SIKILIZA KWA MAKINI MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • SIKILIZA KWA MAKINI MANENO MAZITO ALIOONGEA MASANJA

ความคิดเห็น • 398

  • @oliviadaniel3473
    @oliviadaniel3473 3 ปีที่แล้ว +11

    Ubarikiwe sana katika siku nilizokuelewa ni leo,Mungu wetu azidi kukitunza mtumishi

  • @xmaramoja362
    @xmaramoja362 3 ปีที่แล้ว +7

    Masanja the best nakukubali sana ng'wana wane.
    Wewe ni mmoja kati ya watu ambao napenda kujifunza kwako.

  • @polycarplazaro8482
    @polycarplazaro8482 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwa ibada ya leo, Mungu akubariki sana....MSIJILIZE YESU....USISIKILIZE...WANADAMU...

  • @musajonas9397
    @musajonas9397 3 ปีที่แล้ว +1

    this is bigger massage ,begger revolution and good work pastor masanja and l love you my friend

  • @manp.....7694
    @manp.....7694 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameeeeeen!! Big up sana Mtumishi wa Bwana. Mungu akubariki sana.. Ameeeeeeen

  • @rosemuhandoofficial5676
    @rosemuhandoofficial5676 3 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe sana bishop mwana wa mungu mbingu zinedine mema kwakooò

    • @sandalalutubija235
      @sandalalutubija235 3 ปีที่แล้ว +1

      Rose ndo leo nimeona comedy yako mungu akubaliki sana muimbaj mkubwa, nakumbuka albam yako ya kwanza ndo nlitumia kwenda kuchumbia nyimbo zake

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Amina th-cam.com/video/-eHuziR7SmE/w-d-xo.html

  • @caroangella99
    @caroangella99 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen pastor nimekuelew🤠 atali God bless u🙏

  • @episonfelician7670
    @episonfelician7670 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtumishi wa Mungu Masanja Napenda Sana Mafundisho yako Mungu azidi kukuinuia

  • @xkingx8041
    @xkingx8041 3 ปีที่แล้ว +3

    Amina mtumishi wangu!! Tinajipemda na vitambi vyetu.👌👌👌👌👌👌

  • @alexndunguru8927
    @alexndunguru8927 3 ปีที่แล้ว +3

    Aisee...naomba nisiongee kitu...Mungu afanye kazi yake

  • @TheLuasas
    @TheLuasas 3 ปีที่แล้ว +9

    Exactly what I always tell my wife! Do not try to transom your body bila ridhaa yangu! Najua kwa nini nilikuowa, kwa nini niko na wewe! Acha kusikiriza ujinga wa watu wa nje! Watakufanya upoteze ulichokua nacho kwa Jina la kupoteza kitambi

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi253 3 ปีที่แล้ว +9

    Da masanja thanks bishop you made my day

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 3 ปีที่แล้ว +4

    Masanja is a great Man of God. Si rahisi kumuelewa.

    • @Feelfreechurch
      @Feelfreechurch  3 ปีที่แล้ว +1

      ameni

    • @allanyusto
      @allanyusto 3 ปีที่แล้ว

      Umeongeza na neno zuri eti SI RAHISI KUMUELEWA. Dunia ina mambo sana yaani 😀😃😄😁😁😅😅🤣😂😂🤣🤣

  • @nataldesantos3054
    @nataldesantos3054 3 ปีที่แล้ว +4

    Acha wasepe Hahahahaha!! I loved it.

  • @methodjasson2159
    @methodjasson2159 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sana Masanja Good Message to us,Amen

  • @rebeccabee6901
    @rebeccabee6901 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyez mungu azid kukuweka mtumish

  • @elibarikiyame562
    @elibarikiyame562 24 วันที่ผ่านมา

    Ubarikiwe sana mtumishi masanja

  • @molelimaiko4339
    @molelimaiko4339 3 ปีที่แล้ว +2

    Very clean masanja you and I am sure God is with you

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 3 ปีที่แล้ว +2

    duh! masanja mkandamizaji 😝😝😝

  • @videozaaj1069
    @videozaaj1069 3 ปีที่แล้ว +2

    Vaa zinazokukaa vizuri😂😂😂😂

  • @kisunti9848
    @kisunti9848 3 ปีที่แล้ว +6

    Yeeeeeees be blessed man of God

  • @lysalindsay2552
    @lysalindsay2552 3 ปีที่แล้ว +2

    Yes Mungu atatimiza Amen watching you from Dubai sally

  • @arbaab9337
    @arbaab9337 3 ปีที่แล้ว +3

    HAHAH😀😀😀AHAHA *** JAMANI JAMANI WEEE *** BORA NINYAAZE...✍

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha kuegemea hahaha frigis utumbo naka.......😂😂😂😂😂😂😘😘😘😘

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 3 ปีที่แล้ว +8

    Glory to God star ☪️ 🌟 👏🏾

  • @siwetupilly5535
    @siwetupilly5535 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Mtumishi sema watu wapone

  • @husseinyussuph6198
    @husseinyussuph6198 3 ปีที่แล้ว +1

    Suti kali sana noma balaaa bonge la suti aisee

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 24 วันที่ผ่านมา

    God bless you pastor 👏

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 3 ปีที่แล้ว +2

    Amina amazing 😄😄😄😄😄hapo pa kujiamini nimependa mno watu wajikubali jinzi walivyo😄😄😄😄

  • @evpaschalkohereth357
    @evpaschalkohereth357 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika Mungu mwema Ubarikiwe sana

  • @kataninyido962
    @kataninyido962 3 ปีที่แล้ว +4

    Grory to God every time and every day too every year, thanks for Good preach

  • @GastoMwalyaje
    @GastoMwalyaje 22 วันที่ผ่านมา

    Amina ubarikiwe mtumishi wa MUNGU

  • @adeliphinamussa3085
    @adeliphinamussa3085 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Mtumish, ntakupataje nko Irnga

  • @farajandera2749
    @farajandera2749 3 ปีที่แล้ว +5

    Ameen my Pastor

  • @centralboytz4240
    @centralboytz4240 3 ปีที่แล้ว +1

    Hyo kushape gaun sasa😅😅😅🙌

  • @frolawihenge2078
    @frolawihenge2078 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeen ameeeeeen Bhabhaaa wabhedja sana.

  • @subirachuta8169
    @subirachuta8169 3 ปีที่แล้ว +2

    Daaah!! Nimecheka kwa sauti hadi nimewakwaza majirani😁😁
    Ila Masanja una nini lakini😅😅😅😅😅

    • @subirasamweli8797
      @subirasamweli8797 3 ปีที่แล้ว +1

      Tunza kitambi Chalo dada wajina wakeeee mie😂

  • @ibrahimlameckministry1867
    @ibrahimlameckministry1867 3 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa San pastor masanja

  • @georgematahimba5242
    @georgematahimba5242 3 ปีที่แล้ว +3

    Masanja anapiga mpunga katika madhabau ya BWANA
    AMINAaaaaaaaaa

  • @devothafrederick4352
    @devothafrederick4352 3 ปีที่แล้ว

    Amen kubwa, nimejikubali na tumbo langu

  • @Rubaba_Tech
    @Rubaba_Tech 3 ปีที่แล้ว +2

    Sikuza mwisho utalitafuta neno hautaliona watu wanaubiri maisha badala ya neno la Mungu ( Mungu tusaidie kujua kweli yako)

  • @clarencendyetabula3080
    @clarencendyetabula3080 3 ปีที่แล้ว +1

    amina Mtumishi nimebarikiwa na neno waache waende hakuna haja ya kuwangania

  • @gmasterog823
    @gmasterog823 2 ปีที่แล้ว +1

    Masanja we bado bwana muombesana mungu akusaidie

  • @dechardavid2555
    @dechardavid2555 3 ปีที่แล้ว +3

    Neno zur..ila pcha ya ngwaji inahusika nn apo

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 3 ปีที่แล้ว +4

    Let them goooooooo
    Wasituchoshe baba

  • @elizabethmgaza188
    @elizabethmgaza188 3 ปีที่แล้ว

    Hahahhahahah jamani nimecheka dah! Ila neno zuri ......Mungu akubariki sana mtumishi

  • @penuelfullsalvationchurch3350
    @penuelfullsalvationchurch3350 3 ปีที่แล้ว +1

    Andika lako nmelifrahia mungu awabaliki wew n matalemwa bashiri siku moja mmefndisha andko moja...Amen

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 3 ปีที่แล้ว +1

    umejipata una tumbo kubwa komaa nalo! hahahaaaaa

  • @denicemwitakabwere7726
    @denicemwitakabwere7726 3 ปีที่แล้ว +7

    Mhhhhh masanja Kawa mchungaji🤣🤣🤣🤣

    • @josephjosephat465
      @josephjosephat465 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀

    • @sumayasumaya6455
      @sumayasumaya6455 3 ปีที่แล้ว

      Hii bongo bana akil kumkichwa..

    • @happnessjoseph7191
      @happnessjoseph7191 3 ปีที่แล้ว

      @@sumayasumaya6455 Mungu hukitumia kizaifu Bali hukiaibisha chenye nguvu..kwa mtizamo wa kibinadamu mnaona Masanja hafai kuwa Mchungaji..Mungu hatafuti watu Bali anatafuta mtu..

  • @jacksonrioba4028
    @jacksonrioba4028 หลายเดือนก่อน

    From🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to tz barikiwa

  • @Pastorevance
    @Pastorevance 23 วันที่ผ่านมา

    Punguza kupokea ela ukiwa unahubiri. Ila uko vizuri. Endelea kunyenyekea, nakuhubiri injili ya kweli.

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 3 ปีที่แล้ว +7

    Kitaeleweka tu👉🙏🙏

  • @jemimaobeid7291
    @jemimaobeid7291 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina kubwa .nielekezeni nije kanisani kwa masanja

  • @happyyuwen7658
    @happyyuwen7658 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sanaaaa

  • @kostamhogofela6335
    @kostamhogofela6335 3 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe sanaa

  • @matendoandrewmgeni1135
    @matendoandrewmgeni1135 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mwenyeji MMOja anikaribishe kanisa hili nije kusali nam appreciate Sana masanja

  • @rahimkomba3149
    @rahimkomba3149 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi mungu Yu mwema

  • @SalomeTitusi-lm7oe
    @SalomeTitusi-lm7oe 4 หลายเดือนก่อน

    Amen. Amen Asante Kwa neno.

  • @experiuskamugisha6863
    @experiuskamugisha6863 3 ปีที่แล้ว +8

    Thank you pastor masanja

  • @YohanaMathayo-r7p
    @YohanaMathayo-r7p 26 วันที่ผ่านมา

    Amina mtumishi wa Mungu nakupenda nimekuelewa

  • @ip_header
    @ip_header 3 ปีที่แล้ว +3

    Mwisho wa dunia tutaona mengi...! Fungu la 💰💰💰💰💰💰

    • @brudatv3539
      @brudatv3539 3 ปีที่แล้ว

      Alow acha tu anazichukua ela Kama azioni vile

  • @subiramwaka9792
    @subiramwaka9792 3 ปีที่แล้ว +1

    More grace mtumishi

  • @mhogomchungu7168
    @mhogomchungu7168 3 ปีที่แล้ว +7

    kweli TZ kuna mazwazwa , mtu anakushajihisha ujinga wewe unamsherekea. Afya na dini sio mambo ya kufanyia utani , hakuna mtu anaependa kitambi, msikilize huyu uweke kitambi uone kama hutakimbiwa kisha sukari, pressure na maradhi ya moyo watakuwa wapenzi wako wakufa na kuzikana

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 ปีที่แล้ว +13

    Nasoma comments hapa huku nataxama, sema internet inazingua..... Ok wengi wanaohukumu niwakumbushe tu kitu, unaponyoosha kidole kumuelekea mwenzio, hakikisha basi mkono wako msafi..... Wala mungu hana mtu anayemuhukumu kwa matendo ya zamani, bali ya sasa, Masanja alikuwa anachekesha, cjui kama kuchekesha ni dhambi, vipi akitokea mtu jambazi, akauwa watu wengi, akatesa watu na kunyanganya mali zao kisha akajishibisha kwa anasa, je jambazi huyu akibadirika akawa mchungaji na akalitangaza jina la mungu, na kuwafundisha watu kumjua na kumuamini mungu, je anahatia mtu huyu? ILA iweje vibaya kwa Masanja ambaye alikuwa mchekeshaji.. .?
    Wivu ni kidonda, tusikilize maneno na sio yanatoka kwa nani atleast kama nafsi zetu dhaufu, tunaweza kupita kwa maneno hayo.... Allah kareem, go goo gooo Masanja, jah guide

    • @jacksonmenas6488
      @jacksonmenas6488 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio Ni kweli kabisa, Mungu alimuokoa Sauli ambaye ndio paulo, huyu Mtu alikuwa anatesa Sana wanafunzi wa yesu, na kuwaua, Lakini baada ya kuokolewa na yesu huyu Ni mtume pekee, aliehubiri, sehem kubwa ktk hii dunia, na nimtume alieandika nyalaka nyingi ktk biblia, na acha nikwambie ww unaemhukumu masanja, acha kwa sababu yy Ni mtumishi wa Mungu aliehai!

    • @munguniushindi8465
      @munguniushindi8465 3 ปีที่แล้ว +1

      Haki haihesabiwi kwa matendo

    • @claudiaclemence5121
      @claudiaclemence5121 3 ปีที่แล้ว +1

      Fact Fact,,tena kuwa na mchungaji mchekeshaj ni raha huku anawafundisha neno la Mungu lakini pia mnafurahi,,afu unajua sisi watanzania sijui ni nani aliyeturoga kwani kuwa mchekeshaj afu ukawa Mchungaji kuna tatizo gani

    • @urumtewele9693
      @urumtewele9693 3 ปีที่แล้ว

      Yesu Kristu alimsamehe Zakeo Mtoza ushuru, mtu akiongoka kuacha maovu na kumrudia Mungu Mwenyezi Mungu anamsamehe tatizo ni sisi binadamu tunashindwa kusamehe

    • @subirasamweli8797
      @subirasamweli8797 3 ปีที่แล้ว

      Mungu Ana watu wake

  • @yeremiahmwakasege951
    @yeremiahmwakasege951 3 ปีที่แล้ว +6

    Masanja ni MchungajivTangu Mwaka 2018, Na Mungu Amemjalia, Wengi Hawamwamini Kwa kuwa Alikuwa anaigiza Comedy, Tambua Ukishaokoka Unakuwa Kiumbe Kipya Yakale Yalipita

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 3 ปีที่แล้ว +3

    Hamna kitu hapo,anacheza na mihemuko ya waamumini

  • @KADALAtv255
    @KADALAtv255 3 ปีที่แล้ว +6

    Exactly glory to God

  • @pericykiko6198
    @pericykiko6198 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni hivi lazima tuchunguze km ni sehem sahihi km sio sahihi unasepa Mf Mimi sipendi mahubili ya majungu napenda kufundishwa kuliishi Neno

  • @rickross98
    @rickross98 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina kaka masaja

  • @janethtobius6173
    @janethtobius6173 3 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe mtumish

  • @tanstudiotv
    @tanstudiotv 3 ปีที่แล้ว +1

    Baba mwanza lini?? Njoo ufungue huduma kondoo tupo

  • @m.c.philly
    @m.c.philly 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe saaaana Mtumishi wa Mungu

  • @mafuja1991
    @mafuja1991 3 ปีที่แล้ว +1

    Hamna kitu hapo masanja,ni mbwembwe tu

  • @faidaimmaculee28
    @faidaimmaculee28 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen ubarikiwe

  • @godlovemasamakibatandu2092
    @godlovemasamakibatandu2092 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ktuma akuambie we,kamsikiaje

  • @leopoldmashaka
    @leopoldmashaka 3 ปีที่แล้ว +6

    Amina GOD BLESS YOU

    • @simbafuns785kviews
      @simbafuns785kviews 3 ปีที่แล้ว

      Amina sana th-cam.com/video/-eHuziR7SmE/w-d-xo.html

  • @veroedward8822
    @veroedward8822 ปีที่แล้ว

    Masanja leo umenifurahisha umeongea ukwel

  • @eliyahango4278
    @eliyahango4278 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde pastor Masanja

  • @saidsalum9587
    @saidsalum9587 3 ปีที่แล้ว +1

    Jmaani mungu ni 1 tu ambaye ni allah njooni mutulie katika uislamu dini ya kweli, munaposema yesu ni mungu mufikirie x 10

    • @felixalex9939
      @felixalex9939 22 วันที่ผ่านมา

      Unasema hivyo kwasababu huyajui maandiko ungejua usingesema hivyo jifunze kwanza ndipo utoe ushauri maana ukiwa gizani na usijue kuwa uko gizani bado ni tatizo kama unamaswali mengi kuhusu imani nyingine mtafute wa upande wa imani hiyo uliza maswali ujibiwe ili upate kweli,maana ukiijua kweli utawekwa huru kweli kweli.

  • @eliuzejulius4719
    @eliuzejulius4719 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa Mtumishi wa MUNGU

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 25 วันที่ผ่านมา

    Amina upo sawa

  • @pendokilwale6936
    @pendokilwale6936 3 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaaa

  • @johnmassami6213
    @johnmassami6213 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana kwa neno lenye mafunzo.

  • @posterfarjarman967
    @posterfarjarman967 3 ปีที่แล้ว +1

    Raha Sana mtumishi,,,,

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa muda mfupi umefungua kanisa na.kujipa cheo cha uaskofu mmmh sihukumu ila kwa hili nooo

  • @shaluuanthony1836
    @shaluuanthony1836 3 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho umefikaa Mungu atuhurumie

  • @judithkatoto3316
    @judithkatoto3316 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina.kubwa baba angu

  • @ngurumoyaushinditv7222
    @ngurumoyaushinditv7222 3 ปีที่แล้ว

    Hua nabarikiwa na ujumbe wako Sana askofu

  • @marthamkumbo2572
    @marthamkumbo2572 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kaka kwa hilo

  • @meshackpaul5338
    @meshackpaul5338 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh!!!! Hamna kitu masanja,
    We endelea na comedy tu

  • @KamazImaByarugaba
    @KamazImaByarugaba 26 วันที่ผ่านมา

    Powerful amen

  • @devicematungwa1998
    @devicematungwa1998 3 ปีที่แล้ว

    Wasapu
    Vidio

  • @ernestthomas9689
    @ernestthomas9689 3 ปีที่แล้ว +1

    Mmmh..!Mara hii umekuwa askofu ??

  • @thomasraiton7760
    @thomasraiton7760 3 ปีที่แล้ว +1

    Waache waseepe kisela zaidi mazee

  • @jm-tx8gn
    @jm-tx8gn 3 ปีที่แล้ว

    Barikiwa Sana mtu wa mungu naomba kujua hili neno limeandika kitabu gani na mstari wa ngapi.walitoka kwetu mahana hawakuwa wekwetu

  • @cutefaith626
    @cutefaith626 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa

  • @alexkamba5264
    @alexkamba5264 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukovizur mwanawane

  • @emanuelgeorge580
    @emanuelgeorge580 3 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU.mwemaaaa

  • @jongwemomumo8729
    @jongwemomumo8729 3 ปีที่แล้ว +3

    Mzee Baba Uko vizuri ila kusiwe na ubaguzi mbona Viti vya Waumini havifanani maana kwa Viti kuna Viti vya vya Watu special na vile vya Watu wa Kawaida, kwa Mungu hakuna madaraja Mtumishi

    • @hussnabakary3507
      @hussnabakary3507 3 ปีที่แล้ว

      Hiyo wala sio shida kwan kwa mungu hakuna vip kwahiy kukaa kwa plastik na cjui ni sofa iyo au cjui nn sio shida kikubwa ni ipi iman yako

    • @jongwemomumo8729
      @jongwemomumo8729 3 ปีที่แล้ว

      @@hussnabakary3507 Yesu Kristo hakuwa mbaguzi katika makusanyiko aliyofanya wewe

    • @marykarebeti9410
      @marykarebeti9410 3 ปีที่แล้ว +1

      @@jongwemomumo8729 kakuambia nani kuwa Yesu Yesu hakuwa na ubaguzi?
      Mbona alichagua wafuasi 12 na hakuchagua wote waliokuwapo enzi hizo?

  • @amournassorsaid7694
    @amournassorsaid7694 3 ปีที่แล้ว +1

    Wale Wale kina mzee yusuf