Annoint Amani - Mungu umenitisha naogopa ( official music video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
- #Mungu#umenitisha#naogopa#
Ni bahati na heshima kubwa sana kuitwa mtumishi wa Mungu,
maana Mungu ni mkuu sana kuliko hata tunavyo muelezea kwa watu,
Ukipata neema ya kuokoka na kumjua Mungu kwa sehemu ndogo tu,
Nivyema kuogopa na kunyenyekea saana sio rahisi na sio kawaida kuitwa Mtumishi wa Mungu mkuu mwenyezi alie hai 🙏
Annoint Amani
👇
Song,Mungu umenitisha naogopa
Language Swahili)
👇
Tiktok, Annoint Amani tz,
Whatsapp &call +255767240181=
+255755099942)
👇
Video,Directed by qumban ( +255758082108 )
Audio,A.E.A Tones studio producer by Meddy
+255748262634 )
Dar Es salaam Tanzania )
Any kenyan who loves Añnoint Amani's soñgs like tukisonga❤❤❤
Naogopa kufa maana Nina mwili,Mungu tupee miaka isiyo kifani tukutumikie na tulee watoto wetu😭😭❤️❤️wewe ni Mungu na hubadiliki
2024❤. I mark this 50 years I will be looking at this comment to celebrate the greatness of God in my life. Annoint amani you are amazing.
Wooow sjaona kabra Mpenzi wa huduma yangu mwenye Imani kubwa namna hii, 😭😭Kama Yesu atakuwa bado hajarudi baada ya iyo mika 50 tutakua wote kwenye hii Commnent yako,Na kama Yesu atalichukua kanisa hivi karbun Naomba nikuone Mbinguni rafiki mzuri😭🙏
East Africa unagonga like ukipita❤❤❤
Mkenya 🇰🇪 wa kwanza. Kazi safi kiongos
Wale ambao hadi sasa hatuja jiunga na Tik tok na hatutajiunga mpaka Yesu Kristo anarudi gonga likes kwa utukufu wa Mungu Baba 🙏
Wow wapi likes za annoint Amani...best singer in Tz...Nipitieni team kubwa❤🎉💪💪
Amina
?????p.
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu,kwa kweli mungu atulisha wateule wake 🙏🙏🙏🙏🙏
Patrick mutinda wambua Kenya,mtumishi wa Mungu nyimbo zanibariki
Wa kwanza kukoment,,,natoka Kenya ,,,mtumishi hii n kazi nzuri Na unatubariki Sana hapa Kenya,,,,nawe pia uinuliwe juu
Nimeipenda sana na imenibariki sana🎉🎉
Huu wimbo una msg nzuri ata umefanya nalia 😭😭 barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏
Amen hakika anatisha barikiwa sana
huyu anajua kweli...nilimuona afro sayari akanisalimia
bro nazipenda nyimbo ziko sana mungu akubariki milele amina ❤❤🙏🙏
Aisee Amani Mungu kubariki mno..usikosekane mbinguni
asant Sana god bless u Aman
Lilongwe malawi
Mungu akubariki unayetazama wimbo huu
God bless you annoint for serving Him,,, spreading the Gospel all over the world
Akubariki mungu Kwa kazi nzuri anoint
I'm listen song from oman good song god bless you annoint
Mungu akuzidishie guvu mwalimu
Congratulations brother Mungu anakutumia vyema kwa kazi zake
Mungu naogopa kukufa naimba miaka mingi ❤❤
❤❤❤kazi nzuri mtumishi tumebarikiwa kweli
AMEN 🙏 🙏 barikiwa sana Annoint ,we love you from Kenya 🇰🇪
Nakuabudu Mungu wangu nainama mbele zako baba🙏😭
Wimbo mzigo sana na unatuliza moyo
Ameni baraka za Mola sikufikie kila saa MAANA hapa Kenya twabarikiwa na nyimbo zako
Asante yesu tunabalikiwa sana Ameeeeeee
My best singer best worship am from kenya
Mungu akufungulie njia kihuduma na aipanue mipaka yako ndugu ANNOINT naipenda huduma yako na ikiwezekana ningependa kuimba wimbo mmoja nawe. Mimi mwimbaji japo mdogo.
Amina ubalikiwe mutumishi wa Mungu
Mungu baba utupatiye maisha marefu🎉❤❤❤
Very powerful message to those who worship other gods
Nabarikiwa na huu wimbo nikiwa kenya
Kazi nzuri kaka annoint nimeipenda hiyo kaza mwendo mungu anakupenda hata wengine wakikata tamaa we songa mbele AMEEN ❤
Kaka kazi nzuri kwa Mungu nimeitika
Mungu nionekanie Mimi😭😭😭God bless this singer
Anoint vipi. Chuku ndo zaidi huku. Ulianza vyema chunga mwisho bro
I love this young man for sure. Jesus bless this lad. Very spiritually mature composition.
Wimbo huu Una ujumbe a mungu
Tuamini mungu yuko ana tulida ukweli kabisa
🎉🎉🎉🎉🎉 kaka shikilia kabisa gospel music na please husiingilie maneno watu huongea. Be yourself ❤❤❤
Naskiliza nikiwa Kenya Nairobi,,,,nice revelation ❤
Mungu akuinue sana mtumishi wa mungu ukutie nguvu unanibariki sana mtumishi
Thank you Jesus for your love🙏. very powerful!
Wow,mungu anatisha matendo yake
Amen kazi nzuri sana hii
Bro nyimbo zako zabariki sana...ila usije ukabadilika 🇰🇪
Amina may the lord uplift you brother i pray for that annointing
🙏🙏🙏🙏🙏🙏MUNGU MATENDO YAKO YANATISHA😭😭😭😭😭
Ni nzur kwa kweli
Ubarkiwe Mungu wa mbinguni
Wimbo mzuri sana ila mie niko kwenye biblia hiv haifai ikiwa nzima bila ya kuchachambuka chambuka ni vizuri kuchukua zile nzuri kuna wengine wakiona hivyo wanaona sio wakristo wachafu hatuheshimu neno la MUNGU
My Daddy🙏🙏 Best Song Again Keep Going My Daddy
Lots of love from kenya,,your songs be blessings to many🎉🎉🎉
❤❤kijana ambaye amejituma kwa kazi ya MUNGU
May the grace and favour of God continue being sufficient in your ministry 🙏🙏 Congratulations 👏👏. All the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nairobi tunakupenda sana mtumishi
Barikiwa sana mtumishi wa mungu❤ ,,,,, ,you always encourage many souls
Mtumishi barikiwa sana tena sana yaani Mungu zaidi kukutumia kila siku 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Wimbo umebeba utukufu❤❤
Halluleya mungu akutuze kwa damu ya Yesu 🎉🎉🎉Aminaa
Mungu akubariki sana.
Wimbo unabariki
Inabariki sana kiukweli
Love this guy keep it up braza
Mungu akubariki kwa kazi yako ndugu🙏
Nimekusikia kutokea Zambia Mtumishi Wa Mungu
My playlist is full of your songs,i really love 😍...
Ambao wanakubali kazi za Amani Anniont weka like
Umjhbj
Kali sana🙏
Nimekupenda sana
God is everywhere and He is always with us! Hallelujah! 🙏🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuri San big broo
God bless u, ur such a blessing to many. Your songs keeps me going, may God continue lifting u up.
Ulinishtua bana ebu tumeni likes jamani
God bless you mtumishi wamungu.... Hii ilinifanya nilie sanaaa
Nice one napenda kanzi yako sana
Mpige collabo na yeye ama ni not possible 😂😂 Mr Legend
Pinga na kenkijana
Kazi nzuri mtumishi may God bless you abundantly 🙏
Na sikiliza nyimbo zako ku toka Congo RDC
WIMBO UMENIBARIKI SANA HUU😢😢😢NI KAMA UMENIWASILISHIA MANENO KWA MUNGU👏🙌🙌GOD IS GOOD UBARKIWE MTU WA MUNGU
Wow Good Job. Glory to God
Great job bro may God bless you and continue gives you more revelation to preach the gospel through songs .Lord am seen young am feared❤❤❤from Kenya 🇰🇪
❤❤❤❤❤❤❤❤ nzuri sana kaka
Your songs for surely keeps me going
Awuna Mbaya mutu wa mungu🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana Mtumishi God bless you brother
😢😢😢😢😢😢naogopaah
Ubarikiwe sana kka angu
God is omnipresent❤❤
Naogopa Mungu🙏🙏🙏
Umetisha sana baba
Ni mbunifu kaka ❤
Siogopi mungu show me where he is am going there I need my father
WIMBO MZURI SANA LAKINI NYOA VIZURI ACHANA NA MITINDO.
Wow powerful song ❤
God loves you na ukona talent mungu akupeleke mbali
Kalii❤brother brother
😭😭😭😭😭🙆yesu wagu Mungu wagu noone Mimi😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭