Watu wawili wamefariki kwenye maandamano yaliyofanyika leo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Idadi ya waliouwawa kwenye maandamano sasa yafikia 41

ความคิดเห็น • 206

  • @susankaburu4527
    @susankaburu4527 3 หลายเดือนก่อน +35

    Ruto hana any shop kwa kijiji, uharifu wa hali ya juu

    • @titus1846
      @titus1846 3 หลายเดือนก่อน

      Amekuwa hapo?😂kufeni .

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 3 หลายเดือนก่อน

      Nyinyi ndio wahalifu mfe tu

    • @georgemuthokasyala8026
      @georgemuthokasyala8026 3 หลายเดือนก่อน

      Raila Ako nayo?

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 3 หลายเดือนก่อน

      @@georgemuthokasyala8026 hii ukabila dio itawamaliza, ata Raila hana, l' think hizo shop's ni za wazazi wa Gen z .

  • @Bonfacemogoa
    @Bonfacemogoa 3 หลายเดือนก่อน +14

    Vichana msikubali Mali yatu kwaharibiwa na machambazi catch athief and deal with him with immediate action mkikubalia wakola waingilie maandamano hpo nikama kukalipia kigongwa marisasi mkiona wakora wataingilia Wacha maandamano juu sahile asikari wanapiga mkora risasi unaeza PATA limekugonga mm staki kuona mtu akibiwa simu au kupola maduka mkiaza hivyo papana na hari yenu wewe Sasa ni mkola na atutaki mkola

  • @ZalkhaRawahi
    @ZalkhaRawahi 3 หลายเดือนก่อน +30

    Mjenga nchi ni mwanachi lkn na mvunja pia ni mwanachi mtihani mkubwa ALLAH tusimamie yarabbi

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 3 หลายเดือนก่อน +3

      Wameamua kubomoa nchi yao

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@jeremiahcharles6027 exactly I said this from the beginning! That the situation would be taken advantage of & people thought it was a joke! We will end up in Civil war if we are not careful! Peace is the most important thing one can ask for

  • @abdiabdullahi3108
    @abdiabdullahi3108 3 หลายเดือนก่อน +8

    Hao wamekuja barabarani kupora mali ya watu. I wonder why our media glorify such hooliganism

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@abdiabdullahi3108 because SK Macharia owns citizen & he spent billions supporting Azimio & they lost the elections

    • @JothamWambiri
      @JothamWambiri 3 หลายเดือนก่อน

      Uliza tena

  • @moseswaruinge9769
    @moseswaruinge9769 3 หลายเดือนก่อน +7

    Lengo lao nikuvunja manduka za wenyewe na kupora mali na hio ndio wanaiita maandamano ya amani

  • @mainakihurusia6380
    @mainakihurusia6380 3 หลายเดือนก่อน +3

    Linus kaikai tuambie Ka hawa ni GNz wenye wanaiba vitu za watu na kuaribu Mali za Huma

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @@mainakihurusia6380 hawezi huyo mjinga... yaani wanachoma duka ya mtu wa shoe shining!

  • @shakurfaith
    @shakurfaith 3 หลายเดือนก่อน +3

    Yani wanavunja maduka ya fellow Kenyans. This is stupid

  • @HELLENNdungo
    @HELLENNdungo 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ni wezi wakalidhibiana na wezi

  • @Billnel254
    @Billnel254 3 หลายเดือนก่อน +16

    gangsters are on the street destroying people businesses this is not protesting.....washikwe wote without bail....peaceful protest sijaona leo

    • @abdiabdullahi3108
      @abdiabdullahi3108 3 หลายเดือนก่อน

      These are thieves

    • @samsonotieno365
      @samsonotieno365 3 หลายเดือนก่อน

      We had peaceful protest in Kisumu today.

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @@samsonotieno365 including fires and throwing stones?

  • @maktab3679
    @maktab3679 3 หลายเดือนก่อน +1

    Gen z walitaka finance bill ikataliwe ruto amekubali haya mengine wanajitakia sasa . Kama ruto amekubali sasa mufikirie musiaribu nchi

  • @Baraarug-11584
    @Baraarug-11584 3 หลายเดือนก่อน +6

    Wezi tu

  • @Emma-zi9mw
    @Emma-zi9mw 3 หลายเดือนก่อน +6

    Mimi ningekua Ruto ningefunga vituo vyote kisha iyo democracy mukaulize mama zenu.. nyinyi ndio munacoceya vifo

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน +1

      Aki ya nani

  • @heavydee2546
    @heavydee2546 3 หลายเดือนก่อน +2

    Police amefyatuliwa Kimakosa 😂😂 na raia je?

  • @humblemureithi
    @humblemureithi 3 หลายเดือนก่อน +3

    Until when will you keep on rejecting the truth? Until when? Until when will you keep on neglecting the sermons that are in a channel "the true way to heaven gospel messages"? Public, I am talking to you. We keep on warning you over and over again that it is not good to give power to a man but I can see that you are still thinking about going to the ballot again, that is why the Creator will never extend the hand of mercy to you, for it is written;
    1 Samuel 8:18 (KJV)
    And ye shall cry out in that day because of your king which ye shall have chosen you; and the LORD will not hear you in that day.

    • @Jehu37
      @Jehu37 3 หลายเดือนก่อน

      This word is not Kenya’s portion and I reject and cancel it in JESUS CHRIST name.

    • @humblemureithi
      @humblemureithi 3 หลายเดือนก่อน

      @@Jehu37 Thanks, if Kenyans do not want this to be their portion, they should seriously repent and stop neglecting the gospel.

  • @RonnieBertin-f7f
    @RonnieBertin-f7f 3 หลายเดือนก่อน

    nipo hapa nawacheck wazungu weusi wanapigana any way waendelee kupigana tareha 25 july tunaenda kuzindua safari za sgr toka dar to dodomia (dodoma) ENDELEENI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FridahGaceri-pf3if
    @FridahGaceri-pf3if 3 หลายเดือนก่อน +12

    Ruto mpaka 2032,nitukane ulambwe uso na shetani😏😏😏

    • @GeoffreyDee-p1w
      @GeoffreyDee-p1w 3 หลายเดือนก่อน

      you are very stupid

    • @mosesorawo9105
      @mosesorawo9105 3 หลายเดือนก่อน

      You're just ......

    • @NtakarutimanaIriho
      @NtakarutimanaIriho 3 หลายเดือนก่อน

      Wewe ndie wakwanza kwenda kwa satani

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @@FridahGaceri-pf3if William Ruto the best ever ❤️ 🇰🇪

    • @DNC55-v2j
      @DNC55-v2j 3 หลายเดือนก่อน

      😂 words are cheap

  • @annengugi3034
    @annengugi3034 3 หลายเดือนก่อน +3

    God may u give us peace and restore our beloved country.... Kenya ❤❤

  • @kiptanui1514
    @kiptanui1514 3 หลายเดือนก่อน +2

    Shame citizen calling demonstrators the thugs breaking into property

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @kiptanui1514 citizen have been propaganda tv from the beginning

  • @ylace4tune
    @ylace4tune 3 หลายเดือนก่อน

    Streets na mageneza 😂😂nimebambika sana leo CBD ata sijajua coffins zimetokea wapi

  • @SansM-g2r
    @SansM-g2r 3 หลายเดือนก่อน +1

    This is not how it was supposed to go. Those who started with good intentions need to come together and stop the maandamano, reorganise themselves and find a better way to go about it. They need to announce a stop to the demonstrations. Kenya is a fragile country economically and the people can't afford any more losses. No one will win here that's a fact. Please stop it!!

  • @garrydanielz-vv9gi
    @garrydanielz-vv9gi 3 หลายเดือนก่อน +19

    Ruto the best president ever

  • @mikeymikiki
    @mikeymikiki 3 หลายเดือนก่อน +1

    Polisi anauwa mwenzake ,mwengine anajilipua mkono wengine kapelekwa haiti😢

  • @Kitur-hd1fs
    @Kitur-hd1fs 3 หลายเดือนก่อน

    Does constitution of Kenya enshrine only one right of picketing? What of ownership of property and Rights of those doing business!?

  • @StanleyIlai
    @StanleyIlai 3 หลายเดือนก่อน

    Those are all thieves hakuna waandamanaji apo,kila mtu achuge mali yake sasa vyenye anajua

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 หลายเดือนก่อน

    Rawahai umeongea ukweli mwana nchi ndio alie jenga kenya lakini leo hii ndio amerudi kuibomoa mwenyewe ila ni heri kujenga kiliko kibomoa jamani mungu simama

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 3 หลายเดือนก่อน

    Raila odinga akamatwe na awekwe kizuizini"mshenzi sana huyo mzee"

  • @jacksportman5181
    @jacksportman5181 3 หลายเดือนก่อน

    Kama tatzo ilikuwa financial Bill ameacha kusaini , still wanavuruga amani,lengo la wanasiasa ni ovu kabisa

  • @KabiraKabira-mvm
    @KabiraKabira-mvm 3 หลายเดือนก่อน

    Equal rights & justice
    Kimathi Dedan laid a platform for the prople of this country we want that to implement

  • @AdeshHussein-f1f
    @AdeshHussein-f1f 3 หลายเดือนก่อน +3

    In the fast history rutobwi be one term president

  • @RaimundoFlorencio-pk7gq
    @RaimundoFlorencio-pk7gq 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lakni Kenya mnachoo kikalibishaa hkoo mwishoo we mtajutaa Sasa kma rais arikubaly mkaee muyangoeyy inakuej munaendelea hivooo libiaapakaa leo wanajuta sudani vivioo hivioo

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @@RaimundoFlorencio-pk7gq fact

  • @edikay254
    @edikay254 3 หลายเดือนก่อน

    This maandamano is not genuine anymore,
    I supported it at first, but now can't support it anymore

  • @kipkoechleonard5780
    @kipkoechleonard5780 3 หลายเดือนก่อน +1

    Looters were very many,mostly targeting supermarkets

  • @rihkaa6289
    @rihkaa6289 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto should address the citizens, and try to reason like them , before it's too late,, hatuwezi tukapoteza watu na Biashara at the same time..

  • @bernardkariuki6183
    @bernardkariuki6183 3 หลายเดือนก่อน

    Infact Ruto mishahara ya waheshimiwa haivai kabisa. They are doing nothing for the public. In central we don't deserve ministers. Hakuna haja kabisa. Kuria. Waichungwa. Ndindi. Fake fertilizer. Karen nyamu. What are they doing for us????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NONSENSE!!!!

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 3 หลายเดือนก่อน

    Iyo sio maandamano ni wisi sasa na ndio uchumi ya kenya yetu itadidimia kabisa

  • @bernardkariuki6183
    @bernardkariuki6183 3 หลายเดือนก่อน

    Is Farouk your advisor??! Nonsense. Yeye na kuria na waichungwa watakusaindia KUMTUSI RiggG . NONSENSE!

  • @PatrickKkhaemba-mq8gs
    @PatrickKkhaemba-mq8gs 2 หลายเดือนก่อน

    Hali isio furaisha sida washauri wasio helewa kazi

  • @Ezrashizzle.
    @Ezrashizzle. 3 หลายเดือนก่อน

    A very terrible economic crisis cooking if this continues 😢

  • @CoyotitoKu
    @CoyotitoKu 3 หลายเดือนก่อน

    Citizen hamna akili, maumbwa nyinyi

  • @MauriceFigo
    @MauriceFigo 3 หลายเดือนก่อน

    Ata ruto nawatu yake amezidi

  • @rashowshine7849
    @rashowshine7849 3 หลายเดือนก่อน

    Wajinga mtaendelea kukufa

  • @ruthkaris9639
    @ruthkaris9639 3 หลายเดือนก่อน +1

    Lord please remember Mercy 🙏.. Restore our Land

  • @mugishajeanclaude2949
    @mugishajeanclaude2949 3 หลายเดือนก่อน +6

    Blessings of blessings Mr William Ruto

  • @MonicaRaila-tn5rb
    @MonicaRaila-tn5rb 3 หลายเดือนก่อน

    Kwenye safari mamba na kenge wapo ni vigumu kuwatambuwa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @erastusbartaine9440
    @erastusbartaine9440 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto utaua vijana adi lini??😢

  • @danielmnuvi7
    @danielmnuvi7 3 หลายเดือนก่อน

    Wachawi wasiramu na watuwa HIV AIDS the can not be in kenya

    • @maryamsaid1307
      @maryamsaid1307 3 หลายเดือนก่อน

      Mchawi n ww n mamako

  • @hellenobara2281
    @hellenobara2281 3 หลายเดือนก่อน +1

    Let's pray for our country as Kenyans

  • @ericndungu7224
    @ericndungu7224 3 หลายเดือนก่อน

    Stop killing innocent creatures

  • @joycenjeri1225
    @joycenjeri1225 3 หลายเดือนก่อน +15

    Ruto all the way!

    • @aheudit
      @aheudit 3 หลายเดือนก่อน +4

      No problem, Mobutu Idi Amin bokasa Saul went all the way too.

    • @domin842
      @domin842 3 หลายเดือนก่อน +1

      Uko serious after killing your own in githurai

    • @jairusdaughtershow7077
      @jairusdaughtershow7077 3 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@domin842Ruto Tano tena usiniadvise

    • @johnmomanyi2016
      @johnmomanyi2016 3 หลายเดือนก่อน

      Mavi sana

    • @Abdiazizmoha567
      @Abdiazizmoha567 3 หลายเดือนก่อน +2

      President Ruto tano tena

  • @EmilyMoya-l4h
    @EmilyMoya-l4h 2 หลายเดือนก่อน

    Zakayo shuka chini😊

  • @agneskavaya9345
    @agneskavaya9345 3 หลายเดือนก่อน +1

    Surely 😢

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania tusiige kabisa

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mombasa GEN Z mkiona wamevaa short na Tanga shoes ni waizi walikoni na kisauni

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto nakushaur ondoka tu...wakat sahihi ni wakat wa Mungu kajipange upya kama imeandikwa itaipata

  • @ruthkarimi2646
    @ruthkarimi2646 3 หลายเดือนก่อน +4

    Police are so polite God will enterven for them

  • @mwatelaguni1650
    @mwatelaguni1650 3 หลายเดือนก่อน +6

    Acheni ujinga nyinyi mnao adamana mtauliwa sana

    • @NtakarutimanaIriho
      @NtakarutimanaIriho 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hata WA uliwe juu hawananga hadabu

    • @happymwaruwa6979
      @happymwaruwa6979 3 หลายเดือนก่อน

      Amani haiji ila kwa incha ya upanga. Nadhani wewe uko na ubinafsi...na kuita wenzako wajinga.

  • @asnathuktv4903
    @asnathuktv4903 3 หลายเดือนก่อน

    Police kutumia risasi amefika mwisho muachane nao wafanye kazi zao

  • @cephasnjuguna9159
    @cephasnjuguna9159 3 หลายเดือนก่อน +11

    Ruto was elected democratically, and those causing chaos will be dealt with accordingly.

    • @mwangiakila8020
      @mwangiakila8020 3 หลายเดือนก่อน

      Deal with them

    • @PaulOpiyo-gn8qj
      @PaulOpiyo-gn8qj 3 หลายเดือนก่อน

      You are so stupid 😂

    • @jacksonogwindi1653
      @jacksonogwindi1653 3 หลายเดือนก่อน

      You are missing the point friend, it's not about that but the country headed kubaya. Change course and change will follow including peace and justice

    • @Letsfacethetruth-cc7tj
      @Letsfacethetruth-cc7tj 3 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@jacksonogwindi1653so looting, breaking into businesses, beating innocent Kenyans and sabotaging the economy will correct whatever is wrong? ?At the end of the day, the same same people doing this hooliganism will best the losers. The politicians and thier families will be okay, the earliest change of leadership can take place will be 2027.. People can voice thier concerns without causing chaos and destruction..Right?

    • @elvinzihuramyezihuramye3939
      @elvinzihuramyezihuramye3939 3 หลายเดือนก่อน

      Elected or rigged 😂😂😂😂😂Difference of 200,000 & not 1m+. Where is Chebukati? That's why God is spitting wrath on Kenyans.

  • @TheNationalist-w9v
    @TheNationalist-w9v 3 หลายเดือนก่อน +1

    They'll keep killing themselves

  • @faitharisson7002
    @faitharisson7002 3 หลายเดือนก่อน

    I wish you can do it peacefully without messing up anything we need our businesses after the demonstration please

  • @lydiahnyamari55
    @lydiahnyamari55 3 หลายเดือนก่อน +5

    Wacha waache kuvunja maduka haki

    • @lloydlyiamMusicChannel
      @lloydlyiamMusicChannel 3 หลายเดือนก่อน

      Those were paid goons i had to escape from them when they invaded the protests

  • @rodgersmuyechi5102
    @rodgersmuyechi5102 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kakamega n mlio wa risasi tangu saa saba hadi sahizi

  • @johnmohblaxta
    @johnmohblaxta 3 หลายเดือนก่อน +4

    Polisi wanaua watu kwa maandamano ya kupinga polisi kuua watu?

  • @WeeBick
    @WeeBick 3 หลายเดือนก่อน

    Na mbona mkiwa live hua hamueki live chat reason ni?

  • @mosesdmakingmoreto
    @mosesdmakingmoreto 3 หลายเดือนก่อน

    Hao wote ni wahuni washikwe wote wafungwe. Hakuna genzs hapo.

  • @rasmartohtiger3859
    @rasmartohtiger3859 3 หลายเดือนก่อน

    Eti police akapiga mwenzake risasi?

  • @danielkagori-nc5qx
    @danielkagori-nc5qx 3 หลายเดือนก่อน

    Hakupatwa kwao nyumbani akaoigwa risasi,walikuwa Kwa uharifu

  • @SamtoshMathiu
    @SamtoshMathiu 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kenya we need freedom

  • @Broken_Beats__23
    @Broken_Beats__23 3 หลายเดือนก่อน +1

    Uhuni tuu hapa

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @@Broken_Beats__23 yup

  • @JoyceKhavayiBulinda
    @JoyceKhavayiBulinda 3 หลายเดือนก่อน

    God help kenya.myngu tusaidie

  • @Time12345A
    @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน +2

    William Samoi Kipchirchir Arap Ruto Tried to tell you about these criminals & you hated him last week now you see! I love you my President ♥️💙❤️🇰🇪

    • @justathought7235
      @justathought7235 3 หลายเดือนก่อน +1

      A 12 year old with 8 bullets is a criminal? Rex was a criminal? There are criminals but you also miss Ruto's heartless comments to innocent unarmed civilians.

  • @XhamilaHumble-v1e
    @XhamilaHumble-v1e 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto must good!!!

  • @patrick-vt8uw
    @patrick-vt8uw 3 หลายเดือนก่อน

    All yang African just do what Kenya is doing uganda south sudan congo kama out let's do it know change Africa please all Africa

  • @joycarorejoy2506
    @joycarorejoy2506 3 หลายเดือนก่อน

    Rip...no Demo ni ukora rejection was ok but hv turn to stealing

  • @alesiyawa1301
    @alesiyawa1301 3 หลายเดือนก่อน

    🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️

  • @KabiraKabira-mvm
    @KabiraKabira-mvm 3 หลายเดือนก่อน

    Equal rights & justice
    Kimathi Dedan laid a platform for the prople of this country we want that to implement

  • @jamesnganga6387
    @jamesnganga6387 3 หลายเดือนก่อน

    Hii yote inahappen juu ua ruto🙌🙌🙌🇰🇪

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 หลายเดือนก่อน

    Kenya wanaona kama sifa ,kumbe wanajiharibia taifa

  • @NyakwarKadijuu038
    @NyakwarKadijuu038 2 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😢

  • @BensonOndieki-b7k
    @BensonOndieki-b7k 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kitu wacha mahandamano ya bure

  • @maiyoemmanuel5095
    @maiyoemmanuel5095 3 หลายเดือนก่อน

    🖐️

  • @atoniata
    @atoniata 3 หลายเดือนก่อน

    Amani jameni na hii looting haifai jameni

  • @mulicharlesmuli
    @mulicharlesmuli 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto endelea kuwahua vijana tu🙏🏽

  • @SammyMutati
    @SammyMutati 3 หลายเดือนก่อน

    P

  • @Abdiazizmoha567
    @Abdiazizmoha567 3 หลายเดือนก่อน +2

    President Ruto untill 2032

  • @TushNga
    @TushNga 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamjarepoti maandamano ya Makueni

  • @IddIddsaid
    @IddIddsaid หลายเดือนก่อน

    Wanauuuumeeei

  • @samsonrono3067
    @samsonrono3067 3 หลายเดือนก่อน

    how do u want to use something you do not work for.....

  • @aminarocha4860
    @aminarocha4860 3 หลายเดือนก่อน

    Endeleeni na maandamano hadi mwaka uishe.😂

  • @omarjeylan4113
    @omarjeylan4113 3 หลายเดือนก่อน

    RUTO IS THIS HAITI? THE POLICE YOU SEND TO HAITI ARE DOING GREAT JOB AND THANKS TO JOE BIDEN YOUR LORD.

  • @DamaMasha-t5v
    @DamaMasha-t5v 3 หลายเดือนก่อน

    Wawe ple waliopatwa n msiba

  • @patrick-vt8uw
    @patrick-vt8uw 3 หลายเดือนก่อน

    I just need all family s of all Africa to came together and change Africa you can do it my African people just join Kenya know all African kama out do it know

    • @Time12345A
      @Time12345A 3 หลายเดือนก่อน

      @patrick-vt8uw kenya is burning what are you talking about?

  • @SammyKaranja-o4w
    @SammyKaranja-o4w 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto aende Sugoi

  • @ruthkarimi2646
    @ruthkarimi2646 3 หลายเดือนก่อน

    Hakukuwa na Amani ni wizi

  • @johngeorge4834
    @johngeorge4834 3 หลายเดือนก่อน +7

    Ruto is the lord of all the looters in Kenya

  • @RobertNduruma
    @RobertNduruma 3 หลายเดือนก่อน

    It's hyenas government

  • @waltersteelfavour2470
    @waltersteelfavour2470 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto must go 🚶‍♂️

  • @alextercisio
    @alextercisio 3 หลายเดือนก่อน

    Hawa ni wajaluo wote bona ni wao tu wako kwa demonstrations??

    • @omuani
      @omuani 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha ujinga

  • @samsonrono3067
    @samsonrono3067 3 หลายเดือนก่อน

    ruto is right

  • @DianaMuasya-r9o
    @DianaMuasya-r9o 3 หลายเดือนก่อน

    $