HAWA NDIO WATOTO WATANO WA ALIKIBA NA MAMA ZAO/JE ANAMAELEWANO NAO WOTE ??

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 236

  • @tomi4055
    @tomi4055 3 ปีที่แล้ว +30

    watoto wakiume wa kiba ndio anafanana nao sana kushinda wakike lakini wote ni watoto wake haja watenga kama daimondi anavyo tenga wanae

    • @sakayonsakihunga3496
      @sakayonsakihunga3496 3 ปีที่แล้ว +4

      Diamond kaingiaje tena jaman

    • @athumannassoro5073
      @athumannassoro5073 3 ปีที่แล้ว +5

      Kabisa wangu mondi anabagua wanae

    • @florenceelikana3040
      @florenceelikana3040 3 ปีที่แล้ว +1

      Nyiye ndo mnaosema hivyo siku mwishowe munaumbukaga

    • @khanniebaraka1515
      @khanniebaraka1515 3 ปีที่แล้ว

      Mond kaingiaje huku

    • @Africa-n1u
      @Africa-n1u 2 ปีที่แล้ว +1

      Nayule aliye omba dua kwenye harusi ya kiba na amina sio mtoto wake?????

  • @marthavugutsa7374
    @marthavugutsa7374 3 ปีที่แล้ว +4

    Baraka kutoka kwa mungu, great family, alikiba mungu azidi kukubariki

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 3 ปีที่แล้ว +4

    Wow!Mungu Ni Mwema jameni,Hongera Ali Na,Amina,karibuni Mtwapa

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 ปีที่แล้ว +10

    Wakenya likes za Shemela wetu Kiba💪

  • @stn4873
    @stn4873 2 ปีที่แล้ว +3

    Ongea vizuri weweee uthungu uthungu ndo nini....alfu YES guys kibao, kila saa YES guys

  • @aminaam2160
    @aminaam2160 3 ปีที่แล้ว +6

    Watto lazima watoke weupe Ally kiba naye dongo jeupe hongera sana kiba

  • @nicksonmongelecha6675
    @nicksonmongelecha6675 3 ปีที่แล้ว +9

    Ana watoto wwazulisana na alinyakuwa komesha wanafik

  • @zebedeemirambi3113
    @zebedeemirambi3113 3 ปีที่แล้ว +6

    Big up alikiba Nice family for sure❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 ปีที่แล้ว +2

      Nice Ila nawaona 4

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      @@asteriambwei3349 umeangalia video mwanzo mpaka mwisho Asteria au umeangalia hio picha tu . Kwenye picha watoto wake wawili hao wengine sio wake angalia video mwanzo mwisho wapo wote watano na usisahau kusubscribe

    • @abasanjayusufu7266
      @abasanjayusufu7266 3 ปีที่แล้ว

      Watt wako poa Sana

  • @aminamselem9773
    @aminamselem9773 2 ปีที่แล้ว +2

    Yeth guyth👌

  • @mandyuwimana7735
    @mandyuwimana7735 3 ปีที่แล้ว +8

    Family time always 😍😍

  • @hasanimacheda172
    @hasanimacheda172 3 ปีที่แล้ว +9

    Good family

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 ปีที่แล้ว +2

    Ukiwa dume la mbegu mambo hayo ni kawaida sana hayapingiki la sivyo labda uwe mtu wa kutoa mimba tu, ila big up ally kiba maana uko karibu sana na damu zako.

  • @janewanjiku5673
    @janewanjiku5673 3 ปีที่แล้ว +4

    He is a role model

  • @sideboyramadhan4058
    @sideboyramadhan4058 3 ปีที่แล้ว +5

    Acha ujinga mtoto wa Kiba wamwisho hajaonyeshwa huyo keyaan wew

  • @kazijaalihaji3836
    @kazijaalihaji3836 3 ปีที่แล้ว +2

    Very nice

  • @zubedamagambo9600
    @zubedamagambo9600 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwanaume akishazaa na mwanamke/ wanawake Kabla ya ndoa, ikiwa mwanamke huyo hajaolewa ,ukisikia tu wazazi wana mahusiano mazuri, kuna uwezekano mkubwa wa mapenzi kuendelea, mke kubali yote, umeshaolewa shukuru.

  • @hamidahamida4579
    @hamidahamida4579 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashallaa

  • @choggyslyymrisho5931
    @choggyslyymrisho5931 3 ปีที่แล้ว +4

    yes guys zimekuwa nyingi mno yes ofcoz 😂

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Hahahhah sauwa basiii ntazipunguza ila naona mnazipendaaa🤣🤣🤣

  • @muhsinabdullah9066
    @muhsinabdullah9066 3 ปีที่แล้ว +7

    Inalilahi wainna ilahi rajiuni watu wanajisifu kwa watoto wa haramu duu kweli dunia baibai yani kisheria ya kiislam awo sio watoto wake ni watoto wa zinaa acheni upuuzi uo nyinyi mafala

    • @josamjoel2079
      @josamjoel2079 3 ปีที่แล้ว

      kidini mnaambiwa watoto wa zinaa adhabu yao n nn??

    • @mohamedhaji2200
      @mohamedhaji2200 3 ปีที่แล้ว +1

      @@josamjoel2079 hawatakiwi kuitwa watoto wake

    • @jamillahismail4329
      @jamillahismail4329 2 ปีที่แล้ว +1

      Ulitaka wawe wako???acha wivu we endelea kuzaa wakina mwaisa kwenye ndoa yako🤣😂😂

    • @NasraSaid-qc5hf
      @NasraSaid-qc5hf ปีที่แล้ว

      Kwelikabisaaa

    • @sebiibrahim5710
      @sebiibrahim5710 หลายเดือนก่อน

      bro hakuna mtoto waharamu baba na mama ndio haramu

  • @hamisjingu90
    @hamisjingu90 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtangadhaji una Mambo ya kithenge

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว +5

    Unoko huooo huyu mtangazi Acha kudadasua unaleta ugomvi eti mtoto ana uzunguuzungu

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Hujanielewa kaka watoto wote wa kiume wa Alikiba wote watatu hata hawa wawili wapya wote wana rangi tofauti na dada zao hujaona picha?

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah

  • @hussainwilliam8805
    @hussainwilliam8805 3 ปีที่แล้ว +4

    Sasa kwa muislaam hiyo nitabia mbaaaya mno. Yaani kika mtoto na mama yake. Kwanini asioe na akazaa watoto na akawatunza mama zao

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Jamani kwani hujui kama kashaoa mbona nimeelezea huko mwisho ameoa na amepata watoto wawili na mkewe na hao watoto wengine wote anakaa nao mama yake na mmoja anaishi uk na mama yake

    • @amiriramadhan7753
      @amiriramadhan7753 3 ปีที่แล้ว

      @@devothamedia5177 Achana nae haelewi hata shule ndo wale walosumbua walimu

  • @jojojosurejooh33
    @jojojosurejooh33 3 ปีที่แล้ว +4

    Ongea vizur

  • @frankelias4699
    @frankelias4699 ปีที่แล้ว

    Shoow off 👑

  • @jumannemuhammad6827
    @jumannemuhammad6827 3 ปีที่แล้ว +8

    Cio mdhuri au cio ana udhungu ni mzuri

  • @reginaldmsofe2437
    @reginaldmsofe2437 3 ปีที่แล้ว +4

    dah wamefanana atariiii

  • @aby21111
    @aby21111 3 ปีที่แล้ว +5

    Then why always people attack Diamond platnumz?😎

  • @happynelson1136
    @happynelson1136 3 ปีที่แล้ว +2

    Halafu kila mtoto na mama yake halafu mnasema Alikiba katulia yule mwingine mtoto mdogo yupo hapo ama

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      Shangaa na wewe ni mtafunaj wa kmy kmy

    • @happynelson1136
      @happynelson1136 2 ปีที่แล้ว

      @@jescajulius8023 mimi nina miaka 36 na sina mtoto hata mmoja sababu sipendi ngono

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว

      @@happynelson1136 olewa tu kipenz ili upate na mtoi

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 ปีที่แล้ว +4

    Ally Kiba ni mweupe

  • @sashaskasha483
    @sashaskasha483 2 ปีที่แล้ว

    Udhungu udhungu😂😂😂

  • @nasrahhassan8636
    @nasrahhassan8636 3 ปีที่แล้ว +1

    Haya gaydh watoto wa kiba wote ni wadhuri kwa thababu wanaudhungu udhungu hivi

  • @fredmbossa
    @fredmbossa 3 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe kiba kama mondi tu.ila kiba ni kimya kimya

  • @ashuragonga5244
    @ashuragonga5244 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana

  • @mercypeledawson1622
    @mercypeledawson1622 3 ปีที่แล้ว +2

    Watoto wana UDHUNGUUUU ,, we dada umeboa 😖😖😖😖😖😖😖😖😖 acheni ubea

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Na wewe kama sio mbea mwenzangu umefata nini🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Usisahau kusubscribe mrembo ok

  • @fuadshell5188
    @fuadshell5188 3 ปีที่แล้ว +1

    Congratulations Ali

  • @alexkilonzo7740
    @alexkilonzo7740 3 ปีที่แล้ว +1

    Beautiful Family,,,,,

  • @bintimohamed2646
    @bintimohamed2646 3 ปีที่แล้ว +3

    Woow MASHAALAH 🤲💘💕❣️😍

  • @rehemaathuman6669
    @rehemaathuman6669 3 ปีที่แล้ว +3

    Wamefanana wazuri

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 2 ปีที่แล้ว +1

    Yes guys

  • @alizo7
    @alizo7 3 ปีที่แล้ว +2

    Yes guys😂😂

  • @calvinmacha593
    @calvinmacha593 3 ปีที่แล้ว +3

    Yethi Gay's, mdhungu mdhungu flani🤣🤣

  • @sideboyramadhan4058
    @sideboyramadhan4058 3 ปีที่แล้ว +3

    Muwe mnazungumza vitu mnavo vijua so mnabahatisha

  • @nuruhashimu7675
    @nuruhashimu7675 3 ปีที่แล้ว +5

    Vp yethii guyz utakua kibogoyo we sio kwel ivi hahahaha

  • @deesfoundation8534
    @deesfoundation8534 3 ปีที่แล้ว +6

    yeth gaith, mtoto ana fanta danth, yeth gaith, wa pili ni mdhungu, alikiba thio mweupe, thatha thielewi. udhungu mwingi, yeth gaithi.

  • @frankelias106
    @frankelias106 3 ปีที่แล้ว +4

    Kidhungu

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 ปีที่แล้ว +2

    Mwanzo Junior ndo copy paste ya Ali, Congratulations

  • @busybee1379
    @busybee1379 3 ปีที่แล้ว +1

    Yes guys anyways...Ako na watoto warembo

  • @johnmathewmassawe3480
    @johnmathewmassawe3480 3 ปีที่แล้ว +1

    Bog up mzee kiba

  • @mariamjuma604
    @mariamjuma604 3 ปีที่แล้ว

    Yes

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 7 หลายเดือนก่อน

    Alikiba mweupe in size mbona

  • @kibabemakame7197
    @kibabemakame7197 3 ปีที่แล้ว +4

    Inaonekana km mzee salehe kapata maji maji ya zanzibar

  • @hamzachande8638
    @hamzachande8638 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nasikia yes guy's....

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🙈mnapendaaa ehhh basi niambieni nifanye video gani nyingine ili mnisikie tu nikiongea 🤣🤣🤣🙈🙈🙈

    • @happinessshirima3279
      @happinessshirima3279 3 ปีที่แล้ว

      😄😄😄

    • @philomenangau7443
      @philomenangau7443 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @HeritierAugustinBukurukuru
    @HeritierAugustinBukurukuru ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤

  • @soudothman4067
    @soudothman4067 3 ปีที่แล้ว +3

    Ni khamran Au ghamran labdahivi utaelewa

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Oooh hapo nimeelewa haswaa asante sana kunifundisha 👏👏👏shukrani

  • @binttsulu647
    @binttsulu647 3 ปีที่แล้ว +2

    Upuuzi tu

  • @amourabdallah2978
    @amourabdallah2978 2 ปีที่แล้ว

    Sio Kamlani wewe "Anaitwa Khamrani

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 ปีที่แล้ว +1

    Wako 5 Amina ana watoto 2 boy

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Wa sita yupi ?? Wawili wa Amina na wakiume mmoja na wawili wa kike ==?

    • @zaiiomary8970
      @zaiiomary8970 3 ปีที่แล้ว

      @@devothamedia5177 wakiume si 3 na wakike 2 jumla 5 nilikosea

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      @@zaiiomary8970 ♨️♨️♨️♨️

  • @asiamohd5516
    @asiamohd5516 2 ปีที่แล้ว

    Amiya mzur sn Mashaallah

  • @arafatreje2523
    @arafatreje2523 3 ปีที่แล้ว

    Yes gaiss

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 ปีที่แล้ว

    Watoto wamefanana na wazungu?

  • @zaituniabubakari7329
    @zaituniabubakari7329 2 ปีที่แล้ว

    Nawe tulizana udhugu udhugu nini tamka uzungu Acha maisha ya watu alikiba kijana nimweupe fanya kazi kwamakini

  • @samuellevy2564
    @samuellevy2564 3 ปีที่แล้ว

    Wewe hujui kutangaza

  • @demycratia2567
    @demycratia2567 3 ปีที่แล้ว

    BigPoint Yuko wapi AU DNA HAIJAKUBALI??

  • @razakrazak7169
    @razakrazak7169 ปีที่แล้ว

    Udhunguu mmmh

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 3 ปีที่แล้ว

    Yes guyssss

  • @abouassifmabrouk8110
    @abouassifmabrouk8110 3 ปีที่แล้ว +3

    Udhungu Udhungu

  • @d.a.t3383
    @d.a.t3383 2 ปีที่แล้ว

    Yule wa Kenya jeee

  • @kalundemsafiri7846
    @kalundemsafiri7846 ปีที่แล้ว

    Mbona nutaylah hujamtaja??

  • @Tijarakabendera
    @Tijarakabendera ปีที่แล้ว

    Duuuuu Yeth Guydhhh Duuuu

  • @irenemoshi2326
    @irenemoshi2326 ปีที่แล้ว

    Nnipi😅

  • @frankelias106
    @frankelias106 3 ปีที่แล้ว +3

    Yethi gaithi

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 3 ปีที่แล้ว

    Enewei tho ww una lipi la kusema

  • @najmasaid3689
    @najmasaid3689 3 ปีที่แล้ว +2

    Ongelea na maisha yk. Tuyajue.

  • @mwajumajarufu3462
    @mwajumajarufu3462 2 ปีที่แล้ว

    Ulivyo namambo yako unayafanya ata hayaendan kiba Kila mtot na mama yak duh so poa

  • @raymondkanyama6387
    @raymondkanyama6387 3 ปีที่แล้ว +1

    Yeth gaidh

  • @zakhianzuki9348
    @zakhianzuki9348 2 ปีที่แล้ว

    Watu mmeachana uku mnazaa kazi ipo jamani

  • @kshdbzjnxksksw6567
    @kshdbzjnxksksw6567 3 ปีที่แล้ว +1

    Havumi lakini yumo

  • @sarahgaula2220
    @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว

    Kwa hiyo yeye na Diamond ngoma droo Ila mmoja alikiba ni simba mwenda pole

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว +4

    Uthunguuthungu😭😭😭😭🙏🙏

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว

    Yes gaths🤣🤣🤣🤣🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mercywairimu8552
    @mercywairimu8552 ปีที่แล้ว

    💋🙏

  • @swalehkataga8352
    @swalehkataga8352 3 ปีที่แล้ว +2

    Uthungu uthung faseni

  • @salimakida95
    @salimakida95 11 หลายเดือนก่อน

    Samila

  • @amirmohamed2729
    @amirmohamed2729 3 ปีที่แล้ว

    Watoto watano mama 5

  • @elizafumbuka9377
    @elizafumbuka9377 3 ปีที่แล้ว

    Ana damu kalj,utadhanj wa mama 1

  • @minahwachack9637
    @minahwachack9637 3 ปีที่แล้ว +3

    Yethiii Gay's

    • @aishahamisi7336
      @aishahamisi7336 3 ปีที่แล้ว +1

      Haha😂😂😂

    • @frdmedia6235
      @frdmedia6235 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂mungu anakona et yethii gys

  • @omarymsi6832
    @omarymsi6832 3 ปีที่แล้ว

    Jitahidi ulimi huo

  • @ceciliaombela7159
    @ceciliaombela7159 2 ปีที่แล้ว

    Nawewe utupe story ya maisha yako

  • @fredrickdaudy6793
    @fredrickdaudy6793 2 ปีที่แล้ว

    haaau

  • @kibabemakame7197
    @kibabemakame7197 3 ปีที่แล้ว +1

    Hao ni macalad maji yakunde znz cala

    • @mosimba467
      @mosimba467 3 ปีที่แล้ว

      Eti znz cala kujifanya wabora sana nyie kwani yule barozi Seif Ally Idd ni cala ya wapi?? Pumbavu

    • @allykhamisally9077
      @allykhamisally9077 3 ปีที่แล้ว

      Mtu wa bara yule

    • @letisiamakonda3873
      @letisiamakonda3873 3 ปีที่แล้ว

      @@mosimba467 Daah😆😆

  • @robegodana7459
    @robegodana7459 3 ปีที่แล้ว

    Yes gaghs🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abubakarshamuhuni126
    @abubakarshamuhuni126 3 ปีที่แล้ว +1

    Ao aliozaa ndani ya ndoa ndio watoto wake Ao waliobaki si watoto wake

    • @devothamedia5177
      @devothamedia5177  3 ปีที่แล้ว

      Basi wako sawa

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว +1

      Abubakar...... wote hao ni WATOTO wake; ila hawana Haki kwa dini ya KIISLAM kurithi Mali za Ali kiba au yeye kurithi Mali zao . Pia hawana Haki ya kutumia jina la Ali Kiba (UBINI) na wanatakiwa watumie UBINI wa upande wa Mama zao. SHERIA hizo za UISLAM ni kuonyesha jinsi ALLAH anavo chukizwa na ZINAA

    • @abubakarshamuhuni126
      @abubakarshamuhuni126 3 ปีที่แล้ว

      @@minskbelarus7255 well broo hayo ndio makusudio yangu

    • @minskbelarus7255
      @minskbelarus7255 3 ปีที่แล้ว

      @@abubakarshamuhuni126 🙏🙏

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 3 ปีที่แล้ว

      Nahao mnaosema wa ndani ya ndoa km aliwahi kuzini na mama yao kabla ya ndoa pia

  • @debrahseme5227
    @debrahseme5227 3 ปีที่แล้ว

    Rangibya udhungu dhungu

  • @nujakaluhende9428
    @nujakaluhende9428 3 ปีที่แล้ว

    Kithethe

  • @ahmedawadh2460
    @ahmedawadh2460 3 ปีที่แล้ว

    Uwo ni umbeya,

  • @bigboni3660
    @bigboni3660 3 ปีที่แล้ว

    Kunakitoto kimoja Kama alikiba hicho chakwanz

  • @felixreuben2766
    @felixreuben2766 3 ปีที่แล้ว

    Iko poa

  • @mustaphahassan8407
    @mustaphahassan8407 3 ปีที่แล้ว +1

    nataka utuletee listi ya watt wahitla

  • @dwere9460
    @dwere9460 3 ปีที่แล้ว +2

    Eeee mdhungu flani,yeth guith