Mzee kamwe 100% umenifurahisha, siku moja nilikwambia usipanic mwanao Yanga wewe Simba tutembee na hiyo, utani tu Wala siyo hakuheshimu. Mwanao anakupenda sana na anajivunia sana wewe! Na wewe ujivunie mwanao anafanya vizuri. Big up Mzee Kamwe.
MZEE KAMWE KALIBU KWA WANANCHI UWE MJANJA...UJUE KAMA SIMBA WANGEKUWA WAJANJA MGETAMBUA KWAMBA MO TRY AGAIN NA MZEE MANGUNGU WAO LAO MOJA...NA HAO WAZEE KAWAWEKA MO MWENYEWE...HATA HUYO MZEE MANGUNGU SIO ETI ANAGOMA KUJIUDHULU HAPANA HUYO MO HATAKI
Huyo alli kamwe mwenyewe ni simba tangu anapata akili. Kwanza ilikuwa kabla ya kuajiriwa yanga angetangazaga kuwa haishabikii tena simba. NB: ushabiki ni upendo wa nafsi daima haufi
Mzee kamwe 100% umenifurahisha, siku moja nilikwambia usipanic mwanao Yanga wewe Simba tutembee na hiyo, utani tu Wala siyo hakuheshimu. Mwanao anakupenda sana na anajivunia sana wewe! Na wewe ujivunie mwanao anafanya vizuri. Big up Mzee Kamwe.
Mzee Kamwe Ni Fans Wa Kweli Wa Msimbazii
Mtoto na baba utani lazima uwepo tu
Hongera mzee wetu
Leo ndo nimegundua msemaj wa yanga ni mropokaj.mzee smart simba kweli .simba nguv moja
MZEE KAMWE UNA AKILI SANA NA UNAMSIMAMO SANA.
.
MZEE KAMWE KALIBU KWA WANANCHI UWE MJANJA...UJUE KAMA SIMBA WANGEKUWA WAJANJA MGETAMBUA KWAMBA MO TRY AGAIN NA MZEE MANGUNGU WAO LAO MOJA...NA HAO WAZEE KAWAWEKA MO MWENYEWE...HATA HUYO MZEE MANGUNGU SIO ETI ANAGOMA KUJIUDHULU HAPANA HUYO MO HATAKI
Huyo alli kamwe mwenyewe ni simba tangu anapata akili.
Kwanza ilikuwa kabla ya kuajiriwa yanga angetangazaga kuwa haishabikii tena simba.
NB: ushabiki ni upendo wa nafsi daima haufi
Mmmmh! Nyie kila mtu ni simba