❤❤❤❤ mzee saidi m'mungu akujaalie afya njema na umri mrefu unawaliwaza watu wengi inafaa tukupige tafu japo chochote kila alie kuwa nacho si haba watu wengi wapo pamoja na ww inshaallah kheri
Chagambaa eeee apo unamuliza mzee said kuhusu zile chenga zake .mbona kabadilisha kaenda kwenye katiba.mzee said mwenyewe anakwambia Chama anavyo nesa nesa akimsifia chama adi raha sasahv hataki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee kweli unajua kuangalia lakini unasahau kutufafanulia.apo Gamondi pia kajua kiswahili kazi ipo,sasa hapo ufafanuzi wake umetubania ni ivi kuwa Gamondi yupo Yanga na sisi yanga tasisi lilotulia liko mbali kuna class za kufundisha kiswahili sasa Gamondi anakujua anajua kiswahili harareeeeeee.chagamba ukipitia comment yangu mpe mzee Saidi niliyo comment tupate utamu zaidi
Big up Mzee Saidi ww pekeyako ndio shabiki wa mpira na mpira unaujua .ila wale wengine kina kisugu kina miraji kina mzaramu mipasi milioni GB64wote wale wanafiki .wewe pekeyako Mzee Said unajua mpira na unaipenda timu yako umenifurhisha sana hao wachezaji wapya ww unagojea kuwaona ww mwenyewe asante sana Mzee Said .ila simba nyie ni omba omba wa babujiii yani nyie wanafiki wote fukuza muhindi yule
@@salimmalaka256 ndio na mali zake .umeona kuwa nyie ni machizi bro timu ni taifa kubwa fungueni macho hasa tanzania nchi nzima mashabiki wamegawanyika kwa timu mbili tu.hizi timu zetu ni timu tajiri sana africa nzima sasa ujue kuiendesha timu na mashabiki wa subscribe tu .uwanachama tu .basi hapo ma boss wote wataikimbilia hy timu
Wapangapi wanamsubili mzee saidi wetu 😂😂😂 naweka Mbavu zangu vizuri 😂😂😂😂kama unamkubali mzee saidi LIKE 10 😂😂😂😂😂
shadia544 me wakwanz
Namm nimeganda jama
@@alhajizikiri5674 sawa tumsubili mzee saidi
@@KisiyajrKenyattajrkama tunachek mwezi
@@KisiyajrKenyattajr miee ndiyo sitoki hapa hadi nimuone mzee saidi 🤣🤣
Mzee Said Uwaga Anatupa Raha Kweli Usichoke Kumtafuta🔥❤️🎉
Amtafutie endorsement
Mzee side kwenye one n two mpeni likes zake jaman😅
Mzee Uyu duh Niatari naombaa ata like 10 tuh
❤❤❤❤ mzee saidi m'mungu akujaalie afya njema na umri mrefu unawaliwaza watu wengi inafaa tukupige tafu japo chochote kila alie kuwa nacho si haba watu wengi wapo pamoja na ww inshaallah kheri
Chagamba mwenyezi Mungu akubariki kwa kutuletea watu kama Hawa mzeeeee Wang said ni furaha sana❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Chagamba fanya hivi , siku moja muombe Aziz KI amtembelee Mzee Said kama surprise .
Atazimia😅
Wazo zuri😂😂😂😂😂
😂😂😂😊@@azizamuharam3941
Nakukubali sana Mzee saidi
Hivi Aziz ki anamjua mzee Saidi kweli😂😂😂😂
AKIWA ANAMJUWA WALA USISHANGAE 😂😂😂
Kiukweli bando yangu hailipi bila kumuona mzee saidi
Chagamba mm nipo kongo koroweizi. Nina shida ya namba ya mzee saidi. Ili nikiludi tz nionane nae mzee wangu. Kiukweri tukimsikiliza mzee saidi nahisi kama nipo nyumbani. Mzee ananifulahisha saaaana nimsikiapo mzee wangu 😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Said Unaona Mbali Sana,🤣🤣🤣🤣
Fei atue simba nabadili kiswahil niongea kingereza 😂
Mzee said nakuelewa sana
Hamna shabik wa Simba au yanga anaweza kuogea vizuri ka Mzee said
very true
Wapo ...
Ila tunatambua Mzee Said anazungumza vizuri
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 Daah huyu mzeee
😂😂 kwan mzee said wawap??
Mnyamwezi huyo mzee@@AlmasRamadhan-cl7rn
Mzee saidi Pa Omar Jobe akiondoka tule Mbuzi sio kuku tena
😂😂😂
Mzee said tunakukubali Sana huwa unawachana ukweli makolo wenzio😅😅😅😅
Uyo mzee nitamulipiya ticket match ya kwanza ya yanga aende kumuona Chama
BORA KUMUHOJI MZEE SAIDI UNAPATA HATA KUONGEZA SIKU
MANA KWA MIRAJI KULE UTAKUJA KUVUNJWA MABEGAA SIKU
😂
🤣🤣🤣🤣✊
Penye udhia penyeza rupia
Tanda lubeta ng'ombe za nani Mzee saidi.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 nakukubali sana mzee wangu Mungu akupe afya
Jamani huyu Said kanifurahisha sana 😂😂😂😂😂
Chagamba kilasiku fanya vipindi namzee wetu kilasiku ilituna punguza machungu ya kumsahau chama😂😂😂
Jiono jioni😅😅😅
Mzeee wangu msimu huu utafurahi Sana ❤❤❤❤
gombea urais mzee upewe😂😂😂😂😂😂
Huyu bwana Saidi ananifanya nacheka na simu,yaani ananipa starahe sana😅😅
Chagamba kachekew kuirush bhan
Kweli kabisa Mzee said uko vizuri.
Mzee said bwana “penye Ugumu Penyeza Rupia”
🤣🤣🤣🤣 eti anakimbia kama roboti hahahah
😂😂😂😂😂😂 et naiangalia hairudi
Kutoa wote ni kosa
Inabidi tuandamane ili tupate namba ya Mzee Saidi tafadhali.
ilaa mzeee saidi utakuja kutuuuaaaa jamaniiiii😂😂😂😂😂😂😂😅
Mzee said me namkubali sana wallah!!.
😂
Chagamba uyo mzee ni mkali kabisa
HA HA HA HA HA HA HA HA HA DAAH LEO NIMECHEKA SANA..LIVE LONG MZEE SAID.
Ivi wewe mzee saidi unanini lakini kkkkk he mbavu zangu mie❤🎉🎉🎉🎉
Furaha ya mpira ni mzee said😂😂😂😂😂😂😂😂
Nisipomsikiliza MZEE SAIDI Aise nakosa raha
Uyu mzee bana et saa 6 afu wanamtambulisha abib kyombo😂😂😂
Mzee Said, mimi ni Yanga ila nakupenda😂😂😂. Kwamba nataka kuweka swala la Kitaifa, bomoa hapa bomoa. Mungu akupe maisha marefu.😂😂😂 😂😂😂😂
Ila huyu mzee bahna hohohoho Chama gamgambile hoho
Baba shikamooo
Mzee said wewe kweli shida. Ingewezekana huyu mzee akutanishwe na Aziz maana anafurahisha sana.
Pig up mzee mie yanga lakini nakufagilia sana.
Mzee wetu mzee saidi😂namkubali sana
Mzeee saidii muoga kuanza mzusiano mapyaa
Fiat haina spid lkn haijawahi kushindwa mlima
Kama umezaliwa jioni jioni tu
Mzee saida bhn 😂😂😂😂😂😂 so pw na enjoy 😉 😄 nikiwa Cape Town 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mzee saidi anajua ila mzee masatu ni zero 😂
Mzee said🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yes mzee said
fredy abaki anaweza
Mzee said 😂😂😂🔥🙌
Mzee Side mzee Mpili kashasema atakayemloga Chama anaruka naye mchana kweupe acheni nongwa
Ila mzee saidi😂😂😂😂
Asa mzee saidi analalamikagatu heee😂
Aziz ki am going to my home😂😂😂😂 mzee said 😂😂😂
😂😂😂😂😂 daaah mzee saidi anajua sanaaa boli akitoka walace karia pale TFF inabidi ukabidhiwe kile kiti😂😂😂😂
🎉uko vizuri mzee baba Saidi
Subira yavuta heri hatimae Mzee hu hapa
Jamani naomba muniunge kwenye group la simba
Mimi pia Jamani group la simba
Mzee said mitano tena
Hapa MB ZETU UTALAMBA SANAA
Chagamba mzee said mpelekee aziziki
Mzee Said 😂😂😂😂😂
Yanamwisho baba wala ucjali.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ila huyu mzeee banaah ni vicheko
😅😅😅😅 huyu mzee chenga..eti I'm going to my home😅😅
Chagamba, wewe shukuru tu hapo umepona yale makofi ya mzaramo😂.
Mzee Side hana makofi anatumia mikono tu😅😅😅
😂😂😂duuh ila Mzee said ety kangamle kangamle Cham x2 nimecheka kinoma yani hii tuombe na Aziz ki abaki utafurah pila gamondi jmn
Tunakushukuru Chagamba Kuendelea kutuletea Mzee Said atufurahishe
hivi kweli mzeee saidi akiskia azizi ki akifa siutaenda kuwa mlinzi ili asifufukee???mbona unahasira nae
😂😂😂😂
unathak
Anampenda Aziz k.
Sheemani Fondo hakuepo wakati tunakula Tano 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂mzee Said anafurahisha sana
Chama kalelewa sn ,ila binadamu tunajisahau
Mzee saidi leo kanifurahishaaaa ni kibokoo Simba mpeni Tawi mzee saidi jamani anaweza na Modweji mlete Feitoto
😀😀😀😀😀huyu mzee mumemtoa wapi uyu?😂😂😂😂
Chagambaa eeee apo unamuliza mzee said kuhusu zile chenga zake .mbona kabadilisha kaenda kwenye katiba.mzee said mwenyewe anakwambia Chama anavyo nesa nesa akimsifia chama adi raha sasahv hataki😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
guluguja😂😂😂😅😅😅hivi unafikiri tutashindwana na Aziz K wewe?
Mzee wangu said fred michael abaki huyo ni fundi kweli kweli simba nguvu moja💪💪💪
Mzee Said kaumbuliwa na Pa Omary Jobe 😂😂😂😂 aombwe msamaha jaman Duuuh
Cake ya njano Mzee said 😅😅😅😅
Mzeeee saidi hahahaha chagamba kumbe wate walewale
Chagamba yani wewe kilasiku mtafute mzee said anaongea vizuli mb zangu zinaishia hapo
Mzee kweli unajua kuangalia lakini unasahau kutufafanulia.apo Gamondi pia kajua kiswahili kazi ipo,sasa hapo ufafanuzi wake umetubania ni ivi kuwa Gamondi yupo Yanga na sisi yanga tasisi lilotulia liko mbali kuna class za kufundisha kiswahili sasa Gamondi anakujua anajua kiswahili harareeeeeee.chagamba ukipitia comment yangu mpe mzee Saidi niliyo comment tupate utamu zaidi
mzee said namshauri aje yanga huko 😂😂
mwambie kucheka kupokezana atulie
Kila akifika golini alioni🎉🎉🎉🎉 ila Mzee saidi bana
Mamayangu mzee said unatufraisha
😂😂😂😂😂😂😂 ila huyu mzee nampenda san so kwakumchukia huko azz kii had kanishinda mimi duuh
Duh 😅😅😅😅😅😅😅
Big up Mzee Saidi ww pekeyako ndio shabiki wa mpira na mpira unaujua .ila wale wengine kina kisugu kina miraji kina mzaramu mipasi milioni GB64wote wale wanafiki .wewe pekeyako Mzee Said unajua mpira na unaipenda timu yako umenifurhisha sana hao wachezaji wapya ww unagojea kuwaona ww mwenyewe asante sana Mzee Said .ila simba nyie ni omba omba wa babujiii yani nyie wanafiki wote fukuza muhindi yule
MKIMFUKUZA GHALIB GSM NA SISI TUTA MFUKUZA 😂😂😂😂😂
@@salimmalaka256 ww kweli ni chizi GSM yeye ndio anaejipendekeza sasahv .mwanzo ilikua ni timu ikijipendekeza lakini sasahv tunajidai tushakua
@@BADAWY575 VP MZEE MPILI KESHAMROGA AU?? YEYE NA MALI ZAKE ANAJIPENDEKEZA BASI LIMBWATA HIYO HAHAHAHHH
@@salimmalaka256 ndio na mali zake .umeona kuwa nyie ni machizi bro timu ni taifa kubwa fungueni macho hasa tanzania nchi nzima mashabiki wamegawanyika kwa timu mbili tu.hizi timu zetu ni timu tajiri sana africa nzima sasa ujue kuiendesha timu na mashabiki wa subscribe tu .uwanachama tu .basi hapo ma boss wote wataikimbilia hy timu
Mzee said ni mtaalamu na ni mchambuzi mzuri sana
Chagamba na mzee napenda kusikiliza mahojiano yenu ni fire unajiliwaza sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mzee Saidi ume nichekesha sana, na Yanga kukukera na magoli.
Leoooo nimekutana na mzee said kariakoo 😂😂😂😂😂😂😂
Mzee Said Anakusalimia KI AZIZ 😂😂😂