Much as the gals may not mind staying with & appreciating both sides of the parentage, the state must take over the matter (am happy the DCI has already taken it up), so that such an incident does not happen again. There's some criminality in this whole saga and those behind it, no matter what, must demonstrate that their acts (then) were beyond reproach. With God all things are possible, may God's solomonic wisdom prevail, and may His will be done on earth as it is in heaven.
Eti pepo na jini🤣🤣🤣 kweli mungu wacha abaki kwa mungutu,, kuna musemo waswahili usema damu ni nzito kuliko maji nikweli nimeona kwa hawa watoto wacha2 mungu apewe sifa manake yeye ndiye amefanya haya yote kujulikana.
Habiba Said @ mimi natafuta ndugu zangu kwa upande wa baba yangu,babu yangu alitoka tanzania sehem za arusha akaenda kuowa mombasa kenya,sehemu za likoni,kwenye familia ya saidi mwinyi umbwi,bibi yangu alie nizalia baba anaitwa makazi mwinyiumbwi,kwa yeyete anayemfaham huyu bibi,au taarifa yake basi tuwasiliane kwa no 0784935637-nipo arusha TZ
there is great God in heaven hakuna kinacho fichika Chini ya jua with God everthing is possible this great leason nifunzo kwa wale doc wanauza Watoto nlikua nkiwatch Tanzania movie its real now in my motherland kila kitu hufanyika kwa sababu waiting for DNA itakuaje
This ladies are triplets, huyu mama mweupe niwale huuziwa watoto coz hakua na mschana. Inaniuma sana , how comes twins wasifanane? Hao doctors hawakujua njia ya uizi hata afadhali wangemuuzia huyo mweupe kidogo ingemake sense
Wow...,this girls r beautiful n cute hope they'll attract rain from Tanzania...
hahahahhahahahah let the rain pour
😂😂😂
utaniua 😂
@@marypaul2178 😂😂😂
Cograt Sharon ! You are one in a million
Aki this is hard but mimi naona hawa wote ni sisters mama sharon ali shirikiana na nurse 👩⚕️
This is amazing story ever
Mm ni mtanzania ila nimevutiwa na habari ya hawa pacha, mm kama mzazi makosa hutokea wakati mwingine watu kutokuwa mahofu ya mungu kubadilisha watoto wa wenzao, ashukuwiliwe mungu amewakutanisha kwa mapenzi, DNA itatuambia ukweli
Wow but sharon ameongea poa sana ikiwa itapatikana ni wa hiyo family ataachana na wazazi walio mlea nice kabisa sharon
Hongera sana Sharon Mungu akubariki wewe umeongea kama mtu mzima wapende wote
I like the argument and bright knowledge .Be blessed Sharon
Mimi nawaombea watoto na wazazi wote wapande mbili waelewane ili walee watoto wote kwa mamoja🙏🙏❤
Much as the gals may not mind staying with & appreciating both sides of the parentage, the state must take over the matter (am happy the DCI has already taken it up), so that such an incident does not happen again. There's some criminality in this whole saga and those behind it, no matter what, must demonstrate that their acts (then) were beyond reproach. With God all things are possible, may God's solomonic wisdom prevail, and may His will be done on earth as it is in heaven.
Francis Orioki pole
God bless you all, the pretty young twins.
Jamani Mungu wacheni Huyu Mungu azidi kuitwa Mungu eeeeh jamani mmi nimeshangaaa
Wow Sharon like how u have express yourself
Mimi nagojea matokeo aki
Hao pengine ndio wale wakuibiwa na kuuzwa
I like the way huyu baba anataka hawa watoto wote haki nimecheka yangu yote.
Wow incredible story
Sharon ____,ningependa kuishi na mama wangu wote! Richard mke wa pili pap!!
Mungu awabariki madaktari wa kemri kwa kujitolea kufanya DNA ya bure. so hapo Niko na confidence hakutakua na corruption.
Jamani serikal wasaidiani
Sharon ameongea point sana
Wow.. wako Identical kabisa💯. DNA inatoka when
Can't wait to meet this lovely and Beautiful twin cousins of mine what a small world
It's like movie for sure😃
God power
sharon yuko vry ryt kwa maoni yke...namuombea kila la kheri.
Sharon ameongea vizuri hapa
Wewe ni NAni mm sikujui Wewe ni pepo ok Wewe ni jini😅😅😅😂😂😂😁😁😁😀😀😀😆😆😆
Hii story ya hawa watoi inashangaza sana .Sitaki nimiss kabisa kufatilia hii story
Mimi naomba akigundulika kuwa family moja basi huyo mwingine apimwe na yeye maana itakuwa waliwachanganya hospital
ISUNGA 1 kabisa
Milimama na maponde hazikutani but binadamu hukutana the God is great . Na pia simu simesaidia sana Kama ningekuwa kutomba kitambo aki ingekuwa poa
0ķnnp
Niko hapa kwa pepo na jini 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
@@zainafwenah7751 wewe uko wapi
Hapo pa transfer letter
Upo na mim
Hahaha
Congress Sharon nilikuwa nashanga mwaibisha aje mamako aliye kulea tangu utotoni wako
Enyewe hapo umesema
Wonderful
Hebu turudi nyuma hawa watoto wanaendelea vipi aqi 😂😂😂😂
Hawa mabinti huenda walizaliwa mapacha huenda huyo mwingine aliibiwa.
I support you 100%
Thank you God now we have ultrasound
Hawa in identical twins, BT yule mum mwngne aliibiwa
Elizabeth Mwandu mmm kwani ni ukweli au
Elizabeth Mwandu
Haiya eti walikuwa wanaitana Pepo na jini🤭🤭🤭😆😆😆
God is God no matter what?
Pretty Gals.
So interesting story sichoki kuview
wa wa wa wa wa wa noma sana ni ngumu kweli DNA
Aki hii movie ni sweet, iendelee tuu
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Mimi nilikua namwita pepo na yeye ananiita jini 😂😂😂😂😂😂hao wote ni shetani aky hii story ni nomareee
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂
Uwiiii😂😂
They are naturally beautiful...
Nimeshangaa pia sharon..nakujua lol...
Sasa mlezi wa huyu wa Nrb naye..ghai..this drama will never end!
MaashAllah
Eti pepo na jini🤣🤣🤣 kweli mungu wacha abaki kwa mungutu,, kuna musemo waswahili usema damu ni nzito kuliko maji nikweli nimeona kwa hawa watoto wacha2 mungu apewe sifa manake yeye ndiye amefanya haya yote kujulikana.
Ingekuwa shida kama wangezaliwa hospital tofauti kwa siku tifauti
Sharon keep the spirit umeogea powah sana
wanjiru wa lucy y
Evans Otieno koz amesema hawezi acha uyo mama alimlea
C choki ngoo nitafuatilia hadi cku ya DNA
Mercy Anyango na mimi nina hamu ya kujua 🤔
Kumbe tupo wengi tunasubiria
Hahah tuko wengi ninahamu sana kujua habari hii,nahisi wote watatu ni Wa MTU mmoja
Wanafananaa! mh! halafu huyu mzee ana uzazi wa mapacha, huenda walimuibia!
Hii series iendeleee
Hahaa...call me nikushow imagine namujua sharon
@@consolataakwabi7321 your no.
Aki hiii storry imenipamba sichoki kufatilia,Blood is thicker than water
Ata Mimi 😂😂
Pambwa sana
Na kwa wale wazazi walichezwa na nurses tunaomba watoto wapatina in jesus name ya kina melo ni kali sana mm bado najiuliza kwa nn iwe hivyo aiii
Hahaha Pepo end jini😂😂😂
after 4yrs how did the results come out ?gidy give us foloow up for this
Sheers Sharon. You are bright mamaa
❤🎉
Haki ii story nitamu hata siboekangi kuifwatilia hadi nijue mwisho wake
Mimi pia
Namimi umbea nimependa mpaka mwisho
Na pia
They resemble kabisa
Beautiful girls love 😍 them all
God is grt
Hahaha this happen to me n my twin oneday at town!!!!
Mungu wa Israel simama na the two families and make decision that gonna satisfy both sides for their peace of mind.
Can't wait for the update.
And the afro cinema continues shortly
Mahali mlipo warembo naitaji cota yenu
Mungu awaunganishe pamoja
Blood is blood
Mi nataka kujua huyo mama weupe Hana watoto wengine tuwalinganishe Kama wanafanana
Nawatakia kila la kheri na muwapende wazazi wote wawe kitu kimoja,Mungu awasimamie
Margareth Saramäki
Sitting here waiting for final episode yalla
Yule mweupe niwa mama Sharon lkn Hawa walio fanana ni mapacha kweli
Habiba Said @ mimi natafuta ndugu zangu kwa upande wa baba yangu,babu yangu alitoka tanzania sehem za arusha akaenda kuowa mombasa kenya,sehemu za likoni,kwenye familia ya saidi mwinyi umbwi,bibi yangu alie nizalia baba anaitwa makazi mwinyiumbwi,kwa yeyete anayemfaham huyu bibi,au taarifa yake basi tuwasiliane kwa no 0784935637-nipo arusha TZ
Marvelous story
God is faithful
Next episode ...worth waiting
Brown gal hakai wao
Waiting INSHALLAH
Holly wood movie in Kenya goes on...blood is thick
Waaa blood is thicker than waba
The powerful of twins ,never try to test God.
myb
@@jicholafursa7058 its not may be its very true luk they separated them bt after all God has shown his power and they mate at19 yrs wow.
Haaa!jamani eti tunambiana pepo yeye jini,
Oh God
Wanaoiba watoto wa watu kwenye hospital wajifunze
Duh mpaka raha!
Waah😨😨 hata mimi nimeshangaa
I like this story 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Simply hawa ni ndugu buh something went wrong wakati wa kugawa watoto kwa wazazi wa kujifungua
Still following,Sharon umeongea vizuri sana Mungu azidi kukupa ujasiri na hekima, matokeo ya DNA ni nili????
GOD is faithfully
Movie and a.book
Makosa yalifanyika hao ni ndugu iwaishieni DNA yao ni maajabu ya Mungu
God is great
Huyo mweupe ndio si wao,
Mbona sioni alie mweupe?
Nice story
@@AP-uk3mq vaa miwani
@@sofiaahmed8880 nahisi kama wewe ndio unahitaji miwani. Hakuna alie mweupe hapo.
mwenye alitekeleza huo ujanja wa kuiba naye Mungu halali. atakipata humu humu duniani.
there is great God in heaven hakuna kinacho fichika Chini ya jua with God everthing is possible this great leason nifunzo kwa wale doc wanauza Watoto nlikua nkiwatch Tanzania movie its real now in my motherland kila kitu hufanyika kwa sababu waiting for DNA itakuaje
DNA will surely say it.
Sharon wewe Ni umeongea kaa mtu mzima
Wow.. Surprise
Hee I guess huyo Mavis ni wa mama Sharon
Haki Uyu ni Mungu kweli
Sharon umeongea sawa mungu atakupa nguvu
This ladies are triplets, huyu mama mweupe niwale huuziwa watoto coz hakua na mschana. Inaniuma sana , how comes twins wasifanane? Hao doctors hawakujua njia ya uizi hata afadhali wangemuuzia huyo mweupe kidogo ingemake sense
Hapo kwa pepo na djini
gidi mbona huongei na mevis?
Congrats Sharon aki nmekupenda
DNA ndio kusema
muangalie finger prints pia ikifanana
Waah hio nnoma sana