Nashukuru kwa juhudi hizo za kuboresha sera na mitaala ya elimu. Hivyo nami naomba niwe mshiriki au mdau hasa katika kuhakikisha Elimu ya watu wazima inahusika katika kuleta mabadiliko chanya ya kiuchumi na kijamii.
Kwa upande wa Elimu ya watu wazima natamani iwe na mgawanyo wa vitengo kama vile vya kilimo, biashara, ufundi, afya, sanaa, nk. ili kukidhi mahitaji kwa kila sekta. Hivyo ndani ya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima na idala ya Elimu ya watu wazima kwa klila Halmashauri vitengo hivyo vianxishwe kusudi iwe rahisi kuwafikia watanzania watu wazima kulingana na mahitaji yao katika sekta husika.
Mheshimiwa samahani sana mimi nina kero kubwa sana kuhusu waalimu kuna shule mpya kabisaa kijijini njiapanda ya tosa shule hiyo imewalazimisha wazazi watowe.mahindi debe4. Kisha watowe.na maharage.lita.14.napesa 25.elfu hatujui ni zakitugani.hizo jee kwani serikali imetoa utaratibu tafauti. Kwamaana kuna wengine wanalea mayatima halizao niduni mnoo lakini waalimu hawana kutambua hivoo jee sisi wahali.ya chini serikali itatusaidia vipii shule zimefunguliwa.juziitu watu hatuna pesa hata ya kujitibu lakini tunaambiwa.lazima tupeleke hiyo pesa kesho jee hivi ndio elimu buree au sisi wahali ya.chini tufanyeje? Waziri mkuu tusikie kilio chetu hapa kijijini njiapanda ya tosa shule ipo karibu na shule ya ugwachanya shule ya msingi lakini hiyo ni mpya ya.sekondari tusaidie. Tusaidie waziri mkuu chonde chonde

Kwani lugha katika ngazi ya elimu vidato vyote haiwezi kubadilishwa
Wana akil hio basi. Average citizen on street is smarter than most of these leaders