ELIMU TZ TV
ELIMU TZ TV
  • 781
  • 271 406

วีดีโอ

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA KISWAHILI
มุมมอง 454 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bonyeza hapa kupata Fomu ya Kujisajili na Maelezo zaidi forms.gle/BYrBviqCrKuWs42L7
VIONGOZI WA DARUSO WA SASA NA WALIOPITA WAKUTANA
มุมมอง 64714 ชั่วโมงที่ผ่านมา
VIONGOZI WA DARUSO WA SASA NA WALIOPITA WAKUTANA
𝗨𝗠𝗔𝗛𝗜𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗝𝗨𝗭𝗜 𝗡𝗜 𝗡𝗬𝗘𝗡𝗭𝗢 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗖𝗛𝗔𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞A SEKTA 𝗭𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗜
มุมมอง 15516 ชั่วโมงที่ผ่านมา
𝗨𝗠𝗔𝗛𝗜𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗨𝗝𝗨𝗭𝗜 𝗡𝗜 𝗡𝗬𝗘𝗡𝗭𝗢 𝗜𝗡𝗔𝗬𝗢𝗖𝗛𝗔𝗚𝗜𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗡 𝗘𝗟𝗘𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞A SEKTA 𝗭𝗔 𝗨𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗜
TUNAISHUKURU SERIKALI KWA KUTOA FURSA ZA MIKOPO ELIMU YA JUU
มุมมอง 12119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
TUNAISHUKURU SERIKALI KWA KUTOA FURSA ZA MIKOPO ELIMU YA JUU
WELEDI KATIKA TASNIA YA HABARI
มุมมอง 4121 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WELEDI KATIKA TASNIA YA HABARI
SERIKALI KUTOA WITO KWA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA ELIMU
มุมมอง 4021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SERIKALI KUTOA WITO KWA WAZAZI KUWEKEZA KATIKA ELIMU
WIZARA INATEKELEZA MIRADI, INATOA MIKOPO NA UFADHILI WA SAMIA SKOLASHIPU
มุมมอง 7021 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WIZARA INATEKELEZA MIRADI, INATOA MIKOPO NA UFADHILI WA SAMIA SKOLASHIPU
MAJALIWA AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MAFUNZO FANI ZA SAYANSI NA TENKNOLOJIA
มุมมอง 80วันที่ผ่านมา
MAJALIWA AHIMIZA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MAFUNZO FANI ZA SAYANSI NA TENKNOLOJIA
SAMIA SKOLASHIPU INAHAMASISHA USOMAJI FANI ZA SAYANSI - MKENDA
มุมมอง 175วันที่ผ่านมา
SAMIA SKOLASHIPU INAHAMASISHA USOMAJI FANI ZA SAYANSI - MKENDA
𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗠𝗪𝗜𝗡𝗬𝗜 𝗔𝗞𝗢𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗦𝗘𝗞𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨
มุมมอง 123วันที่ผ่านมา
𝗥𝗔𝗜𝗦 𝗠𝗪𝗜𝗡𝗬𝗜 𝗔𝗞𝗢𝗦𝗛𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗙𝗔𝗡𝗜𝗞𝗜𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗦𝗘𝗞𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗘𝗟𝗜𝗠𝗨
TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024 IMELENGA KUCHOCHEA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII_MHE. RAIS SAMIA SULUHU
มุมมอง 76วันที่ผ่านมา
TAMASHA LA KIZIMKAZI 2024 IMELENGA KUCHOCHEA MAENDELEO YA KIUCHUMI NA KIJAMII_MHE. RAIS SAMIA SULUHU
PELEKENI SALAMU FURSA YA SAMIA SKOLASHIPU- PROF MKENDA
มุมมอง 237วันที่ผ่านมา
PELEKENI SALAMU FURSA YA SAMIA SKOLASHIPU- PROF MKENDA
SEQUIP YAWEZESHA UJENZI WA SEKONDARI KIMAGHAI "A" MPWAPWA - PROF. MKENDA
มุมมอง 10814 วันที่ผ่านมา
SEQUIP YAWEZESHA UJENZI WA SEKONDARI KIMAGHAI "A" MPWAPWA - PROF. MKENDA
Wadau wataka Elimu ya Awali kuwa ya lazima nchini
มุมมอง 4814 วันที่ผ่านมา
Wadau wataka Elimu ya Awali kuwa ya lazima nchini
MAKATIBU WAKUU WAPYA WATUA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
มุมมอง 58814 วันที่ผ่านมา
MAKATIBU WAKUU WAPYA WATUA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA
MPANGO AAGIZA FEDHA ZITOLEWE KUKAMILISHA UJENZI WA VETA MPWAPWA
มุมมอง 9414 วันที่ผ่านมา
MPANGO AAGIZA FEDHA ZITOLEWE KUKAMILISHA UJENZI WA VETA MPWAPWA
WADAU WA MAENDELEO WAIPA KONGOLE WIZARA YA ELIMU KUSHIRIKISHA WADAU MPANGO WA MAENDELEO YA ELIMU
มุมมอง 6214 วันที่ผ่านมา
WADAU WA MAENDELEO WAIPA KONGOLE WIZARA YA ELIMU KUSHIRIKISHA WADAU MPANGO WA MAENDELEO YA ELIMU
DKT MAHERA ATAKA WADAU KUTOA MAONI KATIKA RASIMU YA MAPITIO YA MPANGO WA MAENDELEO WA SEKTA YA ELIMU
มุมมอง 5914 วันที่ผ่านมา
DKT MAHERA ATAKA WADAU KUTOA MAONI KATIKA RASIMU YA MAPITIO YA MPANGO WA MAENDELEO WA SEKTA YA ELIMU
OUR EDUCATION SYSTEM MUST CHANGE TO FOCUS ON PROVIDING YOUNG PEOPLE WITH THE SKILLS AND VALUES
มุมมอง 15821 วันที่ผ่านมา
OUR EDUCATION SYSTEM MUST CHANGE TO FOCUS ON PROVIDING YOUNG PEOPLE WITH THE SKILLS AND VALUES
EAST AFRICAN COUNTRIES ARE ENCOURAGED TO INCREASE INVESTMENT IN THE EDUCATION SECTOR
มุมมอง 4921 วันที่ผ่านมา
EAST AFRICAN COUNTRIES ARE ENCOURAGED TO INCREASE INVESTMENT IN THE EDUCATION SECTOR
IMPROVEMENT OF EDUCATIONAL INFRASTRUCTURE FOR THE DEVELOPMENT OF EDUCATION IN THE COUNTRY
มุมมอง 9921 วันที่ผ่านมา
IMPROVEMENT OF EDUCATIONAL INFRASTRUCTURE FOR THE DEVELOPMENT OF EDUCATION IN THE COUNTRY
SERIKALI IMEANZA KUTEKELEZA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI
มุมมอง 19121 วันที่ผ่านมา
SERIKALI IMEANZA KUTEKELEZA MAGEUZI YA ELIMU NCHINI
MIFUMO YA ELIMU KUSOMANA KUANZIA AWALI MPAKA ELIMU YA JUU
มุมมอง 43428 วันที่ผ่านมา
MIFUMO YA ELIMU KUSOMANA KUANZIA AWALI MPAKA ELIMU YA JUU
PROF. MKENDA : UTEKELEZAJI MITAALA MIPYA KIDATO CHA TANO KUANZA MWAKANI NA IMEONGEZA MASOMO MAPYA
มุมมอง 51228 วันที่ผ่านมา
PROF. MKENDA : UTEKELEZAJI MITAALA MIPYA KIDATO CHA TANO KUANZA MWAKANI NA IMEONGEZA MASOMO MAPYA
JAJI CHANDE: BARAZA LITAENDELEA KUKISIMAMIA CHUO KIBORESHE MAFUNZO KWA VITENDO
มุมมอง 88หลายเดือนก่อน
JAJI CHANDE: BARAZA LITAENDELEA KUKISIMAMIA CHUO KIBORESHE MAFUNZO KWA VITENDO
JAJI WARIOBA: MATOKEO YA TAFITI YAWE NA UTARATIBU WA KUTUMIKA KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA JAMII
มุมมอง 307หลายเดือนก่อน
JAJI WARIOBA: MATOKEO YA TAFITI YAWE NA UTARATIBU WA KUTUMIKA KUONDOA CHANGAMOTO KATIKA JAMII
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAPA KONGOLE SUA
มุมมอง 400หลายเดือนก่อน
RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAPA KONGOLE SUA
PROF. MKENDA: SERIKALI KUPITIA HEET IMETOA UFADHILI KWA WAHADHIRI 556 WANAOSOMA NDANI NA NJE YA NCHI
มุมมอง 385หลายเดือนก่อน
PROF. MKENDA: SERIKALI KUPITIA HEET IMETOA UFADHILI KWA WAHADHIRI 556 WANAOSOMA NDANI NA NJE YA NCHI
PROF MKENDA LAUNCHES THE BOOK "TANGLED WEB"
มุมมอง 105หลายเดือนก่อน
PROF MKENDA LAUNCHES THE BOOK "TANGLED WEB"

ความคิดเห็น

  • @josephatmnongone6143
    @josephatmnongone6143 5 วันที่ผ่านมา

    Korogwe chuo changu ndiwe mama wa maisha yangu...... Na kauli yetu yetu ya mwalimu kwa mfano, ndiwe............... Mungu kibariki chuo chetu koroogwe

  • @josephatmnongone6143
    @josephatmnongone6143 5 วันที่ผ่านมา

    Hongereni sana chuo cha ualimu Korogwe, nilikuwa hapo mwaka 2000-2002 kwa course ya GATCE

  • @adelinaMacha
    @adelinaMacha 8 วันที่ผ่านมา

    1:53 1 3:04 b❤😅:55

    • @adelinaMacha
      @adelinaMacha 8 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😢😢😢😢😢v

    • @adelinaMacha
      @adelinaMacha 8 วันที่ผ่านมา

      😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @MawazoChemu
    @MawazoChemu 8 วันที่ผ่านมา

    ahsante

  • @adelinaMacha
    @adelinaMacha 11 วันที่ผ่านมา

    Hongera Waziri kwa kazi nzuri

  • @user-yi8qv1lg5e
    @user-yi8qv1lg5e 16 วันที่ผ่านมา

    Mama yetu Taifa letu kazi iendelee ❤❤❤❤🎉🎉🎉 mitano tenaaaaa 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @Bryyo121
    @Bryyo121 23 วันที่ผ่านมา

    Let we build stable and implemented vision for the future Generation

  • @husseinmtima6106
    @husseinmtima6106 25 วันที่ผ่านมา

    Tuweekeni na somo la katiba jaman 😂😂😂

  • @user-fo4dt3lh3d
    @user-fo4dt3lh3d 27 วันที่ผ่านมา

    Ada sh ngap kwa mwaka

  • @lawrencesanga9420
    @lawrencesanga9420 27 วันที่ผ่านมา

    Jamani.... Vitubu kwenda ku print nje ya nchi, mbona fedhea hivo, mnaweza kununua magari hata 100 ya Moja kwa 600M halaf mnashindwa kununua mashine ya ku print vitabu🙊🙊 yaan hapa nchi inajali starehe na sio maendeleo

    • @mawanzachihoma6959
      @mawanzachihoma6959 23 วันที่ผ่านมา

      Hawa wanatafuta kamisheni kwenye printing ya vitabu na ndio maana wanapeleka nje ya nchi. Tuache ubabaishaji na kuwa changanya watoto. Sisi tumesoma na hatuja choka.

  • @emmanueltillya2017
    @emmanueltillya2017 28 วันที่ผ่านมา

    Huyu waziri ni Jembe.wananchi wa Rombo muurudishe bungeni 2025 mkimpoteza shauri yenu.

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 28 วันที่ผ่านมา

    Tusaidieni uhamisho wa ess walimu wakuu wanashindwa kuidhinisha maombi ya uhamisho wa kubadilishana tusaidieni huu mfumo usiwe complicated kuutumia.

  • @davidpetro1637
    @davidpetro1637 28 วันที่ผ่านมา

    yaani mtapanga yote lakini msipoondoa magape ya haves and have not yote ni ubatili wenye pesa watapata elimu bora maskini watapata elimu duni tu

  • @gtvonlinemdee7001
    @gtvonlinemdee7001 28 วันที่ผ่านมา

    Nimependa ufafanuzi huu wa historia ya tz na maadili na Academic communication nililiona hili jambo wanafunzi wakilalamika wkt wanatoa maoni kuhusu Dira ya 2050. Nilishiriki na nilijua yanaanza mwaka huu...kumbe serikali imeona kuna technical issue inahitaji muda. Basi mambo ni mazuri

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 29 วันที่ผ่านมา

    Bomoa tutajenga kesho, elimu ni biashara tutasomeje. Mbona hatuwaoni watoto zenu madarasani wanasomea wapi

  • @paulkambonya8001
    @paulkambonya8001 29 วันที่ผ่านมา

    Veta ziongezwe na ziboreshwe iwe ni kwa practical zaidi

  • @paulkambonya8001
    @paulkambonya8001 29 วันที่ผ่านมา

    Masomo kuanzia awali yafundishwe kwa lugha ya kibiashara(kiingereza)

  • @paulkambonya8001
    @paulkambonya8001 29 วันที่ผ่านมา

    Katiba nayo iwe kama somo naunga mkono

  • @Theprincipalmboya
    @Theprincipalmboya หลายเดือนก่อน

    Asante sana Prof kwa kututembelea Kibosho

  • @EsterMgaya-gr1ih
    @EsterMgaya-gr1ih หลายเดือนก่อน

    Mm nashauri advance iondolewe , badala yake iweke level ya chuo kwa ngazi ya chet , dipl ,kisha degreee

  • @elispiuselias1339
    @elispiuselias1339 หลายเดือนก่อน

    Tujikite kwenye elimu ya ufundi stadi kila mtu atakuwa bize na kazi kuliko kutembea na nyaraka za vyeti kutafuta kazi. Pia tutapata watu wenye uwezo sahihi kivitendo kuliko maneno

  • @c-4839
    @c-4839 หลายเดือนก่อน

    good job👏🏿

  • @juliuskitomari3057
    @juliuskitomari3057 หลายเดือนก่อน

    Nchi kama Nchi tangu uhuru hadi leo hata vitabu hatuwezi kuprint? Ni hatari sana aisee,Nchi kabisa,dah

  • @user-so3gy2io8l
    @user-so3gy2io8l หลายเดือนก่อน

    Wanafunzi wetu Hawana uwezo wa ku competent na wanafunzi wa nje hta kidogo

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l หลายเดือนก่อน

    Mie sasa hivi naona form five waende wale genius ambao watakuja kuwa professor, n.k Vyuo viwe vingi vya art. Veta iboreshwe

  • @user-sj3wf5vz7l
    @user-sj3wf5vz7l หลายเดือนก่อน

    Tengenezeni shule za vipaji tangu shule za awali. Tupate wataalamu wakiwa wadogo. China vijana miaka 16 ameshaanza kutafuta hela

  • @Mahangaofficially
    @Mahangaofficially หลายเดือนก่อน

    Hongera professor wetu nakuamini

  • @brysonzawad8521
    @brysonzawad8521 หลายเดือนก่อน

    Hivi mh kwanini msifanye kitu rahisi cha kufanya vijana wenu kujikwamua na hali ngumu ya maisha kuliko kuiga kila kitu toka huko ulaya ikiwa mnapoteza muda na kutufanya vijana vilema wa kudumu hivi miaka yote hiyo hamjawahi kulifikilia hili ikiwa mnaona maisha ya vijana wengi yanavyokuwa magumu mkitaka ushauri nipo kwaajili ya kiwashauri serikali yangu

  • @ERICKRUGAMBILWA
    @ERICKRUGAMBILWA หลายเดือนก่อน

    Hizi comb Mpya zenye Fa na Li tunaomb kupata ufafanuzi

    • @salomeisaya1334
      @salomeisaya1334 หลายเดือนก่อน

      😂😂 Asante msemaji, umetuwakilisha

  • @user-wr7wp9sl2p
    @user-wr7wp9sl2p หลายเดือนก่อน

    Vipi hostel zipo...?

  • @Alphonso_07
    @Alphonso_07 หลายเดือนก่อน

    Kwa maana hiyo hapo kwa form five tunaendelea na mtaala wa zamani as usual?

  • @alphabartazary9692
    @alphabartazary9692 หลายเดือนก่อน

    Wow

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 หลายเดือนก่อน

    Hao wadau ni wapiii? Wakati walimu wenyewe hawajui

  • @jacksonchilongani4478
    @jacksonchilongani4478 หลายเดือนก่อน

    Hello habari nashukuru sana professor nimekuelewa me ni moja ya walimu nilikuwa natoa ushauri naomba muangalie somo la history na civics kwa umakini sana huko ndio kuna ugonjwa mkubwa sana wa maadili yetu ya kiafrika ninaomba tuubadilishe maana hizi tamaduni za magharibi zinatuchanganya

  • @sule17942
    @sule17942 หลายเดือนก่อน

    Cha msingi tunakosa kusoma kwa vitendo vya kutosha na wataalam katika ujasiriamal na hiz biashara, andaeni curriculum za vitendo mashuleni na waalim wenye utaalam na msimamie. Acheni kuhangaisha watoto kwa masomo meng na mitaala isio make sense wala haiboreshi skill za wanafunzi.

  • @RamadhaniAyubu-t3l
    @RamadhaniAyubu-t3l หลายเดือนก่อน

    Sawa nimekuelewa professor

  • @SamhhIlo-ib4ij
    @SamhhIlo-ib4ij หลายเดือนก่อน

    Mnaakili sana nimewapata😊

  • @Lifebeaconuplift
    @Lifebeaconuplift หลายเดือนก่อน

    Mm cjaelewa

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 หลายเดือนก่อน

    Sera huwa zintungwa na akina nani? Zenyewe hazinaga kukusanya maoni kwa wenye nchi? Akija waziri mwingine ruksa kuchezea katiba aliyoikuta? Naomba nijibiwe kwa faida ya wengi.

  • @SamuelErnest
    @SamuelErnest หลายเดือนก่อน

    Hongereni

  • @akbarkisamo8392
    @akbarkisamo8392 หลายเดือนก่อน

    Maelezo mazur sana

  • @meshackjacobmwakalasya543
    @meshackjacobmwakalasya543 หลายเดือนก่อน

    Kukurupuka ni jambo baya sana ,,hatuwez kufanya mabadiliko kwa kuingiza jambo jipya kwa nchi nzima ,, tungeanza na makundi machache

  • @ebenezermbena2894
    @ebenezermbena2894 หลายเดือนก่อน

    Well

  • @maalimwenga452
    @maalimwenga452 หลายเดือนก่อน

    Kwenye hiyo mitaala muweke SoMo la katiba na Sheria watanzania hawajui chochote juu ya hivi?

  • @Joakimworkproduction
    @Joakimworkproduction หลายเดือนก่อน

    Kikubwa dada ni kuongozwa na roho mbona hata sehemu zingine mnaalikwa na wachungaji ambao si wa kiMungu na tuna jua mtu asilokuwa wa Mungu huyo you kinyume nasi. Waimbaji wengi sikuhizi wanahudumu kwenye madhabahu za kishetani bila hata kujua. Sio yote yanayooonekana Ni makanisa Basi Ni makanisa kweli Kwa hiyo narudi pale pale Kikubwa ni kuongozwa na roho mtakatifu basi

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 หลายเดือนก่อน

    Bado tutaambiwa mwanadamu wa kwanza alikuwa nyani?

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 หลายเดือนก่อน

    Bado tutaambiwa mwanadamu wa kwanza alikuwa nyani?

  • @user-eu6ql9zl7n
    @user-eu6ql9zl7n หลายเดือนก่อน

    Kila kitu kina historia iwe mbaya iwe nzur mf familia ina hist yake ukoo kabila din ugonjwa bila historia ya kitu nchi kwahiyo tunaenda kwa historia

  • @japhethotieno2285
    @japhethotieno2285 หลายเดือนก่อน

    Wekeni na katiba ifundishwe kama somo

    • @abdulmajaliwa6376
      @abdulmajaliwa6376 หลายเดือนก่อน

      Wazo zuri sana hili

    • @mirajimsafiri932
      @mirajimsafiri932 หลายเดือนก่อน

      Shida ni kwamba serikali haipendi kila mtanzania aielewe ipasavyo katiba ya nchi yake......italeta vurugu pia

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 หลายเดือนก่อน

      Kabisa

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 หลายเดือนก่อน

      sekondari na vyuo tuanza kufundisha somo la falsafa Uraia na Saikolojia na Sheria.

    • @japhethotieno2285
      @japhethotieno2285 หลายเดือนก่อน

      @@mirajimsafiri932 italeta vurugu tu wasiposimamia na kuitekeleza ipasavyo

  • @kakuyajumanne7335
    @kakuyajumanne7335 หลายเดือนก่อน

    Hamnamo mali humo kaja kuvuruga kila kitu huyu