Sasa mzee wangu hio ni dharura,hata kwetu Zanzibar jana baadhi ya shule wanafunzi wamerejeshwa tena walikua weshapanda school bus. Mvua hizi zipo karibuni sehemu nyingi duniani tusepende kulaumu sana na wanasema kwa miaka mingi hazijanyesha mvua kubwa kama hizi.
Daraja lina kina kifupi halafu jembamba haliwezi kustahimili maji mengi. Kibaya zaidi hii ni barabara kuu inayokwenda mikoani mpka nchi za jirani na Tz. Taasisi husika acheni kujikausha km vile hamuoni lifanyieni kazi immediately!! 3:44 😮😮!😮😮
Ni mwanzo tu wautungu ile ule mwisho bado .hayazuiliki Dunia nzima hata yatimizwe yote .Dunia haijiendeshi ila inaendeshwa kwa mapenzi yake .Aliye umba Mbingu na nchi .Mwenye enzi yote .
Rudini sasa mpigieni Mungu magoti kama kuna sehem tulimkosea atusamehe mmmh unalala ukiamka mafuriko hadi ndani,Bwana Mungu tusamehe🙏🧎
Ee Mungu wetu tunakuomba utusaidie utuepushe na majanga weka mkono wako mungu
Mungu naomba utuepushe na mabaya
Mungu tusaidie
Mungu atunusuru
Poleni watu wa arusha mungu atusaidie
Jaman tulikuwa tunararamika mvuwa hamuna umeme unakatakata vuwa sahivi tunairamikiyaselekali madarajamabaya hapana tuvumiliyetu tutafika🎉🎉🎉😂❤😂
GOD IS IN CONTROL
Sasa mzee wangu hio ni dharura,hata kwetu Zanzibar jana baadhi ya shule wanafunzi wamerejeshwa tena walikua weshapanda school bus.
Mvua hizi zipo karibuni sehemu nyingi duniani tusepende kulaumu sana na wanasema kwa miaka mingi hazijanyesha mvua kubwa kama hizi.
Yaan huu mwaka hapana Mungu atuponye🙏
Mnavyotenda hiyo mnaita zambi 😂😂😂😂😂 nyakati kama hzi ndio mnaona Mungu anafaa
Mungu atunusuru na hili janga.
Daraja lina kina kifupi halafu jembamba haliwezi kustahimili maji mengi. Kibaya zaidi hii ni barabara kuu inayokwenda mikoani mpka nchi za jirani na Tz. Taasisi husika acheni kujikausha km vile hamuoni lifanyieni kazi immediately!! 3:44 😮😮!😮😮
Ni mwanzo tu wautungu ile ule mwisho bado .hayazuiliki Dunia nzima hata yatimizwe yote .Dunia haijiendeshi ila inaendeshwa kwa mapenzi yake .Aliye umba Mbingu na nchi .Mwenye enzi yote .
Yes kabisaaaa
@@HappyMwaigwisya kumbe unamacho na unaona, ubarikiwe sana🙏🙏
Serekali panueni Hilo korongoo
Wanachukia nini kwani hawaoni kua hizi mvua ziko dunia nzima???? Kila mahali kuna mafuriko
Yaan ni ajabu wanachukia Nini wakati ni global issue
Mwaka huu una mambo Kesho utasikia mlima umeondoka na maji, tutalaumu bure serikali yetu.
Mungu awalinde wana arusha
MVUA INAZIDI KUJIANDIKIA HISTORIA
Namba 2 to view like 👍🏽
😂😂😂😂😂😂😂
Hatari na nusu
Mikoa ya tanga tena
Uyu jamaa hua anaokotaokota sana habari zisizokua ata na maana ingekua ni Mimi unakuja kunihoj na tumbo lako unanipotezea muda ningekuramba makofi
Tumrudie Muumba