#BREAKING

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • #BREAKING: CEO BARBARA AJIUZULU SIMBA, ATAJA KILICHOMUONDOA - ''UAMUZI MGUMU SANA''...
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez @bvrbvra ametangaza kujiuzulu katika wadhifa wake ndani ya Klabu ya Simba, kuanzia Januari 2023.
    Kupitia akaunti zake rasmi za mitandao ya kijamii, Barbara ameandika ujumbe kwamba ametoa notisi ya mwezi mmoja kabla ya kuondoka rasmi, ili kupisha kipindi cha mpito na makabidhiano.
    Sehemu ya ujumbe wake inasomeka: "Nimechukua uamuzi huu kwa sababu kubwa mbili; mosi, kutoa nafasi kwa Bodi Mpya ya Wakurugenzi itakayochaguliwa kwenye uchaguzi ujao kupata fursa ya kuchagua Mtendaji Mkuu na Menejimenti mpya itakayoendana na dira yao. Pili kujipa nafasi ya kutimiza ndoto na fursa nyingine kwengineko."
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 9

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  ปีที่แล้ว

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว

    Lipumba alishawahi kuandika barua ya kujivua uongozi cuf ila mpaka ss ndiye mwkt wa cuf mpaka leo

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 ปีที่แล้ว

    Ondoka tu ulimfanyia ubaya mwenzio sasa umejitoa mwenyewe manara oyeeeee yanga oyeeeee timu ya wazalendo na wananchi

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว

      Stop stupidity

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe yaliyokuwa yanasemwa ni kweli ila malipo hapahapaulimfukuza manara kwendaaaaaaa

  • @godlistengodlisten7552
    @godlistengodlisten7552 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 KWELI MAISHA NI CHANGAMOTO DUH UMEIACHA SIMBA MAMA KWELI?

  • @muksinimbaruku1233
    @muksinimbaruku1233 ปีที่แล้ว +1

    Global bado Sana, kwnyo kama amepost instragram page yake, hyo maiki imefata nn kwnye pcha ya Habari hapo? Nenda mkacheki kwa Ayo mjifunze

    • @flova7022
      @flova7022 ปีที่แล้ว

      Somba dar 24 na Ayo my best stations

  • @richardgeorge5377
    @richardgeorge5377 ปีที่แล้ว +1

    Imetosha mama umefanikiwa sana